KAZI IMEANZA AFANDE NAYE ATAJWA HUKUMU MAISHA, PAMBALU WA BAVICHA AYATAJA MAJESHI NA MABORESHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 38

  • @Latifa-n3j
    @Latifa-n3j Месяц назад +2

    Hao bila kutumwa wasingefanya umyama walioufanya kwahiyo mtumaji pia awajibike

  • @HappyNaboti
    @HappyNaboti Месяц назад +1

    Mbona huyu mama ndo mshitakiwa namba moja

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 Месяц назад +1

    Huyo Afande awajishwe pia ili uwe fundisho kwa watumishi wa umma kutokutumia nafasi zako wanapo kazini

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael Месяц назад +1

    Hovyo sana

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Месяц назад +1

    Huyo sio afande Hana sifa kuitwa hivo,hatumtaki☝️☝️ hatumtaki☝️☝️hatumtaki🤷☝️☝️mpeleken waliko wajakaz wake,tulitegemea atulinde kumbe mbakaji hyo mama!! HATUMTAKIIIIiiiii,

  • @AshuraNyamziga
    @AshuraNyamziga Месяц назад +1

    KWANZA HUYU MAMA BI KIZEE ANAYEITWA AFANYE AFANDE GANI KAMA YEYE ANGEKUWA LIJALI WA MAMA MUME WAKE ASINGEWEZA KUTAFUTA MWANANKE MWINGINE NI MSHENZI APELEKWE MAHAKAMANI NAYE AFUNGWE MAISHA AKAWAKUTE HAO MAHAWARA ZAKE ALIYOWATUMA NAO WAKAMLAWITI KM WALIVYO MLAWITI BINTI HUYO

  • @ZitoRamadhan
    @ZitoRamadhan Месяц назад +1

    Tatizo kuna kuleana sana kwenye hii inch mwenye pesa atalindwa na kiongozi atalindwa au mwenye nguvu ya aina yeyote atalindwa hata kama kafanya mahovu kiasi Gani hii ndo inch ya ahadi

  • @YassinJuma-q9s
    @YassinJuma-q9s Месяц назад

    Nikweli kabisa haki itendeke kwa aliye watuma wabakaji

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Huyo afande mwanamke achukuliwe hatua kali kama hao vijama wanne jamani

  • @Aliymohammdi
    @Aliymohammdi Месяц назад +1

    Serekali Haina Nia nzuli na wananchi

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh Месяц назад +2

    Wapelekwe malya au uyui mbwa kumanina zao na mama yao afuate na ye kumamae zake

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 Месяц назад

    Nadhani tunapo ajiri polisi au wanajeshi tusitegemee ajira portal ti. Tunatakiwe twende hata mikoani tukatumie mbinu zilezile zilizotumika kuwapata akina mzee wetu Msuguri.

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd Месяц назад

    TUNAOMBA HUYO AFANDE NAYE AHUKUMIWE MAANA YEYE NDIYO CHANZO KIKUBWA SERIKALI MSIMUHIFADHI HUYO LIWEE FUNZO KWA ASKARI WENGINE

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Месяц назад

    Afungwe huyo mama,maana hatuna Imani nae Tena ,akituma wengine kufanya haya je??

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f Месяц назад

    Yule shetani mkubwa sura kama k yake nayeye tunataka afungwe nyoyo zetu zitulie

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Месяц назад

    TATIZO NI KUJUANA KATIKA SUALA LA KUJIUNGA NA MAJESHI YETU NA KUAJIRI WATU WALIOFELI HATA SHULE , MTU ALIYEFELI SHULE TU HAWEZI KUFAULU MAFUNZO YA MWAKA MMOJA AU MIWILI YA KIJESHI BALI ATAELEWA KIDOGO SANA .

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 Месяц назад

    Huyu jamaa ni mchambuzi mzuri sana

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry Месяц назад

    Jeshi la mama Samia la hivyo na selikari yake Ina watu wasio julikana. Kwanini selikali inawatu wasio julikana ukisikia mambo ya hivyo ndo haya

  • @KareemDully
    @KareemDully Месяц назад

    Ukiuliza afande ni yupi . Polisi wanakujibu et watuhumiwa hawakumtaja. Chakushangaza wengine wakiingia mahabusu wanabanwa hadi pumbu ili kutaja wenzao ila hao watamtaja vp wakat wanaonekana wanalala nyumban wanaoga kila wakati

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    Uyo afande ndo mshtakiwa namba moja. Tutapaza sauti na yye atafungea kam wenzake

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Месяц назад

    Pambalu ww uko na smart brain

  • @elmanichombe7198
    @elmanichombe7198 Месяц назад

    Afungwe maisha na huyo afande bibi huyo tunategemea hao ndio msaada kumbe kinyume jamani

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 Месяц назад

    Hayo ndio maisha mliochagu a

  • @YourMoor-px1rd
    @YourMoor-px1rd Месяц назад +1

    INACHOTAKIWA HUYO AFANDE NAYE ATIWE HATIANI SERIKALI MSIMLEE MTU MUOVU KAMA HUYO AFANDE HAFAI KABISA KUWA SERIKALINI KAMA YULE DADA ALIYEFANYIWA KITENDO HICHO KAMA ANGEKUA MTT WA RAIS JE HUYO AFANDE ANGEKUWA HURU?

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 Месяц назад +1

    Hao wapelekwe gereza la kilimo

  • @hamidaawadh9024
    @hamidaawadh9024 Месяц назад

    Haki itendeke

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад +1

    Video singe vuja mpaka leo wange tamba. Mafilauni

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Месяц назад +1

    Allhamdulillah.

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 Месяц назад

    Kama basiri mlamba halifungwa je yeye fatuma yeye ni nani

  • @YassinJuma-q9s
    @YassinJuma-q9s Месяц назад

    Na huyo fatuma pia ni muhusika anatakiwa kuwajibishwa

  • @JacsoniMbaiyo
    @JacsoniMbaiyo Месяц назад

    Kwann yeye asikamatwe yeye ninani kosa halinaga kiongozi akamatwe nayeye yeye ndo mwanzilishaji pasingekiwa yeye isingetokea chochote

  • @SesiliaFaustin
    @SesiliaFaustin Месяц назад +2

    Hii ndio Tz yetu imeozaa kwakuficha úhalif kisa cheo

  • @deniselemani7275
    @deniselemani7275 Месяц назад

    Nawaasa wenzangu nawaomba tusitukane

  • @abdulisike
    @abdulisike Месяц назад

    ANAE FANYA kosa la jinai Kwa kujua ni sawa na muuaji tuu acha Sheria ipite katika nafasi yake. Pia Kwa mtu anaye simamia mauaji pia na YEYE tusubir naimani nae haki yake itatendeka. I am very grateful to the government for having good and righteous leaders. Thank God and continue to accept this nation in peace and love

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo Месяц назад

    Kweli nyie wchaga ni mbwa kabisa hatuna utamaduni huo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад

    SASA KM WALITUMWA C WAMKAMATE? MAANA VITENDO HVY VITAENDELEA. MAANA BILA HVY BASI NI MCHEZOMCHAFU.

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael Месяц назад +1

    Uyo mfupi ndoo kawaponza wenzie