Big up! Sanaa Broo! Kuanzia Sasa nitayatendea KAZI maneno yako yenye madini na nitakupa majibu baadae Insha'Allah!!! Namwomba Mungu anizidishie maarifa na afya njema mpaka ndoto zangu zitakapotimia aamiin!!!
Congratulations my brother for your education since you make our brain to have enough knowledge about different things.... Nakupenda sana broo,mungu akubariki...
Hakika denis anatoa mawaidha ya vitendo kimaisha nilivyomsikiliza nikatafakari kwa kina nikasema hakika kusudi lake la kuwepo duniani analitimiza Kwa muktadha huo maandiko pia yanasema hiv kutoka kitabu cha mithali 6:6 Ewe mvivu mwendee chungu zitafakari njia zake ukapate hekima 7 kwa maana yeye hana kiongozi wala msimamizi wala mkuu 8 lakini hujiwekea akiba ya chakula chake wakati wa jua Hukusanya chakula chake wakati wakati wa mavuno.
Kama we ni kijana upo 30 au 30+ na umebahatika kujaribu kuiona kesho yako,,,hongera sana;;watu wengi hatujitambui
Big up! Sanaa Broo! Kuanzia Sasa nitayatendea KAZI maneno yako yenye madini na nitakupa majibu baadae Insha'Allah!!! Namwomba Mungu anizidishie maarifa na afya njema mpaka ndoto zangu zitakapotimia aamiin!!!
Denis ninahitaji kitabu cha ndoto za maisha ya badae plz
Critical thinker be blessed more in your life I like your speech
Nakupenda Denis Mungu akubaliki
Nimekubalisana kaka
Hongera sana mkuu wangu hakika Mungu akubariki anapenda sana usomaji wako
❤Asante kwa mafundisho nimazuri sana kaka❤❤
Naipenda sana Asante sana ubongo wangu sasa nitautumia vizuri
I love the narration
Dah broo we noma sana
Hongera unatupa matumaini. Mungu akubariki
This bless me stay blessed brother
a mjambo mzee aksati kwa neno mzuri nataka ni jiunge nahio darasa mimi nipo congo n'a funza watu kwenye tiktok jina langu ni JIMA LUMUMBA
Nzuri sana, tubaki na utekelezaji
Kaka Mungu haibariki ata fikra zako maana so kwa madini ayo nimejifunza mengi kutoka kwako be blessed brother,❤❤
Nakupenda sana mpagaze umebadiri maisha yangu
Uko vizur sana broo👊
ukombozi wa fikra superb
Asante Mungu
Nimeipenda Sana nimejifunza meng Asante Sana ndg ubarikiwe Sana MUNGU awe nawe
MUNGU akulinde❤❤❤❤❤❤❤
Nakuelewa sana brother and my best teacher ever SAUT (Conflict Resolution)
Hakika denis maana kitabu cha mithali 10: 5 akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima bali asinziye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuabisha.
Uko vizuri Denis.
Nmeipenda hii..one day Yes
Mwenyezi Mungu azidi kukujaza mafundisho ya kuwafungua watu ubongo
Asante sana kaka kwa ushauri wako
Big up Good Job
Be blessed more in ur life i like ur speech also mungu akufanyie wepesi kila hitaji la moyo wako
Unge tuonyesha na picha ingekua vizuri sana
Kama Mimi nauza mtumba lnshaaAllah 🙏 niombeeni nifanikishe
Moja ya kazi nzurii
Asante,Nashukuru sana,ume Unlock big time...nakuangalia kutoka Nigeria.
Somo nzuri Kwa kweli
Uko vzr San kaka nakukubali
Mashaalah asante sana my brother from another mother
Maono ni muhimu sana
Thanks bro
Asante sana mwalimu muzuri🇨🇩243✌️
God bless you
Shukran sana
Nzuri
Nakufatilia Sana unanibadilissha
Bro Ananias nazielewa sana Makala zako.
Marehem alizaliwa, akazururula, afu akafa🤣🤣🤣
Mimi nakushauri upandishe bei ya vitabu maana vina nondo nzuri sana mimi ninavyo baadhi.
Brother nakukubali Sana unakipaji bro
Kweli kabisa ❤
Daaaah hatar sn nakukubali broo
Maneno mazuri
Tumekuelewa mkuu ahsante
Asante kwa mafundisho yako brother we love u❤️
Nmejifunza kitu kikubwa sana
Namuelewa sana Bob proctor
Hapo umeongea point
Asante kaka
Eti hesabu unapata namba za viatu duuh ! Maono brother umenisanua Ahsante
Good hope,I like your talent good job
Thank you! Cheers!
Ubarikiwe sana
Amina ubarikiwe pia
Mungu akubarik bro
Asante kwahushahuri
Na kukubali sanaaaa
Asante Kwa mafundisho yako.
Hongera
Angazia historia ya mowzey Radio mwanamziki star duniani na kifo chake tatanishi.
Asante saana Mwl
So clever i have understood.Thank you.
Glad it was helpful!
Asante
Ahsantee
Amazing
Thank you! Cheers!
you deserve congratulation ,may God bless you
🔥🔥🔥👌
iko sawa mr
Congratulations my brother for your education since you make our brain to have enough knowledge about different things....
Nakupenda sana broo,mungu akubariki...
Kweli, hiki ni chuo kikuu. Mungu asifiwe. Ni nazi si kuelimika. Freud Kazimoto.
@@kazimotokikafreud3825 amiin
Hakika denis anatoa mawaidha ya vitendo kimaisha nilivyomsikiliza nikatafakari kwa kina nikasema hakika kusudi lake la kuwepo duniani analitimiza
Kwa muktadha huo maandiko pia yanasema hiv kutoka kitabu cha
mithali 6:6 Ewe mvivu mwendee chungu zitafakari njia zake ukapate hekima
7 kwa maana yeye hana kiongozi wala msimamizi wala mkuu
8 lakini hujiwekea akiba ya chakula chake wakati wa jua Hukusanya chakula chake wakati wakati wa mavuno.
Mung akuongoze
Your positively motivated
Ubarikiwe bro
Ikopowa sana thank you
Hmmm we kiboko sana I will never give Up
👏👏
Nice brother
Kweli unatufunza mengi sana ambayo hatuyajui
Kazi nzuri
Nashukuru kuungana na familia hii nitajitaid kujifunza kile mutacho nifunza nitachanganya na nilicho nacho ili nifike kule
Yes mkuu big up Sana, je naweza kupata contacts zako Doctor Denis mpagaze
I love your narration
Mkuuu umeongea🤗🤗
Vitabu vyako nitavipata vipi
Namba ya simu wassp
Kizazi sana bro
Nakupata
Balkiwa san
Mungu ni mwema kwa sawadi yako kwetu
Angazia historia ya mowzey Radio mwanamziki star duniani na kifo chake tatanishi.
@@taruskshads9076 kweli jamani mwee
😀😀😀
Denis & Edgar mna fanya kazi nzuri sana kwanini mna ruhusu channel ya Wasafi Histori book yao ina kua na nguvu kuwashinda? fanyeni kazi vijana.
Duuu atar
It's true some times we should blame for our selves
Og sana mjuba naona mabadiliko shazi kuskiliza nakala zako
Ahsante sana kwa makala yakp
Asante
tutaokoaje wasioweza kupata hoja hizi kwenye soft copy? U
Kizaz sana