MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025
  • Katika kutimiza Agizo la Raisi Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Samia Suluhu Hassan la kuwahamisha wafanyabiashara wadogo,kutoka maeneo yasiyo rasmi na kuwatengea maeneo rasmi,Halmashauri ya Mji Makambako imetenga maeneo makuu matatu:-
    1. soko la maguvani
    2. soko la magegele
    3. vibanda vilivyopo katika kituo cha mabasi (stendi mpya)
    Lengo hasa ni kupangilia Mji na kufanya maboresho ya Mpangilio wa mji ili Kuvutia wawekezaji kwani Makambako ni lango kuu la uchuumi kwa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Mwa Tanzania

Комментарии •