Bando MC FT Dayoo - Mento (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии •

  • @BandoMC
    @BandoMC  2 года назад +50

    Bando ft dayo_mento (lyrics)
    Verce1
    Me kwako nishafika stendi sijui ni ubungo au wapi/?
    Nitumie usafiri gani nije kwa ungo au basi/
    Eti mapenzi jela hiki kifungo cha wapi/
    Mbona haunipi mateso au nikifungo cha shati/
    Na inafahamika me nijiko we ni mpishi/
    Kitandani nyani full kucheza na miti/
    Kama nikifulia usinicheat/
    Mbona tushashinda njaa sembuse kushinda vishawishi/
    Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
    Wanawaza tuachane lini (nimeshasettle)
    Nawakata ndimi (ukiibuka geto,unawapa joto,wape na lesso)
    Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila/
    Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila/
    Chorus (Dayoo)
    Chakwanza unanishangaza
    Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze ,
    Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza ooh baby ntakumilikisha akili uitawale ,
    Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
    Kwako mi ni (me!!me!!mento)
    Kwako mi ni (me!!me!!mento)
    Kwako mi nimento baby oooh
    VERCE2
    Ntaambia nini waulimwengu siku ukinipiga chini/
    Nitaificha wapi sura yangu hapa mjini/
    Kuhusu michepuko mapambano umeshawini/
    Usishindane na sindano mama we Bonge la pini/
    Nishakupa chance ,nipende mpaka basi /
    Mpaka wanaonidiss siku moja watu discuss/
    Nakupa. A Max ,ma ex sasa basi/
    Watanyoosha maelezo bila kutumia pasi/
    Kama dozi we kwinini (kwako ni mento)
    Wanawaza tuachane lini (nimeshasettle)
    Nawakata ndimi (ukiibuka geto,unawapa joto,wape na lesso)
    Kwanza tuna match, wengi wana ntatalila wengi wanatantalila/
    Usinipige bench wengi wanatantalila wengi wana tantalila/
    Chorus (Dayoo)
    Chakwanza unanishangaza
    Pili unanikoleza ooh baby ntakuweka kwenye bango nitangaze ,
    Vikopakopa umejaza udambwi dambwi chombeza ooh baby ntakumilikisha akili uitawale ,
    Kwako mi ni (me!! Me!!mento )
    Kwako mi ni (me!!me!!mento)
    Kwako mi ni (me!!me!!mento)
    Kwako mi nimento baby ooh!!
    Auto (Dayoo)
    Nishazifunga mboni bebe (bebe
    Nipo kwa bedi njoo ni bebe (bebe)
    Mtoto kashasimama dede (dede)
    Njoo Urambe corn bebe (bebe)
    Na ahidi niwe nawe milele,naahidi niwe nawe milele !!!! (SHYTOWN BOY)

    • @crosshood2137
      @crosshood2137 2 года назад +1

      Pin it bro

    • @mannyboytz
      @mannyboytz 2 года назад +1

      Mashairi yamenyooka Kama rulers mzee

    • @DWhite-qu9qn
      @DWhite-qu9qn 2 года назад

      ❤❤❤❤

    • @officialdezzymusic
      @officialdezzymusic 2 года назад

      Kubwa lazima tupushi

    • @monnahmo_tz
      @monnahmo_tz 2 года назад +1

      Daaaah aisee hi ni much lovee,,umeamuaa tusisumbuke na kahangaika kukariri verse, umetuwekeaa kbsaa tushindwaa wenyewe tu,,eeee bana eeee hili dude htr 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @stenobway3602
    @stenobway3602 2 года назад +10

    Oiiii napata wazimu na ukichaa kwa hili goma mmeua nyimbo zote zilizotoka this month tutajibu mashabiki wa mziki mzuri😄🎶🎤🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥🎶

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +1

      Ewaa mzeee wang

  • @jamesprincealiass
    @jamesprincealiass 2 года назад +7

    Dayoo is purely blessed with Vocal Chamber, Bando seems to be Darasa Role model.🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @derdeedomedia
    @derdeedomedia 2 года назад +2

    Hii ni kali sana kaka... Nimependa sana hii. Big up MC na Mangi

  • @damasprotas4126
    @damasprotas4126 2 года назад +1

    Bando ni mrithi wa Darassa....kama unaamini like

  • @salimswaleh2312
    @salimswaleh2312 2 года назад +3

    Shautown boyy🔥💯... Nikiwa high we ndio playlist yangu daimaaa... Fun namba moja 254🇰🇪🇰🇪

  • @stenobway3602
    @stenobway3602 2 года назад +11

    Made in Tanzania 🇹🇿🙌 u kill it mi people mi favorite song 🎶🎧

    • @saogold
      @saogold 2 года назад

      ruclips.net/channel/UCdSYqamggWQUPI9Gy2Tfu7g

  • @DWhite-qu9qn
    @DWhite-qu9qn 2 года назад +9

    This Guy “ Bando “ is one of my favorite Down hear on Planet Earth ❤❤❤❤❤🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @patrickkahangwa6666
    @patrickkahangwa6666 2 года назад

    Kamaa darassaa vile umetishaa Sanaa mwambaa

  • @azaxmusic9253
    @azaxmusic9253 2 года назад +1

    Noma sana ebwana kiongozi mumeuwaaaaa🏆🏆🎖

  • @Vairo_tz
    @Vairo_tz 2 года назад +6

    Unyamaaaa🔥🔥

  • @mgsmartzgram
    @mgsmartzgram 2 года назад +5

    On point dingiiii

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад

      Sauti nzuri haijawahi kuchosha masikio 👂
      Na video nzuri haijawahi kuchosha macho ❤️
      Endelea kuitazama video yangu mpya
      BANDO MC FT DAYO _MENTO👇
      ruclips.net/video/G1GyJdcdRp4/видео.html

  • @andrewsamson7486
    @andrewsamson7486 2 года назад +7

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥cant wait

  • @mrchazzy6551
    @mrchazzy6551 2 года назад +1

    Naitwa maaangiiiiiii....ngoma kali

  • @ramadhanikondo6114
    @ramadhanikondo6114 2 года назад +1

    Bando ngoma Kali sana sasa tunakaribia kufika tunapopataka

  • @evraahevraah8834
    @evraahevraah8834 2 года назад +6

    Dayoo never disappoint us.🤜

  • @gadizzotz6649
    @gadizzotz6649 2 года назад +7

    bando always doing the best🔥🔥

  • @hades3431
    @hades3431 2 года назад +6

    You always kill it bro💪💪💪💪💪💪

  • @younglyzer
    @younglyzer 2 года назад +1

    Usishindane na sindano Mama/ wewe bonge la pin🔥🔥🔥🙌

  • @mmediatz
    @mmediatz 2 года назад

    Hip-hop for life Dayo umeua mzee

  • @DWhite-qu9qn
    @DWhite-qu9qn 2 года назад +9

    The combination between bando and dayo is great keep it up boyz 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад

      Sauti nzuri haijawahi kuchosha masikio 👂
      Na video nzuri haijawahi kuchosha macho ❤️
      Endelea kuitazama video yangu mpya
      BANDO MC FT DAYO _MENTO👇
      ruclips.net/video/G1GyJdcdRp4/видео.html

  • @lilytoneofficial3840
    @lilytoneofficial3840 2 года назад +4

    Keep on winning omeboe 🔥 🔥 🔥

  • @bonnetambweofficial
    @bonnetambweofficial 2 года назад +5

    Dayoo on this one 🔥🔥🔥🔥✊😊

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +2

      🎯🎯🎯

  • @kephaeliah4196
    @kephaeliah4196 2 года назад +1

    Huyu jama hajawahi fell naziqubali sana kazi zake kama zote🙌🙌 Bando MC

  • @saogold
    @saogold 2 года назад +2

    Video imetulia vijanaaa Ni 🗣️🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ommymsomi4362
    @ommymsomi4362 2 года назад +5

    A hit song from my two brotherssss

  • @simbajuutz4846
    @simbajuutz4846 2 года назад +4

    Mento 🔥🔥🔥🎼🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад

      Sauti nzuri haijawahi kuchosha masikio 👂
      Na video nzuri haijawahi kuchosha macho ❤️
      Endelea kuitazama video yangu mpya
      BANDO MC FT DAYO _MENTO👇
      ruclips.net/video/G1GyJdcdRp4/видео.html

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 2 года назад +3

    Definition of Good music ❤️🔥🎶

  • @officialphyna1067
    @officialphyna1067 2 года назад +2

    ♥️♥️♥️♥️♥️mmeua sana

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +1

      Phina

    • @officialphyna1067
      @officialphyna1067 2 года назад +1

      @@BandoMC wallah nakuona mbali sana yani ☺️ kweny game ya music 🎶

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +1

      @@officialphyna1067 asante dada

  • @ZZIKOLIA
    @ZZIKOLIA 2 месяца назад +1

    NICE ONE

  • @Would436
    @Would436 2 года назад +4

    Bando mc autofit let's go 😍

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 2 года назад +4

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @Vairo_tz
    @Vairo_tz 2 года назад +5

    Favourite song at the moment

  • @BadBoy-fx8xs
    @BadBoy-fx8xs 2 года назад +2

    Unyamaaaaa kakaaa

  • @starvannytz8004
    @starvannytz8004 2 года назад +1

    Mjin tusharika kilicho Baki n kuwaineaha tu kuwa bando is a King of new generation budah

  • @Jajafilms-my3
    @Jajafilms-my3 2 года назад +4

    🔥🔥🔥🔥🔥✊

  • @saogold
    @saogold 2 года назад +6

    Wow good good I like

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +2

      ⚔️⚔️

  • @ivanboymusian
    @ivanboymusian 2 года назад +1

    Kifungo chashat....respect my g

  • @youngchris2775
    @youngchris2775 2 года назад +2

    una juwa sana brother 👊👊👊

  • @gdannyjoram9484
    @gdannyjoram9484 2 года назад +1

    Bonge la Kazi Mdogo angu Blood angu Keep going

  • @Deezingotz
    @Deezingotz 2 года назад +1

    Vdeo Kali sanaaaa kaka daaaaaaaaaahhii kwake MENTO,🔥🔥🔥🔥

  • @saidgongo7182
    @saidgongo7182 2 года назад +1

    Ngoma kari video kariiii yan 🔥🔥🔥🔥 mmeua saaana

  • @ommymsomi4362
    @ommymsomi4362 2 года назад +1

    Nashukuru sana Bando kwa kunimalizia Bando langu kila siku...

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад

      😀😀😀😀asante pia

  • @mcmswaki255
    @mcmswaki255 2 года назад +1

    Anko kaz saf 💥💥tuzd kuchafua #Ntakuweka kwenye bango Ntangaze haka kamstar kamekaa unyama ✊Bando Vs Dayoo keep it up

  • @farijalimussa2592
    @farijalimussa2592 2 года назад +1

    Keeping the gud music alive..mmeua sana bonge la combinenga

  • @KingOrongoro
    @KingOrongoro 2 года назад +1

    Hit🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 года назад +1

    Unatisha mzee baba🔥🔥

  • @richardkalamake2854
    @richardkalamake2854 8 месяцев назад

    uyu bando nimoto balaa napenda ngoma zake hasa ile yenye aliimba na TOXIC , hafu uyu dayoo ile ngoma yake ya weeked duuu nibalaa jingine❤❤❤❤

  • @blackrichtech69
    @blackrichtech69 2 года назад +2

    oioioi mzeeee hiii ngoma unaweza kupeleka ukweni ukapewa mke

    • @BandoMC
      @BandoMC  2 года назад +1

      😂😂😂

  • @onesmoshayo7880
    @onesmoshayo7880 2 года назад

    bando kapita kama darasa wakisasa🎼🎵
    dayo hunaga baya hunaga kazi mbovu....

  • @hopbizz7917
    @hopbizz7917 Год назад

    Oya Bando,nakupata na nakufuatilia sana kutoka KENYA 254,umeangamiza sana Kila biti. Nakukuabi sana bana we, oya Sela Iko siku ntakutafuta tukalie bonge la project

  • @Mado_Boy254
    @Mado_Boy254 2 года назад +1

    Kama kuview ingekuwa inaisaibika much time you watch kaka ingekuwa unamilioni sahi walahi

  • @denismusilipapa2981
    @denismusilipapa2981 2 года назад +1

    Nimekuwa nagoja hii video saana ... Napenda michano ya Bando na Young Killer saana but Bando lovee u soo much karibu Kenya Mombasa upige show

  • @brainmachine5038
    @brainmachine5038 2 года назад +1

    🔥🔥🔥 "Mento"
    Mziki Mzuri 🎶....

  • @Shytownboe
    @Shytownboe 2 года назад

    Huu msumali niwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kwakifup IPO waz kama ya mbuz

  • @yohanaenosi8412
    @yohanaenosi8412 2 года назад

    Ngoma la kubembelezea watoto wazr ebwanaa ni fire 🔥🔥

  • @chrissy_Tv778
    @chrissy_Tv778 2 года назад +1

    Good music good vibe, Dayoo hajawahi Kosea

  • @garlleyforeal
    @garlleyforeal 5 месяцев назад

    Imetisha hiyo 🔥🔥

  • @victorshirima9629
    @victorshirima9629 2 года назад +1

    Bando mc mwanangu sana ft dayo mchaga mwenzangu ni 🔥 mental

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад +1

    Mziki mzuri siku zote✈️

  • @hamismaige6730
    @hamismaige6730 2 года назад +1

    shy town boy 📌

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Год назад +1

    Never Dissapoint For You Guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lugembemartin8695
    @lugembemartin8695 2 года назад

    Kitu hot Sana hiki noma Sana kwa brother yetu bando umeua

  • @martingaudence1799
    @martingaudence1799 2 года назад

    Mwimbaj mzur ila umeimba kama darasa jaribu kuwa tofauti ( bando)

  • @official_king_happy
    @official_king_happy 2 года назад

    unyamaa sanaaaaa bando 🤝💥💥💥💥💥💥💥

  • @shabbircharagi616
    @shabbircharagi616 2 года назад +1

    BANDO NI FUNDI. NUMBER ONE FAN FROM KENYA

  • @aymanharoun7798
    @aymanharoun7798 2 года назад +1

    Ila sio siri bando bhana we ni bonge la msanii wallah nmeanza kuskiliza nyimbo zako since mwaka juzi.. Ukija mwanza tena blaza ntakutafta aisee npate hata picha tu...

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 года назад

    Namsikua darasa kwa mbali!🎤

  • @officialmamba9931
    @officialmamba9931 2 года назад

    Ili goma nishida 🔥🔥

  • @vibes6446
    @vibes6446 2 года назад +1

    Before nilijua ni darasa😄

  • @markokiyule1993
    @markokiyule1993 2 года назад

    mwanetuuu uuuuyaaapa ..... tishaaa sanaaa

  • @sostenesmbuya2518
    @sostenesmbuya2518 2 года назад +1

    Pachaaa wa zezekkkkkk

  • @yohanaenosi8412
    @yohanaenosi8412 2 года назад

    Chuma kinapepeaaaa kwa mtaaaa

  • @paschalfaida9062
    @paschalfaida9062 2 года назад

    Ngoma Kali Sana 💚💚💚💚💚

  • @mussasad6993
    @mussasad6993 2 года назад

    Hatari sana 💥

  • @mbuvamedia195
    @mbuvamedia195 2 года назад

    Bando kama Darasa, Darasa flows,

  • @veronicaantidius4248
    @veronicaantidius4248 2 года назад +1

    Uuuhuuuuu ,motooooo💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwitagabriely608
    @mwitagabriely608 2 года назад

    Ngoma ipo freshi

  • @Mado_Boy254
    @Mado_Boy254 2 года назад

    Nataka ngoma nyengine nyinyi wawili

  • @mjungatv8172
    @mjungatv8172 2 года назад +1

    Hili Chupa limeamka na Chai kabisa mazee🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @officialagastin8337
    @officialagastin8337 2 года назад

    Hiki kizazi Cha Moto Sana🙌

  • @Young_jux01
    @Young_jux01 2 года назад +1

    Let’s go 🕊🚀🚀⭐️my broo

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 2 года назад +1

    Aaaweeeeeew

  • @odasingers24
    @odasingers24 2 года назад

    Umetisha-mento

  • @noelpaul640
    @noelpaul640 2 года назад +1

    "Kama dozi we kwinini"❤️

  • @simbajuutz4846
    @simbajuutz4846 2 года назад

    Pachu la kwenda 🎱

  • @salumually4255
    @salumually4255 2 года назад

    Umetisha sana bro

  • @houseboy2754
    @houseboy2754 2 года назад

    Dayoo umeuaa sana

  • @abudhar3114
    @abudhar3114 2 года назад +2

    Mwanangu dayoo nakukubali mnoo broo big up one day tufanye kitu

  • @ahazimarley2141
    @ahazimarley2141 2 года назад

    Ahaaaaa kichup tyl bro unyama pande za Tdm uku umetisha kaka boda LA wajanja

  • @jonathanke9333
    @jonathanke9333 2 года назад +2

    Keep it up 🔥🔥🔥💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @official_totobady7356
    @official_totobady7356 2 года назад

    Ujawahi ferii

  • @chippy1841
    @chippy1841 Год назад +1

    Bando you always kill it broMi

  • @josephinempulule9421
    @josephinempulule9421 2 года назад +1

    Sema unajua 😅🔥

  • @radjabreezy5564
    @radjabreezy5564 2 года назад

    Inspiration bilashaka kwa Darassa na Rich mavoko #KAMAUTANIPENDA

  • @ayrunyjtayruny279
    @ayrunyjtayruny279 2 года назад

    Kazi mzuri

  • @overgrapher8372
    @overgrapher8372 2 года назад +1

    gud misic everseen❤

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke 2 года назад

    🔥🔥sanaaaa

  • @Mado_Boy254
    @Mado_Boy254 2 года назад

    Kweli mtoto ywafanana na mamake namaanisha video na ngoma 100%

  • @Mado_Boy254
    @Mado_Boy254 2 года назад

    Vid imetulia sana🙊🙊🙊