WALIOFUKUZWA GHAFLA KWENYE NYUMBA YA MILIONI 500 MBWENI, WAKILI AELEZA UKWELI WA TUKIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 232

  • @aminaj.mkwizu2497
    @aminaj.mkwizu2497 2 года назад +1

    Ndio maana sitaku kupractice Sheria directly ....kuzungushana pasipo maana🙌🙌🙌wakati jibu lipo straight! Woiiii

  • @stevenkomanya1442
    @stevenkomanya1442 2 года назад +2

    Hongera sana michael wewe ni jembe... Yani demi ambae ni mke akupige mtonyo afu asepe ajikute sio mkeo dadek tena ajenge kupitia pesa zao dadek... Huyo anabahati kinoma....
    Hongera sana michael nakupongeza... Ubaya wanawake wakiambiwa ukweli wanahisi wameonewa.. Fedha nyingibza nani!!!!? Mmmttchhwww

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 года назад +61

    Sheria nyingi za Tanzania ni za kipuuuzi sana.

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 года назад +1

      ukandamizaji

    • @gracejonh4022
      @gracejonh4022 2 года назад +2

      Shelia azifatwi

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 года назад +2

      SIO KWELI, watu kwa kiasi kikubwa ndo wapuuzi🤣🤣🤣. Sheria nyingi ziko vzuri., Chache ndo mbaya. Ila sisi tunaishi kwa mazoea bila kujua

    • @mikidadymohammedy7603
      @mikidadymohammedy7603 2 года назад +1

      Ni kwel kabixa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 года назад +2

      Tatizo alokuwa ktk izo fs wengi hawajasomea ni wmechomekana Kw kujuwn tu wlo some Izo kz wp mitaani wnuza karqnga

  • @lawabidingcitizen3427
    @lawabidingcitizen3427 2 года назад +6

    Usiwategemee wanasheria hata siku moja! Sio majaji wala mahakimu, wala hawa wanasheria. Wote ni wamoja watakula pesa zako wakaonana na kushirikiana wao kwa wao na haki yako hutoiona hata siku moja! Sheria za nchi hii hazieleweki na majaji na wanasheria hawawezi kukusaidia kukufafanulia uelewe kamwe. Humo ndimo wanakula pesa za watu! Mungu awalaani majaji na wanasheria wabaya wore Tanzania!

  • @georgeosmund727
    @georgeosmund727 2 года назад +30

    Lukuvi angekuwa ofisi hiyo kesi ingeisha vizuri sana.

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 2 года назад +3

      Lukuvi ndo chanzo Cha matatizo toka 2019

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад +3

      Wote hovyo tu kunafamilia imedhulumiwa nyumba Mkoani Kaskazini walienda mpaka kwa Lukuvi hakuwasaidia kitu mpaka leo inasemekana kuna Mkuu mstaafu wa Polisi ndio alinunua kupitia Mjomba yake ili kujificha.Usiskie wenye uwezo na wenye madaraka ndio waonevu

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 года назад +1

      Kabisa

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 2 года назад +4

      Lukuvi hana msaada wowote,msaada wake ni mbele ya Camera tu.
      Watu wa Sinza tulishawahi mpelekea shida yetu,hakuna msaada wowote tuliopata kutoka kwake.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 года назад

      @@leonelleo4425 Ndio hata mimi nimesikia kwa watu wa jirani kuhusu ndugu zao ni mapicha picha kama kawaida yao.

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 2 года назад +5

    Uwiiii nyieee...nyumba nzuri, maharishi furniture's za watu jamanii, ndo maana mnalogwa

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 2 года назад

    Mtangazaji umeuliza swali LANGU,uko vzr

  • @MakrinaLuoga
    @MakrinaLuoga 4 месяца назад

    Huyo anaye dai kiwanja alikuwa wapi mpaka nyumba zimejengwa. ? Serikari imsaidie huyo dd

  • @tamrikznz7583
    @tamrikznz7583 2 года назад +7

    TZ HAMNA SHERYA NI HELATU NA RUSHA BASI. HELA MBELE SHERYA MKIYANI

  • @chibelube
    @chibelube 2 года назад +10

    Hii nchii uhuni ni mwingi sana.

  • @leilahasani3118
    @leilahasani3118 2 года назад +8

    Kwa Maelezo haya wakili huyu hta mm sjasoma sheria nikisimama nae mahakamani namshinda although (falauudhubiLLah mindharika)

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 года назад +1

    Sheria ni elimu ya kupingana na Sheria. Kitabu cha Kusadikika na Shaban Robert

  • @paschalaberd7813
    @paschalaberd7813 2 года назад +1

    Pole sana

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 2 года назад +17

    Waele tu dhuluma si njema itawageuka Inshaa Allah

  • @lazandasweet9308
    @lazandasweet9308 Год назад +1

    Ee Mungu wangu msaidie uyu kaka jamani hii nyumba iende kilaisi laisi tu

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 года назад +10

    Rushwa ndio tatizo kubwa katika nchi yetu

  • @olenyghosho7008
    @olenyghosho7008 2 года назад +20

    mtamkumbuka tu,watu wanapiga kwa urefu wa kamba zao,acheni watu wanakula bataa tu. RIP jpm,

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 года назад +6

    Mtangazaji eti kwanini nyumba isivunjwe achukue kiwanja. Kweli shida 🤣

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 2 года назад +10

    Watamkumbuka Jpm angekuwepo haya yasingetokea

    • @nassoroc
      @nassoroc 2 года назад

      Hujui sheria ndo maana unasema hivyo!!

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 года назад +4

      @@nassoroc wewe ni matako, utawala wa magufuli unyanyasaji kama huu uliisha,pia kujua Sheria sio Kinga ya kuzuia ama kuepuka usitapeliwe,utapeli unaweza kumkuta mtu yoyote Duniani (cheating comes as an incident of an accident)

    • @davidjoseph9776
      @davidjoseph9776 2 года назад

      @@emariusrush3285 true speaking

    • @nassoroc
      @nassoroc 2 года назад

      ​@@emariusrush3285 Acha matusi kenge wewe?! Kuna mahali nimesema ukijua sheria huwezi kutapeliwa, au unakurupuka tu?!
      Msikie Wakili anachoongea! Kwamba Jasmine ALIAPA kwamba HANA MUME!
      Hivi kwa akili yako unaweza kulipa mamilioni kisa tu Muuzaji wako AMEAPA?! Alienda nae Mahakamani na akathibitisha kwamba ANAAPA, au alimletea tu AFFIDAVIT kuonesha kwamba ameapa?!
      Lakini hata kama alienda nae mahakamani, walifanya due diligence in advance kuhakikisha anachosema Jasmine kuhusu tutokuwa na mume ni kweli?! Au kumlipa Wakili wa kuifanya due diligence aliona taabu?!
      Haya, kamuamini Jasmine kwa sababu aliapa! Kesho na kesho kutwa anatokea Michael na kusema Jasmine ni mke wake! Kesi inaenda hadi mahakamani na hatimae kuthibitika kwamba Jasmine ni mke wa Michael!
      Unajua tafsiri yake hapo?! In short, Jasmine alishindwa kuonesha taraka! Na kama hakuna taraka maana yake hiyo ni NDOA HALALI hata kama walikuwa hawaishi pamoja!!
      Sasa huyo Magufuli angefanya nini hapo?!
      Tatizo Wabongo wanapenda sana shortcuts! Unaponunua kiwanja au nyumba/jengo ALWAYS HAKIKISHA UNAKUWA NA WAKILI, tena Wakili kutoka kwenye kampuni kabisa!! Huyu Wakili ndie atakayefanya DUE DILIGENCE kuhakikisha kwamba kiwanja hakina mgogoro!!
      Kinyume chake, Wanachofanya Wabongo ni kununua vitu kienyeji kisha ndo wanatafuta Wakili akawagongee tu muhuli! Wakija kutapeliwa "kiakili" ndo wanataokea mazwazwa aina yako na wapenda matusi na kusema "angewepo Magufuli"!
      Huyo Magufuli ndo aliwaambia mfanye mambo kiholela?!

  • @benardboaz6347
    @benardboaz6347 2 года назад +1

    Kama jamaa huyo Jasmin alikuwa mkewe siwalete vyeti vya ndoa na walifungia wapi ndoa na ninani aliye wangisha ndoa.

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 2 года назад +10

    Mpaka nyumba inajengwa Hadi inaisha mpaka wapangaji wanaingia huyo Michael alikuwa wapi!!!!?,,mi nahisi jasmine alikuwa ni mchepuko alinunuliwa kiwanja wakati hati ya kiwanja Ina jina la huyo Michael,,, ni sawa na mtu akupe zawadi ya Gali wakati KADI ya Gali Haina jina lako😃

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 2 года назад

    Ohooo basi ni mume na mke wamegeukana kwa picha inavyoonekana

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 года назад +24

    Nilikuwa simuamini Sana Magufuli ila Sasa nimeanza kuamini alikuwa akifanya kazi nzuri kwa watanzania kwenye utawala wake R I P jembe magu.😭😭😭😭

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 2 года назад

      Atakumbukwa sana Magu🙏🙏🙏

    • @nassoroc
      @nassoroc 2 года назад

      Sasa Magufuli anaingiaje hapo?! Hilo suala ni gumu; hakuna cha Magufuli wala Nyerere!! Ni kutokana na hilo ndo maana unaambiwa HAKIKISHA KIWANJA UNACHONUNUA HAKINA MGOGORO WOWOTE ULE!
      UNAPONUNUA KIWANJA AU NYUMBA, HUSUSANI MJINI HAKIKISHA UNAKUWA NA WAKILI. NA HAKIKISHA UNAMLIPA VIZURI ILI AFANYE DUE DILLIGENCE. IKIBIDI, USIOKOTE TU WAKILI BALI CHUKUA WAKILI AMBAE YUPO KWENYE KAMPUNI YA UWAKILI.
      HAKI NA WAJIBU WAKE UONESHWE KWENYE KAZI UNAYOMPA!!
      TATIZO LA WABONGO, HUWA TUNATAFUTA MAWAKILI KWA AJILI YA MIHULI TU! MTU ANAFANYA MAMBO KIENYEJI, NA "YAKISHAKAMILIKA" NDO ANAENDA KWA WAKILI ILI APIGIE MUHULI!
      Sasa turudi kwenye mada yenyewe!!
      Mnunuzi wa Kiwanja alijihakikishia kutokuwepo kwa mgogoro kwa kutumia kiapo cha Muuzaji kwamba hakuwa na mume!! Kama nilivyosema hapo juu, kwenye mambo ya kibiashara kuna kitu kinaitwa Due Dilligience!!
      Sawa, Mdada aliapa kwamba hana mume!! Je, Wakili wa Mnunuzi (kama alikuwa nae) alifanya uchunguzi kuhakikisha kweli hakuwa na mume?! Huko kufanya uchunguzi ndo Due Dilligience yenyewe! Yaani Wakili angehakikisha anawapata watu wa karibu wa Jasmine na kuwadodosa ili kupata uhakika hajawahi kuolewa, na wala hakukuwa na uwezekano kwamba kiwanja ni cha urithi!
      Kama hakufanya uchunguzi, matokeo yake ndo hayo! Kesho na kesho kutwa anatokea mtu anasema "Mimi ni mume halali wa muuzaji kiwanja!"
      Jamaa anaonesha hadi cheti cha ndoa kama uthibitisho kwamba ni mke wake!!
      Kesi inaenda mahakamani, hapo ndo kazi ya yule aliyesema HANA MUME kuonesha taraka au kukikana cheti cha ndoa kwamba hakitambui!! Ikithibitika cheti ni halali, basi nae aoneshe taraka ya kuachwa!
      Na watu wenyewe ni MICHAEL vs JASMINE! Kama ilikuwa ndoa ya Kikristo basi tunatarajia taraka hiyo iwe ilitoka mahakmani! Je, ipo?! Kama haipo, ina maana aliyenunua kiwanja KATAPELIWA!!
      "Kosa" hapo ni Michael kutokuwa muungwana. Hata kama kuna kesi imefunguliwa mahakamani, hiyo haimfanyi Michael kutoenda kwenye "nyumba yake"!
      Kitu pekee ambacho kingemfanya asiende ni PINGAMIZI ambalo kwa maelezo ya Wakili hapo juu, sioni kama mahakama imetoa pingamizi!!

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 года назад +3

      Samia karudisha rushwa kwasababu sio mkali Wala hatetei watu

    • @kushahandakama6970
      @kushahandakama6970 2 года назад +5

      Mtamukumbuka kwa mazuri na sio kwa mabaya

    • @Team-t6k
      @Team-t6k 2 года назад +2

      Weye kama hakumuamini Magufuri basi Tanzania hamtaga pata rais kama yule mzee kaa apo utasubiri mpaka uchoke sisi tumekuwa tukitamani aje ongoze hata African yote weye unasema umekuwa hamuamini na weye niya mchongo

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 8 месяцев назад

    Hapa inavyoonekana mwanamke alinunua kiwanja lakini mjengaji alikuwa mwanaume.hapo ndio ujinga tunaofanya wanawake kwa ajili ya mapenzi.

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Год назад

    Tatizo lilianzia hapo....Huwezi kununua kiwanja Mbweni kwa 45 m. Hiyo ni wazi kwamba kuna utapeli hapo.

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 2 года назад +1

    Njaa mbaya sana aiseh

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 2 года назад +10

    Hapa hakuna uhakika wa ukweli, ngoja tusikie na upande wa pili, halafu tupate picha. Yasijekuwa kama yale ya ukuta getini.

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 года назад +25

    Hii nchi haina viongozi wapuuzi tu

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 года назад +2

    Kwa ufupi naona Huyo mwanamke alimuibia huyo mwanaume akaenda kujenga kwa siri

  • @hakimameir3370
    @hakimameir3370 2 года назад +7

    Jasmine ndio sababu ya hili tatzo lote.

  • @thebios255
    @thebios255 2 года назад +1

    Wanangu pesa zetu twendelee kununua magari na kupanga mwaka huu unaishi masaki mwakani mikocheni kwa raha zako stress kama izo za nn mil500 unapanga classic apartment more than 20years

  • @emmymringo6621
    @emmymringo6621 2 года назад +1

    Pole Sophia wangu jamani

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад

    Ao huyo mwanamke ana shirikiana na mme wake huwenda wali lipanga

  • @alimbarouk9353
    @alimbarouk9353 2 года назад

    sasa mtu umeuziwa kiwanja milioni 45 kihalali leo anakuja mtu achukue nyumba mbili ambazo umejenga kwa thamani ya milioni 500 hio ni haki ya wapi wakati hizo nyumba hata hujazitolea jasho na si haki yako hii dunia hii kuna watu mungu atakwenda kuwahukumu vibaya sana kwa dhulma

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 2 года назад

    Hayo mambo yako Tanzania na Burundi wizi umezidi

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 2 года назад

    Nchi hii mtaisoma sana nchi sio salama

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 2 года назад

    Mm ukija hivi, lazima niondoke na watu 5.

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 2 года назад +5

    Dunia hii Mungu atusaidie sana

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 2 года назад +1

    Pole sana dada yangu sophia dah! sasa tutakunywa wapi bia 🥲🥲🥲

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 2 года назад

    Hii noma sana

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 года назад

    Sio bure kuna jambo nyuma ya pazia

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 2 года назад +1

    Wizara ya ardhi inatatisu wengi sana, sijui maelfu ya watu wanapata shida , utarekebisha lini ?

  • @Eshiwakwemassawe
    @Eshiwakwemassawe 2 года назад +1

    Sioni haja ya kuandika Bei ya nyumba bro zaidi tunaonda Udaku ata kwenye Media tunazo ziamini

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 года назад +1

    Maskini 💔

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад +6

    Mtihani walahi dah 😭😭😭

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Год назад

    Hiyo ni mipango ya huyo Jasmine na huyo Anaejiita mume wa jasmine matapeli hao

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 2 года назад +13

    Izi kesi Tanzania ni nyingi mno Yan atakama unakipesa chako waogopa kukitoa kununua kiwanja au nyumba watu matapeli

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 года назад +2

      tangu aingie Samia mambo yameyumba Sana

  • @james_officialtz883
    @james_officialtz883 Год назад

    Jasmi aliuza akijua kuwa maico hawezi kutoka jela jamaa katoka anadai mali zake jasmini mwenyewe kakimbilia Dubai

  • @desolz3809
    @desolz3809 2 года назад

    Waziri wa ardhi mwenyewe sasa😅😅😅

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 2 года назад

    Kwanivyo dhani huyo dada alijaribu kujimilikisha kiwanja kitapeli alihusika huyo mumewake kiasi kikubwa but akaamua ajimilikishe sidhan kama niweza kumvamia mtu atoke nyumban na wapangaji na mahakama inisapoti kiivyo Yee anajua mengi

  • @johannesrwiza
    @johannesrwiza 2 года назад

    Tanzania Hakuna Mahakama

  • @kelvinmhina1685
    @kelvinmhina1685 2 года назад

    Wakili mwenyewe hajui kujieleza

  • @rosekinabo3599
    @rosekinabo3599 2 года назад

    Huyu mwanasheria yupo upande wapili ,kwa maelezo yke nyumbaipo juu ya ardhi ni Mali ya ardhi imekula kwake huyu ni kitu kimoja na hao

  • @nolascodismassilayo3927
    @nolascodismassilayo3927 2 года назад

    Pumbavu zake taperi huyu na watendaji wamekula rushwa haya ndo majibu juu kila kitu kimekwenda kinyume na sheria unapata wapi umwamba wa kutupa vitu vya wapangaji nje ya nyumba wakomeshwe na kulipa fidia iwe fundisho kwa wengine dhuruma ni baya.

  • @fuchijonas2179
    @fuchijonas2179 2 года назад

    Ukisikia maana ya rushwa kuwa adui wa haki ndio hii

  • @njiwapori8749
    @njiwapori8749 2 года назад

    Sasa pesa za kulipa kod hii nyumba bora ujenge ya kwako tu

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 года назад +3

    Huyo mwanamke aliyewauzia kiwanja atakuwa ni tapeli kabisa na aliidanganya mahakama

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 2 года назад +1

    Apewe kiwanja cyo nyumba annunuliwe kiwanja cyo nyumba wizara ya arithi ingilie

  • @martineboniphace8572
    @martineboniphace8572 2 года назад +1

    niliposikia tu deed of gift
    'basi hamna kitu hapo '...

  • @james_officialtz883
    @james_officialtz883 Год назад

    Kweli hicho kiwanja ni cha maico jasmini alikuwa mkewe baada ya maico kwenda jela kwa tuhumu furahi ndoa jasmin akaanza kuuza mali za mumewe

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 2 года назад +1

    Na ww wakil ujui sheria kwenda uko alishindwaje na docment zipo

  • @zuwenagharib7085
    @zuwenagharib7085 2 года назад +8

    Dhulma mbaya sana. Mtu anadhulumu kama vile ataishi milele... msiba huu

  • @LIZZYJUSTIN-en6nd
    @LIZZYJUSTIN-en6nd 9 месяцев назад

    Apo pangechimbika tu kiwanja unyanganywe vyombo utolew alafu gharama za ujenzi n kubwa kuliko kiwanja chenyew n kubomoa tu mpaka tiles 😢

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 2 года назад +1

    Yaani tanzania 🙏

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 2 года назад

    Wakili ni lisu Tu

  • @wematino5385
    @wematino5385 2 года назад

    Mwanaume ananjaa za kipuuzi

  • @emmanuelbanda9964
    @emmanuelbanda9964 2 года назад +5

    Haki ya Mungu hapo lazima niende kigoma kutafuta bibi .. huwezi kuchukuwa kutu hapo

    • @hadija846
      @hadija846 2 года назад

      🤣🤣🤣

    • @zuwenaabdallah7748
      @zuwenaabdallah7748 Год назад

      Watu wana hela jaman anapanga jumba kama hilo aisee poleni wapangaji

  • @mdl6463
    @mdl6463 2 года назад +1

    Sheria zetu ubaya waga zinapindishwa pindishwa zinatawaliwa na rushwa rushwa adui wa haki ndo maana magufuri alikuwa Ana tatua shida kama hizi chap chap maana tamaa yeye aliweka kando hapa ukianza kufuatilia utakuta madudu kibao kwa viongozi watu na ukweli unajulikana tu

    • @Team-t6k
      @Team-t6k 2 года назад

      Mko nakiongozi mwanamke mkubali ba hali John Pombe Magufuri Mungu mwenyewe

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 2 года назад +15

    Mwl nyerere alisema SHERIA NA HAKI NI VITU VIWILI TOFAUTI. nimeamini yaani mahakama hiyohiyo jasmini aliapa Hana mume na mahakama hiyohiyo imetoa kibali apokonywe mmiliki mpya. Kwa MUNGU huko sipati picha Moto wake. Sitaki shule kuanzia leo

  • @abdimsagati9667
    @abdimsagati9667 2 года назад

    Uyo dada anajua kacheza mchezo

  • @daudmwalimu971
    @daudmwalimu971 2 года назад

    Huyo jasmine kachukuliwa hatua gani sasa?

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 года назад +4

    Duh hivi viwanja jamani

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 2 года назад +2

    Kwa hiyo Jasmin hana haki hivyo nyumba isivunjwe na Jasmini atoe ushahid uyo mwiz na ardhi in chanzo cha migogoro

  • @massoudsultan6149
    @massoudsultan6149 2 года назад

    W akili ni bonge LA muongo na ni mtu hatari huyo kanunua 2019 na kajenga na kaweka wapangaji this is comedy

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 года назад +19

    Yaani kama una hela zako ni bora ununue kiwanja mikoani sehemu nzuri tu, ni ngumu kutapeliwa mikoani ila dar uogopa sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +2

    Kama cha mwanamke mpeni mwenyewe huyo mwanamke alie nunua Sasa na zunguka nini na ushahidi upo

  • @jackypaul8846
    @jackypaul8846 2 года назад

    Kwanini mke hakusema kwamba kiwanja alishauza?

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 2 года назад +5

    Sasa huyu Michael alipataje hao mabaunsa bira baraka za mahakamani

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 года назад +1

    Mrudisheni Lukuvi ardhi

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 года назад

    Huyo mteja wa wakili alileta ubishi. Michael alipojitojeza ilibidi jamaa ahakikishe mgogoro ubaisha na sio kuendelea kujenga

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 года назад +19

    Something wrong kwa serikali mtu kama amenunua kitu na kipo kihalali mnakigawanya vipi kumpa mtu mwengine

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 2 года назад

      hapa kuna issue imejificha zaidi,kwanza mwanamke kaongopa kwamba hana mume wakati anamume,naona km kuna kitu kimejificha.

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 года назад +1

    Sasa si adaiyane na uyo mwanamke wake pumbavu sana

  • @thomastemu9938
    @thomastemu9938 2 года назад +2

    Wanaume wa dar. Mnataka kuolewa kwanguvu.

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 года назад +1

    Huyo mwanasheria hata haieleweki maelezo yake, Huyo hata nisimame nae mahakamani ntampiga chini

    • @abdallahrashid169
      @abdallahrashid169 2 года назад +1

      Umetumwa ehh mbona maelezo yapo sawa kabisa, mteja kauza akiapa kuwa hana mume, kiwanja akipewa zawadi siku ya birthday tena kubwa zaidi alipewa na wajomba zake, sasa huyo anayejiita mume anataka kutapeli mali kutoka ukweni na hati ya zawadi ipo, patamu hapo na hivi ishawekwa wazi hata rushwa Haina nguvu tena, yajayo yanafurahisha.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад

    Duh

  • @MohammedMohammed-rf3we
    @MohammedMohammed-rf3we 2 года назад

    Kheeh makubwa haya twagombea alzi🤔🤔🤔

  • @njiwapori8749
    @njiwapori8749 2 года назад

    Kumbe ni Mali yake aise Pole

  • @husseinmaula5960
    @husseinmaula5960 2 года назад

    Aliponunua kiwanja hakukuwa na documents zozote

  • @stephenemganga3604
    @stephenemganga3604 2 года назад

    Tuachane kwanza na tukio! Hivi nikweli hii nyumba thaman ni m500??????? Yan hivyo tu!! Wengne tutajenga sasa

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 2 года назад +1

    Kweri uwo ni uhuni sasa akamutoe nyumba kajenga yeye bac apewe kiwanja kingine cyo nyumba

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 2 года назад +5

    Jamani Sheria ni NY***k kama alipewa zawadi siku ya harusi na je uyo baraka alipataje ushindi na jina la hati sio lake akaenda kubadili

    • @khalidmnjovu4463
      @khalidmnjovu4463 2 года назад

      Hakunaga utetezi wa upande mmoja! Every story has 2 sides. Utashangaa majibu ya upande wapili yakija kutolewa

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 года назад +4

    Haki nimekosa hata cha kuandika

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 года назад +1

    Kuna dada mmoja huku naye limwanaume bila haibu linataka lifanye hvyo hvyo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 года назад

    Ss si aje uyo Dada atoe usharudi mtu akae Kwq Amani kwnn mnmdumbuw Mtu na hk yk uyo baba ikibidi mfqte mkewe a muulize kuhusu icho kiwnja na sio kuja kudai kitu n kuamisha wt ndni

  • @kassebo
    @kassebo 2 года назад +1

    m.ruclips.net/video/AWx8S5KoHjY/видео.html
    🎥 KASSIANO KASSEBO (official 4k video) #2022 - RUclips

  • @byaombealoys5967
    @byaombealoys5967 2 года назад +2

    Serekali mbovu iyo inabidi watu wawe na bunduki ndani maana unapoimwa haki ili uteseke afadhali mbadilishane majengo

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 года назад +3

    Sasa mwanaume anang'ang'ania kiwanja ambacho hausiki kwa mujibu wa maelezo hapo angekwenda kuwahi mapori kibaha au mlandizi uko.kama shida ni ardhi.maeneo mengi sana,aende uko.

  • @chembejohn9605
    @chembejohn9605 2 года назад

    Hamna kes hapo....ni kukomoana 2...kila mtu analingia nyakati z viongoz waliopo Madarakan

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 года назад +1

    Jamani tamaaa izi daa 😭😭😭😔

  • @patrickbilago5513
    @patrickbilago5513 2 года назад +2

    Ukiwa napesa zazuruma hakika utazurumiwa