EXCLUSIVE: MSANII BANDO AFUNGUKA MAISHA YAKE, HANA DINI, ALELEWA MIEZI 6 NA STAMINA, APOTEZA BABA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 60

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 9 месяцев назад

    Kua na DINI sio lazima Mungu mwenyewe hana DINI. Ishi maisha yako champ, imani ya Mungu ni muhimu kuliko mihemko ya dini.

  • @hamadjamal2731
    @hamadjamal2731 Год назад +3

    Dah!my young bro umnkmbusha mbali sana katika mapambano ya maisha,😰😰😰

  • @jonathanzzed6267
    @jonathanzzed6267 Год назад +1

    Waoooh my job now in ug kusajiri lines, mungu anijalie

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 Год назад +2

    Ktu kngne tulchokua atujui Kusu Bando Mc ni anajua kujieleza

  • @sundaypeter5619
    @sundaypeter5619 10 месяцев назад +1

    Nakulewa san

  • @samniza1763
    @samniza1763 Год назад +2

    Mungu huhitaji kumuelewa, maana anayoyafanya ni beyond any human existence

  • @rashidjuma5087
    @rashidjuma5087 Год назад +2

    Mwamba huyo 💪💪💪💪💪💪

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp Месяц назад

    Muda bado huyu muda ukifika ni star

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад +3

    Ila kapendez sana sheheee

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад +2

    😂🤣🤣Dunia ina mambo Meusi 🤣😂

  • @iddyhassani2219
    @iddyhassani2219 Год назад +2

    Daaah mjomba aliyo yapitia mbona kma nimim kabisa😭😭😭

  • @averinachuma3870
    @averinachuma3870 Год назад +3

    Kwenye swala la dini uyo kijana hana hoja ya msingi kutokana na maelezo yake

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 Год назад +4

    Unapofeli kwenye dini tena iliyokuwa ya wazazi basi amini kutoboa utakusikia tu hata uimbe nini amini nakwambia

    • @NachaKing-nj7cp
      @NachaKing-nj7cp Месяц назад

      Elewa hana dini sio hana mungu , jinga ww

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke Год назад +2

    Amin Amen

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 Год назад +1

    KAMA HANA DINI ASOME SANA KUMHUSU YESU ATAPATA DINI YA KWELI TOKA KWA MUNGU

  • @hajiomary3766
    @hajiomary3766 Год назад +1

    Cha ngapi Leo 🤔 cha kumi🤣🤣🤣

  • @franksosoma4267
    @franksosoma4267 Год назад +1

    Nakukubl sanaa toka bado upo shy

  • @hallin9561
    @hallin9561 Год назад +1

    mimi pia sina DINI ila ninaamini uwepo wa MUNGU ila sio kupitia vitabu vyovyote ni kupitia uumbaji.

  • @swahili3603
    @swahili3603 Год назад +3

    Nigga got self awareness 💪

  • @harsanojeshi8333
    @harsanojeshi8333 Год назад +2

    Kumamake 🤣🤣 uyu jamaa kamamimi mimwenyewe sinadini

    • @FahadAli-ni5eu
      @FahadAli-ni5eu Год назад +3

      Ukiona mtu anasema hana dini ujue mkristo Lakini anaona dini yke miyeyusho

  • @SogadariWafunuwaji-nl8wx
    @SogadariWafunuwaji-nl8wx Год назад +2

    Muulize baba na mama yake je nidinigani

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke Год назад +2

    Mwamba umerithi kwa baba style

  • @JordanSolomon-dy9pv
    @JordanSolomon-dy9pv 10 месяцев назад

    Utajiri sio wamungu ingekua hivyo padrii asingechukua sadaka yahela na hao mashee kuchukua sadaka yahela vizuri vyote nivya shetani

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 Год назад +3

    Hana dini ila kafunga duh sijui kafung kwa kigezo kipi

    • @hallin9561
      @hallin9561 Год назад +2

      kafunga kwa ajiri ya Mungu na sio dini

    • @saidkaim768
      @saidkaim768 Год назад

      ​@@hallin9561Uwezi kufunga Kama huna dini , lazima uwe muislamu ndo ufunge

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 Год назад +1

      ​@@hallin9561 kafunga kwa ajiri ya MUNGU. kwa njia ipo?

    • @hallin9561
      @hallin9561 Год назад +1

      @@mariamjuma4136 kwa njia ya Mungu

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 Год назад +1

      @@hallin9561 na katika izo izo dini ndio njia za kumfata MUNGU

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 Год назад +2

    wakwanza

  • @nassibumusic5569
    @nassibumusic5569 Год назад +2

    Bando Mc🔥🔥🔥

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke Год назад +2

    ❤❤❤

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 Год назад +3

    Sema huyu jamaa kachemka...

  • @ommarysaid7391
    @ommarysaid7391 Год назад +3

    Akili yake Haina Akili Huyu Ni Mnafiki Hajielewi Huku Anataka na Huku Anataka Inabidi Achague Moja

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад +1

    🙄😲😲

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke Год назад +2

    😅😅😅

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke Год назад +2

    Bando ni emcee sio rapper tu

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 Год назад +1

    Atakuwa shoga

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 Год назад +2

    Dini unayoo wewe sema hujielew

  • @paulomesarieki309
    @paulomesarieki309 10 месяцев назад

    Bando

  • @mariyam9219
    @mariyam9219 Год назад

    Una akili wewe kabisa kwenyetandao

  • @zubeirzanzibar5231
    @zubeirzanzibar5231 Год назад +5

    Yoyote asie na dini ni kafiri

    • @timoliiisaya3824
      @timoliiisaya3824 Год назад

      Kafiri ya nyoko fuckin

    • @kelvinfredy4161
      @kelvinfredy4161 Год назад

      Umekaririshwa maisha wew acha upimbi, Just believe in GOD. na sio dini kuku wew

    • @breymbasa3451
      @breymbasa3451 Год назад

      ​@@kelvinfredy4161 😅😅 yap man

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws Год назад

    Kwny dini hapa huyu ni mpuuz wa taifa

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 Год назад +2

    Unatiwa nyuma wewe kudadeki