LIKE FATHER LIKE SON

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #kicheche #kichechecomedy

Комментарии • 901

  • @kicheche1570
    @kicheche1570  9 месяцев назад +984

    WAKATI TUKIWA TUNAANDAA TAMTHILIA MPYA, KWA SASA NITAKUA NAWAPA SHORT CLIP KUWACHANGAMSHA KIDOGO MASHABIKI ZANGU MSIBOEKE

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 9 месяцев назад +38

    Tunakupenda sana kicheche ila kumbuka na madili ya nchi🇹🇿 yetu nijukumu letu watanzania kuyalinda ukiwemo na ww kicheche hivyo katka kazi zako zingatia na maadili hayo ndo, maoni yangu kwako kicheche

  • @BrunoMafinge
    @BrunoMafinge 9 месяцев назад +12

    Ala kicheche na idyoi comédie zako leo, milikya Misha miss comedy zako kama ya leo. Thanks your groupe kicheche comedian.

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 9 месяцев назад +11

    Wakwanza kutoka dubai kazi kazi ❤❤❤ tu akupenda kicheche kazi nzuli🎉🎉🎉❤❤❤

  • @clementkomba
    @clementkomba 9 месяцев назад +3

    Sema kicheche izo cripsi sio good kwa maadili ya nchi yetu fanya video amabzo zipo good ud

  • @MacriusHipolity
    @MacriusHipolity 4 месяца назад +1

    Umbwa nyama nakukubali San Mr makoti❤❤❤❤

  • @BijouxMunezero-q8e
    @BijouxMunezero-q8e 9 месяцев назад +10

    Kazi zuri kicheche kwakweli nukukubar kabisa

  • @Orgenenoire195
    @Orgenenoire195 9 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 mbwa kicheche babaaaaaa, letaaa kazii

  • @DadyMaombi
    @DadyMaombi 9 месяцев назад +5

    Kicheche wewe noma sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 месяцев назад +11

    Iyi kali ya mwaka 😂😂😂😂

  • @KasimuIbadi-z6r
    @KasimuIbadi-z6r 9 месяцев назад +13

    Oyooooo Leo ni Leo tunaanza na kichupa kipya🎉🎉

  • @MichaelElias-jz7io
    @MichaelElias-jz7io 9 месяцев назад +26

    Nalombalike zangu much love from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Vpla-twins
    @Vpla-twins 9 месяцев назад +6

    Love from Rwanda 🇷🇼 ❤️ uyundo kicheche sasa hap ndotunahataka

  • @Saidi.mbuto36
    @Saidi.mbuto36 9 месяцев назад +3

    Umenifuraisha sana heti case ya otimbi unampelekea natimbiliyo😂😂😂😂❤mbwa kicheche

  • @khamzalockymaster6008
    @khamzalockymaster6008 9 месяцев назад +42

    Umeshawasili mjini vyema saaana💫💫 nakuamini kicheche from Burundi hapa 💯💯 Nipeni like zenu wadau team kicheche oyeeeeeeeee

  • @Debadebrossmkr
    @Debadebrossmkr 9 месяцев назад +1

    Aise hizi ngoma kali kweli 😂😂

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund 9 месяцев назад +14

    Like father liké son aita kwisha bila sja cheza ndani yaiyi Season nyipya ❤❤❤ sijuwi unasemaje brother kicheche ❤❤❤❤❤

  • @dangmoney9825
    @dangmoney9825 9 месяцев назад +16

    Na mimi napenda nyama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@kicheche

  • @mahsharhassan.5295
    @mahsharhassan.5295 9 месяцев назад +3

    Content kama hii sio nzuri kicheche kwa sababu watoto tunaozaa na kulea wanaangalia na inakuwa picha au mafunzo mabaya kwao .Tafadhali jaribu utengeneze content ambayo haitaharibu maadili na desturi zetu na hata dini

  • @Mwanajuma-j5i
    @Mwanajuma-j5i 9 месяцев назад +1

    Kicheche jamani haa wewe kaka bwana😅😅😅😅😅

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 9 месяцев назад +45

    Waombe like mnaboa 😮😮

  • @BarakaNakapo
    @BarakaNakapo 9 месяцев назад +1

    Na peperusha bendara ya Congo froom Bukavu 🇨🇩🇨🇩

  • @mbagoboy1
    @mbagoboy1 9 месяцев назад +6

    Wakwanza mbw 😅😅😅mimi

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 9 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂hii kali usichelewe sana basi tunasubiria kwa hamu

  • @SelemaneIssa-vr7po
    @SelemaneIssa-vr7po 9 месяцев назад +17

    Namkubali kicheche leo m wakwanza naomba like zangu

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 9 месяцев назад +2

    Hongera zako kicheche Na kikosi chako 🌹💪

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 6 месяцев назад

    😂😂😂😂kicheche wew ni jinga sana😅😅😅😅

  • @fadhilingari4427
    @fadhilingari4427 9 месяцев назад +3

    Kumbe queen na zuena mlinyoa kweli 🤣🤣🤣,, I thought ni filters 🤭🤭,, Queen wachekesha na kipara🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 9 месяцев назад

      😂😂😂 eeeh adi nilimwona live alinyoa kweli

  • @Layzer_photographer
    @Layzer_photographer 9 месяцев назад +1

    kiukwely bora hii baba kicheche manake ile ya uchawi mpka huyo mama nilikuwa namwota daah kubabake 😂

  • @Alidainvite
    @Alidainvite 9 месяцев назад +20

    Mimi hapa babaaaa

  • @celestinmutula
    @celestinmutula 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂 like father like son. Kicheche ww nilikuw nime Ku miss sana mungu wangu kifuwa changu mimi😅

  • @RajabuMohamed-gz1ms
    @RajabuMohamed-gz1ms 9 месяцев назад +4

    Popo mbili zavuka mto 😂😂😂😂😂😂

  • @AdoMufalm
    @AdoMufalm 5 месяцев назад

    Bien sana kakangu kwa mtandao andikatu ado mfalme upate wimbo mpya ❤😂 asante sana

  • @Koddooppah
    @Koddooppah 9 месяцев назад +16

    Oyaaaa kwa mala ya kwanza nimewahiiiii like kwangu

  • @misstee102
    @misstee102 9 месяцев назад

    Dah kichechee jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @LucasBurton-yj3jl
    @LucasBurton-yj3jl 9 месяцев назад +19

    Tunaagiza lamba lamba tunaletewa like father like son 😂😂😂😂😂

  • @Mbarack-bn5fr
    @Mbarack-bn5fr 9 месяцев назад +1

    More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 to kicheche

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 9 месяцев назад +7

    😂😂😂kicheche Niko apa wa kwanza like zangu ♥️♥️💞💞

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf 9 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂
    Popo mbili zavuka mto

  • @mcjakababakenya4912
    @mcjakababakenya4912 8 месяцев назад

    King of washerati mbwa wewe😂😂😂😂😂😂

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 9 месяцев назад +7

    Mwenye mitulinga huyo mbwa mitulinga ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @seifhamoud2718
    @seifhamoud2718 9 месяцев назад +1

    Kicheche hana akili hata kidogo😅😅😂

  • @ziromind7592
    @ziromind7592 9 месяцев назад +4

    Jamani! Watu wamekazania màadili maadili!, sahihi lakini Sio kila muvi lazima uitazama pia ishu ya watoto kuitazama, si kosa la kicheche bali we mzazi / mlezi! Kwanini umwachie mwanao aangalie

  • @mussasebatiano4787
    @mussasebatiano4787 9 месяцев назад

    hhhhhhhhhhha 😂😂😂😂😂😂yani nisawa na kesi yatimbi nakuiperekea timbilio 😂😂😂😂😂😂

  • @Kibaro777
    @Kibaro777 9 месяцев назад +6

    Mmm uumkwaka niwako kbs 🎉🎉

  • @Hekalueliasofficiel
    @Hekalueliasofficiel 8 месяцев назад

    Iyo kicheche umerudi sasa ❤🎉

  • @GeorgeJaphet-np5hx
    @GeorgeJaphet-np5hx 9 месяцев назад +32

    KAMA unamkubari kicheche nikuone😂🎉🎉🎉

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 9 месяцев назад +2

    Kicheche we ni hatari 😅 Umbwa www😢😢😮😮😮😮

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 9 месяцев назад +3

    Kweli kicheche niki chaa 😂😂😂😂

  • @Irenegodfrey-cn5ri
    @Irenegodfrey-cn5ri 9 месяцев назад

    Kesi ya otimbi umpelekee natimbilioo 😂😂😂.. eeeh good job mbwa kicheche❤❤

  • @kingrabi5118
    @kingrabi5118 9 месяцев назад +5

    Number one from 🇧🇮🇺🇸

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂kicheche jmn daaah😂😂😂 futa limetulia hilo😂😂😂

  • @georgegayo3568
    @georgegayo3568 9 месяцев назад +5

    Wa kwanza from Zanzibariiii

  • @FrederickTeteema
    @FrederickTeteema 9 месяцев назад

    Kumbe Mwajuma alinyoa kweli .....😂😁 Napenda..

  • @AdijaRumonge
    @AdijaRumonge 9 месяцев назад +31

    Kecheche simamisha iyo movie Haina mafunzo yoyote kwajamii asa watoto

    • @princemichael3023
      @princemichael3023 9 месяцев назад +1

      Sasa nani amekwambia tunataka mafunzo

    • @kevingasper5838
      @kevingasper5838 9 месяцев назад +3

      Mafunzo yanapatikana shuleni mbwa wew😂

    • @celestinmutula
      @celestinmutula 9 месяцев назад +1

      Kwani ww unatafutiyaka mafunzo kwenye comedi ??? Una shangaza San? Akuna mafunzo kwenye comedi APA mwendo kucheka tuh😂😂😂

    • @hassanimbonde8088
      @hassanimbonde8088 9 месяцев назад

      Lenyewe funzo usiangalie utaota

    • @chongwestephano3342
      @chongwestephano3342 9 месяцев назад

      😂​@@kevingasper5838

  • @generalivoskey6287
    @generalivoskey6287 9 месяцев назад

    Nice one 🎉napenda comedy yako nikiwa Kenya

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 9 месяцев назад +94

    Kitu kinachokera ni kila mtu anaomba like

    • @3malis
      @3malis 9 месяцев назад

      Usimpe tuuu😂😂😂

    • @Safarikenga-tf3si
      @Safarikenga-tf3si 9 месяцев назад +2

      Ata mm inanikera badala ya kuwapongeza na kuwasuport n kuomba tu likes

    • @abdulwahidmsellem1998
      @abdulwahidmsellem1998 9 месяцев назад

      @@3malis 😂😁😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 месяцев назад

    Kicheche mbwa ww umetisha sana😂😂😂

  • @MickJoseph-wm3xu
    @MickJoseph-wm3xu 9 месяцев назад +16

    Leo wakwanza ni mimi nipeni like zangu tim kicheche

    • @philipogabriel6056
      @philipogabriel6056 9 месяцев назад

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 unatuchukuliaje washabiki wako au ndoo tayari ushaona unatumudu?? m nakufatilia sana sema huwa siyo mpenzi wa comment ila kwa hii movie umenikwaza

  • @Seifbrown
    @Seifbrown 9 месяцев назад

    😂like son ❤😂😂😂😂😂ni poa. Sana tu😅

  • @IssaKigwanya
    @IssaKigwanya 9 месяцев назад +3

    Baba wa hovyo mtoto wa hovyooo

  • @alexbizimana4885
    @alexbizimana4885 8 месяцев назад

    Kicheche noma sn 😂😂😂

  • @EzeldaSamson-dm9lu
    @EzeldaSamson-dm9lu 9 месяцев назад +3

    Kubwa kuliko❤

  • @watambulaioci
    @watambulaioci 9 месяцев назад +1

    Hihi itakuwa kali kweli, acha tuendelee kuhisubiri, team kicheche twende na likes.

  • @delvojr5034
    @delvojr5034 9 месяцев назад +5

    Nipeni mauwa yagu🎉

  • @MaryamMgawe
    @MaryamMgawe 6 месяцев назад

    😁😁kumbekwenye kizagamua more wangu unabanaga makalio😃😃😃

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 9 месяцев назад +6

    Kazi nyingine bhana

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 9 месяцев назад

    Hii nayo ni kali umbwa ww😂😂😂❤❤

  • @MichaelElias-jz7io
    @MichaelElias-jz7io 9 месяцев назад +3

    Number one🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JanvierIrengenshamamba
    @JanvierIrengenshamamba 9 месяцев назад

    Weye kicheche ni Noma n'a mambo ya mtulinga😂😂

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 9 месяцев назад +3

    Mashabiki wote tuungane kulinda maadili ya Tanzania

  • @iptisum2549
    @iptisum2549 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂eti mzee anabananga makalio,aki nyie watu

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 9 месяцев назад +3

    Wa kwanza naombeni like zangu 🤣

  • @MugishoBafurumadaniel
    @MugishoBafurumadaniel 8 месяцев назад

    Naku kubali sana kicheche❤

  • @laurentrichard4638
    @laurentrichard4638 9 месяцев назад +3

    jamani ata leo na mimi like team kicheche

  • @EliezerNdayikeza
    @EliezerNdayikeza 9 месяцев назад

    Kicheche utatua mwaka huu 🎉😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @MPUMOSIMBAKING
    @MPUMOSIMBAKING 9 месяцев назад +5

    baba nyinyi ni umbwa

  • @PrinceMachine
    @PrinceMachine 9 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 kicheche nakukubali toka 🇺🇲

  • @DBlack-bo8ob
    @DBlack-bo8ob 9 месяцев назад +4

    Kicheche oyeeeeeeeeèeeee

  • @NYENJENDEU
    @NYENJENDEU 9 месяцев назад +2

    Mi na baba popoo mbili zavuka mto😂😂😂😂😂

  • @challaxtv1555
    @challaxtv1555 9 месяцев назад +6

    Huu mzigo ni hataree

  • @JovitaBuberwa-zh1gl
    @JovitaBuberwa-zh1gl 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 kicheche mwehu weeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FredySemkiwa-or7kn
    @FredySemkiwa-or7kn 9 месяцев назад +5

    Kabla sjaangalia nimeanza kucheka

  • @apia-gv2mv
    @apia-gv2mv 4 месяца назад

    Vip kicheche pastor Simon mbona haiendelei

  • @Chawamsafi1
    @Chawamsafi1 9 месяцев назад +47

    ingekuwa sio mtandao unasumbua ningekuwa wakwanza kuangalia naombeni like za kicheche

    • @delbincewilondja7827
      @delbincewilondja7827 9 месяцев назад

      Kicheche vp kuhusu movie yetu ya Pesa na matatizo ?
      Tunaomba hiyo

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala 9 месяцев назад +1

    ahahahahahhahahahaaa saut zinafanana 🤣😅😅😅😅😅😅 LIKE FATHER LIKE SON😅😅😅

  • @AllyMaganga-cd8qm
    @AllyMaganga-cd8qm 9 месяцев назад +11

    Jamani wanaomkubali kicheche like hapa

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 9 месяцев назад

    Ayaaa twende kama Baba kama mtoto....🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @NewtonAlonso
    @NewtonAlonso 9 месяцев назад +11

    Weee kichehe naitaji likes zangu wangwana

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 9 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 yaaani unge ifanya iwe hata refu kidogo kicheche pleas nime ipenda sana❤

  • @MafuluSaid
    @MafuluSaid 9 месяцев назад +8

    Kaz nzur kicheche

  • @LODRICSALUMU
    @LODRICSALUMU 6 дней назад

    Kicheche pow sana mimi ni mukongomani

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 9 месяцев назад +2

    Kama unamkubali kicheche weka like yako hapa ili ujue Kama kidude Cha like kimebadilika😂😂😂

  • @methodnkundumukiza6367
    @methodnkundumukiza6367 9 месяцев назад +1

    Mwajuma hajaota nywele tena.nakumbia hii kazi Ya uigizaji ni noma sna

    • @Zuansh2278
      @Zuansh2278 9 месяцев назад

      Unaona eee 😂😂 hakuna hata editing jmn

    • @methodnkundumukiza6367
      @methodnkundumukiza6367 9 месяцев назад

      @@Zuansh2278 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @phynojamix7086
    @phynojamix7086 9 месяцев назад +5

    Wakwanza Leo kichehe naomba Ata like 1 tu

  • @abdullatif053
    @abdullatif053 9 месяцев назад

    Tutakususa mbwa ww😂😂🎉🎉

  • @IssaJaphe
    @IssaJaphe 9 месяцев назад +14

    Gonga like za kutosha wa kwanza🎉

  • @BOY_MUSTAIK_TZ
    @BOY_MUSTAIK_TZ 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉Noma sana 😂😂😂😂😂 like back

  • @ziromind7592
    @ziromind7592 9 месяцев назад

    Haya Mambo ni hayanaga utu uzima😂😂😂

  • @PromesseWasho
    @PromesseWasho 9 месяцев назад

    Iyi njo kali zaidi
    Njo comédie tulisubiri kitambo