SAMAHANI ASANTE |ep 13|

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 390

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba  12 часов назад +162

    Mnasemaje Tuingie Kwenye Tuzo zao ..!?

  • @OmaryAyubu-fi7jz
    @OmaryAyubu-fi7jz 12 часов назад +57

    Wanao penda Scene ya Mzee kama Ramadhan tu tofauti nauhau wanafki tujuane🏃

  • @EmmySonia-c2q
    @EmmySonia-c2q 12 часов назад +11

    Kaka kitalee nakubali sana kazi zako pia hongera sana babu yake aisha 🎉🎉🎉🎉zako tunahitaji muendelezo waharaka jamn

  • @shabanmwinyi8180
    @shabanmwinyi8180 12 часов назад +19

    Yan uyu mzee kama niatar tangu kwenye maneno ya kuambiwa anajua sanaa mwambie achukue peps mm ntalipa

    • @baraka-x2b
      @baraka-x2b 8 часов назад

      😂😂nimeipenda hyoo ya peps bx aongeze na juice ya ukwaju kwa mang🎉🎉😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 10 часов назад +7

    Mzee Ramadhan kama pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakupenda sanaa baba yangu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 12 часов назад +22

    Huyu babu mwenye sauti ya kukwaruza ugonjwa wangu nimempenda bure😊

  • @salomethomas6469
    @salomethomas6469 12 часов назад +21

    Story kali gonga like hap kam unamkubali rais wa mateja

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo 12 часов назад +7

    Kazi nzuri ongeza vijana wa kiume

  • @jumanyange5267
    @jumanyange5267 12 часов назад +47

    Tunaoamini babu yake aisha katega mtego kuhusu ndoa tujuane hapa

    • @ZenaKambi-d6n
      @ZenaKambi-d6n 12 часов назад

      y𝚊𝚊𝚗 𝚔𝚒𝚝𝚊𝚠𝚊𝚔𝚞𝚝𝚊 𝚓𝚊𝚖𝚋𝚘 😂😂😂

    • @ZulekhaIssa-o3x
      @ZulekhaIssa-o3x 8 часов назад

      😂😂😂😂duu umenisanuw

  • @nishawangaiwangai9765
    @nishawangaiwangai9765 12 часов назад +8

    Masha allah watching from Saudi Arabia Madina munawalah ❤❤❤ mzee Ramadan nakupenda mno ❤

  • @kambikashama4619
    @kambikashama4619 5 часов назад +1

    KWELI ASAIV WACHAWI VIJANA VIDADA VINAFKI HIVYOO UYOO… SEMENI NA ASUNTA WANFKI SANAA 🙌🙌🙌😂😂😂 WANAVYOSTUKA KUALIKWA HARUSI KAMA HAWAJUI KITU VILEEE.!

  • @HajiMwadin-t9l
    @HajiMwadin-t9l Час назад +1

    Kazu nzur san naifatilia nikiw oman

  • @MagrethKasanga-g6h
    @MagrethKasanga-g6h 12 часов назад +6

    Jmn ni nzuri sana mm kama mmojawapo kuipenda hii naisubiri hyo eps 14 kwa hamu sana🙏

  • @AminaMkwizu
    @AminaMkwizu 12 часов назад +10

    Leo mi wa kwanza

  • @ShafiiYassin
    @ShafiiYassin 8 часов назад +2

    Kitale story 🔥🔥
    Waigizaji 🔥🔥
    Umakini 🔥🔥
    👏👏👏👏👏

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c 12 часов назад +6

    Brother kitale mungu akujaalie kwakila jambo lako laheli

  • @Khadijafatuma-v2b
    @Khadijafatuma-v2b 10 часов назад +4

    Uyu mzee nampenda sana kwanza hana baya alafu babu ee izo ndevu zinakupendeza sana

  • @ashabakari1448
    @ashabakari1448 9 часов назад +3

    Kitale tuongezee muda...Mzee kama❤

  • @NajatRajab-x1k
    @NajatRajab-x1k 8 часов назад +5

    Nilisema siwezi kuishi bila weye mzee ramadhani bora nimekuona roho imetulia na katoto ketu kamecheza cheza tumboni 😂

    • @Agyy628
      @Agyy628 32 минуты назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 12 часов назад +27

    Team Mzee Kama Ramadhan 🤩❤️

  • @Rabbiyyamohamed-s4l
    @Rabbiyyamohamed-s4l 10 часов назад +7

    Jaman movie imezidi kunoga atal ❤❤❤🎉

  • @felchesmmassawe8169
    @felchesmmassawe8169 9 часов назад +3

    Sema mnachelewaa sanaa kutuma ep mpya au mfanye mbili mbili kila mkituma

  • @Hussein2Saidy
    @Hussein2Saidy 12 часов назад +14

    Wa kwanza mie naombeni like zngu jamnii❤❤❤❤

    • @WAHIDAMWALIMu
      @WAHIDAMWALIMu 10 часов назад

      Tuliza komwe ilo wa kwanza Mimi 😅

  • @Stanely-p4l
    @Stanely-p4l 8 часов назад +2

    duuuh kweli hii movie ni hatari Sana ni nzuri eti wazee wangu Kama kawaida yao hawaachi kunifurahisha mungu awepe wepesi katika mashaili yao bye (samahani Asante)

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 8 часов назад +2

    12:17 safi sana mzee Kama ametumia elimu ya dini kutangulia yeye mbele wanawake nyuma kuepuka vishawishi na matamanio mashaa Allah. 🙏

  • @Stanely-p4l
    @Stanely-p4l 12 часов назад +8

    Mimi bado sijaitazama sehemu hi ya 13 ngoja nitazame kwanza Kisha ni community nilicho jifunza na niwaombe like zangu natazama hapa

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 9 часов назад +4

    Kitale huwa anatunga vitu vikali na wachezaji wake pia wakaki. Hana ubinafsi.kama iko pamoja na kitale weka uwa lake 🎉

  • @rashidsaid6015
    @rashidsaid6015 12 часов назад +25

    Kama ramadhani Kama mzee wangu pendwa kabisa Allah akupe umri mrefu

  • @ChjksHave
    @ChjksHave 10 часов назад +2

    ❤❤❤Kama ramadhani kama aiseee mzee mzee wetu unaju mpak unaju tena na unapewa karaat na unazifanyia kazi mashallah 🎉🎉🎉

  • @MissaM-g6r
    @MissaM-g6r 12 часов назад +9

    Wakwanza😂😂😂

  • @vionathomas1686
    @vionathomas1686 10 часов назад +5

    Yaan anaambia wachawi kuwa mwanao anaolewa hajui kama wao ndio wamepanga hiyo ndoa😂😂

  • @sharifushabani3906
    @sharifushabani3906 9 часов назад +2

    Lazima tuingie kwenye tuzo zao sekulu ubaya ubwela samahani asante we huogop❤❤

  • @ZawadisamwelKisinza
    @ZawadisamwelKisinza 8 часов назад +2

    Mmepita mukingia hii ni nzuri san

  • @fatumarashidi5182
    @fatumarashidi5182 9 часов назад +1

    Hongera kaka kitale mungu azifi kuki weka

  • @RehemaGambo-x8q
    @RehemaGambo-x8q 7 часов назад +1

    Mzee Ramadhan kiboko MashaAllah hongera kwa kazi nzuri❤🎉😊😊😊😊

  • @chrisenciaChilato
    @chrisenciaChilato 8 часов назад +3

    aya mambo yapo kabisa kitale bg ap kaka yangu mm dada yangu alikufa nikiwa mdogo sana sikumoja rafiki yake akaja kumwambia mama amemuona dah naumia hii move inamafunzo sana

  • @EvelineMichael
    @EvelineMichael 12 часов назад +12

    Namm leo nimewahi jamaaan naombel like hata mbil

  • @TatuMussa-yl4bn
    @TatuMussa-yl4bn 12 часов назад +5

    Mimi apaaa nimewahi 🎉🎉

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 8 часов назад +1

    Nilichikiona kwenye hii movie. Kitale alitumia muda mrefu sana kufanya utafiti wa ulimwengu wa giza na mambo yake. Hongera sana brother. Nmesikia Mirihi na Zohari.

  • @HaidaryMayeye
    @HaidaryMayeye 9 часов назад +2

    Aman kwako mzee gama uishi miaka buku mzee

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 10 часов назад +1

    Big up kitale movie inazid kua tamu❤❤❤

  • @FatmahassanJumanne
    @FatmahassanJumanne 9 часов назад +1

    Wanaosema waongeze vpande viwili ❤❤❤

  • @shaythmasoud3122
    @shaythmasoud3122 7 часов назад +4

    Tunachukua mapema tu mana apo ndo kwanza trela

  • @fatmasuleiman7556
    @fatmasuleiman7556 12 часов назад +1

    Kazi mzur nawakubal sana kutoka chake chake Pemba ❤❤

  • @MwacheoHanzada
    @MwacheoHanzada 8 часов назад +2

    Fanyeni bidding mutuletee mara mbili kwa wiki

  • @HassanIbrahim-e5j
    @HassanIbrahim-e5j 9 часов назад +2

    Kaz nzur sana lkn usitufanye tusubir sana aisee

  • @FatmaMatenga
    @FatmaMatenga 10 часов назад +1

    Inamafunzo mazuri sana binadamu ndowarivyoo ivyoo

  • @dinismitau639
    @dinismitau639 12 часов назад +4

    WA kwaza Mimi by mozambique

  • @AngelJoshua-f3v
    @AngelJoshua-f3v 8 часов назад +1

    Kazi nzur jaman ila muongeze muda ili iwe ndefu kiasi

  • @Ibrah-f3c
    @Ibrah-f3c 9 часов назад +2

    Mnatucheleweshea sana hii move

  • @mickmichael3734
    @mickmichael3734 12 часов назад +6

    wakwanza tokea vikindu changanyikeni

  • @alfanmsuya6532
    @alfanmsuya6532 9 часов назад +1

    Kama ramadhan kama kapata uraia wa ololooo chugastan 💪💪

  • @KamariaAmeir-rx2dc
    @KamariaAmeir-rx2dc 10 часов назад +2

    Hii move naipenda sana 😘😘😘

  • @g-makangarealitymbunge9290
    @g-makangarealitymbunge9290 10 часов назад +1

    Kabisa twende 🎉🎉🎉🎉❤ nafuatilia sana nikiwa
    Mozambique 🇲🇿

  • @inocentnjau
    @inocentnjau 9 часов назад +1

    Hatari sanaaa yani asubui Sana tuzo tunachukua

  • @MalleBevax
    @MalleBevax 9 часов назад +1

    Ninacho kipenda ktk hii movie Waigizaji wote wapo vizur hakuna muigizaji muhimu.

  • @WilleWille-t7f
    @WilleWille-t7f 10 часов назад +1

    leta vitu baba😂😂😂 tuwauweeee

  • @EroniaEfraimu
    @EroniaEfraimu 11 часов назад +1

    Jamani nimefurahi nilivyoiona thanks KITALE❤

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 9 часов назад +4

    Umetukata stimu hapo kaburini ungewacha Mzee Kama Ramadan Kama amalize mchezo kwanza 😂😂😊

  • @kibachajr87
    @kibachajr87 9 часов назад +1

    Hii kitu ni yamoto sana 🙌

  • @mayladapz6617
    @mayladapz6617 9 часов назад +1

    Mama aisha boya kwelii😅😅😅

  • @Subra-d5y
    @Subra-d5y 9 часов назад +1

    Kutoka gulf wakwanza kazi nzuri team ramadhan kama

  • @sharifushabani3906
    @sharifushabani3906 9 часов назад +1

    Aise inshaallah hi movi ni funga mwaka sekulu

  • @IbrahimBakar-s2t
    @IbrahimBakar-s2t 8 часов назад +3

    Mutoe vipnde 5 kwa pmj

  • @SalimAmour-z1f
    @SalimAmour-z1f 9 часов назад +1

    Sitamani umalize nzuri sana

  • @EspoirJames-nd9bt
    @EspoirJames-nd9bt 9 часов назад +2

    Ramadhani kama ramadhani wewe ndie unayeleta filamu utamu bila wewe hamna chochote nakumbuka na maneno yakwambiwa nayo ulichezaga vizuri sana

  • @Jamilajuma-z2w
    @Jamilajuma-z2w 9 часов назад +1

    Imeishia patamu 🔥🔥🔥

  • @AuntfudeHatounwajay
    @AuntfudeHatounwajay 5 часов назад

    Jumamos na jumanne saw na Ali juma au juma ally 😂😂😂😂 mjombo w shafi kanfulaisha

  • @SophieMwalituke
    @SophieMwalituke 9 часов назад +1

    Babu aisha hajakaa kizembe ata watajuta😂

  • @azorybaligomwa5853
    @azorybaligomwa5853 7 часов назад

    Tatizo mnachelewa sana kuleta mwendelezo

  • @HezekiaChilongola
    @HezekiaChilongola 8 часов назад +2

    Wanafki tunaishi nao kila siku ani

  • @MolingaMusa
    @MolingaMusa 8 часов назад +1

    Halusi hapo hamna mana mzee kama namkubari

  • @AlHabibuJuma
    @AlHabibuJuma 8 часов назад +2

    Wanaoamini wanafiki wote motoni tujuane hapa

  • @DimeLese
    @DimeLese 8 часов назад +1

    Sijawhi angalia move za kibongo hila hii

  • @AshuraPandu-y2q
    @AshuraPandu-y2q 12 часов назад +2

    Kitale kitale eeeeee kitale kitale ooooooh

  • @OmanBahla-d2p
    @OmanBahla-d2p 9 часов назад +1

    Nguvu moja kitale

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 9 часов назад +1

    Mzee ramadhan hongera❤❤❤❤❤

  • @ramsomussa2760
    @ramsomussa2760 9 часов назад +1

    Tunaomba iwe defu yani nitamu saana movie 🎥🍿

  • @darlenedada651
    @darlenedada651 Час назад +1

    Jamaniiiiii mimi hii movie ata kama ninzuri sijajuwa kwanini hawa marafiki wa nafiki wa Aisha wanamfanyia ivi wanamzunguka mbaka wanamuombea mabaya chanzo Nini hasa.Babu simama kabisaaaa tusije mpoteza Aisha🙏

    • @ZuhuraMwaibanje
      @ZuhuraMwaibanje 31 минуту назад

      😅wewe ni mimi kabisa yan hadi sasa sielewi lengo lao kwa aisha

    • @darlenedada651
      @darlenedada651 29 минут назад

      @ZuhuraMwaibanje wallah ,waikimbize tuone chanzo Nini

    • @GasparMsambila
      @GasparMsambila 5 минут назад

      Mchawi hana sababu anachotaka ni kuona mtu anateseka yeye ndo fulaaa yake

  • @ProspaIL
    @ProspaIL 8 часов назад

    Kazi Nzuri Sana 🎉🎉🎉❤ Prospa Boy From 👉🇱🇷

  • @mushrafuahamadi8676
    @mushrafuahamadi8676 8 часов назад +3

    Mzee kama Ramadhan kama kaandaa jambo lake like za uhakika hapa

  • @MuddyPellembo
    @MuddyPellembo Час назад

    Mnajua sana asee

  • @KalengaKassim
    @KalengaKassim 9 часов назад +2

    Leo nimejitahidi kuwahi nimekuwa wa 6033

  • @RehemaHaruna-di6sk
    @RehemaHaruna-di6sk 9 часов назад +2

    Udugu ongezA mda

  • @emmystationary7634
    @emmystationary7634 14 минут назад

    Ingia kwenye tuzo baba chuma imrbamba😂

  • @HakizimanananaQueen
    @HakizimanananaQueen 12 часов назад

    Kiukwel unafaamiyana kazi nzur sana🎉🎉🎉

  • @umentco9600
    @umentco9600 6 часов назад

    Wachawi mko na kazi jamani 😂😂

  • @hassanjuma6144
    @hassanjuma6144 5 часов назад

    Kuna cha kujifunza hap kwa Mzee kama Ramadhan kama nabi Han thamani kwao ni kweli 😢😢😢

  • @AshuraKhalid-m7h
    @AshuraKhalid-m7h 12 часов назад

    Leo jaman adi raha nimependa umewahi kutoa jaman , asanteeee nimefrah sana

  • @hemedykayonko4109
    @hemedykayonko4109 6 часов назад +1

    Kama ramadhani Kama mwamba

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 9 часов назад

    Ila marafiki wengn wanafik sana yaan anatamk kbsa allhamdulillah rabil al-amina jmn kumb mnafiki alaf anamshirikish mungu jmn😢

  • @careneluzito8444
    @careneluzito8444 12 часов назад +1

    Wa kwanza leo jamani like zangu 😊

  • @JohnPaul-ef5jy
    @JohnPaul-ef5jy 7 часов назад

    Mzee anatisha🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kashindiomari6552
    @kashindiomari6552 6 часов назад

    Jaribu kutuongezea angalau vipande viwili kwa siku.

  • @ShataaYasin
    @ShataaYasin 12 часов назад

    Nakubali mkude Simba uko vizuri 💯💯💯

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 10 часов назад

    Maskini melina wacawi wamemupoteza babu aisha wasaidiya weye nakukubali 🎉🎉🎉❤

  • @ibraahofficiel
    @ibraahofficiel 12 часов назад

    KAZI nzuri sana 🎉🇨🇩🇨🇩

  • @ZainabuHussein-w5i
    @ZainabuHussein-w5i 42 минуты назад

    Sifa kubwa ya wachawi ni unafki ndomana mchawi anaua alafu analia ndo hao wangu wanajua kila kitu wanavyojifanya hawajui sasa😂😂

  • @EdnaUhadi
    @EdnaUhadi 5 часов назад

    Mama aisha hata ajiongezi. tangu ilesiku aliyofungua fundo kwenye tenge hashituki tu

  • @FortuneRespicius-c2k
    @FortuneRespicius-c2k 10 часов назад

    Siwezi ishi bila zai naipenda sana sauti yake ❤❤❤😢😊