Ñinyi mnatumika kujaribu kuharibu saikolojia ya wachezaji wetu. Usajiri wa wachezaji hao ulifanyika kqa maana ya kutengeneza kikosi kipana yaani kila nafasi kuwepo wachezaji wawili wenye uwezo sawa,sasa mkianza kumsema mfano namba 3 pacha wa Shabalala kuwa hana nafasi je! Shabalala atacheza msimu mzima kila match? Tumieni akili,mashabiki simba siyo wajinga tena
Simba nguvu Moja
I love you simba
❤❤❤❤njoo simba update mafanikio kama wengine walio kuja simba wamfanikiwa
Ni kweli mda mrefu mpanzu alitan simba
I love you simba ❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba sc nguvu moja ❤️❤️❤️
Habari za uwongo izo
Elie mpanzu simba tunakupenda sana
Elie mpanzu ni simba
ELIA MPANZU KULE ALIKOENDA CY ALIFELI ILA ALIKUWA HAPENDI HIYO TIMU ILA ALIKUWA ANAIPENDA SIMBA NA ALIITAKA SIMBA.
Ninyi wanafki mna uyanga yanga kijana anakuja ata kama mnaongea kinafki
Hizi story mngeziacha tu maana mwaka huu wote mnamzungumzia yeye tu mpanzu
Mlianza vizuri ila mnapuyamga hapo Elie mpanzu kazungumza wapi?
Taratibu jamani mbona mnatuharibia hivyo?
Sasa kama dirisha limefungwa mpanzu anakuja kufanya nn?
Ñinyi mnatumika kujaribu kuharibu saikolojia ya wachezaji wetu. Usajiri wa wachezaji hao ulifanyika kqa maana ya kutengeneza kikosi kipana yaani kila nafasi kuwepo wachezaji wawili wenye uwezo sawa,sasa mkianza kumsema mfano namba 3 pacha wa Shabalala kuwa hana nafasi je! Shabalala atacheza msimu mzima kila match? Tumieni akili,mashabiki simba siyo wajinga tena
Winga hatari
Siyo htari tu ni hatari na ½
nyie wasenge tu
Waharibifu nyie