Mashauri mazuri kutoka kwa Mwalimu Nyanza, ningetamani sana kukisoma kitabu chake na kujifunza kutoka kwake. Nazipenda sana nyimbo zake Heri ya Krismasi, Mke Wako na Imba Sifa. Naitwa Benedict Mbala kutoka kitui, Kenya.
Hongereni sana vipaji online tv. Hongera sana mwl. Nyanza kwa utunzi wa nyimbo nzuri. Nyimbo zako hazionyeshi tu kuwa wewe ni gwiji miongoni mwa magwiji wa Muziki lakini pia zinaleta radha nzuri kimziki na kiteolojia. Mungu akubariki sana
We baba una Roho ya kipekee ya Upendo na unachosema ni kweli unajitoa Sana , sema Mimi tu ni mzito ila unajitahidi Sana kunifundisha, nashukuru Sana Mungu akubariki
Mashauri mazuri kutoka kwa Mwalimu Nyanza, ningetamani sana kukisoma kitabu chake na kujifunza kutoka kwake. Nazipenda sana nyimbo zake Heri ya Krismasi, Mke Wako na Imba Sifa. Naitwa Benedict Mbala kutoka kitui, Kenya.
Hongereni sana vipaji online tv. Hongera sana mwl. Nyanza kwa utunzi wa nyimbo nzuri. Nyimbo zako hazionyeshi tu kuwa wewe ni gwiji miongoni mwa magwiji wa Muziki lakini pia zinaleta radha nzuri kimziki na kiteolojia.
Mungu akubariki sana
Kwa kweli nyimbo za Nyanza ndo nyimbo zangu pendwa za muda wote. Zinatafarisha Sana! Mungu akulinde mwalimu Nyanza
We baba una Roho ya kipekee ya Upendo na unachosema ni kweli unajitoa Sana , sema Mimi tu ni mzito ila unajitahidi Sana kunifundisha, nashukuru Sana Mungu akubariki
Duh Safi sana mwl nyanza
Karibuni tusome mziki chuo kikuu cha Dar es salaam!kwa wenye kuvutiwa ili tulisaidie kanisa kwa mziki mtakatifu!🙏
Sehem gan mtumishi nipo udsm hapa na nahitaji pia
Umenena vema mwalimu wangu.
Safi Sana mwl nyanza mzee adagadugi neno
Mwl.wangu ASANTE SANA MIMI MWANAFINZI WAKO.NIKO NAJIKONGOJA
Hongera sana Mtaaluma Nyanza
🥰🥰🥰🥰
Walimu wengine wajifunze kwako waache kukatishana moyo, hata wao walianza Kama sisi