MBOWE: SIHITAJI KWENDA KWENYE VITA KUKIPASUA CHAMA🥺

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 139

  • @MathewTemba
    @MathewTemba 28 дней назад +10

    Mimi mbowe akishinda kwenye chama naondoka

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 10 дней назад +4

    Duuuu!!!! Kumbe chako sio

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 8 дней назад +2

    Hapa ndio naishuhudia chadema inaenda kupotea mazima

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo 5 дней назад +2

    Mbowe is doing political business

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 5 дней назад +2

    Ndomana ulitaka kutuuza kumbe bado unamawazo finyu sn kama chadema ni chama chako kakifungie kwako

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 8 дней назад +1

    Chama chako au chama chenu sasa mbona unasema chama chako. Kumbe hichi chama kinamilikiwa na mtu binafsi. Hapa ndio utajua siasa mchezo mchafu

  • @billmkushi849
    @billmkushi849 2 дня назад

    Glory to God the Almighty

  • @abdallahselemani3801
    @abdallahselemani3801 6 дней назад +1

    Oooh! Hapo umeeleweka kumbe ni chama chako inamaana ww ukiwa hupo na chama hakitokuwepo muheshimiwa mbowe unawakosea sana wanachama wa chadema

    • @MikaMsanii
      @MikaMsanii 5 дней назад

      Unajua nimeanza kuamini kwamba hiki chama siyo cha ukombozi wa wanyonge na rasilimali za taifa ila ni chama cha wachaga... watu wamejiwekea kuwa ni miliki yao. Lakini mbowe akumbuke kuna watu wameumizwa wakipigania chama hiki. Na ndiyo maana kilisajiliwa kama chama cha siasa siyo kampuni ya biashara

  • @nassibdoma5408
    @nassibdoma5408 Месяц назад +5

    Sjawahi kuona mwenyeket mjinga kias hich eti chama changu

  • @HasanKisome
    @HasanKisome 22 дня назад +4

    Msanii Bora Ni Yule Anae soma Alama Za NYAKATI Na Kuondoka Mapema Kwa Heshma Haya Toka Sasa Muda Wako Umesha Pita

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 9 дней назад +1

    Kumbe ni chama chako sio chama cha wanachama na wananchi

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 8 дней назад +1

    Hatimaye imefahamika wazi. Tulikuwa tunaambiwa chama ni mali binafsi tunakataa.

  • @mohamedmarijani
    @mohamedmarijani 12 дней назад +2

    Hiki so chama Cha demokras Bali Cha udikteta.

  • @silvanusngelageza7240
    @silvanusngelageza7240 Месяц назад +7

    Chama cha mbowe!!!🎉

  • @GeraldNdabila
    @GeraldNdabila День назад

    😢

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 4 дня назад

    Nampenda mbowe

  • @hajikatanje5961
    @hajikatanje5961 28 дней назад +8

    Huyu ndio muhusika wa watu wanao potea na wanao kufa maana hakuna hatua yeyote alio ichukuwa ila kiukweli aondoke kwa amani kabla wana inchi hawajambo kichukia chama😊

    • @BoniphasLucas-j6x
      @BoniphasLucas-j6x 17 дней назад

      Acha kupotosha watu kaka Hii nidunia tunapita sio kusingizia watu vitu vikubwa mbowe anahusikaja nawatu kupotea naselikal imuangalie isifanye uchunguz asingejulikana mapema tu yeye Hana mamlaka hayo yakupoteza watu kisa wanachama wake haiwezekan kwasababu hata uwe mwanachama wasiasa Bado ni mwananchi naimali ya selikal sio chama kwaiy kama nikwel anapoteza watu halaf selikal haichukui hatua unaamanisha selikal inamuogopa mbowe sindio kaka au unaonaje?

    • @kayalaonlinetv
      @kayalaonlinetv 17 дней назад

      😂😂😂😂 ila 😂😂😂

  • @moshimasunga
    @moshimasunga Месяц назад +8

    Duuuu kumbe ni chama chako basi endelea nacho

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 11 дней назад

      Yaani mmwjizima data na kujisahaulisha leo hii ndio mnamsikiliza kwa umakini, mbona siku zote husema chama chake pili upande ule wa ccwao kila kukicha walikuwa wanawasanua ila mlidhani ni vijembe tu si ndio, Lisu asipotoka kwenye hiki chama niiteni mbwa, zote anazipiga ni kelele tu yaani aje na amtoe boss wake aliemuingiza kwenye chama awe yeye boss sijaona kitu kama hiki si kwatanzania wala kwa afrika haiwezi kutokea, acha asemeee hali ikiwa mbaya zaidi mbowe ndio atatoa sasa makucha yake tena kucha moja tu litatosha kumrarua lisu.😂

  • @peterdavid20149
    @peterdavid20149 27 дней назад +3

    Kiongozi yeyote akipewa uongozi zaidi ya miaka 10 anakigeuza chama kuwa chake

  • @MathewTemba
    @MathewTemba 28 дней назад +2

    Mzee mbowe hata ukishinda kweli UMEZINGUA

  • @Kagineemmanuel
    @Kagineemmanuel 15 дней назад +2

    Tunamhitaji lisu kwa sasa

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 5 дней назад

    Alafu nimegundua mbowe ukiwndelea kuwa mwenyekiti wa chadema utakwamisha mambo mengi kalee wajukuu bana

  • @ArnoldHaule
    @ArnoldHaule 27 дней назад +4

    Chama kishakufa Amna kitu apo

    • @BoniphasLucas-j6x
      @BoniphasLucas-j6x 17 дней назад

      Kama chama kimekufa mbona wanawekewa vikwazo kibao serikal iluhusu mikutano yahadhara na time huru yauchaguzi tuone panavuja shekhe

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 3 дня назад

    Mama Samia oyee

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 9 дней назад

    Wanachama hamna nafasi chama hicho nimali ya Mbowe

  • @MikaMsanii
    @MikaMsanii 5 дней назад

    😅😅😅😅 kama kuna mtu anajinasibu kumiliki chama kama kampuni. Basi hakuna sababu ya kuwaamini chadema. Ingekuwa ccm kuna mtu anajigamba kwamba ccm ni yakwake kisingekuwepo. Nakuomba acha makasiriko imarika kifikira mwachie lisu. Naamini lisu ni imara hakuna cha kuzamisha tena lisu ndo kabisa ana uchungu na taifa hili kama ilivokuwa kwa dkt silaa. Kumbe hiki chama ni super market ya mtu... 😅😅😅😅

  • @VunjabeiMoses
    @VunjabeiMoses 6 дней назад

    Nenda kwenu Rwanda .....

  • @JakaBuochi
    @JakaBuochi 21 день назад +2

    Sio chama chako hicho nichama Cha wanachama wa CHADEMA

  • @bhuge8921
    @bhuge8921 5 дней назад

    OHOOOOOOO!!!!!!

    • @MikaMsanii
      @MikaMsanii 5 дней назад

      😅😅😅 umeona ee

  • @nkurufi
    @nkurufi 26 дней назад +2

    Ng'atuka mkuu

  • @yohanampamba601
    @yohanampamba601 9 дней назад

    Ukishinda kwa hira ukawa Tena Mwenyekiti wa 5 Tena, Walahi kweli ntakuachia chama chako. Nilijiunga chadema nikizani ni taasisi kumbe ni chama chako binafsi.

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 26 дней назад +3

    Chama chako vipi wewe ulishajiadaa kugombea

  • @bajutatravels9779
    @bajutatravels9779 28 дней назад +2

    Kunazia leo natumbukiza cad ya chadema chooni kumbe ulikuwa unatuchezea bora ni rudi CCM

    • @benardsabas5915
      @benardsabas5915 17 дней назад

      Chama chake akimaanisha chama alipo, wewe ni ccm tangu awali acha kupotosha watu

  • @NdaturuItandala
    @NdaturuItandala 15 дней назад

    Duh!

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r Месяц назад +1

    Chama chako😅😅😅😅 oya lisu kwanza mengine baaadae

  • @AbelShauri
    @AbelShauri 8 дней назад

    Namshauri lisu akafungue chama chake mapema vinginevyo mbowe awezi achia kiti ataumia mtu

  • @iburahimiddi2428
    @iburahimiddi2428 11 дней назад

    Hahahahaa.... Chama chambowe😊

  • @deongusaru5803
    @deongusaru5803 16 дней назад +1

    Acha watu wapige kura

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad Месяц назад +1

    Mh mbowe acha kutengeneza mashabiki waun Lisu ana mashabiki wengi kuliko wew mm nawakataa wapinzan lakin nafuatilia nin watu wanapenda kwenye mitandao

    • @albertandy1961
      @albertandy1961 Месяц назад

      Mbona hii sio vita!
      Lisu kuchukua fomu na mkaingia kwenye uchaguzi mkapita salama, mtaonyesha ukomavu wa demokrasia ndani ya chama chenu cha Demokrasia na Maendeleo.

    • @MikaMsanii
      @MikaMsanii 5 дней назад

      👏👏👏👏👏👏

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Месяц назад

    Muungwana ni vitendo 😊😊

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 9 дней назад

    Watu wa sacoa mmesikia wasindikizaji😅😅😅😢

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 5 дней назад

    Ukingia mbowe mzigoni sisi tunatoka ubakinao ww naenda ACT wazalendo Kwa Zitto kabwe

  • @RaymondMwambe
    @RaymondMwambe 3 дня назад

    Miaka 20 umefanya inatosha

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 9 дней назад

    Kumbe mzee hiki nichama chako

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 8 дней назад

    Kumbe n chama chako ?kauri hizi zinatutafakarisha sana

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 27 дней назад

    KWANI CHADEMA NI CHAMA CHA MBOWE MBONA ANAONGEA KWA VITISHO UACHIWE CHADEMA YAKO BASI MBONA UNANGANGANIA MADARAKA

  • @RaymondMwambe
    @RaymondMwambe 3 дня назад

    Wwe acha inatosha

  • @MosesNdabilla
    @MosesNdabilla 18 дней назад

    Sio chama chako

  • @muchunguzimissingo5662
    @muchunguzimissingo5662 Месяц назад

    Chama Changuu..😅😅😅

  • @MartinGao-pq3ed
    @MartinGao-pq3ed 9 дней назад

    usikiachie chama kwa huyo

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 11 дней назад

    Mithali 22:3
    Mwenye busara huyaona mabaya akajificha,
    Bali mpumbavu huenda mbele akaangamia

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 17 дней назад +1

    Chama Chako mbona unakiakinadi kwamba ni chama demokrasia na uma kwa ujumla?

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 7 дней назад

    Chama changuuuu!

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman Месяц назад +2

    Mimi naondoka na lissu alienusulika kufa sababu ya chama

  • @MussaAidan-r2v
    @MussaAidan-r2v 16 дней назад

    Tunakuachia chama chako

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 28 дней назад

    Wenye nia njema na chadema wanamuinga mkono mbowe ila wale wanaotaka kuisambaratisha chadema wanawaunga mkono wagombea wengine ndiyo maana wamekazana na kusema tundulisu ukishindwa anzisha chama kingine au nenda CCM au nenda a, c,t

  • @Nanga-t6y
    @Nanga-t6y 27 дней назад

    Toka kwanza

  • @juvenilebalohho
    @juvenilebalohho 27 дней назад +2

    CHAMA CHANGU , HIVI MBOWE ANATUONAJE? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @denishamka8657
    @denishamka8657 12 дней назад

    Kumbe ni chama chako

  • @PeterKajana
    @PeterKajana 25 дней назад

    Si ungeacha miaka 20 Bado unang'ang'ania au hicho chama ni Cha wachaga? Tunakuachia chama chako umechoka Bado unang'ang'ania kisa unahela Kila cku mnalalamika democracy hapo nchin kumbe hata ww pia unatoa mahubli ya uongo tu hu we ezi kuyatenda

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 Месяц назад

    Kamanda mkuu unafeli! Kwa mtindo huo, kuongoza Nchi mtasikia kwenye vyama vingine. Kuachia uenyekiti ni mbinde, mkipewa Nchi mtatokea kina Museven! Nyie bado kabisa! Endeleeni kutunishiana misuli muwape CCM nafasi ya kusema vizuri. Wao hata kama kuna makundi, hawatoki hadharani. Wanamaliza mambo yao ndani!

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 22 дня назад

    Wewe ondoka bana

  • @yahayaiddi572
    @yahayaiddi572 6 дней назад

    Kumbe ni chama chako??

  • @DavidNicholas-c9i
    @DavidNicholas-c9i 29 дней назад +6

    LISU SI ONDOKA TU.... KASHA SEMA CHAMA CHAKE.. KWA SASA KWA UPANDE NAMUAMINI MSIGWA

    • @BoniphasLucas-j6x
      @BoniphasLucas-j6x 17 дней назад

      Acha kupotosha watu kaka msigwa kashaisha kanunuliwa Bas ibak hivo hata rais mwenyew anasema nchi yake sio yawatanzania kwaiy itakua yy kusema chama chake watu wanauza bandar wanasema nchi yao unashangaa nn shekhe

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 Месяц назад

    Mh tayari umepasua chama na kubaka democrasia ndani ya chadema...

  • @AdiaMwinyi
    @AdiaMwinyi 17 дней назад

    Mbowe ww auna chama cha wanacham kma vp ww bakia pekeyako ktk cham tuone km utakua na thaman

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 Месяц назад +1

    Sacco's ya mtu mmoja

  • @DellerdoneDeller
    @DellerdoneDeller 16 дней назад

    Chama chako tena

  • @mtesigwamsilanga2937
    @mtesigwamsilanga2937 7 дней назад

    ww mboe ni mjinga

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 27 дней назад

    WEWE ONDOKA TUMEKUCHOKA

  • @ZechuChuma
    @ZechuChuma 25 дней назад

    Baba àchiii two

  • @FerdinandMumwi
    @FerdinandMumwi 26 дней назад

    Mwezi ni yule anayekaa pendo na kutoa maelezo na ushauri kwa vijana Wenye ngv na air yakukijenga chma tumia busara waachievkana

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o 14 дней назад

    We mbumbu hicho sio chama chako

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j Месяц назад +1

    Chadema kumbe ni chama cha mkweo ????autongoka wewe ni mwenyekiti wa milele tusikusikiee ukataja democracies cdm kutakua hakuna democracies iPod ccm mwenyekiti mwisho miaka 10 chadema miaka 20 na bado unataka kugombea tena utakua Huna akili umekula pesa za mama abduli kuua cdm

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Месяц назад

    Chama chako kumbe mmemsikia vzr

  • @abbasnassib9532
    @abbasnassib9532 23 дня назад

    Mbona ni muoga sana sasa

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 26 дней назад

    Umechukua hatua gani watu wamepotea umekaa kimya tu wewe mwachie lisu uone ccm wamekuteka Huna jipya

  • @AmosiMwakilasa
    @AmosiMwakilasa 23 дня назад

    Tumefel mkuu

  • @aidandis5309
    @aidandis5309 27 дней назад

    Eti Chama changu😂😂😂😂

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 16 дней назад

    Kumbechachako

  • @RhodaKalinjuna
    @RhodaKalinjuna Месяц назад

    Naam kamanda kama kamanda

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 26 дней назад

    Kashasema chama chake ,sio chetu think deep

  • @bibiemasoud507
    @bibiemasoud507 Месяц назад

    Mbowe wewe mnzalendo Sana hakika unastahili uongozi

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 Месяц назад

    Lisu alinusurika kwa kupigwa risasi kwasababu ya chama hawa wengine wapambe tuu naondoka nalisu

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga 10 дней назад

    Mbowe .hiki chama unataka kukiua . wewe nikweri unatumika na CCM .Kwa nn unangangania madaraka

  • @ElishaZachariaEmmanuel
    @ElishaZachariaEmmanuel 5 дней назад

    Weee tupishe

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 12 дней назад

    Mzee umezingua ukae utulie

  • @LawiEzekiel
    @LawiEzekiel Месяц назад

    %98 watanzani awajuwi siasa

  • @RehemaBenard-p3s
    @RehemaBenard-p3s 25 дней назад

    Natembea kifua mbele ccm tupo vzr.dr.nchimbi umewachanganya Hawa jamaa

    • @BoniphasLucas-j6x
      @BoniphasLucas-j6x 17 дней назад

      Chama huna shekhe ww umepata nafas kupitia hicho chama kula tu vizur ila chama chasiasa apo huna chama kinaogopa uchaguz kinakwapua unasema kipo vizur shekhe mungu anakuaona ujue alaf Dunia mapito tu apa uongo haudumu milele

  • @DottoMulungu-s1x
    @DottoMulungu-s1x 26 дней назад

    Unasamehe nini broo hata ukipumzika chama haipasuki Kwan we mungu? Chama kukijenga tumekijenga wote futa kauli kuwa hiki ni chama chako ni chetu sote na utapata anguko kubwa la aibu bola ujiengue tuu mapema huwez shindana na lisu wewe zama zako zimepita nahayo makofi ni kejeli usijefifikili utapata hata nusu ya kura zote na ukilazimisha tunahamia Act wazalendo

  • @edwardmwingira7096
    @edwardmwingira7096 Месяц назад

    Upumzike sasa,miaka 20 inatosha. Uongozi lazima uwe na ukomo!

  • @kibwanasuleiman263
    @kibwanasuleiman263 Месяц назад

    Vipi Gea za angani bado zipo au zimeisha

  • @AbdulhalimHafidh-s2m
    @AbdulhalimHafidh-s2m 26 дней назад

    Chama si chako

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 28 дней назад

    Acheni malumbano ninyi. Taifa lina pitia hali mbaya. Tafuteni namna ya kunusuru TAIFA LA Tanzania. Siyo malumbano yenu.

  • @Humphrey-zm1gx
    @Humphrey-zm1gx 22 дня назад

    Kwan huwezi achia madaraka mkuu?
    Chama sio chako hicho ...

  • @MkumbaJuma
    @MkumbaJuma 29 дней назад

    Kaul ya kusema chama chako ilo ndo tatizo akuna mwenye chama,,Yani ni Bora ccm iendelee kuwa madarakan mama kwa upande wa ccm akuna mwenye ccm na ndo mana baada ya miaka 10 anatakiwa aongoze rais mwangine,mbowe kaa utulie na tia kaul ya kusema chama changu

  • @LusiaMwandandila
    @LusiaMwandandila 21 день назад

    Ondoke bwana achia wengine mzee

  • @elishamalata9241
    @elishamalata9241 Месяц назад

    Leo nimekuelew kumbe chama ni chako je ninyi mnasemaje chama cha mbowe haaaaaa kazi sama

    • @AlHamra-ej3mo
      @AlHamra-ej3mo Месяц назад

      Kwani kutumia neno chama changu niye mnaelewa vp
      Akitumia neno chama changu hata CCM wanatumia msemo huo au mbowe kusema chama changu nikosa la jinai

    • @MsikunkuDadi
      @MsikunkuDadi Месяц назад

      Chama changu 😅😅😅😮😢😂😂😊

  • @happymushi4493
    @happymushi4493 Месяц назад

    Mbowe baba chukua fomu

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 29 дней назад

    Yaani chadema huyu ndio namuona mwenye busara na kama ningekuwa napenda mambo ya siasa basi ningesimama na huyu lakini wengine ni kazi ya kuvaa tai za upinde na maneno mengi ni ya kuropoka na lawama tu basi