Johari  Media
Johari  Media
  • Видео 1 241
  • Просмотров 3 797 038

Видео

MISA TAKATIFU YA MAZISHI YA SR.MARIA ESTERINA WA SHIRIKA LA MASISTA WA MISERICORDIA WA VERONA DODOMA
Просмотров 1,3 тыс.4 часа назад
Misa Takatifu imefanyika Kanisa Kuu la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu katoliki Dodoma
MAELFU YA WATU WALIVYOUAGA MWILI WA SR.MARIA ESTERINA WA SHIRIKA LA MASISTA WA MISERICORD ( HURUMA)
Просмотров 1,3 тыс.4 часа назад
Poleni sana masista wa Huruma, Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya sister wetu mahali pema Mbinguni Amina
MISA TAKATIFU JUMAPILI YA PILI YA MAJILIO KATIKA PAROKIA YA MT.FRANCIS XAVIER CATECHETICAL UDOM
Просмотров 49712 часов назад
Subscribe, like, share, comment " JOHARI MEDI FAHARI YETU KATIKA UINJILISHAJII"
CELEBRATING BR. VINCENT SORENG'S SJ, LEGACY OF ENVIRONMENT STEWARDSDHIP
Просмотров 26812 часов назад
Subscribe our chanel, like, comment and share our video
HOMILIA YA BABA ASKOFU KIBOZI KATIKA MISA TAKATIFU YA USHEMASI JIMBO KATOLIKI KONDOA.
Просмотров 10516 часов назад
HOMILIA YA BABA ASKOFU KIBOZI KATIKA MISA TAKATIFU YA USHEMASI JIMBO KATOLIKI KONDOA.
MISA TAKATIFU YA USHEMASI WA FRT. PAULO JOHN MAJUTO WA JIMBO KATOLIKI LA KONDOA
Просмотров 90016 часов назад
Misa Takatifu imefanyika katika Parokia ya Mondo Jimbo Katoliki Kondoa Tarehe 5 December 2024 Misa Takatifu Imeadhimishwa na Mhashamu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Wilbroad Kibozi wakishirikiana na Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa Mhashamu Bernadine Mfumbusa
HOMILIA YA MHASHAMU STEPHANO MUSOMBA OSA KATIKA MISA YA KUMUAGA MAREHEMU DKT. FAUSTINE NDUGULILE
Просмотров 353День назад
Poleni sana familia, ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wetu Dkt Ndugulile, Mwenyezi Mungu aipokee roho yake mahali pema Mbinguni, Pumzika kwa amani Dkt. Faustine Ndugulile
RAIS DKT. SAMIA ALIVYOONGEA KWA UCHUNGU KUMUAGA DKT. FAUSTINE NDUGULILE
Просмотров 440День назад
Johari Media Tunatoa pole Kwa familia, Serikali, ndugu jamaaa na marafiki Kwa msiba huu wankiongozi na mpendwa wetu, Mwenyezi Mungu aipokee roho yake mahali pema mbinguni Amina
SALAMU MBALIMBALI KUMUAGA DKT. FAUSTINE NDUGULILE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Просмотров 846День назад
POLENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA KUONDOKEWA NA MPENDWA WETU DKT. NDUNGULILE, MWENYEZI MUNGU AIPOKEE ROHO YAKE MAHALI PEMA MBINGUNI
WATOTO WA MAREHEMU DKT. FAUSTINE NDUGULILE WALIVYOMZUNGUMZIA BABA YAO KATIKA MISA YA KUMUAGA
Просмотров 603День назад
POLENI SANA WAPENDWA KWA KUONDOKEWA NA BABA YENU NA KIONGOZI WETU IMARA. MWENYEZI MUNGU AIPOKEE ROHO YAKE MAHALI PEMA MBINGUNI AMINA
HOMILIA YA MHASHAMU WILBROAD KIBOZI, JUMAPILI YA KWANZA YA MAJILIO, PAROKIA YA HANETI JIMBONI DODOMA
Просмотров 253День назад
Subscribe channel yetu, like, share na tuachie maoni yako. Johari Media Fahari yetu katika uinjilishaji
MISA YA SHUKRANI, WATAWA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA, TAR. 30 NOV 2024 KATIKA KITUO CHA HIJA DODOMA
Просмотров 876День назад
Asante kwa kuendelea kuitazama Johari Media, kama bado huja subscribe chanel tafadhali fanya hivyo, like, share na tuachie comment yako. JOHARI MEDIA FAHARI YETU KATIKA UTUME
#JOHARI MEDIA: UJUMBE WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI KWA WANANCHI KUELEKEA 27 NOV 2024
Просмотров 24314 дней назад
Asante sana kwa kuitazama Johari Media, "Johari Media, Fahari yetu Katika Uinjilishaji, SUBSCRIBE, LIKE, SHARE NA TUACHIE MAONI YAKO
BABA ASKOFU BEATUS KINYAIYA OFM Cap AOMBA HARAMBEE KWA AJILI YA JENGO LA UTAWALA 8 Dec 2024
Просмотров 2,5 тыс.14 дней назад
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya Ofmcap wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Aomba siku ya Tr.8/12/2024 ifanyike Harambee kubwa kwa ajili ya kukamilisha Jengo la Utawala. Anawaalika Waamini na Watu wote wenye mapenzi mema watoe kwa ukarimu mkubwa ,kadri Mungu alivowajalia.
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA NA CHUO KIKUU MZUMBE
Просмотров 13114 дней назад
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA NA CHUO KIKUU MZUMBE
MISA TAKATIFU YA SHUKRANI YA UPADRE, PADRE ALEX LUKWAWILO Css, NYUMBANI LUMUMA DODOMA.
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
MISA TAKATIFU YA SHUKRANI YA UPADRE, PADRE ALEX LUKWAWILO Css, NYUMBANI LUMUMA DODOMA.
MHE. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WA NCHINI TANZANIA
Просмотров 11814 дней назад
MHE. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WA NCHINI TANZANIA
TAZAMA WALICHOKIFANYA MAPADRE, MASISTA NA BABA ASKOFU MBELE YA MAPADRE WAPYA. MISA YA SHUKRANI
Просмотров 2,1 тыс.21 день назад
TAZAMA WALICHOKIFANYA MAPADRE, MASISTA NA BABA ASKOFU MBELE YA MAPADRE WAPYA. MISA YA SHUKRANI
MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA,PAROKIA YA MT.PAULO WA MSALABA KANISA KUU JIMBO KUU KATALIKI DODOMA.
Просмотров 41421 день назад
MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA,PAROKIA YA MT.PAULO WA MSALABA KANISA KUU JIMBO KUU KATALIKI DODOMA.
UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GOROFA KARIAKOO LEO 17 NOVEMBER 2024
Просмотров 39621 день назад
UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA WANANCHI KUFUATIA KUPOROMOKA KWA GOROFA KARIAKOO LEO 17 NOVEMBER 2024
MAANDAMANO KUELEKEA MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, PAROKIA YA PAULO WA MSALABA JIMBO KATOLIKI DODOMA.
Просмотров 38821 день назад
MAANDAMANO KUELEKEA MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, PAROKIA YA PAULO WA MSALABA JIMBO KATOLIKI DODOMA.
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA SHUKRANI, WAWATA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA,PAMOJA NA NDOA JOZI MBILI.
Просмотров 60221 день назад
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA SHUKRANI, WAWATA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA,PAMOJA NA NDOA JOZI MBILI.
HAKIKA WAWATA HAWANAGA JAMBO DOGO, SHUHUDIA WALIVYOPELEKA MATOLEO (SADAKA) YAO KWA SHANGWE
Просмотров 54221 день назад
HAKIKA WAWATA HAWANAGA JAMBO DOGO, SHUHUDIA WALIVYOPELEKA MATOLEO (SADAKA) YAO KWA SHANGWE
HOMILIA YA MHASHAMU ASKOFU MKUU BEATUS KINYAIYA OFMCAP, MISA YA SHUKRANI YA WAWATA DODOMA.
Просмотров 30021 день назад
HOMILIA YA MHASHAMU ASKOFU MKUU BEATUS KINYAIYA OFMCAP, MISA YA SHUKRANI YA WAWATA DODOMA.
SHANGWE ZA WAWATA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA KUELEKEA MISA YAO YA SHUKRANI KTK PAROKIA YA K/NDEGE.
Просмотров 71021 день назад
SHANGWE ZA WAWATA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA KUELEKEA MISA YAO YA SHUKRANI KTK PAROKIA YA K/NDEGE.
HOMILIA YA NUNSIO WA KENYA KATIKA MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU TANGAZA 2024
Просмотров 7228 дней назад
HOMILIA YA NUNSIO WA KENYA KATIKA MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU TANGAZA 2024
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KUMSHUKURU MUNGU, MAHAFALI YA KWANZA CHUO KIKUU CHA TANGAZA NAIROBI 2024
Просмотров 30828 дней назад
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU KUMSHUKURU MUNGU, MAHAFALI YA KWANZA CHUO KIKUU CHA TANGAZA NAIROBI 2024
TAZAMA WATOTO KUTOKA PAROKIA YA SANZA JIMBO LA SINGIDA WALIVOMWIMBIA BABA ASKOFU KIBOZI.
Просмотров 261Месяц назад
TAZAMA WATOTO KUTOKA PAROKIA YA SANZA JIMBO LA SINGIDA WALIVOMWIMBIA BABA ASKOFU KIBOZI.
MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, WAIMARISHWA 106 KATIKA PAROKIA YA SANZA JIMBO KATOLIKI SINGIDA.
Просмотров 379Месяц назад
MISA TAKATIFU YA KIPAIMARA, WAIMARISHWA 106 KATIKA PAROKIA YA SANZA JIMBO KATOLIKI SINGIDA.

Комментарии

  • @Dk.Shombo
    @Dk.Shombo 17 часов назад

    may her soul rest in peace

  • @EstaAra
    @EstaAra День назад

    Rest in peace sr

  • @EstaAra
    @EstaAra День назад

    Rest in peace sr

  • @MagdalenaMjelwa
    @MagdalenaMjelwa День назад

    Poleni sana masister na walelewa kwa ujumla Mungu atutie nguvu kusudi tuamini kwa ni Mungu amempenda zaid sister wetu mpenda watu mtu wa Mungu pumzika kwa amani mama ukituombea siku zote

  • @ephraimlinus4701
    @ephraimlinus4701 День назад

    Nakutakia pumziko la Amani, Raha ya milele akupe eebwana na mwanga wa milele akuangazie Upumzike Kwa Amani Amina🙏

  • @VestinaJasson-h7w
    @VestinaJasson-h7w 2 дня назад

    Poleni sana Masister kwa kuondokewa na mpendwa Sr. Maria Esterina. Pumzika kwa Amani mama😢😭

  • @VestinaJasson-h7w
    @VestinaJasson-h7w 2 дня назад

    Roho ya Marehemu Sr Maria Esterina ipumzike mahali pema Mbingini😭😭😭😭

  • @EstaCassian
    @EstaCassian 2 дня назад

    Waoooo!!! Hongen sana johari kwa utume mungu awabariki

    • @JOHARI-MEDIA
      @JOHARI-MEDIA 2 дня назад

      Asante sana mpendwa, Tuendelee kumuombea sister Pumziko la furaha Mbinguni. Poleni sana masista wa Huruma na familia yote ya Mungu.

  • @MariaPeter-d2f
    @MariaPeter-d2f 2 дня назад

    Pumzika kwa amani Mama Esterina 😭😭😭❤

  • @MariaPeter-d2f
    @MariaPeter-d2f 2 дня назад

    Pumzika kwa amani Mama yetu mpendwa Sr.Maria Esterina mmisionari wa huruma ya Baba kwa maskini na watesekao ulijitoa mpaka tone la mwisho 😢😢😭😭

  • @albartfuluge8434
    @albartfuluge8434 2 дня назад

    Poleni sana ma sister na wana familia wote kwa Msiba huuu Mungu akawe faraja kwenu wote

  • @MariaAnwarite
    @MariaAnwarite 2 дня назад

    Pumzika kwa Amani mama yetu.

  • @fabianwenga8892
    @fabianwenga8892 2 дня назад

    Pumzika kwa amani marehemu Sr Maria. Raha ya milele umpe eee bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani Sr Maria. Amina.

  • @godfreyizak5415
    @godfreyizak5415 2 дня назад

    Amen

  • @HusseinMorris-p7y
    @HusseinMorris-p7y 2 дня назад

    Hongera san sr❤

  • @magdalenemutheu8187
    @magdalenemutheu8187 3 дня назад

    May God bless our children. Keep going 🎉

  • @cecilianjuki1109
    @cecilianjuki1109 4 дня назад

    Long life bro Soreng; may good health be your portion in Jesus mighty holy name.That's good mission, it may seem simple but very crucial to nature and life!

  • @marynjoroge6155
    @marynjoroge6155 5 дней назад

    Quite a challenge. Long live Br. Vincent to enjoy the work of your hands.

  • @emanoeladionis5784
    @emanoeladionis5784 5 дней назад

    Asante sana JOHAR MEDIA

  • @kelvinfkamande3682
    @kelvinfkamande3682 5 дней назад

    Nature is beautiful... So passionate

  • @terrywakiguta383
    @terrywakiguta383 5 дней назад

    Laudato Si....Mother Nature

  • @Mp-tr6zd
    @Mp-tr6zd 5 дней назад

    Very nice,job congoleeeeeeee!!

  • @stellamariswanjiru8392
    @stellamariswanjiru8392 5 дней назад

    Wow..❤Nature is the purest portal to inner-peace..... Very good job Fr Lawrence...how I wish we would learn much from this blessed man of God,(Brother) ...the whole mwangaza place is beautiful ❤️...God bless y'all

  • @davinwairimu1899
    @davinwairimu1899 5 дней назад

    Wow❤

  • @RGJoe
    @RGJoe 5 дней назад

    Good job 👏 👏.. Positive climate change would be possible if everyone embraced this.. what a challenge

  • @josclairecarey
    @josclairecarey 5 дней назад

    Alaa😊😊this is really impressive banaaa..keep up the good work Padre..I also love Nature

  • @phyllismathenge6973
    @phyllismathenge6973 5 дней назад

    Awesome

  • @JacobMakacha-s2g
    @JacobMakacha-s2g 5 дней назад

    Wap vigeregereeee,,,thank you so much

  • @MwanaishaAbdallah-u4e
    @MwanaishaAbdallah-u4e 5 дней назад

    mungy awabariki masister

  • @EvelinePhilemonMtengwa
    @EvelinePhilemonMtengwa 6 дней назад

    Naomba nafasi ya form one please

    • @JOHARI-MEDIA
      @JOHARI-MEDIA 6 дней назад

      Chukua namba yao uwasiliane nao mkuu wa shule ametaja no hapo

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 6 дней назад

    AminA 🙏

  • @tedyedward7280
    @tedyedward7280 7 дней назад

    hair style 🙆

  • @marysona9999
    @marysona9999 7 дней назад

    kanyoa kiduku mbona. Hongera Kwa ushemasi.

  • @ElizabethPaskal
    @ElizabethPaskal 7 дней назад

    Hongereni sana sisters

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 10 дней назад

    Pole sana ila nadhani tujitahidi wazazi kuwafundisha watoto Lugha yetu ya Taifa

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 11 дней назад

    Mc unacheka moja kwa moja kipi kinakuchekesha hauoni km uko msibani?!

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 11 дней назад

    Thank you very much Victoria. May God bless you now and for ever. Let us pray for all people.

  • @JohnMwaluko-n7n
    @JohnMwaluko-n7n 11 дней назад

    Kongole da Johar

  • @victormaisiba8237
    @victormaisiba8237 12 дней назад

    We love you Sisters of St. Gemma Dodoma. ❤❤❤❤

    • @JOHARI-MEDIA
      @JOHARI-MEDIA 11 дней назад

      @@victormaisiba8237 Thank you very much, God bless you, We love you too.

  • @sophyfelex
    @sophyfelex 14 дней назад

    Naomba Misa ya Leo tarehe 30/11/2024 ya masister wa upendonwa bikira maria mkingiwa dhambi ya asili. Inayofanyikia Kenya- Eldoret

    • @JOHARI-MEDIA
      @JOHARI-MEDIA 13 дней назад

      Pole sikupata mwaliko wa huko pengine unaweza kuwasiliana nao kujua wametoa mwaliko Kwa media gani

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 15 дней назад

    Mmmm!

  • @OscarLaurent-e4i
    @OscarLaurent-e4i 15 дней назад

    Amin mungu akusaidie usonge mbele

  • @AndrewGerald-j4o
    @AndrewGerald-j4o 16 дней назад

    Mbarikiwe sana

  • @AndrewGerald-j4o
    @AndrewGerald-j4o 16 дней назад

    Ameeleweka baba

  • @EliethEdward-y7b
    @EliethEdward-y7b 17 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 17 дней назад

    Mhashamu uliyekuwa Baba Askofu wangu Mbulu,kwa nini useme uwongo,ni kweli kwamba Askofu msaidizi wako anatumia chumba cha kulia chakula kama ofisi?😂, Je wakati waliweza kujenga chumba cha kwa ajili ya kula,walishindwaje kujenga kaofisi ya mkutano,kwa hiyo ina maana huyo Askofu msaidizi wako hana parokia ambalo kuna ofisi ya kukutana na waumini wake?

  • @JohnMwaluko-n7n
    @JohnMwaluko-n7n 17 дней назад

    Akhsante sana

  • @anicetminde3362
    @anicetminde3362 17 дней назад

    Tuko pamoja Baba.

  • @mathiasnyakwaka6596
    @mathiasnyakwaka6596 18 дней назад

    KRISTO NA AZIDI KUWA TUMAINI LETU

  • @emanoeladionis5784
    @emanoeladionis5784 18 дней назад

    Asante Sana baba