Dawa ya Kupaka ya Fangasi za Kwenye Ngozi inayojulikana kwa jina la Clotrimazole imekua ikizalishwa na watengenezaji tofauti tofauti lakini dkazi yake ni ile ile.
Hapana. Haiko hivo, nashauri uende kwanza kituo Cha kutolea huduma za Afya. Mnawezakuwa mnaugua ugonjwa mmoja ila Kila mmoja Mwili wake uko tofauti, hivyo atahitaji matibabu ya aina tofauti. Lakini pia ni lazima kuangaliwa kwanza Ili kujua ugonjwa umekuathiri kwa kiasi Gani na kama hao fungus wake wenyewe au wamechanganyika na bacteria
Samahan mm natokwa na uchafu mweupe wa mgando uken siwashwi Wala kutoa halufu pia huu mwaka Sasa sipati ujauzito, nilienda hospital nikaambiwa Nina fangasi, samahan naomba unisaidie nitumie dawa gan
Jamn mim nmetesek nina miak mitatu, nimetumya dwa lakin bado, nimechom sindano lakin bado, wali niamby Kuwa mchafuko wa damu lakin hali bado t, nifanyaje
Mie nimenya fangasi kama utangautanga mweupe mwili mzima nimetumia dawa za kupaka na kumeza lkn bado naomba unisaidie nitumie dawa gani na sabuni gani labda na vidonge vya kumeza
Habari dokta mm nimesumbuliwa sana na fangas ya kwenye ngozi ya muda mrefu.Nilitumia sana Coltimazole sana na nikajaribu na dawa fulani nyeupe ya kupaka.Naona zimepungua na kurudi naomba nishauri nitumie dawa gani?
@@pdkgenerationsamahani doctor mimi huwa siumwi mara kwa mara ninaweza kumaliza hata mwaka sijawahi kuumwa nikajisikia kunywa dawa, lamda kichwa tu au tumbo au mafua, kitu ambacho kinanisumbua ni hii fangasi ya ngozi yaani nimetumia dawa za kupaka na kunywa lakini bado je kuna mtu aliniambia kuna sindano je ni sahihi
Hiyo iliyoshikwa hapo ni clotrimazole cream. Dawa za fungus ziko za aina nyingi sana - ni vyema kwenda kwanza hospitali Ili kuona tatizo ama aina ya fungus na kuandikiwa dawa itakayofaa zaidi.
Samahani doctor mimi niko mbali kidogo unaweza kunisaidia nitumie ipi nikirudi nitakuja kukuona maana kwa sasa fangasi zimesambaa kwenye ngozi ni muasho juu naomba uniambie ambayo naweza kununua ya kupata kisha nitakuja nikuone
Asante sana , ninafangasi yavidore nawashwa huwu nimwaka 4 kidore hakiponi yani kucha zinaingia kwamwiri nawashwa najikuna sana kidore kimoja kikipona kingine kinauguwa nitumie dawa gani nikwamukono wakulia
Pole sana. Umeshapata matibabu yoyote hospitali?
@@pdkgeneration apana sijaenda ila kunarafiki yangu yeye alienda wakatowa kucha aliniambia dawa yake nikuenda wakatowa hizo kucha
Hapana. Haiko hivo, nashauri uende kwanza kituo Cha kutolea huduma za Afya. Mnawezakuwa mnaugua ugonjwa mmoja ila Kila mmoja Mwili wake uko tofauti, hivyo atahitaji matibabu ya aina tofauti.
Lakini pia ni lazima kuangaliwa kwanza Ili kujua ugonjwa umekuathiri kwa kiasi Gani na kama hao fungus wake wenyewe au wamechanganyika na bacteria
@@pdkgeneration asante sana
Samahan mm natokwa na uchafu mweupe wa mgando uken siwashwi Wala kutoa halufu pia huu mwaka Sasa sipati ujauzito, nilienda hospital nikaambiwa Nina fangasi, samahan naomba unisaidie nitumie dawa gan
Mm sitoi uchafu lakini nawashwa na vipele pia naeza tumia yenye umetaja?
Jamn mim nmetesek nina miak mitatu, nimetumya dwa lakin bado, nimechom sindano lakin bado, wali niamby Kuwa mchafuko wa damu lakin hali bado t, nifanyaje
Jina la dawa
Naomba namba
doctor mwanangu wamemtokea katika makalio akijikuna anasogea mbele apa amezunguka tako lote naomba nisaidie sielewi nifanyaje
Mm doctor natamani nipate no yako maana magojwa ya ngozi yameniandama cn
Karibu, 0768 666353
Asante nitakutafuta@@pdkgeneration
Asante
Mi naitaji dawa ya fangasa ya miguu yangu inawasha nakutokwa na viup3le pemben ya mguu kama vp nice namba ako tuwasiliane
Mie nimenya fangasi kama utangautanga mweupe mwili mzima nimetumia dawa za kupaka na kumeza lkn bado naomba unisaidie nitumie dawa gani na sabuni gani labda na vidonge vya kumeza
Pole, itabidi kwanza kufahamu taarifa zaidi kukuhusu na kuhusu dawa ambazo tayari umetumia kabla ya kukushauri
Habari dokta mm nimesumbuliwa sana na fangas ya kwenye ngozi ya muda mrefu.Nilitumia sana Coltimazole sana na nikajaribu na dawa fulani nyeupe ya kupaka.Naona zimepungua na kurudi naomba nishauri nitumie dawa gani?
weed field
Hiyo dawa inaitwaje dactor
Habari
Mi naitaji dawa ya fangas ya miguu jaman miguu yangu inawasha na kutowa viup3le Pemben ya mguu
Namba pls
Koo langu lina fangas
Naomba namba doctar
0768666353
Yani nina madoa madoa mwli mzm doctr nifanyaje,
Naitaji unisaidie daw ya fungus ya kolodan
Hii ni mpaka nipate maelezo ya kutosha zaidi kutoka kwako. Ndio unaweza kushauriwa kwa usahihi zaidi kuhusu matibabu ya hiyo hali
Good lesson
Karibu Chief
Mie nin mba aziponi sasa mkuu
Naitaji dawa yagonorear
Umeshafanyiwa vipimo hospitalini? Kama Bado, tembelea hospital kwanza.
Dawa hizo Ili uzipate ni lazima kuwa na Cheti Cha dawa
Me nahitaj daw ya vipara kichwan
Okay, ipo lakini ni lazima kwanza ufike hospital Ili upewe cheti cha dawa hiyo.
Naomba namba yako tafadhali
0768666353
Na kama mtu anatokwa na uchafu kwa ukeni halafu inatoa harufu mbaya dawa ni gani🤔
Ziko tofauti tofauti. Baada ya vipimo unaezakuta Kuna maambukizi ya bacteria na fungus. So mhusika atapewa dawa kulingana na matokeo ya uchunguzi.
@@pdkgeneration inafaa niende hospitali kupima ama
@@ronochela8590 Ndio. Tofauti na hapo unaweza kuwa unafanyia majaribio ya hatari mwili wako.
@@pdkgeneration Thank you doctor 🙏🙏
Nahitaji dawa ya fangasi kwenye kolodani...
Umefika hospitalini? Au ni dalili zipi unaziona?
Dalili kotokwa na maji maji,kutokwa na vidonda
Mm nko na utanda mweupe mdomoni
😮
Hi
hiy daw inaitwaje
Inaitwa Clotrimazole. Kumbuka ziko na nyingine nyingi, ni vyema kwenda hospitali kwanza kabla ya kutumia dawa hizo.
Ni kwanin huwa watu wanapata muwaxho WA ngoz
Zipo sababu kadhaa kama vile mzio (allergy), kutuumwa au Wadudu kutambaa kwenye Ngozi, magonjwa ya Ngozi n.k.
Ni dawa gani ya fangasi sehemu za siri kwa mwanamke
@@pdkgenerationsamahani doctor mimi huwa siumwi mara kwa mara ninaweza kumaliza hata mwaka sijawahi kuumwa nikajisikia kunywa dawa, lamda kichwa tu au tumbo au mafua, kitu ambacho kinanisumbua ni hii fangasi ya ngozi yaani nimetumia dawa za kupaka na kunywa lakini bado je kuna mtu aliniambia kuna sindano je ni sahihi
Habari doctor unapatikana wapi
Salama ndugu! Kuna issue Gani?
Naomba namba doctor
0768666353
Mim nina fangasi ya kwenye mapajaa
Pole, umeshatembelea vituo vya kutolea huduma za Afya?
Hyo Dawa inaitwaje
Hiyo iliyoshikwa hapo ni clotrimazole cream. Dawa za fungus ziko za aina nyingi sana - ni vyema kwenda kwanza hospitali Ili kuona tatizo ama aina ya fungus na kuandikiwa dawa itakayofaa zaidi.
Samahani doctor mimi niko mbali kidogo unaweza kunisaidia nitumie ipi nikirudi nitakuja kukuona maana kwa sasa fangasi zimesambaa kwenye ngozi ni muasho juu naomba uniambie ambayo naweza kununua ya kupata kisha nitakuja nikuone
Mi naitaji
Kwa ajili ya changamoto Gani?
Mi naitaji dawa ya fangasa ya miguu yangu inawasha nakutokwa na viup3le pemben ya mguu kama vp nice namba ako tuwasiliane
Naomba namba yako tafadhali
0768666353