Walimwengu jamani duuuh.! Kweli hakuna mtawala mzuri ndani ya utawali. Alitukanwa alibezwa wakati wa utawala wake. Sasa kastaafu mwajifanya mwampenda na kumpa sifa. UNAFIKI HUO NA NI DHAMBI KUBWA
Rais wa watu Manshaallah. Allaah akurehem baba. Ila hakika hautosahaulika milele. Mana kati ya Marais ambao wanaopenda ustaarabu kwa wananchi wake Jakaya namba moja. Rait ingewezekana urudi tena hata madalaka. Inshaallah akupe uhai mrefu..
Yaani hawa mraisi wa sasa wanaroho mbaya hadi maisha kuwa magumu ila mzee wa soga pekee yake maisha yalikuwa rahisi na ya afadhali mungu akulinde Dr. Jakaya nakukubali sana bora ww ungetuongoza Uraisi Tanzania kwa muda wa miaka 200 by Prof Fahad Omar from Zanzibar Island
Mzee ludi madalakan eeh Mungu tazama vilio vyetu Bora ww tunakumbuka utawala wako ujawahi kutokea cjawah kuckia mtu akikubeza lkn hao wengine wanajijali wao Mungu toa hukumu ya Allah yah Karim
Ukiwa kiongozi ukawajali wanyonge ni sawasawa na kumtumikia MUNGU mfano raisi wa Uruguyi ndo raisi maskini kuliko marahisi wote duniani ,,pia mfano raisi wa Bukifaso hapendi kuwa na matumizi makubwa gari analotembelea dah Kwa kweli hawa watu MUNGU aendelee kuwalinda na kuwapa maisha marefu ya Duniani hupita lakini Mbinguni mille daima.
Nakumbuka katka utawala wake tulimtunga jina la big dady na alipokuja Zanzibar kufungua Ofis ya Mkuu wa mkoa na kuweka jiwe la msing shulen kwetu tulimpokea kwa upendo wa hali ya juu na zawad tulimpatia mis you baba
Nureen Ibrahim tuna omba mkuu wa Mkoa Mjini aje kutembelea Mkunazini Kwa lukman restaurant Na mara wote watu wana weka gari I mean parking bila ya pango.hamna utaratibu mkunazini imekua ofiyo you need to see utali wengi Na wana ona uchafu watu wana park gari kama wanao taka wenyewe
Rais alietuacha tukiwa tunampenda tuna muhitaji tuna mkumbuka Sana ingekua sheria ya kutawala mpaka mwisho ningetamani aendelee kuwepo madarakani Mola akupe maisha mema yenye afya Tele Mhe. KIKWETE
Allah akutunze Baba yetu.Uko peace Sana.Udumu,,,,
Nawapenda sana Rais mstaafu Kikwete na mama. Mungu awape maisha marefu yenye furaha na amani.
Gonga like Kama umemsikia Mh kikwete akipiga mluzi
Mluzi wa mafanikio😂😂
Mzee wangu bila wew nisingetoboa chuo kikuuu😘😘
Hee au MUNGU
Kama umemuona babu akisalimia kwa goti la kisukuma gonga like twende sawa.
yaniii
Walimwengu jamani duuuh.! Kweli hakuna mtawala mzuri ndani ya utawali. Alitukanwa alibezwa wakati wa utawala wake. Sasa kastaafu mwajifanya mwampenda na kumpa sifa. UNAFIKI HUO NA NI DHAMBI KUBWA
Wakati wa Jakaya maisha yalikuwa mazuri kusema ukweli kumuogopa mungu.Kikwete mungu akulinde sana. Tunakupenda na kukumbuka sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🙏🙏👍👍😢
Sio kweli Wizi ulikua mwingi mmno
Mama salima mzuri hongera my president tunakumis ulichagua
Mungu akubariki Asante Kwa uongozi wako
Mungu muweza cmpendi Sana hy mh
mpaka machozi yamenitoka hongera kwake jakaya nawish ningekuwepo
Ungekuepo wap
Sifa moja ya kiongozi mzuri maisha hayawi taiti kipindi chake huyu mzee maisha yalikuwa mazuri
Mashaaalah mjomba Kikwete,tulikula bata, wasojulikana,hawakuwepo,wa ungumtu, hawakuwepo,
Itachukua mda sana kuongozwa na mtu kama ww Tz respect nyingi kwako u are blessed
Huszar B kaongoze wewe basi malaika ilì muda uwe mfupi ngedele mkubwa
Raisi mpenda laia ndiohuyukubali ukatae big up kikwete na mama Salina .
Uwe na miaka mingi
Mashaallah dady Mungu azidi kukupa moyo huo na utu wako udumu milele
Huyu ndo alikua raic wawanyonge salute kwake daima tutamkumbuka
Salute mjomba
Kweli kabisa hata jamaa muuza samaki Leo kafurahi..,
Mzee wetu mungu akupe maisha malefu
Rais wa watu Manshaallah.
Allaah akurehem baba.
Ila hakika hautosahaulika milele.
Mana kati ya Marais ambao wanaopenda ustaarabu kwa wananchi wake Jakaya namba moja.
Rait ingewezekana urudi tena hata madalaka.
Inshaallah akupe uhai mrefu..
kweli .mungu amjalie aishi maisha marefu
Mh. Jakaya Mungu akulinde, hukuwa na udini ulitambua mchango wa makanisa kwa jamii ya watanzania na kuwaacha vyama vya kisiasa huru ktk uchaguzi
Yaani hawa mraisi wa sasa wanaroho mbaya hadi maisha kuwa magumu ila mzee wa soga pekee yake maisha yalikuwa rahisi na ya afadhali mungu akulinde Dr. Jakaya nakukubali sana bora ww ungetuongoza Uraisi Tanzania kwa muda wa miaka 200 by Prof Fahad Omar from Zanzibar Island
Kweli kabisa
Mungu akutunze nakumbuka ktk utawala wako nchi ilikuwa na pesa ali ya kimaisha ilikuwa iko vizuli sana
This video makes me smile 😊
Safi sana...
Tuwe huru namna hii...
Mi napenda sana
tunakupenda sana baba natunakukumbuka, kama unakubaliana Na mm gonga like
Dah nakumbuka wakat nasoma secondary Nina elfu30 mfukon saiv sisomi ila Nina buku tu umegundua nn apo
Ww ni mjinga
Mussa Abdiel 😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu ibariki tanzania
Naona leo ni siku nzuri ofisini kwa muuza genge..Angalia bana isije ikawa 'chuma ulete' ...;-)
Johnnie Nyoni 😂😂😂hajawahi uza kM vile
Imani za kimasikini izo. We mwengine wasema ajawahi km hao. Hao wote kachukua na wengine wamebaki. Hata acngepta Kikwete angeuza tu ndio maana kaweka
Johnnie Nyoni Ww ndo chuma ulete
Hadi raha
Tuseme ukwl mh kikwete anajua kuoshi na watu ana kipaji hyu mzee.👏👏namkubali
hana ulinzi mkubwa sana yaan kawaida tu
Kwa sababu alikua haingilii maslai na wizi wa matajiri
@@abednego3876 hahahahahahahahahahaaaaa
Umuhimu wa rais mstaafu Kikwete, watanzania wamekujakuujuwa baadae sana!
Aliwapa muda na muda umeongea!
Sssa huyu ndiye ndiye raisi wawanyonge
Nimeipenda hii
Ni kweli hakuna binadamu asiye na mapungufu lakini ishi ukiumia Kwa ajili ya wengine Ili MUNGU akubariki zaidi.
Uko vizuri sana
Uyu Mzee nampenda bule tu ata sijui kwann nampenda😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Interested
Tz kiukwel ipo vizuri maisha marefu tz East Africa
So nice JK.
I miss u dady....nimeangalia had machoz yanataka kudondoka
One love mr president.
safi sana huuu ndo utu na utulivu
Daah nimeipenda sana..jk kila la kher mungu akupe uhai mrefu sana...
Haya baba tunakumbukia bata kipindi chako saivi tunaziona kwa macho 😂😂😂😂
Mwingine hadi amesujudi utazani kamuona Allah 😅
Acha ushenzi we mla nguruwe... chuki zitakuuwa mwehu wewe!!
Safi inapendeza sana viongozi kuwa hulu
tumekumis baaabaaa... kikwete daaaah...
Huyu ndyo rais wa wanyonge ongera sannaa jakaya mungu skubaliki
ur the good President
nashukuru sana katika utawala wako nilibahatika Kuwa miongoni mwa washereheshaji, jimboni mwetu, Mr jk
Simple kabisa hakuna ulinzi mkubwa dah miss u my president
Love them❤️🙏
Penda sana rais wangu jakaya mrisho kikwete umemuachia jemedar ngaz kwa hilo nashukuru sana by ibra da silva bunda boy
westkid TZ vizuri sana mstaafu wetu kwa kupita sokoni na kuwaungisha wafanya biashara mama salima j kikwete oyeeee?
Nampenda sana Rais wetu
Wahida Ali WO
Yes show love Mr president even to low social status people! Very nice and human.I like that
The best president please come back
Ningepandisha bei😁😁
kikwete alikua mtoto wakita wallah mngu amjalie kweli kwel baba mwenyewe huruma penda sana wewe
Team ya town hii naikumbukaga kwa mambo yake tu
Mzee ludi madalakan eeh Mungu tazama vilio vyetu Bora ww tunakumbuka utawala wako ujawahi kutokea cjawah kuckia mtu akikubeza lkn hao wengine wanajijali wao Mungu toa hukumu ya Allah yah Karim
Huyu mzee anaheshimu sana utu wa watu pia Mpenda democracy
Our president!
Awsom prez
Ukihesabu pesa lazima upige na uluzi safi sana
Wow nice president I like it
Ukiwa kiongozi ukawajali wanyonge ni sawasawa na kumtumikia MUNGU mfano raisi wa Uruguyi ndo raisi maskini kuliko marahisi wote duniani ,,pia mfano raisi wa Bukifaso hapendi kuwa na matumizi makubwa gari analotembelea dah Kwa kweli hawa watu MUNGU aendelee kuwalinda na kuwapa maisha marefu ya Duniani hupita lakini Mbinguni mille daima.
Yaan nampendaga sana
Upendo wa dhati kwa watu wote, ubarikiwe, mungu awe nawe daima babaa,
Big up.
wenyewe wasitarabu sana
Mzee WA mambo safi 😆😆😆😆 may. U leave long Mr Jakaya
.
Nakubar Sana
Namkubali sana huyu mzee
Mzee anataka ng'onda mtu wa pwani safi sana
Very nice People's President
waooooooooooh unatish mzeeee big uo
yes! indeed
Mzee alitujali sana akiwa waziri wa fedha na akiwa Rais wa jamhuri ya mungano,cjitambulishi.
ejmalady, sa hujitambukish vp wkt jna lako lipo hapo?!!¡
Rais wa tanzania kweliii huyo ambaye alikuwa mtu mtani sana kimazingira
I miss you my dady
4:48 sio siri kikwete mhhh
Wee bwana ruudi tena bwana tunakumisi aisee uturudishie na lile bunge la makinda pamoja na waziri mkuu pinda😂😂😂😂😂
La Tanzanie est l un des pays le plus en paix
That's good, just like Obama, am so impressed
Tanzania tumepataviongozi wazalendo wachahe ndo vyura Mungu awape maishamarefu
Nakumbuka katka utawala wake tulimtunga jina la big dady na alipokuja Zanzibar kufungua Ofis ya Mkuu wa mkoa na kuweka jiwe la msing shulen kwetu tulimpokea kwa upendo wa hali ya juu na zawad tulimpatia mis you baba
Nureen Ibrahim tuna omba mkuu wa Mkoa Mjini aje kutembelea Mkunazini Kwa lukman restaurant Na mara wote watu wana weka gari I mean parking bila ya pango.hamna utaratibu mkunazini imekua ofiyo you need to see utali wengi Na wana ona uchafu watu wana park gari kama wanao taka wenyewe
Inapendeza Safi Sana kudumisha mila
Kama umeona mfuko wa Rambo gonga like yak hap
mashaallah nimeipenda hiyo
Mtt wa mjini kiboko ya walugaluga 😂😂😂😂
Ni hapo tu sijaona sehemu nyingine, JPM kiboko yao
Dah maisha bhanA
Mungu ibariki Tanzania
kikwete bhana anapenda sana samaki wa aina hiyo ng,ando
Hivi ni samaki? Nilidhani mabanzi
We love you papa
Rais alietuacha tukiwa tunampenda tuna muhitaji tuna mkumbuka Sana ingekua sheria ya kutawala mpaka mwisho ningetamani aendelee kuwepo madarakani Mola akupe maisha mema yenye afya Tele Mhe. KIKWETE
Tanzania raha sana tuipende nchi yetu
Kwakweli mtandao inatukumbusha mbalisana na ainayaviongozi tuliyokuwanao.
Yan huyu akigombea Tena uraisi anapita tunamkubali sana