Juma Nature: Diamond na Alikiba wanafuata nyao zangu lakini bado

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 89

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 6 лет назад +1

    Jumaaa 😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁nafurahi sana inabidi na mimi nijitangaze sasa juma waallaah wewe una ni furahisha

  • @kakasteve7117
    @kakasteve7117 6 лет назад +1

    Nammiss sana Nature

  • @MIKEBOSSNJENGA
    @MIKEBOSSNJENGA 6 лет назад +2

    Lilommy my guy the MVP jaman naomba open the video for download. Some of us tunadownload tuwatch baadaye. Tafathali from 254

  • @joycemakori3835
    @joycemakori3835 6 лет назад +8

    niseme ukweli kutoka moyoni Juma nature nakupenda zaidi ya Ali Kiba na Diamond hata kama huna pesa kama wao japo wao pia niwaimbaji wazuri. you are the best

  • @ibrahimmlanzi4187
    @ibrahimmlanzi4187 6 лет назад +6

    Nature bado huko fresh vocal badoo inaita big up kiroboto

  • @ragebcashtown3822
    @ragebcashtown3822 6 лет назад +6

    Nature anauwa sana interview.... Yuko vzr sema abadilike tu na mm namuelewa kweny inaniuma sana

  • @erickchristopher7143
    @erickchristopher7143 6 лет назад +2

    Kama unamkubali kiroboto gonga like apa

  • @jimmymwachiru3377
    @jimmymwachiru3377 6 лет назад +27

    Wapi likes za legend

  • @abdulrazakimwamino36
    @abdulrazakimwamino36 6 лет назад +1

    Nakukubali sana Neture wewe ni legendrey

  • @emmanuelgasper9239
    @emmanuelgasper9239 6 лет назад +3

    nyayo gani juma nature zaidi sana kujaza mashabiki

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 лет назад +3

    Naomba Arudii Tena I like It A lot♥️🙌🏽😁♥️🇰🇪♥️💥🙌🏽 Oii Lilommy Mmeuwa Saana♥️💥🙌🏽❤️❤️🇰🇪❤️❤️.!

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад

    Juma kasim nature aka kiroboto.....
    huyu jamaa ali kua wa moto saana

  • @abdulrazakimwamino36
    @abdulrazakimwamino36 6 лет назад +1

    Nakubali mwanangu

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 6 лет назад +2

    Eeh nature noma sana apate tu manager ment nzuli bado ana sauti nzuri

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 6 лет назад +1

    unakumbukumbu kaliii mzee

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 лет назад +7

    Interview safi kabisa mabishooo waongee tena

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 лет назад +2

    Oya sinta yupo wp mzee baba

  • @seifyusuph9627
    @seifyusuph9627 6 лет назад +1

    kiroboto safii

  • @sirkipingu6721
    @sirkipingu6721 6 лет назад

    Nature baba. ...aisee nakukubali san

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 6 лет назад

    Anamkumbuka sana mshikaji wake marehemu Albert mangwea kile kichwa sana alikuaga hasomi karatasi anatoa kichwani live

  • @khamissuleiman2288
    @khamissuleiman2288 6 лет назад +2

    Juma baba ni noma sana big up nature

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 лет назад +3

    VERY HUMBLE MUSICIAN DESERVES RESPECT AND APPRECIATION.

  • @josephmpemba8951
    @josephmpemba8951 6 лет назад +5

    bigup broo jina mwili wako kama jina lako aiseee

  • @josejuma103
    @josejuma103 6 лет назад +1

    Legend wetu huyo

  • @KingMuta
    @KingMuta 6 лет назад +1

    Daah lili ommy jamaa unajua interview kweli... Sio wale jamaaa kama vile hawataki vile..

  • @mariamuhadi8958
    @mariamuhadi8958 6 лет назад +1

    Mumtaaaaz nature

  • @asallymbwego5906
    @asallymbwego5906 6 лет назад +9

    Unatukumbusha mbali sn Nature ila ladha zenu zimeshakuwa km Msondo yani zilipndw,ila ngoja tuone tn km utakuwa zaidi ya vile.

  • @reubenonsando1148
    @reubenonsando1148 6 лет назад

    Wao sauti nature.

  • @josejuma103
    @josejuma103 6 лет назад

    Mtangazaji unajua kazi yako big up

  • @jimmynziku5384
    @jimmynziku5384 6 лет назад +2

    legend forever

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 лет назад +7

    Nature😂😂 nakuelewaga sana legendary😁

  • @norbethkitosi3718
    @norbethkitosi3718 6 лет назад +1

    Fundi uyo

  • @justnrimoy6161
    @justnrimoy6161 6 лет назад +2

    Wenye mzk wao,

  • @godfreyflorence4224
    @godfreyflorence4224 6 лет назад +6

    hahaha so funny kila unapotembea lazima unasema😆😆😆😆😆

  • @stephenmlinga4858
    @stephenmlinga4858 6 лет назад

    Ebana nature uko sawa baba

  • @saymonmilandu4284
    @saymonmilandu4284 6 лет назад +10

    nakubali mziki wako Ila nakushaur ukiojiwa sehemu nyingine husiseme bado hawajakufunika. kwakipindi hiki huwakuti

  • @samsonbarasah9260
    @samsonbarasah9260 6 лет назад

    yuko wapi mb doggy man

  • @msaflus2492
    @msaflus2492 6 лет назад +2

    legendary

  • @mwendwamjukuu9468
    @mwendwamjukuu9468 6 лет назад +1

    safi sanaaaa

  • @joem9569
    @joem9569 6 лет назад +2

    😂😂👏👏👏 legend himself

  • @suleimansuleiman4205
    @suleimansuleiman4205 6 лет назад +1

    Nature

  • @menamchayizi6893
    @menamchayizi6893 5 лет назад

    Mzee Busara

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 лет назад

    Enzi za akina juma necha mangoma yao achana nao waliuwa hao wa sasa mmm bado sana.

  • @brianontori8384
    @brianontori8384 6 лет назад

    This guy is fun waa i truly miss his voice

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu90 6 лет назад +2

    dingiiii....

  • @ezzytz6381
    @ezzytz6381 6 лет назад

    Mm siyo kiki master

  • @bonymwamita4298
    @bonymwamita4298 6 лет назад

    Daah natural nakuelewa sana

  • @seifyusuph9627
    @seifyusuph9627 6 лет назад

    kiroboto nakuelewa sana

  • @ezzystar2502
    @ezzystar2502 6 лет назад +1

    Necha ndevu huna KabisaAu

  • @yeconiamsolla6906
    @yeconiamsolla6906 6 лет назад

    pombeee nyng kllkiii ...ikoo powaaa xanaaa

  • @dennismataula293
    @dennismataula293 6 лет назад

    Nature namkibali

  • @tysonjengela1425
    @tysonjengela1425 6 лет назад

    leta vitu man

  • @ramadhanabdallah7747
    @ramadhanabdallah7747 5 лет назад

    wee necha mbona umekonda sana au unakula ngada

  • @emmanuelanthony3496
    @emmanuelanthony3496 6 лет назад +8

    Gonga like kama na wewe unamkubali GNAKO machorous...G warawara.🔥🔥

  • @ngaokolatv4416
    @ngaokolatv4416 6 лет назад

    Sawa mzazi kiroboto

  • @akbarmpemba6990
    @akbarmpemba6990 6 лет назад

    Sawa mkongwe wew ndio kaka yao

  • @albywamandalinho
    @albywamandalinho 6 лет назад

    Kirobotoo mwenyewe ndo huu😂😂😂

  • @sizoishoboy5232
    @sizoishoboy5232 6 лет назад +1

    Masanga

  • @alibinali_
    @alibinali_ 6 лет назад

    Juma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 лет назад +2

    😂😂😂we kweli msanii😂😂😂digi yake filigich

  • @twalibtwaha7009
    @twalibtwaha7009 6 лет назад

    Umekwisha

  • @neemaabdulrahman1631
    @neemaabdulrahman1631 6 лет назад

    Kweli jamaa kapoteza sauti.

  • @jumaathumani9732
    @jumaathumani9732 6 лет назад

    wajina bado upo vzr ila nadhani kwer vimiminika na kubel ndio tatzo ukijitahd kuacha nadhan utarud ktk game kwa kias chake

  • @suedissa7500
    @suedissa7500 6 лет назад +3

    Na ndio matatizo yenu haya wasanii wa kitambo,mwaka 2001 sio sawa na mwaka 2018,zama zinabadilika hizo story za zilipendwa hazitakiwi kwa muda huu,pambaneni kwa nafasi zenu mjijenge...sio wakati wa kusema sijui nan mkali sijui zaidi nan,RAIA hawaitaji hayo tena😀😀😀😀

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 6 лет назад

    kiroboto fundi

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 6 лет назад +1

    Ndio ukimsaidia mtu usitangaze hadharani

  • @meshackmgunda8789
    @meshackmgunda8789 6 лет назад

    Bado we upo wapi sasa

    • @kambimuhomba6176
      @kambimuhomba6176 6 лет назад

      Mashabiki wa muziki bongo tunaomba show kati ya juma nature na diamond

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 лет назад

    Umeamka kumekucha

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 6 лет назад

    Alafu jamaa wapi home kwao,au kusini iyo

  • @buberwajohn1312
    @buberwajohn1312 6 лет назад

    Mzee baba nature hapo kwa g.nako hapo umepatia jamaa yuko vizuri ukimpatia kiitikio anaua kabisa yani

  • @mojaskonking5870
    @mojaskonking5870 6 лет назад

    Juma umelewa ww umeshaa funikwa mbaya xana na diamond halafu unaongea usenge

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 6 лет назад +4

    Necha acha pombe bwege wewe

    • @angerdanierry8365
      @angerdanierry8365 6 лет назад +1

      Omary Kyutta muache na maisha yake boya wewe,kwani stalehe yake inakukera nini

    • @amirikaniki240
      @amirikaniki240 5 лет назад

      wewe ndio boya choko nin una mjua juma au