PLAN B _ Episode 26

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @NaimaAli-q5r
    @NaimaAli-q5r 3 дня назад +274

    Acha tuone mashabk wa kweli wa kp na zebuu Leo hawatapita hii comment gonga like tuonyeshe UPENDO

  • @Zebuu_Tz
    @Zebuu_Tz 3 дня назад +181

    Nomaaa sana,maua kwetu🎉🎉❤😊

    • @DadTyphan
      @DadTyphan 3 дня назад +3

      😅😅😅ℍ𝕦𝕪𝕦 𝕜𝕒𝕕𝕚 𝕟𝕕𝕪𝕠 𝕒𝕟𝕚𝕡𝕒𝕞𝕓𝕒 𝕒𝕜𝕚𝕒𝕞𝕓𝕚𝕨𝕒 𝕙𝕧𝕚 𝕒𝕗𝕨𝕒𝕥𝕒

    • @Petermwass_Comedy_Tv
      @Petermwass_Comedy_Tv 3 дня назад

      Nicee🎉❤

    • @jidisonmisonia
      @jidisonmisonia 3 дня назад

      Mimi nimucongomani🇨🇩 Nilitota nikuwa nikicheza kwenye kikudi hiki kya KpnaZebuu

    • @Roseline-e7n
      @Roseline-e7n 3 дня назад +4

      Zebuu huyo babako kweli maana sio kwa kufanana uko😂😂❤

    • @ZeituniKuhowa
      @ZeituniKuhowa 3 дня назад +2

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YoashiPetro
    @YoashiPetro 3 дня назад +90

    Daaaaa!!! Yani tangu nimefatilia plan B cjawahi pata hata like 10 naombeni like hata 10 jamani

  • @AmusedCrescentMoon-bm8qo
    @AmusedCrescentMoon-bm8qo 3 дня назад +122

    Unae soma hii comment naomba mungu akupe afya na maisha marefu na familia yako ❤❤😊😊

  • @WinfridaMasanja-e7m
    @WinfridaMasanja-e7m 3 дня назад +85

    Daaa jaman kpande ik kmenfunza saan lakin anaesom hi comment naomben like

  • @happyDarmaIgiraneza
    @happyDarmaIgiraneza 3 дня назад +197

    Alie gundua baba zebu ndio alibaka mama kepi anipe like hapa jaman ❤️❤️❤️

  • @LilmmyCrazyfficial
    @LilmmyCrazyfficial 3 дня назад +306

    Mmh, Jamani Kipande cha Leo Nicha Moto sana guys Kwawale Wote Tulio Subiri hiki Kipande kwa Hamu sana Hebu Tujuane hapa Jamani TEAM PLAN B ❤🎉🎉

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 2 дня назад +8

    Kupitia kidani kilichopo shingoni hakuna kifo apo bali ni kusameheana tu sasa swali linakuja mtt w zebuu atamwita KP baba au mjombaaaa,,,,,

  • @SamiraNjira
    @SamiraNjira 3 дня назад +37

    Kp we umekua yan we ndo Baba Lao KP🫲 Hongera N Allah akuzidishie kpaji chko kiwe kenye manufaa kwaco🫶

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 3 дня назад +114

    Wangapi tunamtaka SHEY SHEY arudishwe?

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 3 дня назад +5

      Wanini sasa huyo kashaa jitegemea muache akaanze maisha yake nae ni mtu mzima anamahitaji yake

    • @Gloriarespiki
      @Gloriarespiki 3 дня назад

      Afanyi kaz nakp ten

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 3 дня назад +1

      @MonicaMkombwe usizanie kufungua channel yako binafsi nakupost video zako unaweza kupata pesa. Kama wewe ni fans endelea kushabikia lakini usiongelee mambo ya kujitegemea. Ingekuwa ni rahisi kama unavyosema wazungu kila mtu angekuwa na channel yake.....

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 3 дня назад

      @Gloriarespiki kwanini?

    • @LizzyBeb-m6s
      @LizzyBeb-m6s 3 дня назад +3

      N nn mnaforce arudi kama ameenda mi nko tu poa

  • @LeylaMgaya-og5mm
    @LeylaMgaya-og5mm 3 дня назад +38

    Plan B iko na mafumzo mazuri sana hongerani sana team.

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 3 дня назад +30

    Ya leo Kali sana maua yako kp na team yako yote❤❤❤❤❤

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 3 дня назад +130

    Woyooo💃💃💃 nimewahi😅😅😅 unayesoma ujumbe huu nakuombea MUNGU akuvushe mwaka salama

  • @DavisMmole-i6p
    @DavisMmole-i6p 3 дня назад +19

    ❤❤🎉plan b ni yamoto sana aisee! Kumbe kp anapgania haki yake

  • @ShamilaAbdul-n8b
    @ShamilaAbdul-n8b 3 дня назад +11

    Mambo bado ni moto sana, ila maneno ya mzee yana mafunzo sana, kwa mana utakacho fanya ndicho atakacho fanyiwa, yaani mtu ni lazima alipe iwe ubaya au wema, hata kama mtu awe amekufa yaani ni lazima ulipe, kama si kwa watoto wako basi kwa wajukuu zako. Wema hauozi na dhambi hazisahauliki. Kamata dini tudani. Tujifunze ❤❤❤❤

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 2 дня назад +5

    Hi move leo ndio sasa imetoa uhalisia wa maisha tunayoyaishi Dah inauma sana ila hongera sn KP mtunzi mzuri sn🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 3 дня назад +12

    Kwa maana iyo zebuu kajazwa na kakake mimba,,aitwe mjomba ama baba KP disparesito😂😂😂mpewe maua yenu🎉

    • @salomejames9639
      @salomejames9639 2 дня назад +1

      😂😂unawez kukuta zebu cy mtoto halali wa uyo baba chezea wabongo wew wanawez badili hat gia angani

  • @MarygorettiWafula
    @MarygorettiWafula 3 дня назад +34

    Nesi ako poa sana maua yake🎉🎉🎉

  • @SailisGeorge
    @SailisGeorge 2 дня назад +12

    Kuna wengine walikua wanaifuatiria plan B lakn kwasasa hatunao Tena kwasababu ya janga la kuporomoka Kwa gorofa Mungu atupe mwisho mwema😢😢

    • @stevenkea192
      @stevenkea192 2 дня назад

      Ameen

    • @JoyceJackson-sk7lu
      @JoyceJackson-sk7lu 2 дня назад

      Ameen​@@stevenkea192

    • @OswardMgala
      @OswardMgala 2 дня назад

      Rest in paradise WATANZANIA 🇹🇿 wenzetu mlokutwa na janga hill mwenyenzii mungu asamehe madhambi yenu yote Amiin

  • @j.claudeniyonkuru3989
    @j.claudeniyonkuru3989 3 дня назад +27

    Kp michezo Kuna mafunzo mengi muno kwa hiyo nawapatia hongela kwa kazi muko munafanya n'a tena Bujumbura Burundi Yuko pamoja n sie nawomba hata like tanu

  • @WaridiSaidi
    @WaridiSaidi 3 дня назад +52

    Wanaoamin plan b haina mud mref itaisha gonga like hap 🥰

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 дня назад +30

    Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 likes hapa jameni

  • @KastarJunior-gs7he
    @KastarJunior-gs7he 3 дня назад +20

    Kazi nzuri sana kp watching from Kenya penda nyinyi sana ❤️

  • @MariaMaroa-c8m
    @MariaMaroa-c8m 3 дня назад +22

    Mzee likoma n ww usimgeuke KP ak ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Meshluck1784
    @Meshluck1784 3 дня назад +16

    Watching live from 254🇰🇪🇰🇪 much love ❤ for kp and his team

  • @NeemaAbdallah-q6z
    @NeemaAbdallah-q6z День назад +2

    Jaman maua yenu chukuweni🎉🎉🎉❤ lakn shey shey aludi jamn

  • @CharityAnubi
    @CharityAnubi 3 дня назад +6

    Kwa hivo baba zebuu alibaka mama kp na kp naye akabaka zebuu ambaye ni dadake na hicho kidani alicho nacho kp ndio cha baba zebuu alie gundua hayo yote like tukisonga waiting for the next episode tuone itakuwaje juu kp amejipeleka kwao mwenyewe bila kujua.

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 3 дня назад +12

    Manshallah manshallah kp na kikos chako hongereni sana wapedwa mungu awape kheri nimafunzo ❤❤❤

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 2 дня назад +3

    Weee kali sana walai sema kuipenda 🎉❤big up watu wangu najua next itakua moto zaidi ❤❤

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 3 дня назад +15

    Really appreciate you KP and zebuu much love from saudia Arabia ❤❤🎉🎉🎉

  • @dontatv19
    @dontatv19 3 дня назад +70

    Sanaaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

    • @MihmahGeorge
      @MihmahGeorge 3 дня назад +1

      ❤❤❤❤❤

    • @AmosMbiko
      @AmosMbiko 3 дня назад +1

      Bona hauko hapo bna Kelvin 😂

    • @WssWss-w3p
      @WssWss-w3p 3 дня назад +1

      Nakuona sana kelvin 😂😂😂

    • @KadzoZiro-z2c
      @KadzoZiro-z2c 3 дня назад +2

      ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉

    • @JibranMursali
      @JibranMursali 3 дня назад

      Mnachelewa bana saana jaman Kelvin

  • @AshreyMartine
    @AshreyMartine 2 дня назад +2

    Sometimes I do know maisha yakoje nmejikuta naliaa mnoo kipande cha Kp hii movie inafundisha Sana hongeren aisee mmetisha

  • @SHALIFUSHALIFU-id9ku
    @SHALIFUSHALIFU-id9ku 3 дня назад +17

    😂😂😂😂mauwa kwa opichi jmn nesi muokota makopo nakukubali kwakweli😂😂😂😂

  • @neemadickson9526
    @neemadickson9526 3 дня назад +17

    Anayeangalia hii episode 26 MUNGU azidi kukutunza na kukupa afya njema 🙏wote tuseme Amen

  • @MoulliynRivngiston
    @MoulliynRivngiston 3 дня назад +9

    Jaman sheishei yupo wap jaman walio miss sheishei agonge like apa

  • @SizahajiSiza-fw6ob
    @SizahajiSiza-fw6ob 3 дня назад +3

    Hongereni sana sana sana ×10000000 mupo vizuri na baba amefanana na mwanawe wa 1 yaani kp weweeeeeeee hapatoshi jamani wakijua ni kp ni kaka yao

  • @MANYANYA_OFFICIAL
    @MANYANYA_OFFICIAL 3 дня назад +58

    Nomaaa sanaa my brother 🎉🎉❤,big up❤❤🎉

  • @SaymonMathias
    @SaymonMathias 2 дня назад +2

    Dah jaman mbn mnanibagua san yaan tangu nmeeanz kufatilia plan b cjapata like ata moja jaman nkmbuken na mm pia

  • @juliahmwaka7184
    @juliahmwaka7184 3 дня назад +7

    ❤❤❤weeee babake zebu ndiye aliye mubaka mamake kp haya basi twende nalo

  • @salimusaid304
    @salimusaid304 3 дня назад +11

    FROM KIGOMA BITALE 🇹🇿✅✅✅ KAZI NZURI HONGERENI SANAA ILA ONGEZENI DK YANI LIFIKE SAA MOJA

  • @mwendemutua3063
    @mwendemutua3063 3 дня назад +5

    Wah vizuri Sana kazi nzuri Sana 🎉🎉🎉🎉I can't wait to see episode 27❤❤❤❤❤❤

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla 3 дня назад +3

    Movi inazidi kunoga ongera Kp unaweza mungu akupe umri wote mnaousika mungu awape umri nawapenda sana. Spy babayao ZEBUU NA NORA

  • @JeanMuganza-f5q
    @JeanMuganza-f5q 3 дня назад +9

    Mimi wa kwanza n'a mamutaka shey shey kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @LYDIAMAEMBA-r2q
    @LYDIAMAEMBA-r2q 3 дня назад +25

    Kazi nzuri kp n team yko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Francine99Francine
    @Francine99Francine 3 дня назад +12

    Hongereni sana kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @paschalnchinga5887
    @paschalnchinga5887 2 дня назад +2

    Iko safi sana nimeipenda hiyo much love from tz❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DainaSwilla-j2g
    @DainaSwilla-j2g 3 дня назад +5

    tuliommisi shey shey weka kopa kopa❤❤❤❤❤❤❤🍂

  • @Mummywamulumewe
    @Mummywamulumewe 3 дня назад +9

    Kwahio kp ni kka yke kina zebuu duuuh hii ssa ngondo🎉🎉❤❤❤❤

  • @erastozbm4758
    @erastozbm4758 3 дня назад +4

    Jamaní hongera sana Kwa kazi nzúri. Kp na Zebuu maua yenu kwakweli.

    • @erastozbm4758
      @erastozbm4758 3 дня назад +1

      Upcoming episode. Itakuwa ballaa.
      Halafu sheishei amepotelea api?
      Alikuwa anaongeza moto. Nimemmiss

  • @mercymshanga6706
    @mercymshanga6706 2 дня назад +2

    Napenda Opichi anavyojifanya haelewi afu pili ni mstarabu kuliko mwenzie huyo mwenzie sifa zimemzidi

  • @PadoanthonyMwabukusi
    @PadoanthonyMwabukusi 3 дня назад +6

    Duh si nikajua ni mewai sema nipeni ata 30 tu ndugu🌹

  • @IshimweKevin-no3vy
    @IshimweKevin-no3vy 3 дня назад +15

    Kutoka burundi tunawapenda san 🎉🎉🎉😂❤

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p 3 дня назад +11

    Good job guys am watching from saudi Arabia 🇸🇦 🎉🎉🎉🎉

  • @MuendoJoseph-r2s
    @MuendoJoseph-r2s День назад +2

    Noma sanaaaa mzee Likoma n kp bila kumsahau Nora

  • @Madline-tz8mf
    @Madline-tz8mf 2 дня назад +3

    Kazi nzuri sana 😊 kama unapendezwa nayo gonga hapa like tukisonga ❤️❤️❤️❤️

  • @kalistarkwamboka
    @kalistarkwamboka 3 дня назад +8

    Nipe like because walio nitendendea mabaya watalibwa na Mungu 😢nimiamini Dunia ni dwara

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 дня назад +5

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team aquino❤

  • @SuzaniMnanka
    @SuzaniMnanka 23 часа назад +1

    Napenda sana hii movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @piuspeter-b1x
    @piuspeter-b1x 3 дня назад +8

    Leo pameweza pa leo 🎉🎉❤❤ , nice teaching.

  • @Vaileth_Frank
    @Vaileth_Frank День назад +1

    Nomaa sana, love you guys 🎉❤

  • @Mutonindikumana
    @Mutonindikumana 3 дня назад +10

    Léo kipande hiki kimekua cha mafundisho kabisa km n'a wew umeweza kujifunza mungu akubaliki

  • @EmmanuelKenyanya-yx6ho
    @EmmanuelKenyanya-yx6ho 2 дня назад +1

    KAZI mzuri sana KP and your strong team 🎉🎉🎉

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 3 дня назад +9

    Kp na team yako nzima mungu awape afya na awafanyie wepes kwenye kazi zenu amiin ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cynthiaagutu697
    @cynthiaagutu697 3 дня назад +6

    Kazi nzuri sana ila tunaomba kama inawezekana iwai na isiishe sai juu nikama inaelekea mwishi more love❤ from kenya

  • @MarygorettiWafula
    @MarygorettiWafula 3 дня назад +9

    Kp nafuatilia mpaka mwisho hata mkipungua mimi ni wenu🎉🎉🎉

  • @BestonMwanginde
    @BestonMwanginde 2 дня назад +1

    Nawakubali sana❤❤❤ kp na zebuu 🎉🎉 Ila nashauri kuwa mpunguze kuchezesha Kamera Nawakubali sanaaa

  • @MarianNdunde
    @MarianNdunde 3 дня назад +5

    Dhaa Wabongo Sasa na kiswahili Chao, neno Saa limetumika sana Na Huyo Dada kama hadi nimekumba Shule GHC class Mambo Na time

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 3 дня назад +7

    😁😁😁🤣opishi tumemcukuwa amekuwa wakwetu kisaya atashindwa Sheila iko wapi

  • @MonicaMkombwe
    @MonicaMkombwe 3 дня назад +9

    Team OMAN 🇴🇲team storng mpo kweli au mpo bert mama maana kuna mambo ya kp huku

    • @ZulfaMpapai
      @ZulfaMpapai 3 дня назад +1

      Tupoo mahi diha 🤣🤣🤣

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 3 дня назад

      ​@@ZulfaMpapaitwende kazi maana wapo wanakula 🤣🤣

    • @zohramariga6678
      @zohramariga6678 3 дня назад

      Tuko Bert mama ila zazima tuwochi

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 3 дня назад

      @@zohramariga6678 🙄😥🙆

  • @SaumBeka
    @SaumBeka 2 дня назад +1

    Yani hii ya ssa ni kali n inamafunzo hongereni nyinyi nyote🥰🥰🥰

  • @JanepherBudodi
    @JanepherBudodi 3 дня назад +14

    Kama unaamn kaka yao kina zebu nora ni kp wapi like zetuu

  • @ZirogRose
    @ZirogRose 3 дня назад +6

    Wow kp ongera San kwa kazi nzuri san 🎉❤mungu akujaliye

  • @NeemaDiwi
    @NeemaDiwi 3 дня назад +3

    Wahoo nimefurahi san opichi kuwa upande wa kp❤❤❤❤

  • @kennyprince4268
    @kennyprince4268 2 дня назад +2

    Nani mwingine amengundua hii Mali kisai amenyakua ilikuwanga ya mzee likoma babake kp ni Mali ya KP......Kama unaamini kp pika ata like Moja tuh❤❤❤❤

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado 3 дня назад +14

    Nlikuwa naisubiriya kwa Hamu saaaaaana kweli 🙏🙏🙏🙏🙏✌️✌️✌️✌️✌️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @atupelangogo7728
    @atupelangogo7728 3 дня назад +17

    Walioona mcha umegeuka gafla na kuwa uck kwenye kipande cha kwanza gonga like hapa

    • @EstarElias-b2h
      @EstarElias-b2h 2 дня назад

      😂😂😂😂

    • @EstarElias-b2h
      @EstarElias-b2h 2 дня назад +1

      Cjaelew mm ujue

    • @MwanaharusiBakari-r9u
      @MwanaharusiBakari-r9u 2 дня назад

      ilikuwa jion mida ya saa kumi na moj mda nesi anaenda mpk kin joka wanafim ni saa 12 ckilza stor ya joka alivyokuw anapewa maelkeza na nesi

  • @MwitaliSlayer-v6z
    @MwitaliSlayer-v6z 3 дня назад +8

    kaz mzur sana broo kp nakubali sana na kazi zenu

  • @Teddy-k9o3v
    @Teddy-k9o3v 3 дня назад +1

    Nasubiria kuona kama baba ataona kidani chake na kugundua kama kp ndo mtoto wake
    Vinginevyo kazi ninzuri sanaaaaaaaaa
    Kanumba huyu tumempata tenaa

  • @MillyYulemmoja
    @MillyYulemmoja 3 дня назад +10

    Wale wa shey shey mnasinya,,,, zoea sauti na nesi,,, bora likoma ako sambamba na kp inatosha❤❤

  • @BrilliantAdega
    @BrilliantAdega 3 дня назад +14

    Watching from Uganda ❤❤❤ I love this congratulations my funs keep it up

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 3 дня назад +54

    ambao mnamwamini doctor kuwa atamsaidia kp gonga like zakutosha hapa chinii

  • @mwigambaally9582
    @mwigambaally9582 2 дня назад +1

    Kp Kaz nzur San namuomba mung akupe maisha maref 🙏🙏

  • @BahatiMalenga
    @BahatiMalenga 3 дня назад +7

    Uyuuuu baba ake na kp kabisa maana wamefanana❤ bawapenda

  • @BundalaShija-yb4vo
    @BundalaShija-yb4vo 3 дня назад +1

    Hii episode ya moto sana , hakika mungu awajalie afya njema team kp , na muendelee kutupa ujumbe mwanana kabsa 🎉

  • @KasuluArtsgroupfilms
    @KasuluArtsgroupfilms 3 дня назад +19

    Nimekuwa wakwanza naomba subscribers

  • @burundibujumbura-hn7fy
    @burundibujumbura-hn7fy День назад +1

    Congrats jamani mlicheza vizuri akili nyingi

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b 3 дня назад +3

    Iishe sasa mnahelata uhindi mwingi duuhh wabongo atuko ivyo bhana kheee😂😂😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 3 дня назад +4

    Jamani 😊 kumechangamka Norah zebu kp ni ndugu wa baba mmoja 😊

  • @WilliamKusekwa-o3k
    @WilliamKusekwa-o3k 3 дня назад +8

    Inakoerekea ni nzuri ila last kadi noooma saana

  • @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
    @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 3 дня назад +1

    Courage vraiment je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa

  • @KelvinStephano-x1q
    @KelvinStephano-x1q 3 дня назад +21

    Respect xana bro kp wa aquino kwa kaz nzr unayoendelea kuifanya 👏, pia nakuombea kwa mwenyez mungu akujalie afya njema na nguvu siku zote 💪✨🙏

  • @Samiry-v5z
    @Samiry-v5z День назад +1

    Mpe Pole mzee wako zebu

  • @kpwaaquino
    @kpwaaquino  3 дня назад +18

    Kunakoelekea Kuna asilimia 98% kuwa Zebuu na Norah ni Dada zangu🤔,..
    Swali : je mtoto wa zebuu akizaliwa itafaa aniite nani?
    A) MJOMBA.. ( Uncle)
    B) BABA__?
    😂🙌🏽

  • @Mercy-lu8xl
    @Mercy-lu8xl 11 часов назад +1

    Akili shupavu nesi🎉🎉🎉😊

  • @ROSEKABUE-s1b
    @ROSEKABUE-s1b 3 дня назад +3

    Kazi mzuri kp na zebuu mupewe maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉jamani nawapenda sana

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b 3 дня назад +2

    This is plan b 🥰🥰 leo ni fire dadeq

  • @ChristinaMtakula
    @ChristinaMtakula 2 дня назад +5

    Kp ww ni mtunzi mzuri sana upewe maua yako an huna baya keep it up cjawai kucoment leo imenibid nifany iv🎉🎉🎉🎉 wanaomkubali mtunzi like apa

  • @AgustinoPius-kj3su
    @AgustinoPius-kj3su 2 дня назад +1

    Duuuh!!! Kp hongera Sana mungu akupe ujasir

  • @JeziraMusa-i7v
    @JeziraMusa-i7v 3 дня назад +3

    Jaman mbon kam vile inakaribia kuisha 😢aiseeeh akika mnaweza mpewe ulinzi nawapenden san 🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮basi itakapo isha nawaomben san msikawie kutupa mambo mnajua tunawapenda san❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @willysamwel6091
    @willysamwel6091 3 дня назад +1

    Hongera Kp Kwa Hii Story ni bonge la movie yaani katika movie zako zote hii ndo baba lao