MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 325

  • @WizdomShehemba
    @WizdomShehemba 3 месяца назад +8

    Nimefurahi mtumishi wa mungu unajiamini vzr sana,lkn kwa hii ccm sio yakuamini sana acha ninyamaze mungu akupe nguvu zaidi ya kukemea mabaya....

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 3 месяца назад +44

    Mtu mwenye akiri timamu hawezi pigia kura ccm hata siku1

  • @enocepaulkumba9362
    @enocepaulkumba9362 3 месяца назад +2

    Safi Askofu!
    Wewe ni asikofu wa kweli!
    Hawa mazezeta wanaodhani wana hati miliki ya maisha ya watu wengine wanapaswa kujua yupo mwenye hati miliki ya maisha yao pia.

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 3 месяца назад +7

    Kweli kabisa mtumish wa mungu.. uyo alosema nyokanae anatakiwa akapimwe mkojo😊

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 3 месяца назад

      UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO
      ruclips.net/video/bXl3lufZu_Q/видео.html
      AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE DAR ES SALAAM, WALISHAFARIKI MIAKA MINGI MKOANI MOROGORO NA WAKAZIKWA NA HUWA WANAKWENDA KUPALILIA MAKABURI YAO KILA MWAKA NA KUWASOMEA DUA.
      KAKA YAKE ANA PESA NYINGI SANA NA MAGARI YA KIFAHARI KAMA VOGUE SPORT, TOYOTA LAND CRUISER, V8 2.4L 326HP - KING OF SUV NK.
      USISAHAU KUSUBCRIBE NA KUSHARE TUKIO HILI KWA WATU WOTE ILI WAJIFUNZE KUMTEGEMEA MUNGU PEKEE SI MWANADAMU. SHARE, LIKE, COMMENT
      Maoni na ushauri wasiliana na chumba chetu cha Habar kwa simu no 0713 575718 ipo WhatsApp

  • @shilakodeni2853
    @shilakodeni2853 3 месяца назад +7

    Mchungaji❤anaongea ukweli kwani ccm isitekwe naiwe chadema tuhu apo kunakitu❤

  • @ErastoNzibonera
    @ErastoNzibonera 3 месяца назад +10

    Kumbe watumishi wamungu wapo ubarikiwe

    • @jizzomonster
      @jizzomonster 3 месяца назад

      😂😂😂😂 wapo wamekausha2 wanazoom serikali ikizingua wanaruka nae😅

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 месяца назад

    Hapo sawa hutaki kusemwa acha kazi uondoke

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 3 месяца назад +3

    Mungu akutunze pastor wengne wamekaa kmya

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад +4

    Mambo y pori Asante mchungaji kw hilo porini,

  • @Enjekutilengais
    @Enjekutilengais 3 месяца назад

    Nikweli baba mungu akulinde akubariki

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 3 месяца назад +7

    Huyo tulia atakuwa na utiai sugu!! Aje aniteke mm atakula panga natembeaga na panga Kali kweli

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 3 месяца назад +8

    EeMungu shka juu ya watekaji

  • @josephatjosephbaza2962
    @josephatjosephbaza2962 3 месяца назад

    Safi sana mtumishi unasimama ktk haki.

  • @PaclasLeo
    @PaclasLeo 3 месяца назад

    Kwa hapo mtumishi wa Mungu nimekuelewa be blessed

  • @elvisikimaro1178
    @elvisikimaro1178 3 месяца назад +11

    Ubarikiwe mchungaji, unapenda haki, huyo Samia Mungu akuone kwaunyama anaitufanyia watanzani

  • @SamwelMdamanyi
    @SamwelMdamanyi 3 месяца назад +1

    Mungu atahukumu waovu.tubuni dhambi na kuziacha Mungu haogop mtu yoyote mtenda maovu Iko siku kila atendae dhambi atakutana na Mungu anaejua Siri zote za mioyo ya watu

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 3 месяца назад +27

    Hii ngoma itakwenda kama sudani

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 3 месяца назад

    Kazi ya askar ni kazi ya lawama sana namshukuru mola simo humo

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 3 месяца назад

    UKWELI mtumishi 🙏🔥🙏🙏💝

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 месяца назад

    Mchungaji tuko nyuma yako,👏👍

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 3 месяца назад +7

    Tunaitaji kuwa na watu kama Hawa wengi kwenye nchi yetu kwa manufaa na maendeleo yakweli katika taifa letu

  • @benagriculture1761
    @benagriculture1761 3 месяца назад

    shushaa maombiii mtumishiii waa munguu

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 месяца назад

    Ubarikiwe mchungaji kwa kusema ukweli samia na tulia hatuwaelewi

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 3 месяца назад

    Mungu atende sawasawa anavyoona

  • @Dogmastermc
    @Dogmastermc 3 месяца назад

    🙏bariwa sana mtumishi

  • @TobiasZamoto
    @TobiasZamoto 3 месяца назад

    Baba nenda mrimani ukiwa umefunga mungu atakuonyesha watekaji,

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 месяца назад

    Hiyo kali daa. Ahab na Naboth,

  • @AbdulkarimAisha-ex5kp
    @AbdulkarimAisha-ex5kp 3 месяца назад

    Vizuri sana umesema ukweli halisi

  • @WORLD-EVENT-k1v
    @WORLD-EVENT-k1v 3 месяца назад +25

    KAMA POLISI WANATEKA RAIA NA KUWAUA BAS NASISI WANANCHI TUWATEKE NAO PIA TUWAUE KWAN SISI TUNAWASHINDWA???????

    • @MTEULETVONLINE
      @MTEULETVONLINE 3 месяца назад +2

      Kwanza ni wachache tu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 месяца назад

      We kuweza????

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад +3

      ​@@MsAggie5kwani si wanaishi mtaani watu hawajaamua tu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 месяца назад

      @@fettiemaganza1484 Anza basi kama rahisi!

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад +1

      @@MsAggie5 one day is one day

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 3 месяца назад

    Ubarikiwe namungu alie hai

  • @ElinamiMsuya-lu8uz
    @ElinamiMsuya-lu8uz 3 месяца назад

    Farao alimlea musa, ila musandiy alikuja kumwangusha farao, sasa mungu wawazungu hatumwiti kwenyehili tunamwita mungu aliye waweka watekaji matumboni mwa mama zao, nakuwapa uhai, asikie kilio cha watanzania wanao umia, maombolezo yasikome kwao mpaka kizazi cha7. AMEEEN 🙏🇹🇿😭😭😭😭

  • @olipaabongo6307
    @olipaabongo6307 3 месяца назад

    Mwanamke uliyezaa kweli mmmh nashindwa nisemeje. Liakini jambo huwa na mwisho. Mungu anakuona.

  • @MohdHamad-zr8ll
    @MohdHamad-zr8ll 3 месяца назад

    Wanzanzibari nao wanauwawa kwa staili ya Uchaguzi

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym 3 месяца назад

    Kila mtu ajilinde mwenyewe maana usalama ume kuwa mdogo sana Tz

  • @BraysonKyando
    @BraysonKyando 3 месяца назад

    Hongera mchungaji

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 3 месяца назад

    Wanyoke na mimi mbona mamsema kila siku waje niwanyoshe UV CCM 💪 paka tu hawa

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar 3 месяца назад +2

    😢😢😢 iyo kauli Alietoa ila kijana mbak leo mm utekaji yeye ndio aye ucika na matukio hao

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 3 месяца назад

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @bourybouryslov3927
    @bourybouryslov3927 3 месяца назад +2

    TANZANIA Tunapoelekea Tutakuwa Km Samaki Kila Mtu Atakuwa Anamuogopa Mwenzie
    Ccm Jirekebisheni Na Haya Mambo Yakutekana

  • @WenslausyTandala
    @WenslausyTandala 3 месяца назад

    Tumekusikia askofu mwanamapinduzi hunaga kazi mbovu wamekusikia hao

  • @SambiluwaliKirenga
    @SambiluwaliKirenga 3 месяца назад

    Mungu wakaribiye watu wako

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 3 месяца назад +1

    Mmmh! Kunaye Mungu mtetezi asiyeshindwa na jambo lolote

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 3 месяца назад +6

    Sisi watz ni kama manyumbu simba watatu wanauwa huku nyumbu wote wakiangalia

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 месяца назад

    Ukweli upo wazi...na ole mjifanye kufuAtilia

  • @AmosKayega
    @AmosKayega 3 месяца назад

    Niwao kwa wao siyo CCM mwana chadema akiwa m

    • @SamwelMdamanyi
      @SamwelMdamanyi 3 месяца назад

      Ukipatwa na shida ndipo utelewa kama huna shida utasema lolote.Mungu ni wa wote

    • @FintanFelix-z6c
      @FintanFelix-z6c 3 месяца назад

      Kwakua ayajakukuta ubalikiwe

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 месяца назад

    Muhuuuu!! Wtz tuchaguwe viongozi wenye sifa na si chama

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi 3 месяца назад

    Hatar nilikua Nashangaa sana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 месяца назад +6

    SAD😢😢😢

  • @HURUMAKALINGA
    @HURUMAKALINGA 3 месяца назад

    Hujiheshimu mchungaji pole hapo sio mahal pa kupga siasa ongelea neno la mungu

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 3 месяца назад

    😢😢 kweli mchunga tunaona vijana wachadema wanaisha bora chama kifutwe

  • @jesusislord5045
    @jesusislord5045 3 месяца назад

    watumishi wa Mungu kwa umoja wenu kama mnavyoshirikiana katika kamati na amani basi unganeni pamoja ili KUPAZA SAUTI, KUKEMEA NA KUZUIA HAYA MAMBO YA UTEKAJI, UONEVU NA UUAJI huko ndio kutafuta AMANI KWA KWELI NA SIO VINGINEVYO!!

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 3 месяца назад

    Mungu tusaidie tuko kwenye taharuki sana.

  • @AriseAndshine-q7u
    @AriseAndshine-q7u 3 месяца назад

    Mtumishi wa mungu amenyoosha bila kupindisha nina hakika lazima ahujumiwe kama sio kumteka watamletea magumashi walifunge hilo kanisa

  • @jizzomonster
    @jizzomonster 3 месяца назад

    Nakwambia hii laana itaitafuna sana CCM

  • @SteveniNyoni
    @SteveniNyoni 3 месяца назад

    mtumishi tuzidishe maombi nakulaani wanao watendea wenzie vibaya

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад +1

    Watanzania tusiwapige ccm kula angalau tujalibu upande wapili tuone itakuwaje

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 3 месяца назад

    Ushauri wangu, Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wote wa upinzani wa chama chochote hakikisheni mnakuwa na GPS ambayo itasaidia kuwatrack mtakapotekwa mana hatujui nani ajaye. Hiyo itasaidia hata kuwapata watekaji kwa urahisi sana.

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 3 месяца назад +7

    Ukiona mtu anatoka hazarani kusema as ndoa chinjachinja ameona wanainchi hawana la kufanya wala kumfanya hajui ukiua utakuwa kwa upanga

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 месяца назад +13

    Ninyi mnaosema anahubili siasa kanisan hamjielew kaz ya mchungaj ni kutetea watu msiropoke vtu ambavyo amvielew

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад +1

      Wanaondelea kutetea serikali wote wapuuzi

    • @mozesamizi931
      @mozesamizi931 3 месяца назад

      Kwaiyo neno la Mungu atafundisha saangapi, au ataishia hayo na kuwaambia waumini tuombe?japo speech zake nimezikubali

    • @zachariasumisumi4907
      @zachariasumisumi4907 3 месяца назад

      ​@@mozesamizi931hujui maandiko kondoo mmoja akipotea unenda kumtafuta

    • @HURUMAKALINGA
      @HURUMAKALINGA 3 месяца назад

      Uko sahihi hao ndo wachungaj fek njaa t

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 3 месяца назад +1

    WATANGAYIKA WANATEKWA ZANZIBAR HAWATEKEKWIII MUNGUUUUI TUSAIDIEEEEE

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад

      KULE HAKUNA MAPAROKO 😢😢😢😢😢

  • @MkingaJulius
    @MkingaJulius 3 месяца назад +1

    Wee mwana nchi usikubali mtu au watu akwambie kwamba unahitajika kituoni usiende kataa kabisa

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 3 месяца назад

    Kushinda ssm sio mpaka Mungu apende😢😢😢

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 3 месяца назад +6

    Mungu mwenyewe wanamsema sembuse nyinyi.iwe kwa heri au lawama

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 3 месяца назад

    Mbona wa ccm hawapotei,,Ukweli wanaujua ,,Mungu husika sasa,,tukuone kitikati ya maumivu Makali kiasi hiki

  • @Burange666
    @Burange666 3 месяца назад +1

    CCM wauwaji

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 3 месяца назад

    Huyu spika wa Bunge asijisahau.mwenzake Rugai Yuko wapi? 😏

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 3 месяца назад +6

    Ipo siku kitanuka

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj 3 месяца назад

    Hivi mwakahuu itakuwaje 😢😢😢😢😢

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 3 месяца назад

    Mungu nena na hao watekaji na wanaopeleka mipango hiyo

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 3 месяца назад

    Mseme ukweli mwenyezi mungu anawaona baazi ya makanisa mko nyuma ya chademamaigizo mengi kwa wananchi amani ikichafuka aiangalii sura ya mtu ubilini dini siyo siasa

    • @BenjaminBatano
      @BenjaminBatano 3 месяца назад

      Mungu akuponye afya ya akili watu wanatekwa na kuawa halafu unaleta ujinga

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 3 месяца назад

      @@BenjaminBatanowe uliisha tekwa au mkumbo utapasuka msamba maigizo ya mtu uingie mzima mzima acha ujinga

    • @BenjaminBatano
      @BenjaminBatano 3 месяца назад

      @@ibrahimjuma9709 mkumbo ndiyo Nini? Unajizima data makusudi kwa hiyo kibao alijiteka na kujiua mwenyewe acha ujinga wewe kwa akili Yako unadhani Mimi ni chadema mi ni mtanzania ni najivunia utanzania wangu Wala sina chama chochote

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 3 месяца назад

    Hicho kimama kinachoitwa Tulia, jamani! Nakichukia hakika.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 месяца назад

    Mnatekana wenyewe maombi yatawakuta wenyewe .

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 месяца назад

    SAMIA Haupiti teeeeeeeena. Hata mie CCM umeniudhi. Kiukweli wewe unaagiza yote haya

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 3 месяца назад

    Halafu hiyo hela yakutoa uhai wamtu inanogaje jamani

  • @BraysonKyando
    @BraysonKyando 3 месяца назад

    Hatari

  • @JemsiPiter
    @JemsiPiter Месяц назад

    Inamaana Soka na wanzake ndio basi Tena?

  • @user-iringamultisalesnetwork
    @user-iringamultisalesnetwork 3 месяца назад

    Aisee

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 месяца назад

    Kabisa baba ila MUNGU yupo😭😭😭

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 3 месяца назад

    Mtumishi mwenye akili pekee ake Tz, Mungu asimame na wewe hata Biblia inaandika hvi kazi ya kuhani ni kunyosha serikali inapopinda.

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 3 месяца назад

    Mwenyekiti wangu nakuomba Uwapige RADI WOTE WAFE NCHI IONGOZWE NA VIONGOZI WA DINI

  • @AlexMbwilo-b1q
    @AlexMbwilo-b1q 3 месяца назад

    Mtumishi wa mungu tusemee hawa viongozi hawana uelewa akilizao nifinyo mno

  • @askofumaximillianmachumu7160
    @askofumaximillianmachumu7160 3 месяца назад

    Sema mtu wa Mungu , hakuna Amani kwa wabaya yeyote anafanya ubaya yamrudie yeye

  • @EmmanuelMahala-c6n
    @EmmanuelMahala-c6n 3 месяца назад

    Mchungaji nae katishia eti wakinyoka nae watakufa daa.

  • @RoseMundembusyege
    @RoseMundembusyege 2 месяца назад

    Ivi humo n kanisani au mkutano wa chama cha siasa tujifunze kutofautisha nyakati,kama ni wakat wa Mungu uwe wa Mungu sio siasa ibadani

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 месяца назад

    Ndio maana yake ndio inafanya kazi mpka leo

  • @ChachaRichard-h1e
    @ChachaRichard-h1e 3 месяца назад

    Chadema wapole sana

  • @sabasmichael7553
    @sabasmichael7553 3 месяца назад

    Kwel kbsa mtumish tupeane maombi Kila siku

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 3 месяца назад

    kuna mwingine alisema yeyote atakae msema kiongozi negative pitanae,duu!!!!!. how comes this Evel and bad sentence to be spoken by a leader? what kind of leadership is this? keep preaching the truth and you will be blessed abundantly.lets not kill each other.not right and not good.

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 3 месяца назад

    Sili nyama tena kumbe tunachinjwa chinjwa😢

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 3 месяца назад

    Polisi wanateka sana na ukiwaona wanakutumia ujumbe wa kukutishia

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 месяца назад +5

    Kwahiyo Tulia nachekelea nadhani naye anahusika na mama yake. Na Mungu anawaona.

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n 3 месяца назад

    Tanzania sio nchi ya kulagaiwa, nakutengenezewa mizengwe ,kaen chin watumishi wanafiki , msipende watanzania tuamke tudahi Mali mlizojilimbikizia za watanzania

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 3 месяца назад

    Nyooka naye kweli umenikumbusha ila alikuwepo uncle

  • @JfadhilizabwanaJames
    @JfadhilizabwanaJames 3 месяца назад

    kemea mtumishi tungepata watu kama wewe nchi ingekuwa vizuri barikiwa MUNGU yuko maombi kwako

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 3 месяца назад +1

    Tuna viongozi wa hovyo kabisa hapa Tanzania

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 месяца назад

    So sad😢😢😢😢😢

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 3 месяца назад +2

    Mm siasa za Tanzania ni balaa mtu anaongea ndugu wanauawa watu wanasikiliza alafu wanacheka hao ndoa watanzania tumefika mahali jirani anaomba misaada we unajifungua ndani

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 месяца назад

      Mtu anakufa tunachukua video ni hudhuni kwa kweli

  • @danielkanso
    @danielkanso 3 месяца назад

    Viongozi wengi wa dini mbona wakokimya wanapendezwa na mambo haya ya utekaji, kwa hiyo tuseme watu wa chadema ndiyo wahalifu duuu chadema kazi mnayo lakini naona chuki inaongezeka kwenye nchi simanzi inaendelea kutawala usiku umekuwa mwingi taarifa imeshuka ndani ya nchi kiwango cha ukatili( utekaji)watu imeongezeka hofu inazidi kupanda wanaosimamia usalama wa watu nao wameshindwa kusimamia sijui nini kimeingia kati Ee Mungu baba wewe waweza wewe wajua hekima yako ni ya juu sana nyoosha mkono wako Tanzania Tanzanian yetu tulikofikia

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 3 месяца назад +1

    Huyo hakamatwi wala hahojiwi kwa sababu ni chinjachinja wapinzani wakisema ni magaidi

  • @sadicksingogo260
    @sadicksingogo260 3 месяца назад

    Shida katiba mpya inatakiwa hapa tz,bila hiyo ni shida mpaka kufa