JUMA NATURE: Nikiingia Mnaowasifia Mnaweza Msiwasifie / Wanafanya KIKI na WACHUMBA zao! Part1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 78

  • @hamisikalama7389
    @hamisikalama7389 4 года назад +2

    Sir nature Nakubali kutoka Zama APA pwani ya Kenya shavu Sana kaka

  • @austinkennedy9870
    @austinkennedy9870 5 лет назад +5

    Nimetoka block 89, nimekuja huku nimegundua kitu, lil ommy ni level nyingine...respek!

  • @maryamdulaochu2551
    @maryamdulaochu2551 6 лет назад +4

    Nikisikiliza interview ya msanii katik channel yako hua siangalii kwengine sababu najua maswal yote unamalizaga mzee Tambwe salute kwako tambweee MVP HALF MAN HALF ......MALIZIAAAAA

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 6 лет назад +4

    Inasikitisha saaana wasanii vichwa km Nature kuishi hv wanavyoishi nazani they deserve more

  • @sekundemaster460
    @sekundemaster460 6 лет назад +7

    daa Juma kweli unajuwa kujibu maswali twende kazi kirobotooo

  • @tunguizengo5996
    @tunguizengo5996 6 лет назад +6

    Juma nature umejibu vizur sana 👊👊👊👊

  • @munashabanimunashabani9976
    @munashabanimunashabani9976 6 лет назад +3

    Juma Nature unafurahisha sana afi rahaaa unaongea fresh

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 6 лет назад +16

    Daah huyu nature ulitakiwa upge nae interview hata lisaaa...🔥🔥

  • @shabanimdugi6813
    @shabanimdugi6813 6 лет назад +8

    Pamoja juma nature

  • @khamissuleiman2288
    @khamissuleiman2288 6 лет назад +8

    juma nature big up sana nakukubali sanaaaaa baba

  • @exavery1455
    @exavery1455 5 лет назад +2

    Big up Juma nature rudi kwenye game tunakukubali sana

  • @salummkugwa7004
    @salummkugwa7004 6 лет назад +4

    Simba kweli noma anawarudisha kwenye game wakina juma nature

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 лет назад +12

    Nature yuko na viswahili vya kibongo...yuatupa shida sisi wa kenya

  • @we66ooyeah
    @we66ooyeah 5 лет назад +3

    Juma Nature your Favorite Rapper favourite Rapper!!! Bigg Up!!

  • @jabilyjamadini2217
    @jabilyjamadini2217 6 лет назад +5

    Noma sanaaaa

  • @genesdunia4980
    @genesdunia4980 5 лет назад +2

    Nature nakukubalisn

  • @Aidenkuye
    @Aidenkuye 6 лет назад +7

    America language😅😅😅
    Sir Nature LEGENDARY 👍
    Slang hiyo babu, street language!!!

  • @amirikhatibu1989
    @amirikhatibu1989 5 лет назад +1

    Nakuku bali mwanetu juma

  • @faizasheikh134
    @faizasheikh134 6 лет назад +4

    Nature is full of Wisdom

  • @alhajimbaga4062
    @alhajimbaga4062 5 лет назад +7

    Mtoto idi kazua balaaa hatari mno

  • @victormoshi7397
    @victormoshi7397 6 лет назад +4

    Msela, ona of my favorite song from Ngwea. RIP kamanda.

  • @alexjonsoni6868
    @alexjonsoni6868 4 года назад

    Nature alikua kipenzi cha mashabiki mm mmoja wao Shabiki wa Nature,

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 6 лет назад +5

    Natural juu xna

  • @drsimbasimba3848
    @drsimbasimba3848 2 года назад

    Ee bwana nakukubali sir nature

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 лет назад +3

    Nature unazingua kaka😂😁 Ila nakupa heshima legendary🙌

  • @hassanhamisi8873
    @hassanhamisi8873 6 лет назад +3

    Bigup jay

  • @lionking3015
    @lionking3015 6 лет назад +8

    Nature mkongwe ila kipaji kimekita akiingia booth anachafua hewa..namkubali sana ila tatizo lake gambe..akiwacha kupombeka atafika mbali time bado ipo

  • @hamisimchomvu2206
    @hamisimchomvu2206 2 года назад

    Noma sana Mara buku

  • @s.bwamaana8886
    @s.bwamaana8886 3 года назад

    Namkubali sana nature

  • @miltonemusumbah2544
    @miltonemusumbah2544 2 года назад

    Kumbe huyu jamaa huwa sober pia??
    The all time best

  • @saidsalmin1248
    @saidsalmin1248 6 лет назад +5

    Nature ni msanii mkongwe lkn kwa sasa hana chake cha msingi hata akiimba anatafuta hela ya kula tuuuu na kwa level za alikiba na Diamond Nature atasubili sana naomba abaki kama mshauri ktk muziki

    • @asiamzuri2135
      @asiamzuri2135 6 лет назад +1

      ww usiangalie kitu mkongwe mkongwe tu na ukijua unajua mbona michael jackson kaimva thriller miaka 80 lakin hadi miaka ijayo akuna ngoma kali yenye mvuto kama hiyoo

    • @hassanhamisi8873
      @hassanhamisi8873 6 лет назад +1

      We mshamba ujui ktu

    • @husseinhassan5434
      @husseinhassan5434 6 лет назад

      ndugu mziki hauna mstafu tambua hilo, usiwe unaropoka tu ukitaka kuamini andaa shoo ya diamond alikiba alafu ktk hiyo shoo juma nature aanze kuchana akimaliza na shoo imeisha watu wanasepanae, wanakuacha na watu wako kiba na mond

    • @munashabanimunashabani9976
      @munashabanimunashabani9976 6 лет назад +1

      Wewe acha izo juma anatishaaaa wangu

    • @nurdinsaid4137
      @nurdinsaid4137 5 лет назад

      Safisana mzeewakazi neche

  • @machuchewambura9481
    @machuchewambura9481 5 лет назад

    Mtangazaji ...Ukiwa na msanii wa mwanzo kama nature Acha akupe madini unaweza ukashindwa kujua history vizur. ..nature Nakukubali .kisa demu .

  • @rashidally1211
    @rashidally1211 5 лет назад +1

    Nature atabaki kuwa nature anahitaji heshima sana

    • @sirngopo172
      @sirngopo172 5 лет назад

      Mm katika wasanii wakongwe namkubalisana sir nature babalao

  • @bajumwinyi2833
    @bajumwinyi2833 6 лет назад +7

    Mimi ni shabiki wako Mkubwa but, Muziki sasa Umebadilika katika hali ya Juu ya zaidi kuwa makini

    • @jamledmwasa1162
      @jamledmwasa1162 6 лет назад

      hahahaaa wakongwe nimewamic mlifanya mambo makubwa hatakama hawatoaheshima lakn kweli itabakikuwa kweli shikamoo wakongwewote

    • @mwachamwacha5538
      @mwachamwacha5538 6 лет назад

      Southern Team toka hapa .Kuna mziki gani wa sasa utaushinda wa nature ..huu ujinga ujinga wanaimba ?

    • @bajumwinyi2833
      @bajumwinyi2833 6 лет назад

      Mwacha Mwacha Hahaha mzee Ngoja Tuone Itakavyokuwa Tusitukanane hapa

    • @martinkasiga7398
      @martinkasiga7398 6 лет назад

      Angalia show.iringa alivyowafunika wote wasanii wasafi festival

  • @jacobkilinda3633
    @jacobkilinda3633 4 года назад

    nature alikuwa hajibu maswali vizuri ila namkubali sana na big up lilommy

  • @ikupamwaisoba7379
    @ikupamwaisoba7379 5 лет назад +2

    Hanichoshi kbs mngeongeza muda maana sauti yake bado uko juu

  • @ezronkimaro7911
    @ezronkimaro7911 6 лет назад +5

    Yakizaz xaana

  • @kennedyochieng6154
    @kennedyochieng6154 Год назад

    TZ has two great artists Juma Nature and Profesor J

  • @wrensasava7524
    @wrensasava7524 6 лет назад +5

    MSITU WA VINA UMETISHA

  • @harunahamis
    @harunahamis 6 лет назад +4

    Bro nature uko poa na ninaiman nyote ako itang'aA upya

  • @adamramadhani5229
    @adamramadhani5229 4 года назад

    Juma juma juma hahshhaaa

  • @lusseraymond5449
    @lusseraymond5449 4 года назад +1

    wali mende mchuzi funza hhhh

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 4 года назад +2

    Kiroboto

  • @dominicogeorge1340
    @dominicogeorge1340 6 лет назад +4

    Yakizaz sana

  • @suedissa7500
    @suedissa7500 6 лет назад +4

    Ha ha ha kibla ndio njia walioamua kuitumia kama wewe ulivyoamua kupiga ulabu,it's all about choice....

  • @sammycharo8857
    @sammycharo8857 5 лет назад +3

    Ukiwa wewe sio baharia kiswahili chake huelewi

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo4845 4 года назад

    Nature is nature

  • @franklyaka3885
    @franklyaka3885 3 года назад

    Nyimb za juma natur

  • @hhmanyamba2871
    @hhmanyamba2871 6 лет назад +3

    dogo anajua sana kujieleza kwanza hana malingo

  • @edwinaloyce8704
    @edwinaloyce8704 6 лет назад +4

    Kirobotooo hahahaaaa#mchuzi funza#

  • @alexjonsoni6868
    @alexjonsoni6868 4 года назад

    Nature bhn mm nilimuelewa kitambo sana ili jembe langu

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 Год назад

    the interview is hot, the nigga is energetic

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 4 года назад

    Kuchi kuchi hotaheeeeeee

  • @drsimbasimba3848
    @drsimbasimba3848 2 года назад

    Ee bwana nakukubali sir nature