HIZI NDIZO SABABU ZA FANGAS SEHEMU ZA SIRI NA MATIBABU YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 58

  • @fatmaally8869
    @fatmaally8869 5 месяцев назад

    Doctor mie niawashwa mpaka natamani kukuna,Ila uchafu unatoka wa maji maji ya kawaida hayanuki

  • @JacquelineJohn-h4r
    @JacquelineJohn-h4r 2 месяца назад

    Mkono wapi? Naweza kupata no Yako ya simu?

  • @KulwaMsemwa
    @KulwaMsemwa 2 месяца назад

    Docta naomba msada wa namba yako nasumbuliwa sana na tatizo hilo

  • @edwardmedwardm7606
    @edwardmedwardm7606 Год назад +3

    nitapata mimba kweli make naumia wakati wa tendo

  • @mtumepaul
    @mtumepaul 9 месяцев назад +1

    Mpo mkoa gani

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 2 месяца назад +3

    Mm nimejikuna hadi kinembe changu kimekuwa kirefu nipeni jina la dawa jamani maana ata nimuoga kulala na mzee kidude nkirefu nijibu sister

    • @SwumuMvung
      @SwumuMvung Месяц назад +1

      😂😂me mbn sina kinembe au kilisha katwa 😢

    • @kwekwenyotakwekwenyota183
      @kwekwenyotakwekwenyota183 Месяц назад

      @@SwumuMvung 😂😂😂😂😂😂😂kwani umakonde

    • @SwumuMvung
      @SwumuMvung Месяц назад

      @@kwekwenyotakwekwenyota183 hapna mpare ila nilikulia tanga 😂

    • @kwekwenyotakwekwenyota183
      @kwekwenyotakwekwenyota183 Месяц назад

      @@SwumuMvung 😂😂😂sawa

    • @noely-A
      @noely-A Месяц назад

      ​@@SwumuMvung😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AliMwabati-ln6xi
    @AliMwabati-ln6xi Год назад

    Partina angu ako nahiyo tatizo lakuashwa sehem zasir...juz nmempeleka hosii tukapimwa mikojo na akafanyia skaning...njia ya uzaz iko na uvimbe..sasa sjui tatizo inasababishwa nann natiba ninn...madoctor wengine hawaelezei wagonjwa ukwel anakupea dawa tu...

  • @Abdallahnasibu-vo5wp
    @Abdallahnasibu-vo5wp Год назад

    Naomba me munisadie me fangasi imenisumbua San kila daw natumia inagoma nanikitumia dwa inapoa pia inaludi ten naomben dwa

  • @NeemaEzekiel-m4h
    @NeemaEzekiel-m4h Год назад

    Naomba unisaidie jinsi ya kuondoa vidude vyeupe ukeni

  • @arshatjuma
    @arshatjuma Год назад

    😢 nipi iyo dawa me nawashwa natoka nauchatu

  • @sammisago4880
    @sammisago4880 3 месяца назад

    Mko wapi

  • @StephanoWaindi
    @StephanoWaindi 2 месяца назад

    Uko wapii

  • @saidmmanywa7403
    @saidmmanywa7403 3 года назад +1

    Mnapatikana wapi

  • @Yohana-ds1tc
    @Yohana-ds1tc 4 месяца назад

    Hello 👋 how are you unapatika dada yangu jamani

  • @noreenandy8196
    @noreenandy8196 Месяц назад

    mtu mwenyew hajibu

  • @AmiriFundi-it5um
    @AmiriFundi-it5um Год назад

    Dada me yakwangu inatoa uchafu mweupe halafu nawashwa makalioni

  • @Anorderonge
    @Anorderonge Год назад

    Mamy tatizo wee hujaweka no yako ningekupigia niakueleza tatzo langu ukanipatia dawa

  • @philiposikuku6066
    @philiposikuku6066 Месяц назад

    Naweza kupata aje hiyo dawa daktari

  • @EzekielWilisonKitoi.
    @EzekielWilisonKitoi. 5 месяцев назад

    Dawa tafadhali niko kenya nielekeze please

  • @ElijiaKagemulo
    @ElijiaKagemulo 2 месяца назад

    jamn tusaidie daw make na utiai

  • @kimamy_love-np9wd
    @kimamy_love-np9wd Год назад

    Iy dawa ya kutumbukiza haina maumivu

  • @martinkassuku8159
    @martinkassuku8159 Год назад +1

    Fangasi inaweza ikapona

  • @SaidManeno-kd7kc
    @SaidManeno-kd7kc 7 месяцев назад +2

    Dawa Zina uzwa shingp

  • @bahatíassey
    @bahatíassey 3 месяца назад

    Garama ya matibabu bei gani

  • @kitonkamedicalhospital9622
    @kitonkamedicalhospital9622  4 года назад +1

    Tunapokea bima kutoka NHIF, Mo insurance, Jubelee insurance, NSSF, Strategis insurance nk.

    • @EllyElly-ej8gk
      @EllyElly-ej8gk Год назад +1

      Kuwashwa sehem za sili tatzo nn

    • @dicksonnico7733
      @dicksonnico7733 9 месяцев назад

      Je kuwashwaa sehemu za siri dawa yake n ipi

    • @FayJay-q7e
      @FayJay-q7e Месяц назад

      Stage two I need help

  • @EllyElly-ej8gk
    @EllyElly-ej8gk Год назад

    Kuwasha sehem za sili ujue ni ugonjw upih

  • @khadijahassan5415
    @khadijahassan5415 Год назад +1

    Doctor mi ninauwasho Leo km ya tatu nimefanya km vijipelele vidogo vidogo Ila mi njeee tu naona msaada km ata kun dawa y kutumia nipo Zanzibar

  • @mileshm3148
    @mileshm3148 4 года назад +2

    Mnatumia bima?

  • @AliMwabati-ln6xi
    @AliMwabati-ln6xi Год назад

    Utajuaje mtu anafungus....ju ukienda hosii unapimwa mkojo.... huambiwi niugonjwa gan..

  • @AnnaMlimba-b4t
    @AnnaMlimba-b4t Год назад

    Napataj dawa nina tatiz la fangas

  • @shaabanmaguluko2518
    @shaabanmaguluko2518 2 года назад

    Mmh kwa fungal infection uchafu hauna harufu daktari unless kuwe na mixed infection na bacteria

  • @lucysono
    @lucysono 8 месяцев назад

    Ma mm natokwa na uchafu

  • @MasaiArusha-cr8uj
    @MasaiArusha-cr8uj 5 месяцев назад +1

    jamn mimi imenitokea matakon

  • @EneaMbughi
    @EneaMbughi 3 месяца назад

    Ya kudumbukiza sh ngapi

  • @selinanakanyika5377
    @selinanakanyika5377 Год назад

    Unapatikana wap

  • @jonathankituu8117
    @jonathankituu8117 2 года назад

    Mnapatikana wapi

  • @fournjtz
    @fournjtz 3 месяца назад

    Mnapatikana wapi