Tunashukuru Sana Mwalimu Nyanza kwa kutushirikisha na kutupitisha kwenye Safari yako, na zaidi hasa kwa maono na ushauri. Binafsi, swala la kusoma Muziki kwa njia ya Posta bado linanistaajabisha. Mbarikiwe wote wa Jugo Media kwa kazi nzuri inayoendelea. Kipindi kizuri na kimetulia kwa viwango. Amina.
Asante sana mwalimu nimefurahia sana historia yako
Hiii Iko sawa mnooooo msifanye mahojiano na WA Daresalam tuuuu njoeni na mikoano
Nasikia aliutunga akiwa kwenye urabu 😂 safi sana
Tunashukuru Sana Mwalimu Nyanza kwa kutushirikisha na kutupitisha kwenye Safari yako, na zaidi hasa kwa maono na ushauri.
Binafsi, swala la kusoma Muziki kwa njia ya Posta bado linanistaajabisha.
Mbarikiwe wote wa Jugo Media kwa kazi nzuri inayoendelea. Kipindi kizuri na kimetulia kwa viwango. Amina.
Amina