BRANDY DAYCARE AND NURSERY SCHOOLS YAZINDULIWA MAPINGA BAGAMOYO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024
  • Wakati Tanzania Bara akiadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wake Wazazi na Walenzi wametakiwa kuzingatia Jukumu lao la Msingi la kuwapa Watoto haki ya Elimu ili wawezea kujenga Taifa lenye wataalamu watakao leta mageuzi katika Nyanja za Uchumi ,Utamaduni na Maendeleo ya Jumla kwa Tanzania mpya
    Mdhibiti Mkuu Ubora wa Shule katika wilaya ya Bagamoyo Neema Muhondwa ameyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Shule ya elimu ya awali ya Brandy daycare and Nursery school ambayo ni ya kwanza kusajiliwa na Wizara ya Elimu Sayansi ya Teknolojia katika wilaya ya Bagamoyo ambapo amesema Elimu ya awali inamuanda Mtoto kuishi kwenye misingi ya kitaaluma sambamba na kumuanda kuwa na stadi za Maisha huku Mkurugnzi wa Shule hiyo Blandina Bendera amewata Wazazi kuhakikisha Watoto wanapata Elimu Bora ili iwafae Maishani

Комментарии •