MSIMAMO WA BAVICHA BAADA YA POLISI KUZUIA MAANDAMANO YAO, WAKIMTAJA RAIS SAMIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 148

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV Месяц назад +3

    Daaaaaah huyu jamaaa yupo sawa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 Месяц назад +8

    Watanzania wengi mmejaa uoga tu ila ukweli nikwamba kila mtu anachukia ishu za utekaji

  • @JoshuaZebedayo-nd1oj
    @JoshuaZebedayo-nd1oj Месяц назад +2

    Uyu jamaa anaongea fast sanaa

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 Месяц назад +1

    Haha Safi Sana mwenye kiti wangu unajibu vzuri sana

  • @gabrielishmael5956
    @gabrielishmael5956 Месяц назад +2

    Naikumbuka 2015 mbowe pia alituambia tutaandamana,Tundu LISSU aliwahi kutuambua tutaandamana,John Mnyika aliwah kutuambia tunaandama...😢😢😢

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Месяц назад

    Wasikuteke tu mana uyu mama 😢😢😢mjanja mjanja uwez kukaaa kimya watu wanapotea

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o Месяц назад +3

    MIMI SINA CHAMA HAKI YA MUNGU ILA CCM NIWATEKAJI ,WAHALIFU KWAKUSHIRIKIYANA NA POLISI NA USALAMA HIYO IPO WAZI 99%
    SERIKALI YA KIFEDHULI HII KABISA HAMNA TENA AMANI TZ

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад +2

      Upo sahihi Mimi Sina chama kama wew mambo yapo wazi naumia sana

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      ​@@RamadhaniKitala-gx6wcCCm wanatumia njia hii kukandamiza wapinzani na kuwanyamazisha, halafu mbaya Zaid baadhi ya viongozi ndani ya CCM wamekuwa wakitoa maneno ya wazi jinsi walivo katika kukabiliana na wapinzani, kijana mmoja kule bukoba Kuna clip akizungumza kuwa wale wanaokosoa viongozi pols wasipate shida kuwatafuta watakuwa wanawapoteza tu ,mwingine aliyekuwa mkuu wa wilaya longindo, lakin katika yote haya hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa wapo Wanadunda bila shida, huku vijana wanaokosoa Tena Kwa hoja wakizidi kupotea, Je nchi tutafika wapi kama Hali itaendelea hivi

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 Месяц назад +2

      Upo sahihi mkuu.

  • @alberttvonline2174
    @alberttvonline2174 Месяц назад +3

    Safiii safiiii safiii......
    Hii ndo maana yakupeleka mtoto shule

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we Месяц назад +6

    Mungu atawaongoza tuna waombeaa sana

    • @Pascaltz
      @Pascaltz Месяц назад

      Unawaombea unaenda kuungqnq nao

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp Месяц назад

      Hayakuhusu​@@Pascaltz

    • @HalimaKassim-yz3we
      @HalimaKassim-yz3we Месяц назад

      @@Pascaltz kwani wanaenda kumua mtu au wanaendazo kwa amani kunaubaya gani tukiwaombea kwani wanaenda kukaba au kubaka Acha mbona musiwape uhur wao mnaowaogopa nakamivo mnaogopa nn

  • @gabrielishmael5956
    @gabrielishmael5956 Месяц назад

    Chadema is somehow good,shida huwa iko hapa.
    Hamjawah kusimamia jambo lenu moja likaisha,leo mtakuja na agenda hii then miaka mitatu mbele mnakuja na ingine,mlitaka katiba MPAYA last season leo mnataka MGOMBEA BINAFSI...Nadhan kwa kuwa hata jambo la mgombea binafsi liko ndani ya katiba bas simamieni suala la katiba zaidi....

  • @MangaBoy-j2b
    @MangaBoy-j2b Месяц назад

    Wenyewe munatosha Wala sio mpaka ss wanamchi atusiki ata kidigo

  • @hassanamani2131
    @hassanamani2131 Месяц назад +1

    CHADEMA Punguzeni maneno, anzisheni underground rebilion na muanze kushambulia soft targets Kama miundombinu ya serikali, na familia za askari na watu mnaowatuhumu kuhusika na vitendo viovu vya mauaji

  • @YunusAliHassan
    @YunusAliHassan Месяц назад +4

    Jichanganyeni tu msije kutugongea milango,

    • @JohnKipalile-bq9ec
      @JohnKipalile-bq9ec Месяц назад

      Vile akili yako ilivyokuwa mbovu

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 Месяц назад

      Umetumwa na na boss wako

    • @MasesoGenya
      @MasesoGenya Месяц назад

      @@YunusAliHassan sasa mlango wako wa nn akati maandamano ni halali kikatiba
      Shida hamjui Haki zenu na Katiba mnaisikia tu ndo mana kazi kuimba imba AMANI NA UPENDO ili hali Watu wenzako wanauliwa na hawana makosa kabisa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi Месяц назад

      We kama shoga endelea kufilwa

  • @ShabaniMcharo
    @ShabaniMcharo Месяц назад

    Chadema acheni maandamano hata kuyataja acheni je maandamano faida yake nini

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 Месяц назад

    KICHWA SANA HICHI,✌️✌️✌️

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +8

    Hakikisheni mnaenda kuandamana mmeaga familia zenu.

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад +5

      Siku utakapo tekwa na wakufile ndo utajua kuwa uoga ni umaskini!hata hii nchi Nyerere asingeandamana usingekuwa na huu Uhuru wa kuandika huu usenge wako!pumbu wee

    • @wisdomfolks
      @wisdomfolks Месяц назад

      Wanawake mkae ndani msiandamane vita mnayoweza nyie ni comment tu

    • @RynoFire-w8k
      @RynoFire-w8k Месяц назад

      Afu kunaviwatu havijielewi, ww ni akili usiku

    • @MasesoGenya
      @MasesoGenya Месяц назад

      Hata usipo andamana kufa kupo palepel

    • @EmmanuelMajele-ny2hk
      @EmmanuelMajele-ny2hk Месяц назад

      Kufa utakufa tu hata ukikaa nyumbani utakufa nibora ufe ukitetea Taifa lako

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony Месяц назад

    watz tngekuwa kama uyu tngefka mbl wengi wetu n kama manyumbu

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Месяц назад

    maandamano yangekuwa niyanchi nzima kwamaana kilamtu anaumia kwa ainatofauti si utekajitu hatahuduma zajamii zinaubaguzi mkubwa.

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota Месяц назад +1

    Mm mwnyw mnipitie 😅😅😅

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Месяц назад +2

    Hawa wakiandaman Njooni Tanga nifuteni munipige bakora😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Месяц назад

    Kijana anaakil sana

  • @ElizabethMlaule
    @ElizabethMlaule Месяц назад

    Chadema mimi ninawasiwasi na nyinyi police wawachunguze inawezekana nyinyi mnahusika na upotevu wa watu

  • @Zablonchalres
    @Zablonchalres Месяц назад +3

    Hongera sana bwana mdogo
    Tuko nyuma yako

  • @MasesoGenya
    @MasesoGenya Месяц назад

    Tokea Ihungo Boys
    Tupo pa1 kaka kaza

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 Месяц назад

    Tunaingia barabarn maish yetu Yako hatrn sn

  • @misomisomisoji7722
    @misomisomisoji7722 Месяц назад

    Hii inchi inaendeshwa kidikteta na hii serikari ya kihuni, wananchi tokeni nnje mkahandamane,

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Месяц назад

    Safiiii sana

  • @AngelMazola
    @AngelMazola Месяц назад

    Tutaandamana na mpaka tuaandamana tenaa wastutishee apa

  • @GwakisaMwasemele
    @GwakisaMwasemele Месяц назад

    Hv awadhi kesi yake ya mbeya imeishia wap? Au ndo anaogopwa

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO Месяц назад +3

    Yule Kijana Chaula Mlimtuma Wewe Msenge sema kweli Mboe na Lisu watangulie na wewe unaesema Utoke Wachaga niwajanja Hawatoki kwenye Maandamo

    • @mahinyakeelvin2196
      @mahinyakeelvin2196 Месяц назад +1

      Akitekwaa baba yako utaacha kuongea ufalaaa maana na weww ujui ulitendalo sawa wamekosea ndo damu zimwagike bila sababu

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee Месяц назад

      aki tekwa jamaa yako najuwa akili ita kukaa sawa

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony Месяц назад

      ​@@mahinyakeelvin2196uyu n nyumbu

  • @tizosanga8919
    @tizosanga8919 Месяц назад +4

    Hakuna mtu kulala

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 Месяц назад +1

    Chadema wasenge sana kila kitu Kiki tu nyinyi mnajiuwa wenyewe jirekebisheni msiuwe watu halafu nyinyi ndio mfanyie kigezo cha kuuwa wengine

    • @TatuCharles-f5m
      @TatuCharles-f5m Месяц назад

      Siyo lazima uwe mjinga ata kama unaipenda ccm

    • @Fredrickrobson01
      @Fredrickrobson01 Месяц назад

      Natamani wakuchape tukio ili ujue kama unajiteka mwenyewe au wanatekwa

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад

      Labda nikueleze kitu kimoja wanaoandamana sio kwa kuwa ni chadema bali Kuna watoto wamebakwa Kuna watoto wameuliwa Kuna watu wamedoma Kisha kazi hakuna Kuna mauwaji na kadharika wananchi wanaoandamana wanahitaji haki itendeke kwa Kila mwananchi pia wanatetea Kodi hiyo mishahara wanaolipwa viongozi inatoka wapi kama sii kodi yako huu sio mpira wa Simba na yanga amka wew kushakucha

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 Месяц назад

      Wanaoandama ni wananchi wala sio CHADEMA.cku yakikupata ndo utajitambua

  • @brendasamson2086
    @brendasamson2086 Месяц назад

    Mmeshakuwa filamu ya isidingo 😂Hamna maana kaandamaneni nyie na watoto mnatekana wenyewe ili mchafue Amani ya nchi yetu

  • @amanijacob3369
    @amanijacob3369 Месяц назад +1

    Saf sana

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 Месяц назад

    Msikubali ujinga huo hao ma ccm na huyo mama yao lazima waondoke na maandamano yaendelee kuogopa basi acheni ujinga

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q Месяц назад

    Uyu jamaa yupo vizuli Fact

  • @aediaygo8546
    @aediaygo8546 Месяц назад +2

    Wapuuzi jichunguzeni acheni ujinga 😅

    • @TatuCharles-f5m
      @TatuCharles-f5m Месяц назад

      Siyo lazima kuwa bongo maji ata kama ukipenda ccm kwani hao chadema hawapaswi kuchunguzwa?

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu Месяц назад

    Acha kuchekacheka ka.s demu

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Месяц назад +1

    HAMNA NIA NJEMA NA NCHI YETU WAHUNI NYIE ILA NAAMINI UKWELI TUTAUJUA SI MUDA MREFU

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp Месяц назад

      Hao waliyokaa marakani miaka 60 wanaukweli gani? Vitisho , mauaji, ukatili, utekaji wa watu . ......... nikufilisika kisera na kisiasa lazima tujitafakari ,tujitambue,tujielewe ,tujitathmin . Lazima SISI CCM tuangalie kwa umakini wapi tunakosea na nn tufanye kisayansi na tusonge mbele, UJANJA MWINGI MBELE KIZA . Kuna usemi unaosema " hatesi mtesa akafukuliza" Tanzania ya leo sio ile ya 1950-70 ya kipropaganda za kuaminisha watu wakaamini sasahiv wanauliza na kudadisi tubadilike.

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p Месяц назад +1

    Ivi kikwete na mkapa waliwezaje kuongoza nchi bila aya matukio tunayoyaona

    • @godfreyfrugence4176
      @godfreyfrugence4176 Месяц назад

      Watu bado walikuwa hawajaamka makuful ndo kawafumbua wengi

    • @Pascaltz
      @Pascaltz Месяц назад +1

      Hao ndo walikuwa ni hatarii ogopa sana

    • @MylaJoel-h2p
      @MylaJoel-h2p Месяц назад

      Kwa wizi yeah nakubali Ila kwa mambo yakutekana ivi hapana

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Месяц назад

      Hawakuwa na lolote ila walikua watu wa sera kama hz ila wakati unaongea. Ukitazama kiundani Rais wa awamu ya tatu alifanya matukio mabaya kuwahi kutokea tz haswa visiwani na mwisho baada ya kuteseka na ms maradhi sana aliandika kitabu cha kuomba msamaha lkn imetoka hiyo.

    • @alexjohn7361
      @alexjohn7361 Месяц назад

      Labda kama ulikuwa mdogo.

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 Месяц назад +2

    Wewee ni mjinga sana tena sana wewe ni Ng,ombe,kama unaona amani haifai njaa kwetu kenya tukufunze kuandamana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Месяц назад

    hakuna haki unayodaiwa kwa kufanya vurugu barabarani,jengeni hoja kwa watanzania mmpaka wawaelewe na wawakubali

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Месяц назад

    Polisi waache ubabaishaji. Katiba inasema kuandamana ni haki. Wao ni nani wanaojiona kuizidi katiba wakati ni zao lake? CHADEMA na wale wanaopanga kuandamana ambao si wanachama, wapuuzieni hawa polisi waliojigeuza wanasiasa au nyumba ndogo ya CCM

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад

    Pambalu unaongeaje mzungu sio mzungu

  • @NassirOmary-lr9ts
    @NassirOmary-lr9ts Месяц назад

    Africa siyo England wewe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Месяц назад

    Tena wewe uwe mbele vimburu wa marekani na wazungu

  • @horizondpq4133
    @horizondpq4133 Месяц назад

    👏👏👏

  • @JovinPeter
    @JovinPeter Месяц назад +1

    Anazungusha macho yanini au ndo mtoto anautaka

  • @simonmaige3580
    @simonmaige3580 Месяц назад +3

    We dogo nichizi angalia future yako ya badae afu umekunywa jamaa sura nauongeavyo kama umekunywa madomola jamaa

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 Месяц назад

    Sio mabali.subirini mujitokeze ndio mtajuwa vyombo.vya Doller vinafanya kazi gani tena tunawaomba nyie waongeaji wote aanze mbowe na lisu mnyika lema na wewe ndio tutaamini mumeadhimia.maandamano kisha kitakayowakuta msije kulaumu

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee Месяц назад

      tuvi juwe mbona watu wana vijuwa sijuzi tuu mtu kazikwa tuju waje tena pingu bunduki haaa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад

    Magu alidhibiwa na mungu

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 Месяц назад

      We msenge, usimtaje kipenzi chetu wananchi walala hoi.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      ​@@jumamustapha8254wewe jinga gani ati ,kipenzi mbona hukwenda kuzikwa nae huko chato?

  • @JovinPeter
    @JovinPeter Месяц назад

    We ni choko leteni matako njiani mkutwe

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n Месяц назад

    Ccm nimajambazi haana huruma

  • @emmanuelmahenge-z7u
    @emmanuelmahenge-z7u Месяц назад +4

    Hakuna kit hapo sisi tupo na mama

    • @paulndaki8423
      @paulndaki8423 Месяц назад

      Tumbo linagharim sana nchi yetu

    • @storytownTv
      @storytownTv Месяц назад

      Ww na nani acha kujiangalia wew unaemfaidi sisi hatuon kaz yak

    • @MustaphaSeleman-z7c
      @MustaphaSeleman-z7c Месяц назад

      Mama ako anafaid kwenu cc atuna faida nae

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo Месяц назад

      Mama wanyoko

    • @melch3097
      @melch3097 Месяц назад

      Hongera sana, una mama bora. Baba yako alipata chombo

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o Месяц назад +2

    Mbona hamkumwambia magu ajiuzuru utekaji ulianza wakati wake kijana mjinga

    • @MurunguwetoshaDeheaven
      @MurunguwetoshaDeheaven Месяц назад

      Jina lako Tu linaonyesha unahoji Kwa sababu za udini,magufuli alikuwepo uliona watu wakitekwa kwenye bus mchana na kuuwawa,
      Muogope mungu

    • @storytownTv
      @storytownTv Месяц назад

      Jamaa huna akili vizur ,Magufuli sio wakumuongelea nchi nyingi zinazo jielewa zilmtaman kiongoz kama yy ila Bongo bahat mbaya mafisad wakamfanyia fitina kwa wananch wake ili waendelee kula

  • @ZeynabAlly-k4j
    @ZeynabAlly-k4j Месяц назад +2

    Huyu ni demu au mbona simuelewi anajinsia gani.simuelewi elewi

    • @emanuelmaya4667
      @emanuelmaya4667 Месяц назад

      acha ufara

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee Месяц назад

      wemwenye uku una itwa usna sia fazali uyo umu elewi sisi tuna mjuwa uyo kamanda pambalu mzee

  • @nsabimanaabedi541
    @nsabimanaabedi541 Месяц назад +1

    Wafrika tunakosea wapi eti ungereza ifanye uchunguzi Tanzania kwanini chadema wanataka wazungu wafanye uchunguzi. Africa akuna watu wanauwezo huo .ndio maana Africa tutabaki kwenye ukoloni mpaka. Kuna in'ch bura Apa Africa kufanya upelelezi . Kwamfano Sénégal, Rwanda, Égypte, Morris, Africa ya kusini .ect..lakini apana wazungu. Tutakuwa ni wakoloni

    • @Robust78
      @Robust78 Месяц назад

      Sababu ya msingi inayopelekea watu kutaka uchunguzi huru nikwasababu taasisi zenye mamlaka ya kuchunguza ndizo zinazoshukiwa kuhusika. Je kwa mazingira kama hayo unategemea nani ataweza kutusaidia kupata majibu ya kuaminika. Ndiyo maana inahitajika taasisi za kimataifa kutusaidia. Wala kufanya hivyo siyo kuidhalilisha nchi. Ndiyo maana makampuni mengi ya kigeni yanapewa kazi nyingi za kitaalamu kufanya kazi hapa nchini. Mfano mdogo ni bandari yetu ambayo nilango kuu la kiuchumi na usalama wa nchi mbona wamepewa wageni watufanyie?? Kwahiyo hata uhalifu hasa huu wa kupotea watu ikiwa vyombo vyetu havina uwezo wa kutosha kuchunguza na kuwatia mbaroni wahusika hakuna ubaya kutumia taasisi za kimataifa zitusaidie kufanya uchunguzi ili hilo genge linaloteka na kuua watu likomeshwe.

    • @nsabimanaabedi541
      @nsabimanaabedi541 Месяц назад

      @@Robust78 nisikiye vizuri sikatai kuwa uchunguzi ufanyike hoja yangu kwanini wazungu tena barani Africa tunao wataalam wazuri tu . Inamanisha yakwamba kuna shinikizo kutoka huko uzunguni.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      ​@@Robust78vizuri sana umemweleza huyo jamaa,

    • @RynoFire-w8k
      @RynoFire-w8k Месяц назад

      ​@@Robust78una IQ kubwa sana mzee

  • @rashidalihamad7228
    @rashidalihamad7228 Месяц назад +5

    Jichanganyeni tu😂 maisha matamu sana. Fujo za nini, kupambana na maisha yangu ndio siasa tosha kwangu

    • @ZanzibarAfrica-p6j
      @ZanzibarAfrica-p6j Месяц назад

      Angekua baba yako ndo amefanyiwa km mzee Ali, na watu wakiendelea na maisha yao ungejisikiaje? Acha usenge

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk Месяц назад +1

    Ushachoka kula ugari na familia yako

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 Месяц назад +1

    Wewe jitokeze ,weka mbele mtoto wako

    • @barakapaul6685
      @barakapaul6685 Месяц назад

      Sasa huu ndio uoga wa kipuuzi kumbuka nchi ikiingia kwenye machafuko hata wewe uliyeko ndani kwako na watoto wako utafikiwa

  • @RmadhanSoud
    @RmadhanSoud Месяц назад

    Wewe jichanganye

  • @khalidkassim3986
    @khalidkassim3986 Месяц назад

    Mikwara tu

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO Месяц назад +2

    MBOE ANAHUSIKA KUNA USHAHIDI WA DK.SILAA AITWE KAULI ZAKE ZIPO ZINATREND KWENYE MITANDAO

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад +3

    NYIE JITOEN UFAHAM AWAM HII YAKIWAKUTA MSIJE KUTUPOGIA MAKELELE TUNATAKA JESHI LETU LIHESHIMIWE

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z Месяц назад +2

      Lakini ni haki yao kikatiba kuandamana wasirudi nyuma

    • @ibnujumanne4054
      @ibnujumanne4054 Месяц назад

      Aliesema jeshi linaenda kudharauliwa Ni Nani ?

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

      Wewe unaona kwako una amani kwa kuwa huna njaa wala hauna ndugu yako aliye fanyiwa unyanyasaji wa haki ya binaadam!umekaa tu hapo unaletewa na bwana ako anaye kufira unachukulia poa tuu!!

    • @wisdomfolks
      @wisdomfolks Месяц назад

      Mnataka wewe na nani nyie nikina nani na jeshi lipi mnataka

    • @TatuCharles-f5m
      @TatuCharles-f5m Месяц назад

      Siyo lazima kuwa mjinga ata kama ni mpenzi wa ccm

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Месяц назад

    Hawa police uchunguzi wao haukubaliki lisu alipigwa risasi 2017eti mpaka sasa uchunguzi haujakamilika Hawa haya matatizo ya viongozi wa upinzani kunyanyaswa ni lazima sisi wanainchi tuwanyoshee kidole kuwa wanahusika

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Месяц назад

      Bongo movie hiyo risasi 16 usife SACCOOS 😢😢😢😢😢😢😢

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      ​@@OmmyJames-xn7jikwahiyo wewe unapinga kuwa hakushambuliwa lisu?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Месяц назад

      @@bahatielias6443 DRAMA ZA SACCOOS ACCORDING TO PADRE SLAA 🤧🤧🤧🤧🤧🤧

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 Месяц назад +1

    Unaongea unacheka cheka kama choko vile

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KasongoRugina
    @KasongoRugina Месяц назад

    Ccm ni dog kabisa

  • @aediaygo8546
    @aediaygo8546 Месяц назад +1

    Kutaka umaruufu ndiyo kunawaponza mwenyekiti ana miaka 30 yeye mwenyekiti tu mnataka mtuletee wakina kamuzu banda Tanzania Kuku jike we

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Месяц назад +1

      Anakichwa Kama pumbu LA mbowe. Tokea nmezaliwa mbowe mwnykt hadi leo ,na Mazwazwa ya Chadema ypo kmy. Wasenge Sana Hao.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      ​@@twalibulomy-cd4zdkumbe jinga Moja la mwaka 2000 tu, halafu Bado kinda la ndege kabisa ,ajabu unakuja kupanua mdomo hapa

  • @issashekh4726
    @issashekh4726 Месяц назад

    Mh

  • @brendasamson2086
    @brendasamson2086 Месяц назад

    Mmeshakuwa filamu ya isidingo 😂Hamna maana kaandamaneni nyie na watoto mnatekana wenyewe ili mchafue Amani ya nchi yetu