Vyovyote itakavyo kuwa lakini Hawa wote ni lulu ndani ya Chama chetu pendwa chadema, lakini siku ya kupiga kura nikiwa Kama mpiga kura NITAMCHAGUA LISSU.
Kwa uwezo mkubwa alionao mbowe kidemokrasia naamini atamuachia lissu kijiti kwa maana mbowe anafahamu kuwa lissu anao uwezo mkubwa pia wa kukipeleka chama mbali zaidi
Lissu anafaa kuachiwa uwenyekiti ila chadema wanaogopa mabadiliko ata sisi Zanzibar ACT Tuliogopa Maalim kuondoka na leo tuna OMO CCM wanahenyeka wanamuogopa so chadema msiogope muaminini Lissu
Mr Lissu akili kubwa sana na vision kubwa sana, shujaa, mzalendo,mkweli sana ila baadhi ya Wa TZ hawakuelewi sana kwa sababu ya uelewo mdogo unaosababishwa na uono mdogo pia.
Kusema bila utendaji kunasaid8a nini??? Huyu ni msemaji sio mtendaji Ndio maana uenyekiti sio nafasi yake Nafasi yake ni hiyohiyo aliyokuwa nayo Uenyekiti unahitaji kwanza uwe napesa ku support chama Pili uwe mtendaji!!! Bilanhivyo mtaishia kuwa TLP NCCR MAGEUZI CHEYO WENGINE
Lisu kamsahau maalimu sief lipumba na mrema ,kwa maslahi ya gnz ,tunachohitaji maendeleo na mabadiliko ya kiuchumi kuanzia mtaani mpaka huko maofisini kwenu.......
Lissut ni Hazina ,Mbowe ni Shujaa.
Mungu awabariki
Njamaa akiri kubwa sana
akiliii kubwaaaa
Mbowe ana akili sana atamuachia huyu maana hawa wametoka mbali sana
Akimwachia ndio kimekufa
Vyovyote itakavyo kuwa lakini Hawa wote ni lulu ndani ya Chama chetu pendwa chadema, lakini siku ya kupiga kura nikiwa Kama mpiga kura NITAMCHAGUA LISSU.
Kwa uwezo mkubwa alionao mbowe kidemokrasia naamini atamuachia lissu kijiti kwa maana mbowe anafahamu kuwa lissu anao uwezo mkubwa pia wa kukipeleka chama mbali zaidi
Lissu anafaa kuachiwa uwenyekiti ila chadema wanaogopa mabadiliko ata sisi Zanzibar ACT Tuliogopa Maalim kuondoka na leo tuna OMO CCM wanahenyeka wanamuogopa so chadema msiogope muaminini Lissu
Mr Lissu akili kubwa sana na vision kubwa sana, shujaa, mzalendo,mkweli sana ila baadhi ya Wa TZ hawakuelewi sana kwa sababu ya uelewo mdogo unaosababishwa na uono mdogo pia.
Cleaver mind bt watanzania hawamuelew
Binafsi namuelewa Sana.
Mimi namuelewa lkn kwa Nini asiombe TU kwa Nini anamwataki MBOWE?
Kitu ambacho uwa ninakuelewa wew mwamba uwa huogopi kuusema ukwel hata kama utskugarimu vipi
Kusema bila utendaji kunasaid8a nini???
Huyu ni msemaji sio mtendaji
Ndio maana uenyekiti sio nafasi yake
Nafasi yake ni hiyohiyo aliyokuwa nayo
Uenyekiti unahitaji kwanza uwe napesa ku support chama
Pili uwe mtendaji!!!
Bilanhivyo mtaishia kuwa TLP
NCCR MAGEUZI CHEYO WENGINE
@@AnociathaChuwa-cb5nkujinga wako ndio imekujaa hivo
Lisu kamsahau maalimu sief lipumba na mrema ,kwa maslahi ya gnz ,tunachohitaji maendeleo na mabadiliko ya kiuchumi kuanzia mtaani mpaka huko maofisini kwenu.......
Huu ni Raisi anaeongea
Daah Lisu Mungu akupe maisha marefu
Utashangaa kuna chama kinatamani Mbowe aendelee kuwa m/kiti We want serious people kama Tundu Lissu Everyone is tired of illusions
Nimefurahishwa na uchaguzi wenye ushindan uliojaa joto la haki huu ndiyo uchaguzi halali na sifa .
Hila naofia kuwa upande ccm huyu mzee