MISA TAKATIFU SHEREHE YA SOMO WA JUMUIYA YA MT. YASINTA PAROKIA YA MT.PAULO WA MSALABA JIMBO DODOMA
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Misa Takatifu imefanyika katika Jumuiya ya Mtakatifu Yasinta, Familia ya Nemes Ngakonda, Kanda ya Mt. Andrea Mtume Mwendokasi, Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Misa Takatifu imeongozwa na Mhashamu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu katoliki Dodoma Mhashamu Askofu Wilibroad Kibozi, ikiwa ni sherehe wa somo wa Jumuiya hiyo Tarehe 30 January 2025