- Видео 257
- Просмотров 2 548 959
Denis Mpagaze TV
Канада
Добавлен 3 фев 2021
Mara baada ya kupata Uhuru wa Bendera, Mwl. Julius Nyerere alielekeza nguvu katika Uhuru wa Fikra maana aliamini bila Ukombozi wa Fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. Kwahiyo akapeleka vijana wengi karibu kila kona ya dunia kuutafuta Ukombozi wa Fikra katika vyuo mbalimbali.
Lakini kwa bahati mbaya wengi wakaenda kupambana na mitihani badala ya kupambana na ujinga, wakarudi kutuibia na kwenda kuficha huko nje walikosoma. Mpaka mwalimu anaondoka duniani watanzania bado tunateseka na Uhuru wa Bendera; uhuru wa wachache kuishi kama malaika na wengi kuishi kama mashetani. Uhuru unaowagawa watu kwa kipato na elimu. Ili tuwe salama tunahitaji Uhuru wa Kifikra na channel ya Denis MpagazeTV imeanzishwa kutimiza lengo hili.
Ikiwa wewe ni mgeni katika channeli yetu, usisahau kuungana nasi kwa ku-SUBSCRIBE ili kupata taarifa kila tunapoweka video mpya nawe usipitwe na video zetu kila tunapoweka makala mpya.

𝐇𝐀𝐈𝐉𝐀𝐋𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐄𝐖𝐄 𝐍𝐈 𝐍𝐀𝐍𝐈, 𝐇𝐈𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐊𝐔𝐇𝐔𝐒𝐔 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬
Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1
Jinsi ya kununua:
1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo:
2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI.
3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapokea kitabu chako kidijitali (PDF) papo hapo kupitia WhatsApp! 🚀
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv
denis mpagaze na ananias edgar,
denis mpagaze youtube,
denis mpagaze umaskini na utajiri,
denis mpagaze wanawake,
denis mpagaze tafuta hela,
denis mpagaze magufuli,
denis mpagaze mix,
denis mpagaze raila od...

Просмотров: 181
Видео
𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐌𝐏𝐎𝐒𝐀 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 1454 часа назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐌𝐀𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐘𝐀 𝐁𝐀𝐌𝐈𝐀, 𝐔𝐒𝐈𝐈𝐂𝐇𝐔𝐊𝐔𝐋𝐈𝐄 𝐏𝐎𝐀 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 2837 часов назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐙𝐈𝐍𝐆𝐀𝐓𝐈𝐀 𝐇𝐀𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐖𝐎𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 1789 часов назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐀𝐂𝐇𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐀𝐋𝐀𝐌𝐈𝐊𝐀 𝐇𝐎𝐕𝐘𝐎, 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐇𝐀𝐏𝐄𝐍𝐃𝐈 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 23614 часов назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐙𝐈𝐓𝐎 𝐊𝐔𝐇𝐔𝐒𝐔 𝐔𝐃𝐎𝐍𝐆𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 29516 часов назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐔𝐒𝐇𝐀𝐔𝐑𝐈 𝐔𝐓𝐀𝐊𝐀𝐎𝐊𝐔𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐁𝐎𝐀 𝐇𝐀𝐑𝐀𝐊𝐀 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 37214 дней назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
𝐊𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐊𝐈𝐍𝐀𝐂𝐇𝐎𝐊𝐎𝐍𝐃𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐖𝐄𝐍𝐆𝐈 -𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐀𝐆𝐀𝐙𝐄
Просмотров 48414 дней назад
Nunua Vitabu Vyetu kwa Urahisi Kupitia WhatsApp! 📚💬 Bonyeza link hii 👉 wa.me/message/J4EQTRQJRRARN1 Jinsi ya kununua: 1️⃣ Chagua Kitabu Chako: Utapokea orodha ya vitabu vilivyopo: 2️⃣ Chagua Njia ya Malipo: Lipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money. Fuata maelekezo, ingiza namba yako ya kulipia, na thibitisha kwa kuweka Neno la SIRI. 3️⃣ Pokea Kitabu Chako: Malipo yakithibitishwa, utapok...
MTANGULIZE MUNGU UFIKE MBALI -DENIS MPAGAZE
Просмотров 1,5 тыс.2 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv denis mpagaze na ananias edgar, denis mpagaze youtube, denis mpagaze umaskini na utajiri, denis mpagaze wanawake, denis mpagaze tafuta hela, denis mpagaze magufuli, denis mpagaze mix, denis mpagaze raila odinga, denis mpagaze mapenzi, denis mpagaze 2023, denis mpagaze africa, denis mpagaze all story, denis mpagaze afrika, denis mpagaze aina za marafik...
DUNIA HAINA HURUMA, JICHANGANYE UONE -DENIS MPAGAZE
Просмотров 4,6 тыс.2 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv denis mpagaze na ananias edgar, denis mpagaze youtube, denis mpagaze umaskini na utajiri, denis mpagaze wanawake, denis mpagaze tafuta hela, denis mpagaze magufuli, denis mpagaze mix, denis mpagaze raila odinga, denis mpagaze mapenzi, denis mpagaze 2023, denis mpagaze africa, denis mpagaze all story, denis mpagaze afrika, denis mpagaze aina za marafik...
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YAOMUKAMA RUHINDA PART 7
Просмотров 1,3 тыс.4 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv denis mpagaze na ananias edgar, denis mpagaze youtube, denis mpagaze umaskini na utajiri, denis mpagaze wanawake, denis mpagaze tafuta hela, denis mpagaze magufuli, denis mpagaze mix, denis mpagaze raila odinga, denis mpagaze mapenzi, denis mpagaze 2023, denis mpagaze africa, denis mpagaze all story, denis mpagaze afrika, denis mpagaze aina za marafik...
DENIS MPAGAZE -TENGUA MABOMU HAYA KABLA HUJALIPUKIWA
Просмотров 1,3 тыс.4 месяца назад
#denismpagaze #denismpagazetv #mpagazedenis
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 6
Просмотров 5134 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv denis mpagaze na ananias edgar, denis mpagaze youtube, denis mpagaze umaskini na utajiri, denis mpagaze wanawake, denis mpagaze tafuta hela, denis mpagaze magufuli, denis mpagaze mix, denis mpagaze raila odinga, denis mpagaze mapenzi, denis mpagaze 2023, denis mpagaze africa, denis mpagaze all story, denis mpagaze afrika, denis mpagaze aina za marafik...
DENIS MPAGAZE - HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 5
Просмотров 3794 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #denismpagazetv denis mpagaze na ananias edgar, denis mpagaze youtube, denis mpagaze umaskini na utajiri, denis mpagaze wanawake, denis mpagaze tafuta hela, denis mpagaze magufuli, denis mpagaze mix, denis mpagaze raila odinga, denis mpagaze mapenzi, denis mpagaze 2023, denis mpagaze africa, denis mpagaze all story, denis mpagaze afrika, denis mpagaze aina za marafik...
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 4.
Просмотров 4074 месяца назад
#denismpagaze #mpagazedenis #makalazahistoria
DENIS MPAGAZE -MAFANIKIO HUJA KWA WAKATI SAHIHI.
Просмотров 1,2 тыс.4 месяца назад
DENIS MPAGAZE -MAFANIKIO HUJA KWA WAKATI SAHIHI.
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 3.
Просмотров 6414 месяца назад
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 3.
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 2.
Просмотров 3414 месяца назад
DENIS MPAGAZE -HISTORIA YA OMUKAMA RUHINDA PART 2.
DENIS MPAGAZE - FAIDA NA UMUHIMU WA PILI PILI HOHO
Просмотров 1,3 тыс.9 месяцев назад
DENIS MPAGAZE - FAIDA NA UMUHIMU WA PILI PILI HOHO
DENIS MPAGAZE -WAKULIMA WETU WANAKWAMA WAPI?
Просмотров 7699 месяцев назад
DENIS MPAGAZE -WAKULIMA WETU WANAKWAMA WAPI?
DENIS MPAGAZE -WANAFIKI WOTE, MUNGU ANAWAONA
Просмотров 1,4 тыс.9 месяцев назад
DENIS MPAGAZE -WANAFIKI WOTE, MUNGU ANAWAONA
DENIS MPAGAZE -Fanya Hivi Kuzuia Ush*ga Popote Ulipo
Просмотров 1,8 тыс.11 месяцев назад
DENIS MPAGAZE -Fanya Hivi Kuzuia Ush*ga Popote Ulipo
DENIS MPAGAZE -Ukisikia Wanaume Kama Wanawake Tu, Chanzo ni Hiki.
Просмотров 7 тыс.11 месяцев назад
DENIS MPAGAZE -Ukisikia Wanaume Kama Wanawake Tu, Chanzo ni Hiki.
DENIS MPAGAZE-Usifanye Makosa Haya,Ni Hatari Kwenye Mahusiano Yako..
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
DENIS MPAGAZE-Usifanye Makosa Haya,Ni Hatari Kwenye Mahusiano Yako..
DENIS MPAGAZ-Wengi Hawakulijuwa Hili,Usimfanyie Hivi Mwanamkie...
Просмотров 6 тыс.Год назад

DENIS MPAGAZE-Mapenzi Ya Kweli Yapo,Wengi Wanakwama Hapa...
Просмотров 2,7 тыс.Год назад
DENIS MPAGAZE-Mapenzi Ya Kweli Yapo,Wengi Wanakwama Hapa...
DENIS MPAGAZE-Usichukulie Poa,Maisha Yanahitaji Mbinu,Makala Hii Itafungua Ubongo Wako...
Просмотров 6 тыс.Год назад
DENIS MPAGAZE-Usichukulie Poa,Maisha Yanahitaji Mbinu,Makala Hii Itafungua Ubongo Wako...
DENIS MPAGAZE-Unakwama Hapa..Usikubali Kuteseka,Mfanyie Hivi Mtu Wako..
Просмотров 2,8 тыс.Год назад
DENIS MPAGAZE-Unakwama Hapa..Usikubali Kuteseka,Mfanyie Hivi Mtu Wako..
DENIS MPAGAZE-Fanya Hivi Ili Mambo Yako Yanyooke,Pesa Hutafutwa tuu....
Просмотров 1,9 тыс.Год назад

DENIS MPAGAZE-Ujumbe Muhimu Kwa Wapendanao,Jifunze Kitu Hapa.

🤗
Atar san
Nguvu yakuona
a mjambo mzee aksati kwa neno mzuri nataka ni jiunge nahio darasa mimi nipo congo n'a funza watu kwenye tiktok jina langu ni JIMA LUMUMBA
Naenda nunua bamia leo hii
Wakati na Fundichiwa kama Siweze tumika siku ya Shabbat ni Ka Change Schedulle Kazi na Fukuziwa mabo mingi ivi si Roho na Umia tena nimengi Lakini Ba Sayiba bangu bote ba Raha mpaka mie Tu sijuwe , naomba wusiku na mchana haya , mi na sikiya Kua ukueli leo nilisema vibaya na ni ka Jiona bure , tena ni mateso ya miaka mengi sasa na Choka sana sijuwe pa kuenda
Ni Ombeye basi ka Mungu ani hurumiye kueli ma nunguniko inanipita Na Teswa sana na magonjua za kila Ina ha zi sikiye maombi wala doctors ya Pili kijana wangu wa kuanja na teseka na Ugonja ya Kichua mserios mental illness Kama Police na Muona ana chimama fasi yote ni kumufunga , ku muteswaW alakini yeye hana stories ya alchol, no draugs , no smokiking cigarette or maijana , hapigane yeye ni kuchekecha tu na watu wa na mupenda iko High Fonctioning , ba mu konyola mukono bure , sasa Ku kazi na semewa Wongo Mungu ana juwa yote , muloko yangu ana maliza University ana gonja iko nyumbani batoto ba na hangaika yote sasa ni mie Mambo buzito watoto wa nna tu hangaicha ha wa sikie wazazi Kaziina kuenda nyumba ina kuenda Nili fundichiwa na Prophet Asema ni si tumike ma siku ya Shabbat sasa wakati ni li elwa ni ka Chang Schedulle Soudenly na FUKUZIWA KAZINI Sasa Yumba na Potesa Roho ina Choka sana
Hapo nimekupata mwalimu🌹🌹
Duh, jamaa alikuwa sio mchezo❤
Alhamdililah For Everything Jazakallahu Kheiry ALLAHUMA AMEN 🙏
Nikweli jamani,fikra🤌
Mdogo wake yesu...barikiwa sana you good
Hongera kwa kutupa ujumbe Bora!!
From Kampala Asante sana mwalimu
Hasate kwa hujumbi wako . thanks for your wesendom
Akili mingi sana
Hakika
Uko sahihi sana.
Good voice message,, umewezs bro
Ipo wazi iyo mbona mkubwa
Nimekubalisana kaka
Nimekubali sana kaka
Shukrani
Tuma namba. Andika
Asante kwa chakula
Kweli
😂😂 nacheka lakn huyu bwana yuko vzr
Correct
Denis mpagaze
Denis mpagaze
Nazidi kujfunza.mungu awe pamoja nawe mpagaze.uzidi kutufunza zaidi.
Viongozi wengi wa Africa wamekuwa watumwa wa nchi zingine, Traure anakaa kuwa mtu na mipango tofauti, tuletee historia ya huyo mwamba
Nakuelwa sana , nahtaj kitabu Cha ndoa ntakipataje
Tuna Muomba Allah atupatie Raisi Mzalendo Kama MAGUFULI ,Alale PemaPeponi Aaaamin.
Bro naitaji kitabu at kimoja nielimike
Marehem alizaliwa, akazururula, afu akafa🤣🤣🤣
Pumzika Kwa amani baba yetu.
Tuzidi kumwomba Mungu atuandalie Magufuli mwingine.
Una maneno mengi ya busala mpagaze
Huu ni ukweli tupu Malafiki sio
Huu ni ukweli tupu Malafiki sio
Huu ni kweli Malaika sio
Asante baba
kaka ipo sw kweli najifuza vingi sn konekishe ndokitu kinacho itajika kwenye maisha ili uweze piga hatuwa
Thanks!
Nmefunguka kiakl, ntaish bil strest zszo na maan , nashukur nahtaj vitabu pia
Ndiyo,unaweza ,sauti imetulia naamini katika kuendelea kupambana Ili kuendeleza talent uliyo nayo,hata Ananias edga hakuanza tu siku moja akafanikiwa,au Jamal April wa wasaf media hakuanza siku moja tu akafanikiwa,Baraka mpenja hakuanza siku moja akafanikiwa,,,amini brother usisikilize mawazo ya wanaoamini bila Fulani kitu Fulani hakiwezekani,,,be couraged, have faith,go forward...
Kweli kabisa kaka
Mungu awabariki na kuwalinda Kwa kutupatia elimi
Pamoja Sana mjomba