LIVE: LISSU ALIVYOTINGA KIBABE OFISI ZA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUMUNG'OA MBOWE..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 39

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 8 часов назад

    Nakupenda sana Lisu ❤❤
    Nampenda sana kamanda mbowe ❤❤❤

  • @EssauMahundi
    @EssauMahundi День назад +5

    Haki yake achukue form ngoma mlingoni wapiga kula ndio waamuwe

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 9 часов назад

    Mchagueni lissu ni jasir sana

  • @ThomasErro
    @ThomasErro 7 часов назад

    hiyo yote ni njama za mbowe na hakuna anayemuumiza zaidi ya mbowe kwani ni njama za mbowe

  • @JuhudiNzowa
    @JuhudiNzowa 3 часа назад

    Chaguen LISU wala nsiumize vichwa maana huyu jamaa ni mpango wa mungu

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik День назад +4

    Kweli mbowe kapatikana maana lisu dunia nzima inafahamu anachokifanya na mchuano ni mkali na usije ukashangaa akawa mwenyekiti mpya wa chadema

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 День назад +2

    Huyu hata tukimpa nchi mwaka mmoja tunaelewana vzr tu

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 День назад +1

    Myika hana baya yupo vizuri Boni ndo chawa

  • @Joyce-k9c2m
    @Joyce-k9c2m 2 дня назад +4

    Jamani mbona kuchukua fomu kwa Lissu ndani ya Chadema kuna machawa wanapagawa kule Tawala
    Kuna shida gani kama Chadema waruhusu wagombea wachukue fomu.
    Binafsi naamini Ccm wamemzoea na wamemuweza Mbowe

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu День назад

    Ofisi nzuri

  • @emmanueljohn9286
    @emmanueljohn9286 День назад

    Hivi ile michango tuliyomchangia MH lissu ya kununua gari iko wapi na je gari alinunua.?maana naona anatumia ile ile ya risasi

  • @MuhammadNasir-ln1xe
    @MuhammadNasir-ln1xe День назад +1

    Allaha akulinde na maaduwi wa samia Mr.lissu.

  • @ThomasErro
    @ThomasErro 7 часов назад

    ww Lisu acha ujinga wa kumfikiria samia, ww utamalizwa na mbowe, utaona cha moto

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj 2 дня назад +2

    Bon yai ndo chawa wa mbowe

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah День назад

    Hawatamsingizia kikulacho

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 День назад +1

    huyu jama aaliumizwasna

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela День назад

    SAFI sana

  • @iskitogo
    @iskitogo День назад

    Lissu anajaribu kujihami Mbowe asimdhuru...anajuwa bila kujihami hawezi kufika popote. Hiyo story ya mzee wa nchi hii ni stori ya kutunga na ametungiwa na majasusi ili kumzuia Mbowe asifanye jaribu lolote dhidi yake. Kwa sasa ambaye anaagaliwa zaidi ni Mbowe ambaye anaamini chama kitaendelea kuwa salama katika mikono yake. Kimsingi, Lissu si mwanasiasa ni mwanaharakati anaogopewa akikamata uenyekiti atakirudisha chama nyuma kwenye harakati na hapo chadema kitakuwa kwenye wakati mgumu wa kupiga hatua.

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 День назад

      Kwa katiba iliyopo hii ya chama kimoja wananchi tunahitaji chama cha kihanaharakati.

  • @IsdoriNdunguru-jx5bk
    @IsdoriNdunguru-jx5bk День назад +1

    Bon umetukwaza

  • @GuidoLadislaus
    @GuidoLadislaus День назад

    Lissu hazina kubwa sana

    • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
      @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu День назад

      Unazungumza UKIWA chumbani au

    • @LevinaAloyce-g7h
      @LevinaAloyce-g7h День назад

      Mbowe kabila lake hawez kuacha mapesa ya mama Abdul ,ndyo maana alikubali malidhiano fek na ccm Kama wakolon walivyomlaghai yule chifu mungungu was msovelo, akapewa kipande Cha nguo akagawa ardhi, ccm wakolon wanamlaghai mbowe wampe kipande Cha nguo agawe ardhi,$maridhiano feki alipewa, &na akupew chochot ktk mardhiano

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako День назад

    Lisu tosha

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 День назад

    Mnyika mbona kama anatetemeka sana , naona kabisa baada ya Msigwa anaefata Mnyika kutimukia ccm

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r День назад

    Ashinde sasa msilete

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 День назад

    We acha uoga. Tundu. But unajihami nini. Unamwogopa mwamba Nini tuliosoma Qba tumeijua hiyo kwel nimeamini bado hatujapata. Vyama pinzan🤫😎

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi День назад

      We una akilii au unamavi kichwani

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 2 дня назад

    Au unatumia lugha hiyo kumchafua mbowe maana na wewe huwa mropokaji

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi День назад

      Una mjua mlpokajii ww matako walopokajii viongoziii wako wa nchiii