MWANAMAPINDUZI AFICHUA TUNDULISU KUWAFUKUZA WOTE WALIO MTUKANA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии •

  • @StephenLetta
    @StephenLetta 10 дней назад

    Yeriko Nyerere alikosa akiba ya maneno aonywe. Kauli zako zilikuwa na utoto mwingi

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 11 дней назад +3

    The time will tell Ngoja tuone siasa za fujo na mandamano kutoka kwa Tundu lissu zitafika wapi au zitainufaisha Chadema kwa Kipi , lets wait tOgether , nimekaaa Paleee

  • @amosjose3104
    @amosjose3104 10 дней назад +1

    Ni kweli jamani lissu ni mtu wa watu sana hanaga mambo ya visasi kabisa

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 10 дней назад

    Mbona Lisu alikiwa anatukana pia kusema uongo.

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba 10 дней назад +1

    Huyu mchugaji gani hafai hata kusikiliz

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 10 дней назад

    Wewe kahubiri kanisani

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 10 дней назад

    Lisu ni wa visasi tu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 дней назад

    Kwa Yeriko Nyerere afukuzwe kabisa ikiwezekana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 10 дней назад

    Sasa wanafiki wa nini kuwa nao kundini?fukuza wote lissu,tunaitaka chadema yenye watu safi

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 11 дней назад +1

    Halafu Tundu lissu ajihadhari na siasa za Kutumia nguvu kuliko Demokrasia Ataki uwa hichi chama ambacho kimejengwa kwa jasho na damu za watu

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba 10 дней назад

    Wote wana hitajiana

  • @leticialubala9721
    @leticialubala9721 10 дней назад

    Huwezi amini huyu kuwa kwenye kamati kuu ni aibu.
    Huyu ni shabiki mandazi

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 11 дней назад

    Wafukuzwe sababu walikuwa na tofauti na Lissu eeh we vepee mtakiua chama wenyewe hiko shauri zenu

    • @leticialubala9721
      @leticialubala9721 10 дней назад

      Hakuna kufukuza mtu kwani chama ni cha mtu hiki, kila mtu ana haki ya kuchagua upande.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 10 дней назад

      Ntobi alitakiwa kufukuzwa hata kabla ya uchaguzi sio mtu mwema kwene siasa zetu si chadema tu chama chochote akitakiwi kumpokea Ntobi.

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 10 дней назад

    Hana ubavu wa kuwafukuza

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 10 дней назад +1

    Huyu naye bado kashikikia vijembe vya uchaguzi TU? Si wajenge chama sasa?

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba 10 дней назад

    Asuse ruzuku kama yeye mwamba

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 11 дней назад +1

    Mlio wengi chadema bado mnaitaji shule ya Demokrasia kutoka kwa mwamba mbowe, Sasa nyie mlitaka mbowe achukue Risasi adai maridhiano na mtutu?????????????? Au asusie killa kitu kwenye maridhiano na wakati mengine mlinufaika nayo , Uyo tundu lissu mwenyewe asinge rudi kwenye hii nchi bila maridhiano

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 11 дней назад

    kwani uyu ni nani mjinga uyu askofu gani badala ya kuhubiri amani yeye anahubiri chuki

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 11 дней назад

    Sasa maridhiano mbona kuna vitu vingi chadema mlinufaika , Uwezi ukayataka maridhiano kwa Nguvu mbele ya Utawala wa Dola kamwe , Hata uyo tundu lissu Ngoja tuone akidai maridhiano kwa nguvu atafika wapi , acheni kejeli za kumsema Mwamba Freeman mbowe ,,

  • @ObeidChamila
    @ObeidChamila 11 дней назад

    Ww ni askofu au mwenyekiti au msemaji?? TUWEKE upande ipi ? Vua hiyo kolaunamuabisha mungu wetu