MWENYEKITI WETU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 483

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 Год назад +1

    😂😂😂ila kicheche unajua sana, mbwa wewe na Migadishu au nyampala😅😅😅 Mbwa nyampala

  • @alka-bksg8981
    @alka-bksg8981 Год назад +1

    Mimi siitaji like uki like unajipendekeza
    Niite Steven feki

  • @simonchari
    @simonchari Год назад +23

    Kicheche never disappoint 😂😂😂 nipewe likes zangu ... nawakilisha mombasa Kenya 😂😂

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 3 месяца назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

  • @indexchitanda4477
    @indexchitanda4477 Год назад +21

    Mbwa mwenyekiti 😂😂😂😂Safi sana kicheche na tem yako mzima mupo vizul sana nawakubali😂😂😂😢😢

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 Год назад +1

    Daaah huyu kicheche mbwa kwel kwel

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Год назад +19

    For live in Congo 🔥 drc kicheche nakupenda sana kutoka congo for live

  • @givenrichard8094
    @givenrichard8094 Год назад +27

    Tulikumiss Kweny Kaz mpya kicheche ...ila unachelewa kutupa Raha wenzako jaman 🥹
    Kiukweli nilikuwa na makasiriko ila umejuwa kunifrahisha mbwa wewe umetisha sana🤸🙏❤️‍🔥 @kicheche

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 Год назад +4

    Kicheche huna akili pumbavu 😂😂 komedian no 1 tz kwa aasa

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 Год назад +10

    Mbwa kicheche wewe ni mbwa kazi mzuri sana nanhongera sana

  • @kalvinwilbard3447
    @kalvinwilbard3447 Год назад +11

    Mimi wa kwanza nipeni maua yangu🎉

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +2

    Kalime ufuta wako polepole achana na sisi😂😂😂😂

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 Год назад +2

    Aah umeanza kutupa maudhui mazuri yakiuraia na uongoz aseee. Hongera

  • @endrewnicolaus9067
    @endrewnicolaus9067 Год назад +11

    Leo nimekuwa wa kwanza nipeni zangu hizo😂😂

  • @yahmtv5196
    @yahmtv5196 Год назад +9

    ❤❤❤❤❤❤❤
    M/kitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Ila kicheche aise unajua mwamba😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shariffbruno8992
    @shariffbruno8992 Год назад +13

    Kicheche amehonga vailet kumtamgaza mshindini😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwenyekiti hajapewa cheti kazi kashaanza😂😂😂

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 Год назад +12

    mpeni mauwa yake💥Kicheche💪🏻

  • @SavantKheedy
    @SavantKheedy 4 месяца назад

    pumbavuzake mwenyekiti 😊mwi mwi mwiiiziii

  • @nicholasnjoroge-gh6ne
    @nicholasnjoroge-gh6ne Год назад +1

    nakuona mara ya kwanza. very talented. high creativity

  • @ArthurBujiriri
    @ArthurBujiriri Месяц назад

    Kicheche is a best, je suis de la RD 🇨🇩 mais fan de ce tanzanien, na mu kubali sana

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 Год назад +2

    Kicheche kumbafu zangu😜😜much love from Kenya

  • @amotv-kisii
    @amotv-kisii Год назад +3

    Napenda Sana ujeshi wa Kicheche umbwa Mimi😅😅😅😅😅😅 Napenda iyo sana

  • @watastone_
    @watastone_ Год назад +10

    Nakubali Sana kazi yako 😂😂😂

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 Год назад

    bodyguard yusufu mlela😅😅

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 Год назад +2

    Yan we Mbwa mwenyekiti hauna akili hata moja😂

  • @ashasaidi1599
    @ashasaidi1599 Год назад +1

    😂😂😂mwiii mwiiii yani wewe kicheche kweli umevurugika kichizi😂😂😂😂

  • @sammyfundiofficial5295
    @sammyfundiofficial5295 Год назад +8

    😂😂😂😂😂 mwenye kiti mbwa

  • @kingluciano4908
    @kingluciano4908 Год назад +1

    Umbwa wewe mwenye kiti,pumbavu zako😂😂😂

  • @bwilij3759
    @bwilij3759 Год назад +7

    My family and I watch you from Toronto, when we get time we watch your comedy is so fun and enjoyable, kicheche your work is great

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele Год назад +9

    Kichche Mambo Vipi Brother Wangu🎉

  • @HomemCostante-or3oy
    @HomemCostante-or3oy Год назад +1

    Gostei idea do lider kicheche eu xto pedir like

  • @Hekalueliasofficiel
    @Hekalueliasofficiel Год назад +3

    Leta 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mmbwa sisi kicheche

  • @Wellbeck1
    @Wellbeck1 Год назад +15

    All the best kicheche 🎉🎉😂😂😂

  • @fridaynyota4707
    @fridaynyota4707 Год назад +3

    Kati ya wa gari na ufuta😂😂😂😂😂😂❤❤❤sana kicheche

  • @AcizaJustin-u7d
    @AcizaJustin-u7d Месяц назад

    Mwenye kiti nae ni kama mwehu thu... Umemdhalilisha sana mwenziwo

  • @victorkorirbrage3033
    @victorkorirbrage3033 Год назад +10

    Wapi likes zangu,mie wa kwanxa kutoka kenya❤❤❤❤

  • @AshirafuMwinuka
    @AshirafuMwinuka 7 месяцев назад

    Atakua Mogadishu nyapara ya 😂😂😂 kicheche watuvunja mbavu huku upewe🎉🎉🎉 yako

  • @abdulgeorge5968
    @abdulgeorge5968 Год назад +5

    Mwenyekit anavut bangi kwel 😂😂😂

  • @mariamokomba1966
    @mariamokomba1966 Год назад +7

    Nipeni like zangu bana Congo 🇨🇩

  • @amanirazalo4338
    @amanirazalo4338 Год назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahha ukiwa na mwenyekiti kama huyu bora uwe na mbuzi

  • @saidianzuruni2370
    @saidianzuruni2370 Год назад

    Wa Congo tupo apa tunakufatilia 100% kwa 100%

  • @NzakiraRevelien
    @NzakiraRevelien 7 месяцев назад

    Rwanda tunawapenda Sana naitwa Nzakira mtupelekeshe hizo mvia

  • @sadamxadam1807
    @sadamxadam1807 Год назад +19

    Kama wew wamkubali David wambula gonga like

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂 pesa ni pesa😂😂😂😂😂

  • @barikitvshow
    @barikitvshow Год назад +1

    Ww jamaa sahv unaua bigup brother

  • @Heiskmb
    @Heiskmb Год назад +31

    Wakwanza wapi like zangu team kicheche kama umependa mwenye kiti weka like basi kicheche 4life❤❤❤❤❤

  • @justinomwange5753
    @justinomwange5753 7 месяцев назад

    Kenya 🇰🇪 mpo😂😂😂

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw Год назад

    Kicheche kweny hii yuko serious sax inabd uwe hv hv Broh

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Год назад +3

    Jini latifa kafumaniwa😂😂😂, mwenye kiti waovyo

  • @MendeComedy
    @MendeComedy Год назад

    Haaa Mogadishu au sio

  • @JumaElias-gh8qp
    @JumaElias-gh8qp 8 месяцев назад

    Naipenda sana kaz yako mbwa kicheche karbu old shinyanga kina mzee rikoma tuko nao huku

  • @henrykenasende-rt4ly
    @henrykenasende-rt4ly Год назад

    Tupo baba pumbavu zetetu kbs tuna kusubiri baraka 🇨🇩

  • @jeanneo473
    @jeanneo473 Год назад

    uyu umoja kama ana nini 😂😂😂

  • @skybilak5135
    @skybilak5135 Год назад +3

    😂😂😂😂 unafanya vile ruto alitufanya huku Kenya sai anafanya vile anataka mpaka wamegeuza serikali kuwa kampuni😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥💯♥️

  • @SharonShanz
    @SharonShanz 10 месяцев назад

    Napenda acts zako mbwa wewe.

  • @DogoMicheale
    @DogoMicheale Год назад

    Shabani ramadhani mwenyemkuhu lugungulo

  • @PatienceDully-h1c
    @PatienceDully-h1c Год назад +2

    Wakwanza mm jam an I😍😍

  • @bonifaciodinis1634
    @bonifaciodinis1634 Год назад +20

    Assistindo em 🇲🇿, gostei muito legal.

  • @morismakarius3213
    @morismakarius3213 Год назад +5

    Nakubali unajuaa sana mm king Moris

  • @silamelody1034
    @silamelody1034 Год назад +5

    Kicheche number1 unamwaga Raha San 😁😂

  • @ZamengaMwamba
    @ZamengaMwamba Год назад +1

    Ni Mambo

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 Год назад

    David wambura 😂😂😂😂

  • @zanzibarfin5789
    @zanzibarfin5789 Год назад +1

    Safii sanaaaa pumbavu zaaooo hehehe

  • @DOUBLESTVSAUTIYETU
    @DOUBLESTVSAUTIYETU Год назад

    Unajua kuigiza mbwa weweeeeeee

  • @amanikabika401
    @amanikabika401 Год назад +5

    Wa congo tia like ❤️👍 tuwaoneshe kama tuko wengi

  • @iandavid2346
    @iandavid2346 Год назад +2

    😂😂😂😂kicheche ni mtu wa hovyo kabsa hajawah kuwa seriously

  • @thecrux1828
    @thecrux1828 Год назад +3

    Kicheeeeecheeeee we ni mbwaaaaaaaaaaaaaaa mbwa mwentekiti🤣

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Год назад

    😂😂ila kicheche fala

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Kichecheeee a.k.a David wambura wewe ni mbwaaaa

  • @loveCatholic254
    @loveCatholic254 Год назад +2

    Vailet Leo umekua chepukati wa kenya😂😂😂😂

  • @NassirMussa-d9w
    @NassirMussa-d9w Год назад

    Kilimo Cha ufuta😂😂😂😂

  • @pastorbucyensengejeanclaud2937

    Haaaa hakiii Na mimi natafuta gari,

  • @amahorofaridah519
    @amahorofaridah519 Год назад

    Wa Burundi 🇧🇮 km mnamkubalu adij njooni

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 Год назад +1

    Kicheche unatoa ushauri mubaya sana kwa jamii , kwenu Tanzania wanauza mapenzi kwa gari? 🤣🇨🇩 Pole

  • @BIGSTAROGTZ
    @BIGSTAROGTZ 11 месяцев назад +1

    Nice🎉🎉❤❤

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 Год назад +10

    Congo 🔥🔥💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @smartsammusiq3703
    @smartsammusiq3703 Год назад +5

    😂😂😂😂😂😂... kazi safii sana..

  • @lennonmpole164
    @lennonmpole164 Год назад

    Kicheche pumbavu zako 😅😅

  • @hassanrutabuka9119
    @hassanrutabuka9119 Год назад +2

    Et kicheche david wambura 😂😂😂🙌🙌

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 Год назад +1

    Mjumbe Mogadishu 🤣🤣🤣🤣

  • @andyandrea1162
    @andyandrea1162 Год назад

    Kicheche kaiba kura😂😂😂

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Год назад

    Mogadishu anataka unyapala

  • @santiarua4952
    @santiarua4952 Год назад +2

    Mwenywekiti kiboko ubwa wewe😂😂😂😂

  • @devothamwamwezi2036
    @devothamwamwezi2036 Год назад +6

    Wa kwanza Leo like zangu please😅😅😅

  • @feliciendanielmbulangadmf703
    @feliciendanielmbulangadmf703 Год назад

    Tupo hapa dada

  • @bigborisyaaga5555
    @bigborisyaaga5555 Год назад

    Mbwa mwiiiiii

  • @moullaommywayneofficial1199
    @moullaommywayneofficial1199 Год назад +1

    Waburundi mpoo like zangu jamani

  • @rahmaissa
    @rahmaissa Год назад

    Kilimo cha ufuta 😂😂😂😂

  • @MASESAMB52
    @MASESAMB52 Год назад +1

    hongera sana god bless u more bulaza

  • @jeshitvke2600
    @jeshitvke2600 Год назад

    Kichecheeee kenya ranking

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 Год назад +7

    Hayo mashavu ya kicheche akinuna yananichekesha sana😂😂😂

  • @PeterDaniel-ju8kz
    @PeterDaniel-ju8kz Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 ila kicheche bana

  • @abinelikagezi9217
    @abinelikagezi9217 Год назад

    Utaungana na mogadishu

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 Год назад

    Kuna jambo la kujifunza hapo. Tuwe makini ktk kuchagua viongozi

  • @josephcleth3945
    @josephcleth3945 Год назад +1

    Kicheche tunaomba mwendelezo wa lamba lamba, tumesubiri mno

  • @EmmanueliSamsoni
    @EmmanueliSamsoni Год назад

    Mmetisha sana

  • @thomaslonusamuel5766
    @thomaslonusamuel5766 Год назад

    😅😅😅😅Pesa mbele

  • @ShukuruMukungilwa-bj5ne
    @ShukuruMukungilwa-bj5ne Год назад +19

    Kicheche mon enti stress
    Tu me fais rire chaque fois quand je regarde tes vidéos avec votre terme"umbwa wewe, pumbavu zako"😃

  • @UshindiButera-yz9du
    @UshindiButera-yz9du Год назад

    Kicheche 🤣🤣🤣🤣 mbwa makoti

  • @Innocentciza
    @Innocentciza Год назад

    utatuwua kicheche buja

  • @Miltonmkali
    @Miltonmkali Год назад +10

    😂😂😂mwenye kiti