BREAKING: WALIOMTEKA TARIMO WAKAMATWA WAPO MABONDIA, MSAKO MKALI WAFANYIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 8 дней назад +283

    Haya ndio Tuliyahitaji Kamanda , Salute Sana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 8 дней назад +20

      Bado wauaji wa Kibao Sativa na Soka wapo wapi?

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 8 дней назад +9

      Si mulisema wametumwa n'a.srikali? Leo ndo munaamini kua serikali sio watekaji Kuna magenge ya wahuni n'a majambaei

    • @eustacefordranger1174
      @eustacefordranger1174 8 дней назад +7

      huyu ni msanii..

    • @MrA24G
      @MrA24G 8 дней назад

      ​@@AminiMsellem-gk3yy haya ni magenge ya wahuni kbsaaa

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 8 дней назад +11

      Hii n Sanaa tu bro hamna chchte hapo ucdanganywe😂 watekaji n haohao hao wanatolewa muhanga t ktk media kisha wanapewa maisha kw upande mwengine au wanaadhibiwa kw uzembe walioufanya kushindwa kua makini kazini😢

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 8 дней назад +14

    Hongera sana afande mulilo , mungu akusaidie kwa kazi yako ya kulinda wananchi na Taifa .Mungu akusaidie kwa utendaji uliotukuka .

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 8 дней назад +47

    Hahahaha Very good job polisi TZ ..nimemtambua uyo petiiiii😂😂😂😂😂aloo hao jamaa kazi wanayo 😅

    • @jimlinekimani2326
      @jimlinekimani2326 7 дней назад

      Ukweli uliko ni kwamba Simba kaletea taifa aibu kwote duniani 😭💔 baada ya kulalwa naye vile walipoambiwa wapande juu upstairs kuwatch movie..celeb atia taifa aibu kwote duniani 😭😭💔 mbona Simba kakubali kututikwa Nyuma inhali yeye ni mwanaume?????

    • @shaffihsiraji3141
      @shaffihsiraji3141 7 дней назад

      @@jimlinekimani2326We nae Kuma la mamako tunaangalia vitu vya maana unaleta Ushoga wako hapa

  • @isackahmed2563
    @isackahmed2563 8 дней назад +10

    Big up kwa Jeshi la polisi kwa kazi nzuri yaan mtu kafatwa hadi kijijini kwao! Aseee

  • @dinnahpraygod7860
    @dinnahpraygod7860 8 дней назад +97

    Asante sana jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri Mungu awatangulie❤❤

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 7 дней назад

      Hao ni wa kuuwa mbwa takataka maana yamefanya mengi sana wamiywe waseme yte

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 8 дней назад +23

    Kazi nzuri sana polisi hongeraaa tarimo kwa kujitetea walikuwa ni manyamera kweli kbs

  • @richardkamota859
    @richardkamota859 8 дней назад +27

    Hongereni Sana jeshi la polisi,mbali na matusi mnayotukanwa ,nadhani wamejua umuhimu wenu

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 8 дней назад +29

    Tunalishukuru sana Jeshi letu la Polisi Tunazidi kuwaombea Mungu awabariki Kwa kweli Matukio kama haya yanaleta taharuki na hofu kwa Umma wa Watanzania

  • @abdallahsoud2033
    @abdallahsoud2033 8 дней назад +43

    Hongera kamanda J. Muriro na vijana wako kazi nzuri sana maana nimemuona khaswa huyo kijana mweupe aloshuma na mwenzie wakwanza kutoka kwenye defender ni yeye khaswaa. Safisana jeshi la Polisi >KAZI IENDELEEE

    • @mlewamlewa976
      @mlewamlewa976 7 дней назад +1

      Mpaka hpo ninaimani kabisa inspector mrilo hongera sna na vijana wako mungu awatunze satuti kwenu

  • @NeemaJuma-xn9nw
    @NeemaJuma-xn9nw 8 дней назад +84

    Kazi nzuri sana Commander wetu Murilo...

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 7 дней назад +2

      MUNGU ANGEJAALIA UKAWA IGP INGEPENDEZA SAANA WELEDI WAKO SIO WA POLEPOLE SHY ULIPERFORM VIZURI MWANZA ULIPERFORM VZR AMINI MUNGU ANAWEKA HAZINA YA WAJA WAKE POPOTE ATAKAPO. WEE NI HAZINA KUBWA KWA JAMII NA JESHI LA PLS

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 7 дней назад

      الحمر الله

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 7 дней назад

      Tunaomba na wa waliomteka kibao na kumuua wakamatwe

    • @majidabas3843
      @majidabas3843 7 дней назад

      @Rm2024-x3d BADO PEELELEZI UTA KAMILIKA TUU

    • @SimonMwita-k8s
      @SimonMwita-k8s 4 дня назад

      Hongera commender wa police kazi nzuri mumejaribu sana mumeanza kukaribia upelelezi Kama wa Kenya a.????

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 8 дней назад +119

    Mimi nilivyokua na Imani na kamanda Murillo mungu akulinde kamanda unafanya kazi nzuri sana

    • @evansogutu4167
      @evansogutu4167 8 дней назад +3

      Mungu with capital M

    • @MamboKifunda
      @MamboKifunda 7 дней назад +1

      Huyu kamanda anapiga kazi sana...natamani tungekuwa na kamanda mia kama hawa

    • @StarGwanta
      @StarGwanta 7 дней назад +2

      Mnamuamin n Mungu uyo? Achen kuwekwa watoto wadogo

    • @SensationEco-Chic-e9d
      @SensationEco-Chic-e9d 6 дней назад +1

      @@StarGwanta mmh yani wewe

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 8 дней назад +4

    Haya ndio mambo tunayalilia kila siku, mashallah Allah awalinde askari wetu kwa kazi nzuri

  • @allymlanda3139
    @allymlanda3139 8 дней назад +55

    Najua mh muliro kazi yako nzuri toka zamani ,watashangaa wasio kufahamu Respect

    • @issamlay6723
      @issamlay6723 3 дня назад

      Akamate waliomteka soka na wenzake

  • @Mboemo
    @Mboemo 8 дней назад +3

    Hongera sana kwa kazi, tunasubiria waliomteka na kumuuwa mzee wetu na waliomteka Soma na wengine ili tuone kama kweli mnafanya kazi kwa weledi maana huyo tarimo ni mfanya biashara watuhumiwa wamekatwa vipi kuhusu wanasiasa waliouwawa na kutekwa na hadi sasa hawajapatikana walipo, au jeshi la polic linafanya kazi kwa weledi kwa wafanya biashara tu wakitekwa, ila kwa wanasiasa mmhmm

  • @emertonmwakina8593
    @emertonmwakina8593 8 дней назад +8

    Hongera sana kwa kazi nzuri Mkuu mukiro.
    Hapo wanaichi wataamkuwa na imani na kitengo cha police kwa juhudi hizi.From kenya tupo pamoja ❤

  • @CastoKomba-j7z
    @CastoKomba-j7z 8 дней назад +21

    Hongera mkuu, tunahitaji utendaji kama huo bila kujali cheo kabila au nguvu ya pesa walizo nazo, tunaomba namba zenu mkuu maana haya matukio yapo sana mitaani kwetu

  • @FRANKNCHEYE-wk8cz
    @FRANKNCHEYE-wk8cz 6 дней назад +3

    Toka nimelijua jeshi la polisi Leo ndo nawasifia kwa Mara ya kwanza hongereni pt👏👏👏👏

  • @OMARYKASSIDI
    @OMARYKASSIDI 8 дней назад +1

    Watu kama Hawa ndio inapendeza wakiongoza nchi yetu aisee hongereni saana kazi nzuri munafanya jeshi letu la polisi🎉🎉❤

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 8 дней назад +27

    Hapo Sasa kamanda umetukonga mioyo mungu akubalikin Kwa kazi nzuri

  • @Chimamy1985
    @Chimamy1985 22 часа назад

    Camanda huyu nampenda sana anafanya kazi nzuri sana mungu akujalie maisha mema afande wetu

  • @user-cheedycheedy
    @user-cheedycheedy 8 дней назад +14

    Natoa hongera kwa jeshi la polisi kwa kazi nzuri

  • @eveline2183
    @eveline2183 8 дней назад

    Asante Bwana Yesu kwa kusikia kilio chetu na kuharibu kazi ya shetani, pepo la utekaji limeshondwa. Mwenyenzi Mungu ushukuriwe, barikiwa kamanda Murilo kwa kazi nzuri, Mungu azidi kukuinua katika utumishi mwema, nchi irudi kuwa salama

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 дней назад +15

    Daaah afadhali kazi nzur sana mmefanya maana tayar baadhi ya watu walikua wameshaanza lawama kwenu Mungu awabariki kwa kaz nzuri ,

  • @ReganUiso
    @ReganUiso 7 дней назад

    Haya ndio tunayotaka mzee...sio upelelezi ambao haujulikanag umeishaga lini..salute kwako kamanda wangu

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 8 дней назад +87

    Safi sana kumbe jeshi lilikuwa kazini kimy kimya Kaz nzuri sanaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nkenemalulu1330
    @nkenemalulu1330 7 дней назад +1

    Bravo Kamanda Mlilo, kazi ni ngumu tunakuombea Mungu awe mbele yako.

  • @MarthaHombo
    @MarthaHombo 8 дней назад +50

    Tumefurahishwa kwa kazi nzuri ya jeshi la polisi Tanzania mungu awatunze kazi iendeee

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 7 дней назад

      Angalizo kesho na kesho kutwa tusije kuwaona mitaani kisa pesa(RUSHWA)

    • @oyay2821
      @oyay2821 7 дней назад

      Maigizo hayo

  • @NAPHTALLEYAMEKEYA
    @NAPHTALLEYAMEKEYA 8 дней назад +1

    Hongera jeshi la polisi Tanzania,,Cha kushangaza ni kuwa mnawataja hata kwa majina watuhumiwa kazi nzuri wajulikane na raia ,hapa kwetu Kenya mbo tofauti kwanza kupatikana ni shida ,pili wakipatikana wanabana majina ,hata uso kuonyeshwa shida , polisi wetu vigezo vya sababu au shida nilozitaja hapo juu ni mradi iwe rahisi kupokea hongo Toka kwa washukiwa Ili wakaendeleze uhuni wao , polisi Kenya hongo kwao ni kama maasai na njora hawaachani. Hongera JLPTZ

  • @ImmanuelWilliamAyo
    @ImmanuelWilliamAyo 8 дней назад +11

    Kamanda unatangaza kwa hisia kali sana tunakusililiza kwa utulivu mungu awabariki sana kwa kazi nzuri. Kazi iendelee.

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 8 дней назад +1

    Respect kwenu POLICE..
    Kutekwa kumekuwa modality kama sijui ndiyo style mpya ya maisha...
    Shenzi type minya hao kunguru

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 8 дней назад +18

    Hongereni sana jeshi la polisi....Kwa kazi nzr

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 8 дней назад +2

    Tunaomba mfano wa kuigwa kuhusiana na tukio hilo na kwa kuwachafua nyie askari wetu ss wanyooosheni
    Askari msikubali kuchafuliwa na watu wachache Kazi nzuri kamanda Mliko💪🏽🙏🏼

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 8 дней назад +13

    Hongera kwa jeshi letu

  • @StellaPendaeli
    @StellaPendaeli 6 дней назад

    😊😊watekaji nimeona wananyanyua vyuma ila tarimo wetu anakila vizuri hongera mama Samia kwakutupa kiongozi makin🎉

  • @AbubakarPatrick-q1z
    @AbubakarPatrick-q1z 8 дней назад +10

    Jeshi la polisi sio maneno ni vitendo respect kamanda muliro kwa kazi nzuri we love u all

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato 7 дней назад

    Kamanda Muliro na Makamanda wenzako asanteni sana kwa kazi nzuri mliyofanya. Watekaji hao kabla ya kuwapeleka Mahakamani muwape virungu vya kutosha kwani walitaka kumwaga damu isiyo na hatia.

  • @paulmagoiga8267
    @paulmagoiga8267 8 дней назад +4

    Hayo ndio tunataka mtuoneshe kamanda mriro ili mrudishe Imani ya wananchi kwa jeshi letu la police big up kamanda wetu

  • @AsumntaAmos
    @AsumntaAmos 7 дней назад +1

    Wauaji kabisa hao polisi wetu mko vizuri Sheria ifuate mkondo wake

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 8 дней назад +16

    Nasubiria walio mteka Abdul Nondo😂😂😂😂 niwape saluti😂😂😂😂

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 8 дней назад +10

      Mimi pia nasubiria waliomteka marehemu Mzee Kibao

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 8 дней назад +5

      Ilakumbuka huyoNondo alishawahikujitekamwenyewe

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 8 дней назад

      ​@@salehwaziri5062kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba vile alivyoumia Abdul Nondo amejiumiza mwenyewe pia?

    • @lonelysanga9328
      @lonelysanga9328 8 дней назад

      Kama aliwahi kujiteka mwenyewe hivo atakuwa amejiua yeye mwenyewe daaaaaah😢​@@salehwaziri5062

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 8 дней назад

      ​@@salehwaziri5062😂😂😂😂😂
      Kajiteka tenaaaaa itakuwa 😂😂

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 7 дней назад

    Kamanda Muriro Salute kwako, umefanya kazi nzr sana ila kundi la watekaji ni kubwa sana pambana nao kabisa tuishi kwa aman TZ yete

  • @HasaniHamis-n5s
    @HasaniHamis-n5s 8 дней назад +7

    Jeshi lingekuwa linafanya kazi vizuri hivyo wananchi wangekuwa naimani

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 5 дней назад

    MWAMBA unajuwa KAZI yako...makamanda wote igeni KAZI za huyu mbabe Muriro💪💪💪

  • @AhmedKisengo
    @AhmedKisengo 8 дней назад +4

    Alhamdulillah hii insonesha sheria ipo na mkono mrefu

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 8 дней назад +1

    Tunawashukuru jeshi la police kwa kazi nzuri mliyoifanya sasa hao inabidi wawalete waliotekwa hawajulikani walipo

  • @ev.eliezangiruketv8902
    @ev.eliezangiruketv8902 7 дней назад +3

    Hongera Sana jeshi la Polisi Kwa KAZI nzuri.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 7 дней назад +1

    Asante jeshi la police kwa kazi mnayofanya Hawa watekaji wasakwe nchi nzima

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 8 дней назад +10

    Mh,na Dr.samia suluhu anafanya kazii nzurii Sanaa,,tuwaombee tu taasisi nyingine zote za selikari msimuangishe ktk.

    • @JamesMsuya-xp5gm
      @JamesMsuya-xp5gm 7 дней назад +2

      Wew kweli akili zimekubana aliyekamata wahalifu ni Mh.Rais ama Jeshi la Police wapongezwe kwa kutimiza wajibu acha uchawaa

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 8 дней назад

    Sirro niliwahi kumweleza kuwa anachapa kazi akiwa Mwanza akawa IG naomba kamanda nitamke kuwa umevaa viatu❤❤❤❤❤

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 8 дней назад +21

    hili tukio lilifunikwa na janga la kariakoo kumbe polisi wapo kazin wanaendelea na uchunguz kazi nzur kiukwel jeshi letu la polisi👏

    • @renatusblandes1131
      @renatusblandes1131 8 дней назад

      Jamaa walijiasahu na hawakujuwa polis hawalali big up Polis wetu

    • @tanzaniacarschannel6975
      @tanzaniacarschannel6975 8 дней назад +1

      Safi

    • @noahemanuel7015
      @noahemanuel7015 8 дней назад +2

      Viin macho hakuna hata mmoja hapo na hiyo ni issue ya kutengeneza attention to public.

    • @Miriam-m2b
      @Miriam-m2b 8 дней назад +1

      ​@@noahemanuel7015wanatufanya mazezeta hawa na waliomuwa mzee kibao na kina soka

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 8 дней назад

      ​@@noahemanuel7015 makubwa.
      Sijui unataka nini kiumbe wewe loh!

  • @Mountmeruhotel-w3i
    @Mountmeruhotel-w3i 7 дней назад

    Hongera sana kamanda Muliro,mkifanya vizuri mtaambiwa ila mkijifanya kutumikia ccm mtaambiwa,Tunaomba na haki ya kina Soka,Kibao na wenzake ipatikane maana hao tunajua ni siasa

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 8 дней назад +11

    😂😂😂oya shituken huu ni mchezo watu wanaenda kula bata huko

    • @ramamabrok2523
      @ramamabrok2523 8 дней назад

      😅😅😅

    • @PUTINN365
      @PUTINN365 8 дней назад +1

      Wewe ntakupeleka urusi

    • @DoreenJerry-o7f
      @DoreenJerry-o7f 8 дней назад

      Wacha wakale chamsingi tumeona wamekamatwa😂😂😂

    • @ibrahim_427
      @ibrahim_427 8 дней назад +1

      @@PUTINN365 putin WA tz😀

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 дней назад +2

      Mbona hamna jema?! Wasingewakamata pia mngesema!!

  • @TUMSIFU-em5te
    @TUMSIFU-em5te 8 дней назад +1

    Hongela sana jeshi, mnazidi kutupa Imani Watanzania

  • @IbrahimShabani-uc8ce
    @IbrahimShabani-uc8ce 8 дней назад +18

    Hongera mashuja wetu Polisi Kwa kazi nzuri

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 6 дней назад

    Hongera Afande Muliro uko makini sana Mungu atakulipa kwa kazi ya kuitumikia Tanzania.

  • @MustapherSamson-s6l
    @MustapherSamson-s6l 8 дней назад +9

    KAZI NZURI SANA KUTOKA KWENU JESHI LA POLISI, BIG UP SANA MH KAMANDA MLIRO.

  • @abdulisike
    @abdulisike 6 дней назад

    Hongera sana askar wetu Kwa KAZI nzuri kiukwel mnafanya Kaz ngum sana mung awape nguvu sana Kwa Kaz mzur

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 8 дней назад +4

    Wameingia chakike wawawaaaaaaa wafumgwe maisha wao

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 3 дня назад

    Ahsante jeshi la police 🚓 kwa kazi nzuri .

  • @JumaLulanje
    @JumaLulanje 8 дней назад +11

    Hongera sana jeshiletu lapolisi kazi mzuri imefanyika

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 2 дня назад

    Hongera kwa majerani recording the action..... pogezi za police kwaku pokea malalamiko.😊

  • @happyshayo372
    @happyshayo372 8 дней назад +22

    Dah hadi mwanamke ndani. Mungu tusaidie tufanye kazi halali.

    • @SheilaOmar2007
      @SheilaOmar2007 8 дней назад +2

      Wanawake wwengi hawapendi kujituma wanataka pesa kiulain ndugu

    • @abou.salimu1795
      @abou.salimu1795 7 дней назад

      stimes wanawake ni chambo

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 8 дней назад +1

    Hatari sana😂pamoja nakujigawa lakin mmewakamta 👏👏hongera Sana kamanda na vijana wako ,harafu hawo wote kama mbona kama wakina mwaisa

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 8 дней назад +12

    Hongereni sana kwa kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @obsonjulius312
    @obsonjulius312 7 дней назад

    Afu watu wa kyela wana nini, mbona 😅😅😅 haya ndo wananchi walikuwa wanasubiri, big up kwa kazi wakuu

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 8 дней назад +7

    Yaani ukifanya hivyo unapewa ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sadiqadam7971
    @sadiqadam7971 7 дней назад

    That's what am talking about.. Haya sasa ndio maneno kamanda, well done 👏🏾

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 8 дней назад +8

    Mh mlilo hongera sana.
    Ninaamini msako huohuo na nguvu hiyohiyo itumike kuwafikia waliohusika kwa ally kibao na wengine waliotekwa.
    Naamini inawezekana kwa nguvu hiyo hiyo

  • @meshackpatrick6981
    @meshackpatrick6981 7 дней назад +1

    Chapa viboko !
    Alafu sukuma ndani
    Good job !

  • @MwanahamisiHashim
    @MwanahamisiHashim 8 дней назад +3

    Hongera kwa makamanda police kaz nzuri

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 7 дней назад

    Hakika Mungu alijidhihirisha wazi kwa Tarimo! Kumbe mijitu mingine hapa ni mabondia,ila hawakumuweza Tariimoi!! Acheni Mungu aitwe Mungu.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 8 дней назад +5

    Kumbe inawezekana na watu wakalipenda jeshi la polisi big up

  • @alfredmauma7258
    @alfredmauma7258 7 дней назад

    Hongera sana mama samia IGP wambura na jeshi mmefanya kazi nzuri tuna imani na utawala wetu 👍🤝🏼

  • @yahayalugongo4825
    @yahayalugongo4825 8 дней назад +12

    Big up polisi Tz

  • @JenethFrank
    @JenethFrank 6 дней назад

    Very nice. Haya matukio yamekuwa mengi mno. Hawa wanatakiwa wawe mfano. Natamani wanyongwe Ili wanaoendeleza haya masuala yatokomee. Na hiyo hukumu iwe wazi Kwa raia kusudi tuendelee kuwa na Imani na vyombo vya dollar.🙏

  • @charleshotay8229
    @charleshotay8229 7 дней назад +3

    Very good work. Mkifanya Hivyo utekaji utapungua

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 7 дней назад

    Hawa ndio waaribu sifa ya jeshi letu, Hongera jeshi letu, Mungu aendelee kuwapa uongozi mzuri na kuiongoza nchi kwa amani🎉

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 8 дней назад +4

    Kamanda Murilo hapo umechapa kazi.

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 7 дней назад

    Kazi nzuri, wote wanaotumia jina la Jeshi na kulichafua watiwe hatiani, naamini uchunguzi unaendelea kwa matukio yote

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 8 дней назад +9

    Huyu mlilo huwa ni kiboko akiivalia njuga mission lazima iishe🤣🤣🤣
    Safii sana mwamba

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 8 дней назад +2

      Upo hadi uku😂😂😂😂😂...nikajua kuhusu yanga tu...😂😂😂jokes

    • @pacomezouzoua9175
      @pacomezouzoua9175 8 дней назад +1

      @frida-oi6kw nimekuja uku kwasababu bro tarimo ni jirani yangu😆😆😆

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 8 дней назад

      @@pacomezouzoua9175 😂😂😂😂😂😂😂

  • @abrahamsingano5372
    @abrahamsingano5372 7 дней назад

    Safi sana. Hongera sana kwa jeshi letu la Polisi. Watu wanalichafua lakini kwa weledi wenu wafichueni kwa kazi nzuri kama hizi

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 8 дней назад +11

    Hongera Sanaa jeshi letu polc

    • @JohariNgailo-ry3mn
      @JohariNgailo-ry3mn 8 дней назад

      Hongera polisi tunaimani na jeshi letu! Mungu asante

  • @dismasjerome1658
    @dismasjerome1658 7 дней назад +1

    Asante jeshi la police kazi nzuri

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 8 дней назад +5

    Hyo wa kaptula si ule alikuwa kashika pingu leo.ndio zimefunga yeye 😂

  • @FaudhiaJuma-r3f
    @FaudhiaJuma-r3f 7 дней назад

    Tz tunajeshiii la polis lauhakikaa hongern sanaaaa kwa kazi nzur mloifanya hakikaa kamada wetu upo vizuriii

  • @MeckyBoy
    @MeckyBoy 8 дней назад +5

    Sio kwamba wasiojulikana hawez kujulikana ni swala la kuamua tuuu ila big up kwa jeshi la police 👮👮

  • @calvintarimo3632
    @calvintarimo3632 7 дней назад

    Kwelii ap mnahitajik pongezi jesh la police.....hongera sana kamanda...#MAMA SAMIA MITANO TENA.......KAZI IENDELEE

  • @MathaMsumi-l1b
    @MathaMsumi-l1b 8 дней назад +16

    Danganya toto hii 😂😂😂

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 8 дней назад

      Kama wewe utawafahamu kawakamate tion kama kweli nidanganya toto

    • @MathaMsumi-l1b
      @MathaMsumi-l1b 8 дней назад

      @@obaidothmanalbulushi9196 kwenda

    • @2pacFreeStyle96
      @2pacFreeStyle96 8 дней назад +1

      Janja janja hizi mi hata siamin na kukamatwa ni asilimia ndogo sana ya kutekeleza haki je watahukumiwaw, binti wa yombo dovya had sasahiv kimya na watu wameshasahau ndo imetoka hiyo

    • @colletatesha5265
      @colletatesha5265 8 дней назад

      Binadamu hawana jema

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula 8 дней назад

      ​@@2pacFreeStyle96Ile wa Yombo ilishatoka tayari au hukufuatilia? Yapo mapungufu sipingi lakini mazuri machache wanayofanya tuwape maua yao

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 8 дней назад +1

    Patamu hapo acha wakamatwe na waulizwe kisa nini na Aliye watuma .baadaye wakanyongwe kusudi iwe fundisho kwa Inchi yetu ya Tanzania Asanteni wapendwa wangu ❤❤❤

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 7 дней назад

    Respect jeshiiii najua mnapokea tuhuma nyingi ,,,japo nyingi sizenu,,,watu wanajivika upolis kwenye uharifu wakitumia identity ya jeshi Letu kumbe wahuni tuuu,,,hata kwenye siasa wengi wao niwao wenyew

  • @roggoyacny
    @roggoyacny 7 дней назад

    Hongereni sana Lakini kuna wafuasi wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NAMAENDELEO,,CHADEMA 😢,hao mpaka Leo hakujawahi tolewa taarifa yeyote 🤲,,EE MWENYEZI MUNGU TUNAOMBA UWAHIFADHI🤲

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c 8 дней назад

    Sijawai kukaa kuaanza kulaumu jeshilangu la Tanzania 🇹🇿 kiukweli munaonyeshajuhudi kwenye kazi zenu mungu awasimamie kwenye kazi zenu naipenda Tanzania 🇹🇿 ❤yangu najivunia kuwa mtanzania mama samia haujawai kutuangusha tangu uingie madalakani ❤❤❤❤❤

  • @Mariejo123-g2x
    @Mariejo123-g2x 6 дней назад

    Hongera kwa jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri 👍🏽

  • @johnmacha2194
    @johnmacha2194 7 дней назад

    asante sana Kamanda, if i was the president ningekuteua I.G.P. Very Professional.

  • @erastoammigurty8643
    @erastoammigurty8643 8 дней назад

    Nilikuwa nimekosa kabisa imani na jeshi letu la Polisi lakini wakiendelea kufanya hivi watanzania wote watarudisha İmanı tena na Jeshi letu! Hongereni sana Jeshi la polisi ! Good job 👍🏽

  • @FarajaThomas-o4i
    @FarajaThomas-o4i 7 дней назад

    Asante sana jeshi la polisi kuwakamata wanashusha hazi ya nch

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 7 дней назад +1

    Kazin nzur sana Kwa polis wet mungu awajalie kwa kuwakamata hao vibaka

  • @DaudiJonas
    @DaudiJonas 8 дней назад

    Duuuh Tanzania shikamooo nchi yangu, unaweza ukahisi kama jeshi la polisi limesahau kumbe wanapekua hongera sana 👏👏👏

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 8 дней назад +1

    Iyo safi sana mwanzo mzuri sana hongera jeshi la police na walio toa ushirikiano hongereni sana🎉

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 8 дней назад

    Kwanza napenda kuwapa Hongera Jesho la Police Pia Asanteni kwa Uwajibikaji mzuri wawakazi yenu, MUNGU awabariki saana MUNGU Awasmamie katika Utekelezaji wa Majukum yenu🙏🙏

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 7 дней назад

    Safiii Sana Jeshi letu Mungu azidi kutunza Jeshi yetu, Tanzania iwe na Amani, Kazi iendelee. ❤