ina maana mchawi ni maalim seif?maana ndo marehem,huyu mzee kikwete ana mafumbo kweli,mchawi keshakufa kweli lkn mungu hafi mnaweza kushindwa CCM mungu akitaka na inshallah iwe hvyo
@@patriciamuganda4498 Wivu,uchu wa madaraka na kutoridhika ni jambo lisilofaa. Viongozi wetu wanajitahidi sana, kamwe hawatatuletea pesa mfukoni mwetu lakini kama taifa kazi imeonekana. CCM Oyee! Big up Mama Samia. Mungu ibariki Tanzania.
Nimefurah sana alipopewa Mhe. Kikwete, nlitarajia hekima na majibu yenye kujitosheleza, honestly Tanzania inafanya mambo mazur sana hasa umoja huu kwenye mambo haya
Tanzania Maendeleo ya kweli ngumu kuyapata,tutaishia tu kusifiana sifiaba kugawana vyeo serikalini kwa upendeleo wa kujuana juana basi, viongozi makini nchi hii wenye kiu ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ni wachache mno inasikitisha....Kunta...Kinte.
Jk hiyo ni kufulu wachawi wamekufa akina nani? Mmwogope mungu mmwogope mungu msitumainie mali mlizonazo mungu ni mkuu ngoja tumungoje sisi hatuna ujanja ila yupo mungu
Busara za kikwete zimemsaidia alikua ameshaanza taarabu. Mara nilijua utaomba ges, mara wewe n mbunge e. Wa mwanza e, ghafla mzee kazimamoto kamwqmbia we mama heb niachie hii shoo ya kuwazima hawa😀😀😀
"Viongozi" wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao. Kwa hiyo asema Bwana Mwenyezi-Mungu, Mwenye Nguvu wa Israeli: “Nitawamwagia maadui zangu hasira yangu, nitawalipiza kisasi wapinzani wangu. Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
I love this leady vary brave face darect president questions low act under c cm principle how to get candidates from ccm national commitee how. To get 3 names of candidates on national commitee
MMEFORCE ILA MMEBUGI SANA HAKIKA MMEBUGI. JE MAJINA MATATU YAKO WAPI???? NI KITU KIBAYA SANA KUJIDANGANYA KATIKA MIOYO YENU KUWA MMEPATA KUMBE BADO MNATAFUTA BADO HAMJAPATA, MNGEWEKA WAGOMBEA WATATU HAPO MNGEKUWA MMETENGENEZA CCM IMARA SANA
LISU ALIPOCHAGULIWATU AKASEMA SAMIA SULUHU ANANIOGPA ANANIJUWA MIMI NANI AKASEMA MPAKA KAMTUMA MTOTO WAKE NYMBANIKWAGU JU YA URAIS WAKE ANANIOGOPA NIMEMJARIBU MATOKEO MEGI YA YAKUFAYA ANIOGOPE HAYA MANENO YA TUDU LISSU ALIVYO SEMA
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua.
@roberomartnez4020 CCM kwa sasa ni chama cha biashara maslahi binafsi, wenye msimamo kwa ajili ya Taifa zima wameshakufa woote, tulitegemea Chadema kumbe Mbowe nae ni wale wale inasikitisha saana Tanzania.
@MACHAGGECHACHA Mwizi ulimkamata kakwiba nini? Watanzania tusiige yasiyofaa. Kutukana viongozi ni utovu wa nidhamu. Kikwete namheshimu sana Namuombea Mungu ampe maishà mrefu kwa mustakabali wa taifa letu.
Magufuli alipochukuwa hatamu za uongozi kutoka kwa Kikwete aliwaambia watanzania maovu ya yaawamu ya nne ya Kikwete. Aliruhusu ufisadi wizi na uvivu. Hata watu wa kawaida walishuhudia ubovu wa awamu ya nne.Kama kiongozi wa nchi akifumbia macho uchafu huo basi naye ni mwizi Fisadi na mvivu wa kuongoza nchi. Ubovu wa watanzania ni kuwasifia majizi ya serikalini na wahujumu watu. Huu ni ugonjwa wa watanzania na ndio maana wakamuuwa Magufuli aliyekuwa mkweli na kiongozi shujaa wa watanzania. Mwizi ni mwizi tu hata awe raisi mstafu
hata kama humpendi rais lkn hupaswi humtolea lugha ya matuc hii co sawa na pia ni machukizo mbele za MUNGU...BIBLE inasema tuheshimu wakuu wa NCHI haya c maneno ya mwanadamu bali ni ya MUNGU mwenyewe;😢😢😢😢
CCM Chama la Wana. Hayupo wa kupambana na CCM. Ushindi ni hakika. Mama Samia hana mpinzani. Aliyotutendea Mungu ambariki aendelee kulisimamia taifa letu kwa maendeleo endelevu. Mungu ibariki Tanzania.
umepata sh.ngap juu ya haya matuc yako....angalia sana ucwe kikwazo mbele za MUNGU maana ipo cku utatoa hesabu ya kila uliloruhusu litoke mdomon mwako..
Hamna lolote ccm mnaogopa uchaguzi hamuwezi uchaguzi wa huru haki miaka 60 mnongoza nchi ki ujanja ujanja fanyeni uchaguzi wa huru na haki mutizame kama kweli munatakiwa .
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua. M23 wakimaliza kazi kongo watapelekwa pengine Africa penye madini. Afrika tuunde jeshi la afrika UN watoke .

Kwann mnatoka nche ya katiba, angali mnajua kuwa katiba ndio iliyomuweka samia madarakani? Mbona kama mnaipuuzia kwa sasa? Acheni ubabe, fateni katiba. Hakuna cha kusema mnaamua
nawapata sana nikiwa mimi huku na chapa kazi kuna dada kaongea vizur hapo heee!!🎉
Kaongea point sana, ila hawataki kufata katiba ya kusimamisha wagombea watatu ili wapigie kura mtu wanae mtaka.
ina maana mchawi ni maalim seif?maana ndo marehem,huyu mzee kikwete ana mafumbo kweli,mchawi keshakufa kweli lkn mungu hafi mnaweza kushindwa CCM mungu akitaka na inshallah iwe hvyo
Naomba leo kesho ccm ishindwe
Naona kama maigizo 😮.
Watu wanapenda madaraka aisee, dada Mwasi kaongea vizuri sana, madaraka matamu😢 na ukiongoza ongoza kwa haki maana Mungu atakuulizeni baadae.
Wazungu tunawasingizia tuu mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenzetu .
Tumemaliza viongoz wale wale mama leta hela za michezo tenaaaaa❤❤❤
Tunazpenda mnooooooo
Kazi kubwa mliofanya ni kuteka watu,kuna kazi nyingine ipi.
Na nyie kazi kubwa mlofanya ni kukunja ngumi na kusema piiipooos,ngoja kesho mtoboane macho tuwaone
Unafiki na Kujipendekeza
@@patriciamuganda4498 Wivu,uchu wa madaraka na kutoridhika ni jambo lisilofaa. Viongozi wetu wanajitahidi sana, kamwe hawatatuletea pesa mfukoni mwetu lakini kama taifa kazi imeonekana. CCM Oyee! Big up Mama Samia. Mungu ibariki Tanzania.
Mm ni mwana ccm lakini kwahili sipo tayali na hakuna kifungu kinacholuhusu haya
Wengine wapambe tyuuuu.....watanzania wanafiki sana.....
Nimefurah sana alipopewa Mhe. Kikwete, nlitarajia hekima na majibu yenye kujitosheleza, honestly Tanzania inafanya mambo mazur sana hasa umoja huu kwenye mambo haya
Wajumbe hoyeee
Hataki demokolasia😊
Kweli mama endelea
Tanzania Maendeleo ya kweli ngumu kuyapata,tutaishia tu kusifiana sifiaba kugawana vyeo serikalini kwa upendeleo wa kujuana juana basi, viongozi makini nchi hii wenye kiu ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ni wachache mno inasikitisha....Kunta...Kinte.
Kuna vyama zaidi ya 10, mamuzi ni yako
Tatizo kwenye maelezo ya maana mnakata maaonngezi ya maana
Tatizo ni uchawa wapambe ni oyaoya mpaka wanavunja katiba baada ya kutoa fomu kwa watu wa5 mnavunja katiba kwa woga
Hichi ndicho chama kimetufanya leo kuwa masikini
Rais wa Tanganyika na sisi tunamtaka
Walificha madudu wee leo wamejizihirisha kwamba SAMIA HAKUWA RAISI miaka yote mi4 ALIKUWA ANAENDESHA KIKWETE muuwaji
Oohhh
WATANZANIA KWA SASA TUNARUDI TULIPOTOKA MAJAMBAZI NA WEZI NDIO HAWA
Jk hiyo ni kufulu wachawi wamekufa akina nani? Mmwogope mungu mmwogope mungu msitumainie mali mlizonazo mungu ni mkuu ngoja tumungoje sisi hatuna ujanja ila yupo mungu
Hata hatuwelewi mda wake umeisha ila kikwete ndio mwendesha ichi siyo samia
Kweli
Busara za kikwete zimemsaidia alikua ameshaanza taarabu. Mara nilijua utaomba ges, mara wewe n mbunge e. Wa mwanza e, ghafla mzee kazimamoto kamwqmbia we mama heb niachie hii shoo ya kuwazima hawa😀😀😀
Wangemkazia tu tatizo la CCM ni kubebana kwenye Kila kitu siku inakuja ambayo wakumsemea mtu hawatakuwepo
"Viongozi" wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao.
Kwa hiyo asema Bwana Mwenyezi-Mungu, Mwenye Nguvu wa Israeli: “Nitawamwagia maadui zangu hasira yangu, nitawalipiza kisasi wapinzani wangu.
Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
Mnawazibia wengine kugombea ..
I love this leady vary brave face darect president questions low act under c cm principle how to get candidates from ccm national commitee how. To get 3 names of candidates on national commitee
Hayo ndio manene ZANZIBAR atole mgombea wa raisi na TANZANIA BARA atoke pia mgombea
Ccm oyee
WATANZANIA HAWA NDIO WALIFANYA MAUAJI YA KINA JPM NA MAWAZIRI WOTE WAMEWAUA
MMEFORCE ILA MMEBUGI SANA HAKIKA MMEBUGI.
JE MAJINA MATATU YAKO WAPI????
NI KITU KIBAYA SANA KUJIDANGANYA KATIKA MIOYO YENU KUWA MMEPATA KUMBE BADO MNATAFUTA BADO HAMJAPATA, MNGEWEKA WAGOMBEA WATATU HAPO MNGEKUWA MMETENGENEZA CCM IMARA SANA
KIKWETE BUSARA NYINGI SANAAAAA NAKUPENDA SANA BABA YANGU
Tukutane mwezi wa kumi ccm akuna jipya tunataka mabadiliko ya chama
LISU ALIPOCHAGULIWATU AKASEMA SAMIA SULUHU ANANIOGPA ANANIJUWA MIMI NANI AKASEMA MPAKA KAMTUMA MTOTO WAKE NYMBANIKWAGU JU YA URAIS WAKE ANANIOGOPA NIMEMJARIBU MATOKEO MEGI YA YAKUFAYA ANIOGOPE HAYA MANENO YA TUDU LISSU ALIVYO SEMA
Muige uchaguzi wa chadema hii inaonyesha demokolasia huru
Sisi hatuwahukumu kitakachowahukumu ni wanaccm wenzenu waliokuwa wazalendo wa nchi hii mliowatnguliza mbele ya haki dami zao bado zinanena mtaona tu
Ujinga kuwasemea watu uchawa tu hakuna demoksia ndani ya ccm ni uoga tu wa kutoa mawazo
Uchawa tu
Ccm hapa wamebruzwa
Demokrasia hakuna kabisa
😢😢😢😮
Unalazimishwa kucheka hata kama umenuna kazi kweli kweli
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kinaacho tusumbua sisi wafrika au sisi watanzania ni Roho mbaya Roho ya kwanini yani. hasadi zimetawala roho zetu ndio maana hatutoboi
Shusheni bei ya gesi ikiwa mkaa Kuni hazitakiwi mjini bei sio rafiki
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua.
Sold out
Zawadi zipo vijana kuwa warithi wao.
3:49
ILA HUYO DADA M'BUNGE HAJUI MAANA YA MKUTANO MKUU AMETUKWAZA SANA
Kule Chama cha Mbowe, huku Chama cha Kikwete. Utadhani wanaongoza misukule 😅
😂😂😂😂😂Shida kweli Nchi hii Tz.
Nadhani hawaana mpinzani Kwa miaka mingi ijayo
ni kuomba katiba ibadilishwe vinginevyo hakuna kitu.
Mtu anapitishwa Kwa Lazima bila kufuata taratibu demokrasia ndani ya CCM hakuna kabisa
@roberomartnez4020 CCM kwa sasa ni chama cha biashara maslahi binafsi, wenye msimamo kwa ajili ya Taifa zima wameshakufa woote, tulitegemea Chadema kumbe Mbowe nae ni wale wale inasikitisha saana Tanzania.
MAFISADI NA WEZI WAUAJI HAWA WOTE WANAFIKILIA MATUMBO YAO NA KUWA MATAJIRI WAFANYAKAZI HEWA WANARUDI
WAMEWAUA SASA WAKO WAO TUNAPOKWENDA NI KUBAYA SANA KWA SASA
Atakatwa jina lake
Ccm nimanyumbu kweli,siakagombee zanziba,mnapoga makofi nchi iendelee kuuzwa unapewa shingai?acha upuuzi weee
Hapa maamuzi ya viongozi ndiyo yametawala ktk kumpendekeza mgombea nafasi ya urais kuliko maamuzi ya wajumbe wa mkutano mkuu.
Wewe ukiona Tanzania hakuna demo krasia kwani dunia hiii nikubwa waweza ukatafuta nchi yenye siasa nzuri ukachukua uraia.au vipi
Asante Yesu
WATANZANIA MAUAJI WALIOYAFANYA YA VIONGOZI KINA JPM NA KINA MKAPA NA MAWAZIRI WOTE DAMU YAO AIENDI BURE
Tuombe Mungu sana
KATIKA HAWA WALIOKUEEPO AKUNA ATA MMOJA ATAKAEIJENGA HII NCHI
Ila CHADEMA ndio pekee wanaweza kuijenga nchi hii😅😅😅
❤❤❤❤❤
Rais bora kuliko wote Africa na simwingine zaidi ya SAMIA HASSAN SURUHUHISHO YA MATATIZO YA WATANZANIA yatakwisha kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
Unapoandaa kaburi huwezi kujua unayoyafaanya ndiyo yanakuharakisha kuingia kaburini.
Mhuuu
Achen unafiki nyinyi
Kumbeeeeee hahahahaaaaaa
Na www utakufa tu kwan weee nani
WANAGO.BEA MALI ZA WANANCHI HAWA WEZI WOTE
Mzee Kikwete Mungu akutunze. Hekima zako ni muhimu sana kwa mustakabali wa nchi hii.Nakupenda sana.
Unampenda mwizi na muuaji.!!! Wewe kweli huna akili. Ni matope yamejaa kichwani mwako.
@MACHAGGECHACHA
Mwizi ulimkamata kakwiba nini?
Watanzania tusiige yasiyofaa. Kutukana viongozi ni utovu wa nidhamu. Kikwete namheshimu sana
Namuombea Mungu ampe maishà mrefu kwa mustakabali wa taifa letu.
Magufuli alipochukuwa hatamu za uongozi kutoka kwa Kikwete aliwaambia watanzania maovu ya yaawamu ya nne ya Kikwete. Aliruhusu ufisadi wizi na uvivu. Hata watu wa kawaida walishuhudia ubovu wa awamu ya nne.Kama kiongozi wa nchi akifumbia macho uchafu huo basi naye ni mwizi Fisadi na mvivu wa kuongoza nchi. Ubovu wa watanzania ni kuwasifia majizi ya serikalini na wahujumu watu. Huu ni ugonjwa wa watanzania na ndio maana wakamuuwa Magufuli aliyekuwa mkweli na kiongozi shujaa wa watanzania. Mwizi ni mwizi tu hata awe raisi mstafu
Uchawa huo
Acheni sifa hyo kauza mali za Tanganyika..ila za kwao hauzi acheni kumsifia kabisa..mwambie tunataka bandari zetu na mbuga zetu.
Wazanzibar wanataka Mamlaka kamili ya ZANZIBAR
Ndio Kwan vbya
Mama Samia komaa🔥 Vaa Buti la JPM kaza kamba
Hawezi kuva buti la JPM uyo hata iwejee havimtoshi
Shoga weww
Fanyeni maanuzi yenu, na Mungu pia atatufanyia maamuzi yake kwa watanzania wote wenye chama na wasiyekuwa na chama sawa sawa na mapenzi yake.
Mungu aliyehai ni Mwaminifu atafanya Kwa Majira na NYAKATI. Nachojua, Mwaka Huu Kuna MTITI. Sikia nabii
WAFANYAKAZI HEWA KWA SASA NDIO WANARUDI CHUKUA CCHAKO MAPEMA
Mama samia endelea na kz wacha hao waseme tuu
Jungu kuu Hongera Sana Mzee kaka
Nawachukiaaa ccm natamaniii wafeee woteee ckuuu mojaaa
Anza wewe mbwaaaa
@abdallahmindika1641 tuliaaa Kumaaa weeee
WATANZANIA WAMEWAPA SUMU VIONGOZI AMBAWO WALIKUWA WANALILETEA TAIFA MAENDEREO ASA WANYONGE
Sasa kama ni uamuzi wa chama na je sisi watanzania tusiokuwa na chama haki yetu iko wapi??
Kapige kura
sisi tuco na chama tucwe na wacwac chama hatuna lkn tuna raisi ambae ni mama chaupole...amaa nmesahau tunae rais ambae ni mama SAMIA♥️♥️♥️
Baba yako
hata kama humpendi rais lkn hupaswi humtolea lugha ya matuc hii co sawa na pia ni machukizo mbele za MUNGU...BIBLE inasema tuheshimu wakuu wa NCHI haya c maneno ya mwanadamu bali ni ya MUNGU mwenyewe;😢😢😢😢
Mungu yupi?
aliyetuumba sisi wote
Wajinga tu wa kusifia ni wajibu wake kufanya kinacho takiwa kufanywa ndo maana nawakubali wakenya hawana ujinga wa kusifia sifia
Kwahiyo jina ni moja tu ?
Sasa nyie mlitaka wapigane kama upande wapili
Jiwe moja ndege wawili
Ccm hongera sana
WAMEWAUA WATU MUHIMU WASOMI KWA TAIFA HILI WAKAE WAO MADARAKANI
Pole umekuepo
CCM Chama la Wana. Hayupo wa kupambana na CCM. Ushindi ni hakika. Mama Samia hana mpinzani. Aliyotutendea Mungu ambariki aendelee kulisimamia taifa letu kwa maendeleo endelevu. Mungu ibariki Tanzania.
CCM HOYEEE
Mnapenda sana kusema mmefanya mambo mazuri. Mambo mazuri yepi? Mbona mshahara wa kima cha chini cha mtumishi wa serikali hakijafika 2,000,000?
Fara wewe kwa uwezo gani wa serikali. Nenda ukafanye kazi nchi ambayo ina kima cha 2,000,000
Wajinga nyie kinachowaponza nikusifia hata vyakuoza mnasifia ccm nyani kabisa.
umepata sh.ngap juu ya haya matuc yako....angalia sana ucwe kikwazo mbele za MUNGU maana ipo cku utatoa hesabu ya kila uliloruhusu litoke mdomon mwako..
Mbona kila kitu kikwete
HAYA KILA KITU WEWE
We utki
Ndy rais na mtoa maamuzi wa mwisho mstaafu wengine wamesha tangulia mbele ya haki,
Umelisikia neno uchawi wamesha kufa ? Ndy majibu Yako yako
BABA NI BABA TU HASHINDWI NA MTOTO WAKE
WATANZANIA HUYU MZEE KIKWETE ANATUARIBIA NCHI
Utakufa na chuki zako...
Hii nchi Kikwete ndio aliimudu, sio hizi takataka zingine. Maisha Bora yalionekana kwa angalau kila mtanzania
Hamna lolote ccm mnaogopa uchaguzi hamuwezi uchaguzi wa huru haki miaka 60 mnongoza nchi ki ujanja ujanja fanyeni uchaguzi wa huru na haki mutizame kama kweli munatakiwa .
Chadema ndio wanaweza kuongoza serekali tunaona mboe na lisu siku hiszi wameamua kupendeza na chama chao polen sana
Mama watosha KAZI yako yaonekana kama kuna watu wanatilia mashaka juhudi zako wahame nchi waje 2030 watapata majibu
Nchimbi anabusara sana
George King nenda Kenya.ndugu yangu😮
Hi
Huyu dd nimpina geng
Hongera sana mzee wa chama J Kitwete
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua. M23 wakimaliza kazi kongo watapelekwa pengine Africa penye madini. Afrika tuunde jeshi la afrika UN watoke .
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua. M23 wakimaliza kazi kongo watapelekwa pengine Africa penye madini. Afrika tuunde jeshi la afrika UN watoke .
Kwann mnatoka nche ya katiba, angali mnajua kuwa katiba ndio iliyomuweka samia madarakani? Mbona kama mnaipuuzia kwa sasa? Acheni ubabe, fateni katiba. Hakuna cha kusema mnaamua
SAMIA MITANO TENA CCM HOYEEEE
Mhe.Hussein Mwinyi ni Mtu Mnyenyekevu sana.Utadhania sio kiongozi wa juu wa nchi
Ujinga mtupu
Kura ipigwe sasaivi