Kama unakubali mwamba weka alam tim baba karob mpo wapi ya upendo kwa kazi yake Zuri naomb watu wote mjifunze kusapotiana ukiona kaanguka mfanya asimame pamoja tena pamoja 🎉🎉🎉🎉
Good job baba joaniii ❤❤❤❤ katii ya move zako zotee hii ni balaaa Munguu akitiee nguvuuu uzidiii kufanyaa kazi nzurii nasisi tupate hamasa ya kuziangalia ❤❤❤❤❤❤
Napenda sana kazi yenu nafuatilia kutoka Kenya na hata familia yangu kwa saba ni kipindi cha heshima tangu baba yangu kipofu episode ya kwanza hadi mwisho
Kama unakubali mwamba weka alam tim baba karob mpo wapi ya upendo kwa kazi yake Zuri naomb watu wote mjifunze kusapotiana ukiona kaanguka mfanya asimame pamoja tena pamoja 🎉🎉🎉🎉
Naobakukutanana hehi amakusimu
❤🎉
Iyokwer nasis mukumbuk kutufinyia
🎉🎉🎉🎉🎉🎉tuko
Kazi nzuli naomba like❤❤❤❤❤❤😂😂😂
kazi nzuri
Tuendelee kuwaombea watanzania wenzetu waliokumbwa na janga la golofa walio Bak watoke wakiwa hai gonga like tusonge mbele 😢😢😢
@@JoseVile-i9c pokeeni pole za wakenya
@emmaemmaculate Asante sana
Aise mbona warundi tuko wengi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🎉 tujuane.
Ila Asante baba Joan nakundi lako filamu nzuri sana.
Baba kasongo una maarifa makubwa sana. Utafika mbalii. Sana mungu akusaidie umwana wawe ni karobo na kasongo tatu siyo umwana wawe ❤
Good job baba joaniii ❤❤❤❤ katii ya move zako zotee hii ni balaaa Munguu akitiee nguvuuu uzidiii kufanyaa kazi nzurii nasisi tupate hamasa ya kuziangalia ❤❤❤❤❤❤
Content creator....Baba Joan wakuja kwa Kasi mno....Kazi nzuri 👏👏
Gonga like kama unamukubali karobo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 from Congo 🇨🇩🇨🇩☑️
Bonge moja la movie baba karobo hongereni❤❤❤❤ sana washiriki wote karobo na kasongo🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda sna🥰
Wew wakwetu kweri😂
ep 6 sasa wap jameniiiii!! Utamu unakatika ati.... HONGERENI SAAAAAANA JAMEN TIM YA BABA KANUSU ET KANUSU,,! BABAA KAROBO DAAAAH I LOVE YOU SO MACH.
Wakwanza from Kenya guys nipeni like zangu,,,,team baba Joan gonga like usipite hii text na ukipita ww sio shabiki wa kwel
kenya upande gan madam
💕💕💕💕 Naima kwa kuwa kichwa.
@@bejakamanza123 🤣🤣🤣🤣unamaanisha nn
@@AliShee-oo3xq kwale county
@NaimaAli-q5r i mean wa kwanza dear.
How is it come😂😂😂😂
Pia mimi nimeshindwa kabisa hapo baba Joan
Hongera sana Baba Joan Tamthilia zako zipo katika kiwango cha juu sana❤❤💞🙏M'mungu akubariki🤲🤲
Mbona mnakua ivo jamani mbona mimi hamnipi likes hata moja tu jamani
Ucjl mambo vp
Iy0 ap0
Nawapenda sana kukoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮baba joana kazi nziri leo nimelamukia kweri kabisa
nawafwatilia sana nakukubali sana baba joan
Tupo 2 kutoka Burundi
Umejua ntamwana nikinono baba joana 🤣🤣🤣
Wa kwanza mm kwayeyote ambae ni shabiki wa baba joan gonga like hapa na utabarikiwa
Yeyote anaye fuatilia movie hii mwanzo ady mwisho mungu abadilishe maisha yako❤❤❤❤
Asantee nawe pia Allah akuzidishie kila la kheri kwenye maisha yako
@shaniabdallah9993 amen
Kazi nzuri,tuelimika na kuburudika tukiwaombea wenzetu kariakoo 🙏
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,nipeni likes zanguu😅😅😅😅
Kazi nzuri xna guys much love 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤baba Joan mm ni shabiki sana ñapenda video zako sanabarikiwa🎉🎉
Aky movies zako baba karobo zafunza xna hongera kwa kipaji kakngu
Mi pia from🇧🇮🇧🇮🇧🇮 abiwacu tumenyane dukundane tuonyeshane upendo #BabaJoan kwakiluga cetu tunasema Turagukunda💞💞💞
Love from #Aisuper💓
Hongera sana ba karobo kwa Kaz nzur ubarikiwe san wew pamoja na family yako
Baba karobo anaongeya luga yakirundi eti ntamwana nikinono safi baba karobo❤❤❤
Kasongo na karobo.waooo ahaa jenifa na peryc
Napenda karobo anavyoangalia kwa umakini
Wa kwanza kutoka Kenya but currently in saudia Arabia yaani team strong.baba Joan napenda vipindi zako sana
Team strong hoyeeee 🇰🇪🇸🇦
Mungu akupe maisha mazurii sana b karobo❤❤
Hiii nayo nmeipenda sana,,
Fasheni ungeongea n kasongo umpeleke hoteli kisha ungefanikiwa mafunzo mazuri Sana BB Joan keepup may God strengthen u and Ur fellow 🙏
Nahona group letu la baba yangu kipofu tupo sote humu
Ntamwana nikinono baba kalobo congletulation
Filamu zenyu hazikosi vituko. Mwapenda sana sciences fiction.
Kazi mzuri baba John inanigusa sana moyo wangu hii história 🔥🇲🇿 Moçambique
Napenda sana kazi yenu nafuatilia kutoka Kenya na hata familia yangu kwa saba ni kipindi cha heshima tangu baba yangu kipofu episode ya kwanza hadi mwisho
Baba karobo ww ni mufano sana wa kusingua na nawabenda sana 🎉
Hi there kutoka Kenya manze nafurahi sana na move zako Baba Joan lakini woiye karobo mwanangu anatezeka
Wakwanza Leo toka Moçambique ❤❤❤❤❤
Baba Joan, kazi nzuri mzee,sana sana
Tz for life muvi nzur yakufundisha
Jamn mbn hii move ni nzr zaidi kushida babangu kipofu
Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
tunaoitazama tukiwa saudi mnipe likes team strong🎉🎉🎉🎉
KAROBO NA OMARI MAUA YENU🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nyie watu mnajua pk mnajua tena,nukti huyo❤
Karobo ujue we n wa kishure sanaaa😂😂😂kiukweli unavutia ,watoto wanataka kuchumbianaa
Watatu kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tupen likezet jameni tunawapendasan team babakarobo
Sasa baba tatu unajuwa kirundi eti ntamwana ni kinono
@mdmb6873 mimi nilimuulizag yey nikabila gan mana anazungumza san kirundi
@@NadiauweraUwerani muha maybe
@@fainesiriho6013 ok
@@fainesiriho6013 san ntamwana nikinono
Daah! naona itabeba bendela zaidi ya kipofu. Kazi nzuri sana
Huyu Omar anakuja vizuri sana 🎉🎉🎉nimependa uingizaji wake kwa kweli 😂
Karobo Na baba yake Na kasongo awawanajuwaKigiza❤❤🎉
Vivi zawo Zainabu 😂🎉🎉❤
Ila huyo wa mapengo anapenda wamama aiseee ona umeshikiliwa na watoto wa mwanaume mwingine na mnipee kasubscribe jamani mimi sitaki like😂😂😂🙈
Nakukubali sana baba karobo unatupa mafunzo na kinacho tokea kwa ulimwengu huu,,napenda xna movie zako
Kazi nzuri baba karobo ila unachelewecha sana hi move
💪💪 team strong big up 💗💗💗💗I love you guys so much
Team fullus tupoo 😂😂🇰🇪🇸🇦
Baba joani kazi mzuri sana mungu akubarik katika kazi zako
Mkenya nipo hapa pekee amna mwingine wakenya tupo fasita like jamani nawapenda sana kutokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupo apa ❤❤❤
Tupo🇰🇪
🖐🇰🇪🇰🇪
@swabrinamwaka2437 tumu moja wakenya
@benardmukani902 hey you there❤️❤️
Baba Joan mimi nishabikiyako mupya naipenda ii movie watoto Wang pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇮🇶
Kigali 🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee
Sasa kila mtu n wa kwanza 😂😂😂hongera saana baba kalobo ❤
Wakwanza leo naombeni mauwa yangu🎉🎉
Kama thamthilia ninayofatilia kwa makini ni ya baba Joan, uko vizuri sana kaka❤❤❤❤
Mimi ni wa kwanza kutoa maoni hapa Congo Kinshasa nahitaji like tano ❤❤❤
Baba Johan karobo usim.badilishe jina la kuekti karobo lina nyota nae
Pamoja sana
Wapili Leo kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪naomba like
Baba Karobo movie zako no mzuri Sana
Hii move ninzuri sana kwanza nineipenda sana 🎉nk hapa kutoka kenya 🇰🇪 ❤
Like kwakarobo,casongo na baba yao wanayopitia yote jamn
Baba kasolo hongera sn Kwa mafudzo mazuri mungu awapingalie awape Maisha marefu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema Unachelewa Sana
Kazi nzuri baba Joan🎉❤
Kuna mwamba hapa anajua anajua tena😂😂😂😂huyu mwenye mwanya flani ivi,heeeeeee nimecheka kma chizi Wallah😂😂😂😂😂😂Baba Joan hongera🎉🎉
Umafanya kazi zuri sana 🎉
Hongera kwa kazi nnzuri
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Ila baba karobo❤ kiboko🎉🎉🎉kama unamwamini kwa kazi yake nzuri gonga like 😊
Kazi nzuri baba joan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakwanza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪 naomba likes zenu.
Za nini???
Jamon wenzet wa daa polen san na mtian ulowafik kwajengo la kariakoo walofarik wot aallah awap kaul thabity na majeruh wot aallah awaponye
Mbn unachelewa kutoa nmeipenda ajb😊❤
Amazing na mwenda pole hajikwai
Kazi nzuri sana baba kalobo 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri saana
Baba Joan kazi nzuri nimependa
Nimeipenda sana jaman ❤️
Mkenya nipo hapa baba Joan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera Nkt Kwa kuakiti roho zuri
❤❤❤❤bba karobo wwe duuu unatukonga moyo tunawapenda mmeenda kwenye maafa lakini jamani kka etu tunakupendaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Kazi nzur sana hila mnachelewesha
Baba karobo kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Move nzuri snaa baba karobo mauwa yko🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 kazi nzuri ,
Kazi nzr sana tunataka mwendelezo mapema
Ntamwan nikinono aaysee hapo watu waburundi tunakusikiaaa fast❤❤❤🇧🇮🇧🇯🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Moto🎉🎉🎉 wao😮😮 i like❤❤
Aya wa Kwanza kutoka oman😂😂
Na wapili gutoka buja burundi❤🎉papa karobo
Nta mwana nikinono nakubali baba tatu pia napenda filamu zako
Kazi nzuri baba karobo ❤❤
Kwanza kutoka kenya nipeni likes jamani ❤❤❤
Za nn?????
Bro nakubali movie zako uko juu sana unafikiria sana