DUNIA (Ep 22)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @Jasminadamu
    @Jasminadamu 26 дней назад +227

    Mshukuru MUNGU kama umepata neema ya kuona siku ya leo🥰

  • @mwanamwinyi3372
    @mwanamwinyi3372 26 дней назад +161

    Kaka Manyanya nimependa ujumbe wako kwa Vai juu ya kutowadhalilisha wafanyakazi matusi ukali haipendezi kiukweliii
    Busara na hekma vitawale ktk nyumba ila hasira haitosaidia bali inawajenga wafanyakazi kuwa na chuki, kibri na kisasi kwa waajiriwa wao 😢😢😊
    Anaeunga mkono hilo aweke like ........

    • @IgnaseTalaboe
      @IgnaseTalaboe 26 дней назад +1

      Safi Sana manyanya wafanyakazi sisi manyanya ndo chakula chakila siku

    • @RAUHIYTV666
      @RAUHIYTV666 25 дней назад

      @@mwanamwinyi3372 asanteni sana

  • @paulpascal161
    @paulpascal161 26 дней назад +36

    Movie nzuri sana iii nimependa kale ka situation wakat manynya anatoka kwa mati hio hali ilisha wai nikuta utaomba ardhi ipasuke

  • @PatrickShazi-nl2nj
    @PatrickShazi-nl2nj 26 дней назад +24

    Maty me nakupendaa ivo ivo bwana yan unajua ku care mapenzi kama mpenzi wangu I love you so much maty❤❤❤

  • @MariaKapinga-f4q
    @MariaKapinga-f4q 26 дней назад +29

    Aisee hongera sana kaka manyanya kwa kaz nzuri umesha kuwa mwalimu wa taifa letu. Pia nimependa kwa kuiwahisha kazi yenu

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 26 дней назад +21

    Manyanya,,,,unajua mpk unajua tenaaaa yaani ww nakupenda bureee tsuu

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 26 дней назад +474

    Movie ni mzuri sana na inamafundisho mazur sana asasa asasa kwa wanawake kama unamkubali manyanya na mati weka apo alam Tim manyanya alafu sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 26 дней назад +14

    Hii series mzuri ela ikifika hii party ya huyu mlevi na mkewe ya Sinya sanaaaa

  • @JeziraMusa-i7v
    @JeziraMusa-i7v 26 дней назад +23

    Manshaallah napendag niyione usiku mwingi san nafsi yangu inatulia san acheni kuchelewa basi afu na wapenda san 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮

  • @HadijaPaul
    @HadijaPaul 26 дней назад +22

    Yani kila siku nakagua kama muendelezo umetoka movie nzuri mnoo mudy anaacha watu hoi huku penzi la manyanya na matrida linanipa rahaaaaa🎉

  • @Noéslave
    @Noéslave 26 дней назад +72

    Nikion mapenz ya matrida na manyanya najiskia nikam mim asante mati na manyanya 🌹🌹🌹

  • @reaganlufuna5548
    @reaganlufuna5548 26 дней назад +13

    Manyanya I truly love that...
    You have done well encouraging your wife,to be as good as the way human doe's.
    Watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲

  • @MichaelMosesmg
    @MichaelMosesmg 26 дней назад +136

    Kama mungu wa kwanza kwenye maisha yako ya ndoa na ndo kila kitu bas gonga like hapa

  • @demetriamulenge1786
    @demetriamulenge1786 26 дней назад +29

    Hv kwann michepuko wanakuwaga ni wamoto kias hiki kama marti❤❤

  • @kipzik8029
    @kipzik8029 26 дней назад +35

    Nipo CONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mjini BUTEMBO, I Say hii ni kali. Tutamaliza mwaka vizuli sanaaaaaaaa. Maty na Manyanya hein nyiynyi.
    Kama uko pamoja na mi, nipeni like zangu.

  • @WastaraShabani
    @WastaraShabani 26 дней назад +10

    Duu siyo pwa ndo maisha wanaoyapenda wanaume kwa sas ndomn awana mapenz ya kweli wanapenda kulelewaa😊

  • @emerynduwimana13598
    @emerynduwimana13598 26 дней назад +22

    Firamu nzima,nzuli,ya mafunfisho kbx ebu jamani mnae muona uongozi wa kifamili kutoka kwa manyanya tangu mwazo hadi kwa hii firamu ya dunia mnipatie like na alama ya moto mu comment tuwasapoti.baraka boy from burundi 🇧🇮

  • @Jiddahkhery
    @Jiddahkhery 26 дней назад +14

    Yaani nikiona hii muvi nachanganyikiwa kabisa
    Muko good aisee mpaka naona mda mchache❤❤❤

  • @ShangweKiulamagulu
    @ShangweKiulamagulu 26 дней назад +262

    Manyanya na mchepuko wake like nyingi kwao

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 26 дней назад +5

      Yaaani kaingia mazima 😂😂isijekua ndoto tu

    • @benardmukani902
      @benardmukani902 26 дней назад +5

      ila ananyonya sana atashtukishiwa na mkewe😂🇰🇪

    • @RAUHIYTV666
      @RAUHIYTV666 26 дней назад +5

      Asanteni

    • @Esther01-g1h
      @Esther01-g1h 26 дней назад +2

      ❤❤❤❤❤❤

    • @ShangweKiulamagulu
      @ShangweKiulamagulu 25 дней назад +2

      @@m.mmarckus6298 Na kweli maana hawachewi wabongo😂😂😂

  • @ElizabethLucas-c3i
    @ElizabethLucas-c3i 26 дней назад +47

    mati acha kufyonza bhan unanikera bt all in all nakupenda sana mati wang naomba mdumu na manyanya i love my broo manyanya

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 26 дней назад +1

      Uk sahii mwanamke kufyoza mwanaume s vizur

    • @DorisMushi-m9e
      @DorisMushi-m9e 26 дней назад

      Inaboa mnoo

    • @shakilahamadi4700
      @shakilahamadi4700 25 дней назад

      Me pia cpendi

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 3 дня назад

      Sio mwanamke kumfyoza mwanaume sio vzr Bali sio vzr kumfyoza MTU maana ni mbaya Sana haijalishi kwa mwanaume au mwanamke​@@AidatAmadi

  • @سلطانالدوسري-ل1ذ
    @سلطانالدوسري-ل1ذ 26 дней назад +25

    Me nimeimiss san himove igishuka to you tube nafulahia mana inafunzomingi kwakiufupi waingizajyi wote mujyue munapendwa muno lm from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤❤

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 26 дней назад +36

    Aaah Matrida Safi abilia chunga mzigo wako bwana ❤❤❤😂😂😂😂😂😂 ushachoka kuachwa

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my 26 дней назад +45

    Poleni madada wa kazi Mungu anawaona....Manyanya funzo zuri sana

  • @johntresorkarefu7044
    @johntresorkarefu7044 26 дней назад +46

    Please don't stop,hii filamu nzuri,mu endeleshe

  • @BoaziBonifasi
    @BoaziBonifasi 26 дней назад +35

    Movie ipo kitaalam sana hii. Sema hawa jamaa wanaweza tukalisha siku 2 kavu alafu siku wakiibuka wanaibuka na k2 konki kwel kwel. Yaan hutaman kiishe, ila Couple ya manyanya na Matty kiboko sana. Mitihan miwili ni hatima ya uwaz wa penz la manyanya na Matty kwa mkewe na kwa Cathe, hapo ndo kitendawili kilipo na ndo shauku ilipo ya kuendelea kupata hii movie bora sana ya mwaka bongo

  • @MariaEmmanuel-v8k
    @MariaEmmanuel-v8k 24 дня назад +8

    Hapo hata mm Nampa big up mana huyu mkewe mmh wa moto sana jaman Yan ana mambo ya hovyo

    • @MariaEmmanuel-v8k
      @MariaEmmanuel-v8k 24 дня назад

      Mati komalia zigo Hilo 😅 Yan hakuna kubandua ila uko pouwa sana mati nimekupenda bure

  • @AbdalahMkondela-s4k
    @AbdalahMkondela-s4k 26 дней назад +59

    Wakwanza leo nipeni like zangu from Tanzania 🇹🇿

  • @SalmaMarselino
    @SalmaMarselino 26 дней назад +10

    Huyu fai najikuta mpka namchukia 😢😢😢😢
    Mbona kumkemea mtoto wa watu hiv
    Jmn kwel wafnyakz wa ndn weng wao wapo wanapitia km hayaa😢😢😢😢

  • @ABDULQAADIRKHAMISS-vj6cy
    @ABDULQAADIRKHAMISS-vj6cy 26 дней назад +53

    Leo wakwanza mim naomben like zangu hapa waungwanaaaa

  • @Vaileth-d9n
    @Vaileth-d9n 26 дней назад +41

    Kunichukulia mwanaume wangu😢😢😢

  • @vicentjoseph6888
    @vicentjoseph6888 26 дней назад +135

    Wangapi wanafrahi manyanya kuwa na mati

    • @MohamedMaulid-r7g
      @MohamedMaulid-r7g 26 дней назад

      Mimi Yan Bora awe na mati

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z 26 дней назад +2

      ILA sijafurahishwa na mati alivyomwambia hakuna Kula wala nin nenda kase asikuone huu wivu mwingi na usiri mwingi pia nao huenda ukaharibu kwa sababu mwanaume hua hapendi kubanwabanwa

    • @GraceTegemea
      @GraceTegemea 26 дней назад

      Bola awe na mati

    • @mussanyanda3451
      @mussanyanda3451 26 дней назад

      Me mwenyewe aisee ningepitanaye mapema sana

    • @RAUHIYTV666
      @RAUHIYTV666 26 дней назад

      Asanteni

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 26 дней назад +79

    Wangapi wanafurahia penzi langu na Manyanya ♥️naomba mnifollow wapendwa 🙏 wangu

    • @MarthaMkasi
      @MarthaMkasi 24 дня назад +4

      Mwambie manyanya ukweli kuhusu cathe litakukuta jambo na penzi ndo limenoga😂

    • @mariummariumberius4041
      @mariummariumberius4041 23 дня назад +2

      An we marty umeweza mkimwshe vai ajue thaman yamme

    • @angelmauja1846
      @angelmauja1846 21 день назад +1

      Ila tu punguza hzo shenz na kufyonza hapo tuu utmakuwa ushamaliza kazi,alaf mwambie cathe kila kitu azoee mapema

    • @veronicamabala7514
      @veronicamabala7514 21 день назад +2

      Mm ni namba moja

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 21 день назад +1

      mim nawapenda kwel

  • @petroniachishako9863
    @petroniachishako9863 26 дней назад +32

    Napenda sana kazi nzuri kwenu wote❤

    • @cyrusmoturi9424
      @cyrusmoturi9424 26 дней назад +1

      😂😂mapenzi wewe, can't wait to see episode 23

  • @Kingkideboy
    @Kingkideboy 26 дней назад +10

    Jamani hii movie kweli nimeipenda Toka mwanzo na Bado mpaka mwisho nani aliye kama Mimi hebu weka hii 🎉🎉🎉 kama tupo pamoja nami 😢

  • @barakamlyuka5405
    @barakamlyuka5405 26 дней назад +26

    Tulio furahi manyanya na maty kwenye penzi zito tujuane hapa kwa like

  • @TobikoMahelela
    @TobikoMahelela 26 дней назад +73

    Hiv itakuaje hii movie ikiisha kiukwel mpak hap siwez ishi bila hii movie 😂😂😂

    • @seifamour878
      @seifamour878 26 дней назад +3

      😂😂😂😂 dah

    • @NeemaSakume
      @NeemaSakume 26 дней назад +2

      😂😂😂😂😂

    • @AdveraElias
      @AdveraElias 26 дней назад +2

      Pole sana dear 😂😂😂😂

    • @RAUHIYTV666
      @RAUHIYTV666 26 дней назад +2

      Asanteni

    • @mwljohnray1725
      @mwljohnray1725 26 дней назад +1

      Hapa Nimpaka Kila Kosa lioneshwe Matokeo yake
      Naona watu wengi wanafurahia Penzi la Matty na Manynya But ni makosa Mme wa mtu kuchepuka na pia Nikosa kutembea na Mme wa Mtu japo pia ni matokeo ya ndoa kutotunzwa
      Nayoote hayo lazima tuone Matokeo yake

  • @FestoMgallah-l9j
    @FestoMgallah-l9j 26 дней назад +17

    Kàzi nzuri asma family nafatiria toka Mozambique

  • @isayandale5956
    @isayandale5956 26 дней назад +13

    big up sana manyanya nakupongeza Kwa kutafuta sehemu ya kupumnzika Kwa maty

  • @MuyumbakasongoJeanClaude-w4o
    @MuyumbakasongoJeanClaude-w4o 26 дней назад +120

    Nipo Congo Drc kalemie nipe like yangu kama yanga tupo

  • @SaideMaquivelo
    @SaideMaquivelo 26 дней назад +16

    Huyu Manyanya jamani akisha fika kwao ni mawaidha matupu, from Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿.

  • @CharlesLemasha-h5z
    @CharlesLemasha-h5z 26 дней назад +21

    Mmetisha sana nawapenda

  • @SaraSimonNyamayagwa
    @SaraSimonNyamayagwa 26 дней назад +6

    Muddy muzungu leo usirud wallah😂😂😂
    Team Vai nimetulia nachek mbele patakuaje na confidence zangu za mamamjengo😂😂😂

  • @bosshapendi
    @bosshapendi 26 дней назад +30

    Team nyumba ndogo 😂😂😂😂❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪I love bongo movie

  • @reaganlufuna5548
    @reaganlufuna5548 26 дней назад +5

    Kazi nzuri sana manyanya.
    Watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲🇿🇲
    Watanzania tujenge tejengeke.
    Team Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 26 дней назад +6

    Val Wacha madarau ndo ndoa imekushida manyanya amepata wakumumbembeleza aki Mati hongera Maya ndoa unayo n unatamba nayo❤❤❤

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 26 дней назад +9

    huyu kibenten hahahahahahhahahaaa namuonea huruma😂😂😂😂 khaaa asipofanya malengo bqc tenaaa

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 26 дней назад +8

    Kazi zuri sana kaka manyanya mungu akuinuwe zaid

  • @PiliRamadhani-cl6nw
    @PiliRamadhani-cl6nw 25 дней назад +1

    Kweri kaka manyanya mwambie vai ,amezidi ukali,msichana anatakiwa aishi vzr,

  • @AbdulJuma817
    @AbdulJuma817 26 дней назад +15

    Mati Kwan si umueleze manyanya ukweli Ili akushauri Cha kufanya
    Unavoendelea kuficha utampa maswali mengi mwisho atahisi una mwanaume mwingine akuache wakati mlianza vizuri tu sipendi kuona ukiumizwa tena na mapenzi kwenye hii Dunia

  • @DoktaGidawida
    @DoktaGidawida 26 дней назад +7

    Yaan hi dunia ,donta family na baba Joan inaongoza kwa watazzamaji zaidi kwenye movie singine zote. Me mwemyew ninafurahi sana naenjy nikizitazama

  • @ZunanOman
    @ZunanOman 26 дней назад +6

    Jamani musitucheweshee sana tunaipendaa hiii❤❤❤❤

  • @pillymakambi9133
    @pillymakambi9133 26 дней назад +17

    Jaman manyanya mbn kama anaanza kunyanyasika jaman mwisho penzi livunjike🎉

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 26 дней назад +1

      Kivipi

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 26 дней назад

      Huoni Mati anavyoanza kuwa mukali nakumusonya sonya ndonini sasa​@@m.mmarckus6298

    • @pillymakambi9133
      @pillymakambi9133 24 дня назад

      @@m.mmarckus6298 mati anavomtreat manyanya coz ov best asijue mahusiano yao ile kumfukuz manyanya anawez jihisi wanawake zote akil sawa

  • @HenryKissi-b5s
    @HenryKissi-b5s 12 дней назад +2

    Season imeni bamba iko poa sana👍👍👍👍👍 from kenya

  • @salamamaulid8532
    @salamamaulid8532 26 дней назад +16

    Wakwanza jaman atimae imetoka mati ❤❤

  • @SteveKings-d6t
    @SteveKings-d6t 26 дней назад +5

    kazi nzuri sana maty pamoja nawenzio , niko Kenya ila namfatilia kwa sana ndugu zangu endeleeni vivo hivo plz❤🎉🎉

  • @ArnizoAroni
    @ArnizoAroni 26 дней назад +10

    Movie nzuri kweli nawapenda sn 💗💗💗

  • @EmmanuelPande-h1e
    @EmmanuelPande-h1e 26 дней назад +5

    Mat wanasoma na cathe vibaya sana. Wananikumbusha jamaa angu nikiwa chuo alitetaga dem sura mbaya kwa ploti. Masaa ya kumrudisha dem mwenyewe si ilikuwa matata kabisa hakutaka watu tumuone😂😂💔

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 26 дней назад +8

    Marty mwambie mw nzio ukweli the early the best atakasirika atatulia kama manyanya ajampenda th n akuna vile huyo mwaya wako ata mfanya ampende 😢.tell he the Truth

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 26 дней назад +8

    kweli kabsa maana hili dada Halijielew
    ukivunja kikombe het nakukata mshaara

  • @alexboy3008
    @alexboy3008 26 дней назад +22

    Nawapenda sana ❤kwanza mmesikiliza tuliomba dakika ziongezwe hata 3 mmeonheza 👏👏

    • @linhacalisto8747
      @linhacalisto8747 25 дней назад

      Nini naomba kweli mwenyewe wa music nipe nipe

  • @mosesmgomb-vz6fq
    @mosesmgomb-vz6fq 25 дней назад +3

    Dada wa kaz mzuri kabisa anafaaa Kwa matumizi😋

  • @barakamlyuka5405
    @barakamlyuka5405 26 дней назад +33

    Unae soma coment hii na ku like Mungu atabariki kazi ya mikono yako

  • @RukyaSaidi
    @RukyaSaidi 24 дня назад +1

    Tamthilia nzuri sana na washiriki wazuri na wanaitendea haki jmn nmebahatika kumuona mke wa mudy jmn uyo dada ni mzuri sana live jmn nmempenda zaid❤

  • @RafhaelMutha
    @RafhaelMutha 26 дней назад +7

    Valet anakuwa na kiburi illa ajui manyanya ashapata bibi 💖 mwingine mama ya manyanya 🎉Mond na mkewe .naona wako sawa 😂😂😂asante kwa @asma kazi nzuri kutoka 🇰🇪

    • @RAUHIYTV666
      @RAUHIYTV666 26 дней назад

      Asanten kwa kutusuppport

    • @MelaniaTluway
      @MelaniaTluway 26 дней назад +1

      Ila Vai ndo wife sasa❤️❤️❤️

  • @NeemaLameck-c6q
    @NeemaLameck-c6q 26 дней назад +5

    Jamon nawapenda Sana wapenz wangu hii move nintamu jamon nawapenda Sana ❤❤❤

  • @Hgd-jk6lh
    @Hgd-jk6lh 26 дней назад +9

    Tafuta hiyo mbwa ikufanyie kazi zako 😢😢😢😢😢😢msenge baridi ww leo umenikera hata kama ni maigizo kumbuka mwajiri kama ww ndo mnatufundisha wafanyakazi kua roho mbaya shenzi kabisaa..

  • @teddycliff3924
    @teddycliff3924 5 часов назад +1

    Watazame wake hao wawili,Matilda na bibi halisi wa Mr.Manyanya...je ungekuwa manyanya ungempenda nani?kwangu mimi ni Matilda🙂🙂...huyo mwengine hamjali bana

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 26 дней назад +21

    PENZI LA MATTY NA MANYANYA LIMENOGA LENYE UJAZO WA KILOGRAMS MIA 3.5, KAMA UNAFURAHIA HILI PENZI GONGA LIKE HAPA, ILA MUDI NAYEYE SASA ATAKUJA AACHWE😂😂😂 OYA HII EPISODE YA 22 NI MOTOOO MNO

  • @peterbenardo
    @peterbenardo 26 дней назад +6

    Nzrii sana msichelewe bsii jmn

  • @InocentedaStella
    @InocentedaStella 26 дней назад +13

    Naifwatilia kutoka msombiji naomba like zangou Leo 🇲🇿

  • @The.glstvshow.The.glstvshow
    @The.glstvshow.The.glstvshow 26 дней назад +1

    yaani kaka manyanya mungu akubariki Kwa kweli huo utu ulio nao na hayo maneno ya busara isiwe kwenye kuigiza tu uwe hivyo kwenye maisha halisi ili uweze kufunza watu wengi

  • @EnesMwasenga-gk2te
    @EnesMwasenga-gk2te 26 дней назад +8

    Nakupenda sana mati na manyanya mungu ajalie Mfike mabali

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 26 дней назад +2

    Manyanya kwa sasa anakula rahaa❤tuu .chezeaa matii wew❤

  • @leahlotta1391
    @leahlotta1391 26 дней назад +6

    Kila saa natembelea huu ukurasa. Haloooo mmetisha. Move tamu so poa❤

  • @dominicmudoga8720
    @dominicmudoga8720 25 дней назад +1

    Nice movie iko top inanifanya sijui na skiaje

  • @PhidoDangote
    @PhidoDangote 26 дней назад +25

    Mapema sana leo

  • @barakaabdalabaraka5874
    @barakaabdalabaraka5874 25 дней назад +1

    Move ni nzuri sana sema mnatuboa sana mashabiki wenu toeni vipande vingi bc ili tuweze kuenjoy vizuri

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 26 дней назад +10

    Manyanya na martin wanaendana sana anayekubaliana na mm anipe like

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 26 дней назад +5

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet❤

  • @NafsahRajah
    @NafsahRajah 26 дней назад +8

    nmeisubiri kama nasubiri nin sijui

  • @JudithJudy-hz6wr
    @JudithJudy-hz6wr 26 дней назад +15

    Wa kwanza mimi nawakilisha team strong gongeni like hapa tukisonga

  • @Vyamungurodrigue
    @Vyamungurodrigue 25 дней назад +2

    Asante kwa movie hii nikali tumeipenda Sana tu

  • @AnitherNyari
    @AnitherNyari 26 дней назад +8

    Wa kwanza Leo jmn likes hapa bc🎉🎉🎉

  • @JamilaRajabu-g8p
    @JamilaRajabu-g8p 21 день назад +2

    Jaman hili huba linanifanya nami niiingie katka mahusianoo❤❤❤❤

    • @SKuhh-l4c
      @SKuhh-l4c 3 дня назад

      Jishanganye😂😂

  • @FREYGEOFREY
    @FREYGEOFREY 26 дней назад +13

    Leo wakwanza naomben rake jaman kaz nzur🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Farouq-p6w
    @Farouq-p6w 26 дней назад +13

    Manyanya ako na point👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @DeborahBandu
    @DeborahBandu 26 дней назад +10

    WA kwanza kutoka Congo naomba like

  • @JaguarEscobar
    @JaguarEscobar 26 дней назад +6

    Matrida nakupenda ❤❤❤❤

  • @montezsharma
    @montezsharma 26 дней назад +9

    Kazi nzuri manyanya❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @EdenAlam-e9t
    @EdenAlam-e9t 25 дней назад +1

    Nzuri sana,umempa vidonge vyake Vai amezid

  • @SantosDunia
    @SantosDunia 26 дней назад +5

    Ki ukweli mume fanya vizuri sana kwa kutowa filamu kwa wakati. Ila tunaomba ya kufuata isi kawi. Na ishi DRCongo

  • @JackMzee
    @JackMzee 26 дней назад

    Icho kipengele cha mfanyikazi wa nyumva kiko on point kabisa. A good lesson to those mistreating their house managers. Big ups my people. Muddy naye na visanga vyake hakosi kunichekesha. Tamthilia tamu sana. Following you every step from 🇰🇪

  • @Maicosenzela
    @Maicosenzela 26 дней назад +8

    Leo nmekua wa kwanza kuagaria nkiwa simiyu

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 26 дней назад +4

    Hongera manyanya na mat 🎉🎉🎉

  • @JasminMuhq
    @JasminMuhq 26 дней назад +16

    Mzee wa mishangazi kujifanya ana wivu😂😂😂😂

  • @ChaqueIdarJamal-e2j
    @ChaqueIdarJamal-e2j 26 дней назад +2

    Mungu awabariki sana mana mafunzo munao fundisha yananifariji sana 🎉

  • @PaskalFweda
    @PaskalFweda 26 дней назад +5

    manyanya yuko powa sana namkubari Sana muddy mzungu noma sana

  • @BarakaMolell-p8f
    @BarakaMolell-p8f 26 дней назад +6

    Waini kutoa jaman mnatuweka sana

  • @vumiliapaul2659
    @vumiliapaul2659 26 дней назад +9

    Mati Acha kuwa unamfyonza manyanya 🙄🙄

  • @MuhaleBertin
    @MuhaleBertin 26 дней назад +6

    ...Mwana sheria za haki za binadam. Manyanya 💪🏽