Magufuli akijadiliana na Makamu wake kuhusu Machinga kupangiwa maeneo ya biashara

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 2,4 тыс.

  • @eutychusthiongo1335
    @eutychusthiongo1335 3 года назад +152

    Rais wa awamu ya Tano hakuwa mtu wa kawaida.He should be made a Saint

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 3 года назад +9

    LEGENDARY umeenda lala salama Magufuli wetu.....
    Wanafki walikua wanakusikiliza na wanasema nenda mwana kwenda tuwakomesha hao wanyonge wako ......
    Nasikia mguno kana kwamba wako pamoja na mzungumzaji...daaahhhhh inaniuma sana

    • @zaharaamdilah6602
      @zaharaamdilah6602 2 года назад

      Hatamimi inaniumasana jamani jamani hatuta sahau

    • @robosia2915
      @robosia2915 2 года назад

      Mungu atawachoma na radi hao wanaouza nchi yetu. Mungu akulaze mahali pema peponi. 😭😭😭😭😭😭

  • @hellenvincent1809
    @hellenvincent1809 3 года назад +71

    Maneno yako yayarndelea kuishi baba,duuuu!!!tumepoteza Jembe hasaaa🌹

  • @kelvinenyareso5269
    @kelvinenyareso5269 2 года назад +39

    As a Kenyan and African, I greatly miss the dedication of this man.
    History will never fail to recognize your effort. RIP JPM

    • @kibeteliazersabbathmusiced5820
      @kibeteliazersabbathmusiced5820 2 года назад

      Pia NAMI ndugu. Kenyatta na Raila waache kuteit wakenya mbaya. Watu walifukuzwa mau

    • @faidhaithnine4955
      @faidhaithnine4955 2 года назад

      Has

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 2 года назад

      Hapo utajua nini ambacho ibilisi anawaza juu ya maana wa mungu jipm sisi mamilioni ya watanzania tutakuombea usiku Na mchana kila Delila kamwe atakaa akaye Na amani

    • @mesutnyaryanga8932
      @mesutnyaryanga8932 2 года назад

      As Africans - we will never move on if we do not get this kind. Mtu anaetaka kufanya maendeleo kwa ajili ya watu na sio vikundi vya watu.

  • @hadijandope6991
    @hadijandope6991 3 года назад +69

    We miss 😢 you so much. Am a Kenyan but loved this guy. A true leader he was chosen by God.

    • @elvissialala2068
      @elvissialala2068 3 года назад +3

      rest in peace magufuli tunakupenda sana mi ni mkenya

    • @maureenmuma7515
      @maureenmuma7515 2 года назад +1

      I am a Kenya but I really miss this gentleman. A wise leader indeed 😭😭

  • @emamkuyu4061
    @emamkuyu4061 3 года назад +65

    Jamani jamani aliyemuua ni nani? Basi huyu baba damu yake iwarukie wahusika wote ikiwa ni pamoja na waliofurahia kifo chakee Hakika alijitoa kwa ajili ya Watanzania Maskini.Tutakukumbuka daima JPM.

    • @mamausilamy1360
      @mamausilamy1360 3 года назад +2

      Aliemuua aliemleta dunian kisha akampa roho

    • @neemayusuphu4266
      @neemayusuphu4266 3 года назад +1

      Samia leo kamgeukia

    • @naalyhussen3253
      @naalyhussen3253 3 года назад

      Unafiki sio mzuri . Ila wajue kuna kuulizwa kesho kesho kwa mungu baada ya kifo ila punzi ndio zina waadaa

    • @vanessajohn6046
      @vanessajohn6046 2 года назад

      Kwelikabisa yaani huyu mama anaitikia kama sio alikua sasahivi amani huumsiba hautoisha molele kumbe aliaona mapema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @mjeshimsofe9730
      @mjeshimsofe9730 2 года назад +1

      @@neemayusuphu4266 kamgeuka kvp? Kila rais na mbinu zake kulingana na sheria za nchi....

  • @ngolwetv3523
    @ngolwetv3523 3 года назад +32

    Nikweli!! Ukitak watu wakuchukie sema kweli simamia haki za watu wa chini!!
    Mungu akusameh mapungufu yako, hakun binadam aliekamilika.

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 года назад

      Ukweli na kutaka haki ni uhalisia wa Mungu. Uongo, unafiki na hila ni uhalisia wa shetani. Wewe unapenda uhalisia upi?
      Mungu yupo!

  • @magellasaid3693
    @magellasaid3693 3 года назад +94

    Machozi ya watanzania masikini ikawe faraja kwako upate pumziko la milele baba! Hotuba zako siku zte hukuacha kututetea watanzania masikini, hakika tutakukumbuka daima umeweka alama ndani ya mioyo ytu JPM! Allah akulipe kwa wema wako baba, AMEEN.

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 Год назад +3

    Naomba mungu snaaa ajee Rais mwingine kama uyuu magufuliii

  • @farajimussa4923
    @farajimussa4923 2 года назад +2

    Hii itakuwa history isio futika milele mungu ailaze mahal pema pepon roho ya marehem John pombe magufuli

  • @samwelilaizer4420
    @samwelilaizer4420 3 года назад +54

    Ewe Mungu wangu tusaidie asa machinga

  • @sylvesterbukoro6182
    @sylvesterbukoro6182 3 года назад +136

    Baada ya,mwaka mmoja...Magufuli amelala naamin wabaya watasema waliyomfanyia lbda kama sio Jiroma...pumzika kwa aman my school mate chato shule ya msingii😭😭😭😭

    • @leahgabriel6507
      @leahgabriel6507 3 года назад +5

      Pumzika kwa Amani baba. 😭😭😭

    • @rwenenahomechannel1634
      @rwenenahomechannel1634 3 года назад +13

      Komenti yako inanitowa machozi.Magufuli atakumbukwa daima si kwa mabaya.
      Alikuwa ni mtu mwenye utu ndani yake.
      Wenye akili tutamuenzi.

    • @reginasawe3356
      @reginasawe3356 3 года назад

      😔😔😔😔

    • @naimaseif7615
      @naimaseif7615 3 года назад

      😭😭😭

    • @gongojr2369
      @gongojr2369 3 года назад +4

      Hii clip ni fundisho tosha Sana kwa viongozi wetu wa Sasa wanaotuongoza, wakuu wa mikoa, wabunge, na wenye viti, fanyeni maagizo ya hayati Baba Magufuli.

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 3 года назад +183

    Pumzika kwa Amani baba yetu, Lala mzalendo lala

  • @fundileani1007
    @fundileani1007 3 года назад +2

    Laaana ziwashukiye wale wote walio support kifo chako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Mwenyezimungu akufanyie wepesi Mzee wetu

  • @mcgb5725
    @mcgb5725 Год назад +2

    Ulkuwa baba wa kwel Mkuu endelea kupumzika kwa Aman .tutakukumbuka daima President John Joseph Pombe Magufuli.

  • @happnessjohn839
    @happnessjohn839 3 года назад +65

    "ni lini watanzania maskini watakuwa wawekezaji katika nchi Yao" Magufuli. ..😭😭😭moyo wakizalendo sana,

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 3 года назад +46

    MB zangu zimetumika kihalali.
    This is the president of Africa.
    Kwa Umri wang sijawahi kuona Raisi mwenye uchungu na upendo kwa wanainchi wake hasa wanyonge kama jpm

  • @mountzionrestoration4228
    @mountzionrestoration4228 3 года назад +58

    We lost an able bodied leader, a down to earth president. Continue resting in peace

    • @alexiasimba3707
      @alexiasimba3707 3 года назад

      In vizuri viongoz waamin kuwa Makufuli alikuwa jembe na wafuate maagizo yake watu hatulingan Mwenye uwezo muige mambo mema take mabaya yaachen huyu tulipewa na Mungu maisha hayako vizuri KWA sasa Raid Samia asiamin kuwa maisha yako powa vitu viko juu saana bidhaa kuliko miez michache aliyokuwapo mtetez wa. Wanyonge asiwaulize watu WA juu maisha awaulize wanyonge maisha yamezid ugumu amuombe Mungu amsaidie

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 2 года назад +4

    I'M from Kenya since the death of president sir teacher professor pastor JPM loosed the Hope of AFRICAN,RIP loved him from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✝️✝️✝️✝️✝️🙆🙆🙆🙆🙆

  • @yasinihasani
    @yasinihasani 3 года назад +1

    HUYU NDIO ALIKUWA RAISI,ANAMAAMUZI YAKE NA HAPELEKESHWI.
    TUTAKUKUMBUKA SANA,YA ALLAH TUTOLEE ALIOPO TELETEE MWENGINE KM JOHN

  • @mbegumpangile9937
    @mbegumpangile9937 3 года назад +38

    Uyu ndiyo alikuwa alikuwa kiongozi wa wanyonge katika nchi hii

  • @ludanishayo1851
    @ludanishayo1851 3 года назад +227

    R.I.P Rais wa wanyonge! Mungu akusamee mapungufu yako akupokee kwake mbinguni!! Amin.

    • @elizafumbuka9377
      @elizafumbuka9377 3 года назад +2

      Amina

    • @isackmtepa4955
      @isackmtepa4955 3 года назад +4

      Mbona uyo mama Amekugeka mzee

    • @ndayambajefaby4864
      @ndayambajefaby4864 3 года назад +1

      @@elizafumbuka9377 ipoxku

    • @ndayambajefaby4864
      @ndayambajefaby4864 3 года назад

      Unxemje

    • @mouhameddiallo7483
      @mouhameddiallo7483 3 года назад +3

      I don’t understand the language but I am pretty sure he is one of the best presidents in Africa…. Because of hol I want to go live in Tanzania after my studies in Europe.!

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 3 года назад +126

    Magufuli atabaki mioyoni mwa wanyonge kwa muda mrefu sana.R.I.P JPM.

    • @happymrema7723
      @happymrema7723 3 года назад +1

      Hakuna tena rais kama Magufuli

    • @esterkanuda5002
      @esterkanuda5002 3 года назад +1

      Kabisa

    • @adamsaid6217
      @adamsaid6217 3 года назад

      Yani kira nikiona hizi naumia san

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 года назад +1

      @@adamsaid6217 Usiumiye yeye yake yashamuishiya. Sasa jifikiriye wewe bado uko Duniani. Mungu amlipe kwa mazuri yake aliyo yafanya hapa DUNIANI.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 года назад

      @@happymrema7723 Watakuja wazuri...wengi tu...na huyo alokuwepo pia ni mzuri kwa time yake...Mungu amsaidie..Hujuwi labda wewe utakuja kuwa Rais siku zitakazokuja...Tulijuwa kama Magufuli atakufa??? Siku yake ilifika. Ilisikitisha sana....

  • @dancanaloo8434
    @dancanaloo8434 2 года назад +4

    Magufuli am a Kenyan yes but forever yu will remain in my heart

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 2 года назад +1

    Yaan uyu mama mungu anamuona yaan apa anaitikia kama mkweli kha

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 года назад +141

    Samia anayakubali yote ya Hayati Magufuli. Sasa hatunaye mama kavaa viatu vya Kikwete., kavivuwa viatu vya Magufuli.,Huyu ndiye kiongozi aliye wathamini Watanzania. Na alikuwa akisema kweli bila unafiki wala kuogopa mtu. Ameacha kumbu kumbu nyingi sana kwa Watanzania. Legacy hamuwezi kamwe kuizika naye. Watanzania watamuemzi daima

    • @evasadala7768
      @evasadala7768 3 года назад +16

      Huyu mkara co yeye uongozi wa juu unaagiza kufukuzwa wamachinga watafanyaje ndo yie wajinga mnasifia huyu Bibi anaendesha nchi vzri yni mkimchagua huyu Bibi tena mnataka mgawanyike mkitakakuona huyu rais hafai saiv kla ktu kinasuasua . Miradi ya magufuri yote ss inasuasua .watu wanafanya kazi wanavyo taka kla mtu hapa anavimba kivyake wanaume jipangeni kunusuru hii nchi amesha jua ulaya

    • @hymtv8504
      @hymtv8504 3 года назад +18

      Machozi yananitoka, huyu Baba Mungu amuweke pema peponi, lkn kama tulivyompatia Mwl. Nyerere hadhi ya Baba wa Taifa ipo haja ya kumtafutia jina zuri la kumuenzi

    • @ericmgalla2590
      @ericmgalla2590 3 года назад +7

      Samia haez kazi ya Magu,atapokea ruswa na awafukuze

    • @rozaliarwezaula6924
      @rozaliarwezaula6924 3 года назад +16

      Ukute tunaongonzwa na kikwete bila kujua

    • @msalikemedia
      @msalikemedia 3 года назад +6

      @@rozaliarwezaula6924 Hahaha nimecheka kama mazuri kwakweli nch imepatwa

  • @arafahashi5043
    @arafahashi5043 3 года назад +141

    U are forever missed and loved JPM. U are 1 in a million.

    • @rwenenahomechannel1634
      @rwenenahomechannel1634 3 года назад +6

      Huyu uliyemwamini baba,kasha kusaliti.
      Hata sisi ameenda kutuuza UN.Ameomba chanjo ya uviko.
      Je hizo chanjo ndo ilani muliotuahidi?

    • @rajabmasika9658
      @rajabmasika9658 3 года назад +5

      The best ever African president

    • @mageema9272
      @mageema9272 3 года назад +1

      Huyu Mama mnafiki kweli kweli, ndo maana hamjui Mungu wake, anatusalimia kwa jina la jamhuli ya Muungano

    • @mageema9272
      @mageema9272 3 года назад

      Wabadirishe katiba, wangekua wamebadilisha leo hii tusinge fikia hapa tulipo, mwenzenu kaokota Embe Hana shida, tusiumie Sana kwasababu hatukumchagu Mungu wetu yupo atatutetea

    • @mariethjohn3074
      @mariethjohn3074 2 года назад

      Ila mama tukiacha yote chakula kishuke beii angalia watu wako daaa

  • @moviepointtz2024
    @moviepointtz2024 3 года назад +96

    asee huju Jamaaa Asio Urahisi tu Alikua Ana akili Yakipekee na Utu. Kwa mimi kama nikifanikiwa kuwa mzee ninacho chakusimulia waijukuu wangu.

  • @RapandoFranklin
    @RapandoFranklin 3 года назад +36

    Africa would be a heaven if it had leaders like Magufuli in every country

    • @iddyfadhili4430
      @iddyfadhili4430 3 года назад

      Magufugi was really an advocate of the less fortunate

    • @taufiqkimpa904
      @taufiqkimpa904 3 года назад +1

      Tunakukumbuka kwa mazuribaba uliotufanyiaaa ilasasa joto la jiwe tunalionaa

    • @twahathomas3514
      @twahathomas3514 3 года назад

      Kiongozi mzalendo huleta maendeleo kirahisi kwenye nchi kwa kutumia rasilimali chache tu.

    • @jamalhussein4052
      @jamalhussein4052 2 года назад

      YOU NAIL IT SIR

  • @reymathomas1562
    @reymathomas1562 3 года назад +1

    Mm had Leo naona nidoto kama kweli hayupo duniani Jamaica mungu jinalako lihimidiwe

  • @nuruawadhi8841
    @nuruawadhi8841 3 года назад +37

    Mungu tunakuomba ututendee Jambo mbona wamemsaliti mnoo baba yetu hivi haya mama hayakumbuki kwelii😭😭😭 hajui km mwili llkn nafsi ipo yarabi wahukumu wasiotenda haki mambo yamerudi km zamani

    • @asiamussa3780
      @asiamussa3780 3 года назад +1

      Na anavyoitikia kinafki sasa!!

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 года назад +34

    Uwiiiiii hii kali ya mwaka. UPASUAJI WA JIPU HILI LINAHITAJI HEKIMA

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 года назад +77

    MKUU WA MKOA DAR, JIUZULU MWENYEWE HATUKUTAKI.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 3 года назад

      Ww wasema

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 3 года назад +9

      @@hamisijuma3276 WEE HUONI WANAKIUKA KABISA MAAGIZO YA RAIS,AU KWASABU KASHAKUFA NDIO ASIHESHIMIKE???.
      HUYU MKUU WA MKOA HAFAI KABISA.

    • @abdallahngakola6125
      @abdallahngakola6125 3 года назад +4

      Nikweli ajiuzuru

    • @ashamwandu6572
      @ashamwandu6572 3 года назад +1

      Aya afe tu,ananyanyasa watu hawana Raha KBS

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 года назад +1

      Kweli

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 года назад +1

    Ukumbukwe sana baba wawanyonge rohoyako Mungu ailaze mahali pema peboni

  • @jamesmwangi8598
    @jamesmwangi8598 2 года назад +1

    Hongera baba mtetezi wa wanjonge MUNGU akuweke mahali pema peponi asante

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 года назад +21

    Yaani uyu baba daa sisituu tunaumia ivi jee ndungu zake 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @asherykityaba9648
      @asherykityaba9648 3 года назад

      Sinachakusema mungu tusaidie maana tunapokwenda mungu ajua

    • @onesmoelias8509
      @onesmoelias8509 3 года назад

      Dada yangu nihuzuni tu yan kumpoteza mtu wa namna hii mwenye maono yanamna hii nisawa na galika ya nuhu

  • @jamesnteleva7073
    @jamesnteleva7073 3 года назад +65

    I really miss my beloved President JPM.

  • @hasamjebe4685
    @hasamjebe4685 3 года назад +27

    Siwezi kumlaum jafo agizo ni la boss wake yy atafanya nini, tatizo ni huyu mama ndio afai kabisaaa

    • @hassanmadele1011
      @hassanmadele1011 3 года назад

      Mama aliambiwa ukwer tunafukuzwa km wanyama wapolini bna unazani dunia yakwao wenyew mali yangu tuitumie wote

    • @mussatayarjames639
      @mussatayarjames639 3 года назад

      huyu mama ulikua unafanya nae kaz ila alikua msalit wako

  • @jacksonpascal5259
    @jacksonpascal5259 2 года назад +21

    Huyu mama anavyo hitikia sasa kama mtu mwema vile watanzania tunapata shida we kazi kuzurula nchini kwa watu 😭😭R.I.P JPM

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 Год назад

      Kampangua .vitambulisho kavitoa

    • @dickikahese9681
      @dickikahese9681 Год назад

      Wapumbavu nyie waislamu wakiongoza nchi mnakuwa na maneno ya chokochoko sana kwanini

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows Год назад

      ​@@dickikahese9681Wewe wanakupumulia nn sasa swala la uislam limeingiaje au unadhan ni nchi za kiarabu hizi pumbavu mkubwa 🚮 mtu anapimwa kwa matokeo anayoyaleta sio udini Kama inakuuma sana kaishi nchi za kidini hutoona uislam unasemwa pumba 🚮

  • @annapeter1458
    @annapeter1458 2 года назад +1

    Ungefufuka baba ukaja kuona ubabe ulotumika kuwaondoa machinga ungelia ila tumekukumbuka Sana BABA

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 3 года назад +31

    We love you and people of Tanzania we really need and miss you Sir

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 3 года назад +57

    Mzee tutakukumbuka

  • @jacksonimwasoni2520
    @jacksonimwasoni2520 3 года назад +34

    Hakuna kama ww tena popote duniani, Mapungufu kila mtu anayo.

    • @zakayojoseph1499
      @zakayojoseph1499 3 года назад

      Ninge kuwa nauwezo nigekufufua ukamariza mwendo salama

    • @neychitinde2345
      @neychitinde2345 3 года назад

      Hakika wewe Mungu alikuleta kwa kusudi la watanzania. Mungu alikutumia kwa kila jambo.

  • @shantelshanne12
    @shantelshanne12 2 года назад +1

    Mungu azidi kuilazaa roho yakoo mahali pema peponi🙏🙏🙏

  • @nemhinaallymwalimu8415
    @nemhinaallymwalimu8415 2 года назад +1

    Miss u Bb JPM nimejikuta nalia Tena sanaaaaa Mungu akurehemu Rais wangu magufuli

  • @sr.helenarhobi8886
    @sr.helenarhobi8886 3 года назад +44

    Baba yetu MAGUFULI tunakukumbuka umetuacha MAYATIMA tunatendewa Kama kondoo anayeoelekwa machinjioni. Pumzika kwa amani mwana wa Afrika na mzalendo wa kweli. Forever ina our hearts dady!

    • @mkamamauma6994
      @mkamamauma6994 2 года назад

      Nyie sindio mlio kuwa mnampinga au...

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 3 года назад +31

    Ni lini watanzania masikini watakuwa wawekezaji ktk nchi yao...??
    Yaani mwekezaji anakuwa na nguvu kuliko wananchi tunaowaongoza!!!....🙏🙏🙏

  • @bestbagaza8896
    @bestbagaza8896 3 года назад +76

    Pumzika baba JPM !!Nyota ya ulimwengu ,shujaa tuta kukumbuka milele 😭😭😭😭😭

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Год назад +1

    Kuna mavi shetani mmoja anavyoitikia duuh ama kweli kikulacho

  • @hamismtengwa9657
    @hamismtengwa9657 2 года назад

    .,magufùli baba tutaķulilia sana MZEE wet kwauliotufanyia mungu ataķulipa Pepo kwa ulichotutendea ww hutuoni lkn tunataabika na maisha yetu ķwani hatuelewi hatima ya maisha yetu itakuaje ķwani ni tete hail zetu tuombee kwa mungu baba

  • @janethtito4777
    @janethtito4777 3 года назад +24

    Kumbe ulikua waitikia unafk tu Samia ila Mungu anakuona

    • @khadijachembela5946
      @khadijachembela5946 3 года назад

      2025 hiyooooooo lnakuja

    • @jumongjr5837
      @jumongjr5837 3 года назад +1

      Tutamtoa ndukiiiiiiiii

    • @azizahamisi7349
      @azizahamisi7349 3 года назад

      @@jumongjr5837 nataman ningekua na kura ya Tanzanian nisinge mpigia kura samia

    • @alexkihongola798
      @alexkihongola798 3 года назад

      Eti anaongezea na hizo ndiyo ajira zenyewe, Jamani Dunia ngumu hii, Ngoja tuishi tuondoke tu.

  • @emmanuelshavunza4314
    @emmanuelshavunza4314 3 года назад +18

    😭😭😭😭😭😭😭,,, daaaah aiseeee machozi yamenitoka,,, Eeeee Mungu tukumbuke.

  • @bahatimohamedi720
    @bahatimohamedi720 3 года назад +40

    Shunjaaa wetu pumuzika kwa Aman 😭😭😭😭

  • @nuruhmangoli1232
    @nuruhmangoli1232 3 года назад +11

    Huku Kenya kuna tayari makundi ya watu,,kuna wenye Wanaskizwa saaana,kuna wenye wakishkwa wanafungwa miaka ,lakini kunao wakishikwa wanatolewa hapo hapo baada ya kuiba mabilioni ya hela .
    Raila must be the Magufuli of Kenya

  • @wilfredmokoima5988
    @wilfredmokoima5988 3 года назад +10

    I'm Kenyan who truly Loves ❤ President Joseph John pombe Magufuli, he was such big help to us all in Africa.May the Almighty God Give him eternal life.

    • @mashamasha2854
      @mashamasha2854 3 года назад

      unαkutα wαkєnчα wєngí wαlímpєndα вαвα чєtu kulíkσ ѕѕ wєnчєwє😥😥r.í.p

    • @saidindaro5533
      @saidindaro5533 Год назад

      SIWEZI KUMALIZA hotuba BILA machozi kunitoka KWA haya yaliopo KWA Sasa Alla akulehem.

  • @fakihnyange8821
    @fakihnyange8821 3 года назад +57

    We actually remember you our hero, rest in peace baba

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 года назад +26

    The real president of low level p,ple

  • @braysonmwakatage2950
    @braysonmwakatage2950 3 года назад +80

    Wamemsaliti JPM ila inauma kweli yamerudi ya zamani, Sasa hivi ni chukua chako mapema baba pumzika Kwa amani baba yetu

    • @patriciasamuel7643
      @patriciasamuel7643 3 года назад +1

      Pole

    • @rizickmombury7598
      @rizickmombury7598 3 года назад +2

      Utadhani alikuwa anamwelewa vile

    • @chipegwakuselya1742
      @chipegwakuselya1742 3 года назад +2

      Yan huyu mama Hadi afanani na huu uchafu anaoufanya

    • @tinajulya6876
      @tinajulya6876 3 года назад

      😭😭 tutakukumbuka daima baba yetu

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 года назад

      @@chipegwakuselya1742 hata ukiwa na nguvu kiasi gani wakikuwahi kabali huwezi kufurukuta. Yajayo yatawafundisha. Mungu sio Mrisho. Yeye ni Mungu tu!

  • @AlyShomari-gj3hb
    @AlyShomari-gj3hb Год назад +1

    Daaah!!!!! Yaani kiukweli nilikuwa nakukubali sana Rais wangu ila naamini mungu alikupenda zaidi na ndo maana amekutanguliza ili ukaongoze malaika wake

  • @shamreenkhaemba3674
    @shamreenkhaemba3674 3 года назад +8

    I'm a Kenyan but I really loved this president,it still hurts me that he is no more,just because of those who thinks they will never die ,may they the killers never never know peace,may they never go unpunished ,you kill with a sword you die with the sword,may sorrow never leave your homes you wicked people

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 3 года назад +33

    Jamani me naomba mmoja anieleze ubaya wa Magufuli ulikuwa wapi!!? Mbona me sioni Kuna wapumbavu huwa wanamponda Sana huyu mzee!! Magufuli daaaaaah alikuwa bonge la rahisi!!

    • @gamc773
      @gamc773 3 года назад +1

      Hata sijui

    • @jassonfurgence6180
      @jassonfurgence6180 3 года назад +3

      Huyu mtu alikuwa shujaa na wakipekee sana, mimi nilimuelewa sana tena mapema mno alipoingia madarakani kwani nyota njema uonekana asubuhi!!.

    • @kelvin7ithuiumwasamaki987
      @kelvin7ithuiumwasamaki987 3 года назад

      Kweliii vizury havidumuuu

    • @livingstonekabantega
      @livingstonekabantega 3 года назад +1

      Nimetafakali ubaya wake siuoni

    • @kelvin7ithuiumwasamaki987
      @kelvin7ithuiumwasamaki987 3 года назад +2

      @@livingstonekabantega me nashangaa Sana ndugu yangu unakuta watu wanasema Timu Magufuli et tunapata shida et Mama anaupiga mwingi.. wanashindwa kusema wazalendo tunapata shida jins Mambo yanavoenda kombo!!

  • @mengimagimbi483
    @mengimagimbi483 3 года назад +8

    Mbona mmesahau kirais mama jitahid kukumbuka haya,,,🖐️🖐️👍

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 года назад +32

    Mungu akupe pumziko la amani,Naumia mno lakini Mungu yupo,

  • @olenchoejunior8383
    @olenchoejunior8383 3 года назад +12

    He is the gallant, a legendary not only in east Africa but in also in all Africa..... R. I. P Dr

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 2 года назад +2

    Safii sn hayati Dk.John Pombe Magufuli tutaendelea Kukupenda Daima Rais wa Wanyonge 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏...R.I.P

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 3 года назад +24

    Baba ulikuwa na maono ya kuona mbali yameishatokea kuvunjiwa vibanda na mali zao kuibwa ee Mungu tusaidie sisi wa machinga na sisi tuna haki ya kufanya biashara jamani inauma sana Mungu akupumzishi kwa amani kipenzi chetu Ameen

    • @AhmedMohammed-de4ke
      @AhmedMohammed-de4ke 3 года назад

      Ni kweli lakini walionyanganywa mali zao waliokufa ndgu zao ktk utawala wake huyu ndio wanajua zaidi kua Magu alikua mtu wa aina gani. Sio mm na ww ambae tunamsifu kwa kujenga barabara na kununua ndege

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 3 года назад +4

      @@AhmedMohammed-de4ke mweee hayo unayajua wewe kama aliua lakini nimekuelewa mafumbo yako mimi siwezi hukumu ila Mungu amweke pema siyo barabara na ndege tu wewe ndo uliviona mimi alinitoa mbali sana nikiwa kama machinga lakini wewe uliyezoea kupinga hata mazuri aliyoyafanya sawa niuelewa wako pole na ww ndugu zako wangapi aliwaua?jitambue

    • @shadrackkamugisha4481
      @shadrackkamugisha4481 3 года назад +4

      @@AhmedMohammed-de4ke wewe ulivyoaminishwa ni tofauti na sisi tuliyoyaona itoshe kusema ivyo

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 3 года назад +35

    Nimeshangaa toka huyu kiongozi atoke Kwa Dunia madini ya tanzanite tunayapata yakisafishwa inchi zingine

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 года назад

      Ulitaka yasisafirishwe

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 3 года назад +1

      Anamaanisha kusafirishwa..sio kusafishwa

    • @trillhappybeautypoint9874
      @trillhappybeautypoint9874 3 года назад

      Mungu atasikia kilio chetu,Mungu halali tutampata mwingine ninaamini

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@trillhappybeautypoint9874 inabidi tuombe sana maana huyu kikwete na mtandao wake si mchezo

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 года назад +34

    R.I.P MAGHU we loved you alot. But God loved you much. We miss u

  • @sistermery4581
    @sistermery4581 3 года назад +1

    Mhhhhh sitaki kusema Mie wali muua wapo wanajulika sema t Domo koma baba Rudi always wanawake wanakuag wajanja hat chumbani hata kwenye kuongoza wananchiii😭😭😭😭

  • @C.Ltv1
    @C.Ltv1 5 месяцев назад +1

    We Baba yetu udumu Roho yako iangukie kwa mmoja wa nchi hii aje kua Raisi tena kama wewe

  • @titomhagama5545
    @titomhagama5545 3 года назад +15

    Mimi na magufuli ni kitu kimoja, kumbe ilikuwa sio kweli

    • @jumatingi2047
      @jumatingi2047 3 года назад +3

      Samia ni mnafiki waziwazi. Hivi sasa amejionesha dhahiri ni msaliti. Laana za Mwenyezi Mungu zimshukie

    • @damarisgongo5531
      @damarisgongo5531 3 года назад +1

      Huyu mama ni mnafiki sana, ila Mungu yupo hatasahau watuwake.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 года назад +72

    R.I.P MZEE WETU JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA 😭

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 3 года назад +14

    Mama kakusaliti utawara wa huyu mama hauna huruma na wanyonge Mambo ya kikwete yamerudi

  • @monica1244
    @monica1244 3 года назад +1

    Nikweli kabisa baba ila mungu atakulipa uko ulipo

  • @HassanSadick-zb7nc
    @HassanSadick-zb7nc Год назад +1

    ❤mungu akilaze mahala pema

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 3 года назад +80

    Mungu anisamehe kwa hili huyu baba walimuondoa ili wafanye mambo yao kabisa eti mtu alikuwa anaitikia kumbe ni snitch tu anayoyafanya sasa tofauti

  • @abisaizablon3805
    @abisaizablon3805 3 года назад +18

    Magu The Great, best ever, live long where you are

    • @dekematanga7206
      @dekematanga7206 3 года назад +1

      Baba lalasalama Mungu tunakulilia watanzania

    • @saeedally268
      @saeedally268 3 года назад +1

      Samia alitudanganya kuwa kavaa viatu vya magufuli kumbe alikuwa mbwa mwitu

  • @Iammatindel
    @Iammatindel 22 дня назад

    Nimejifunza machache kupitia hii picha... RIP Magufuli, God bless you!🇹🇿 🙏

  • @faridamikindo4524
    @faridamikindo4524 3 года назад +4

    RIP magufuli umeondoka mapema ,,wangenyooka HAWA wote uliowaacha mungu,,tuangalie,,,tulinde MANENO YAKO yote magufuli..yametimia your the greatest we love you

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 года назад +116

    😭😭😭hii laana itatembea na kila msaliti

    • @gamc773
      @gamc773 3 года назад +9

      Kabisa mama ni msaliti sana hata lisu kasema jana

    • @kikotikikoti7176
      @kikotikikoti7176 3 года назад +4

      Jamani huyu mama hajawahi kuwa kiongozi wa kuchaguliwa yeye alikuwa ni was kuteuliwa tuu

    • @ndomimielpidi5832
      @ndomimielpidi5832 3 года назад

      Hapo ndo kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya ili kuwekwe scope ya taifa ili kila kiongozi awe anaifuata,, sio kila kiongozi aje na mambo yake..

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 года назад

      @@gamc773 🥰

    • @christinanonde9056
      @christinanonde9056 3 года назад +1

      Laana itamgusa kila msalati mungu hulipa kwa matendo uyayendayo malipo yapo tena yapo watalipwa

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 3 года назад +60

    Samia alikuwa akisikiliza lakini kalewa madaraka, 😥😥😥😥
    Jpm you'll always remain a hero

  • @Swahili14
    @Swahili14 3 года назад +65

    Hypocrisy and wickedness in Tanzanian government are overwhelming 😭
    May God Rest you in his Eternity baba

    • @hoziaissai3768
      @hoziaissai3768 3 года назад +1

      da mzee mungu akubarik huko uliko umetuachia mzgo wa r s a

  • @mikidadinzori
    @mikidadinzori 3 года назад

    Mungu amlaze mahala pema peponi Dr John Pombe Magufuli

  • @kibeteliazersabbathmusiced5820
    @kibeteliazersabbathmusiced5820 2 года назад

    He was a man of the people,,, Kenyans president aigize magufuli. Utamwona Mumba Kwa kazi Yako mzuri

  • @goergemtei8707
    @goergemtei8707 3 года назад +19

    Duu mungu nifundishe kunyamaza, pumzika kwa amani mzalendo wetu.

    • @mohamedkondo6392
      @mohamedkondo6392 3 года назад

      Ongea tu kaka, mi mwenyewe sijafurahixhwa na awamu hii kiukweli, mic my president 😢.

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 3 года назад

      Tunapenda sana kunyamaza lkn tunashindwa. Unapokuwa unaona nuru ghafla giza huelewi dira lazima sauti itoke ili uone uko salama au lah! Fikiria mko gerezani mnatangaziwa kuwa huru mnajiandaa kutoka ghafla anatokea mtu asiyejulikana anawaamuru hakuna kutoka mnarudi sero. Itafakari picha hiyo. Kwa vyovyote mtakesha kuitafakari sana amri hiyo!

    • @mohamedkondo6392
      @mohamedkondo6392 3 года назад

      @@epafrangweshemi4014 Well Said 🙌🏿

    • @abdallahmaulid6005
      @abdallahmaulid6005 2 года назад

      Kukaakimya kazisana kwenye awamuhii.yani unajitahid kukaa kimya lakini unashindwa.mama unatuangusha.itikiaitikia nyiingi kumbe hamnakitu

  • @johnkashaija8191
    @johnkashaija8191 3 года назад +20

    Sikiliza vizuri hanavyo chomekea .Samia. Bongo hatari.

    • @omanabcd9249
      @omanabcd9249 3 года назад +4

      Hana hata haya huyu kikongwe nahana dini ndiomaana kakata hata salamu yamungu

    • @obadiamushi5952
      @obadiamushi5952 3 года назад +4

      Msikilize anavyo jibi kumbe ni unafki mtupu

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 года назад

      @@omanabcd9249 Salaam ya MUNGU ni ipi hiyo wakati kila mtu ana MUNGU yake.

    • @ntibashimamathiasidicksony1409
      @ntibashimamathiasidicksony1409 3 года назад +1

      Linaguna tuu mmmh,mmh kama nguruwe

    • @patriciapatrick7747
      @patriciapatrick7747 3 года назад

      @@ntibashimamathiasidicksony1409 kama bundi vile hovyoooooo!

  • @willibethstv1702
    @willibethstv1702 3 года назад +40

    REST IN PEACE DADY JPM... Much miss you

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 года назад

    One & only jpm shujaa mtetezi wa wanyonge King mfalme njoo baba uone tulivyo safishwa

  • @seraphinjj2012
    @seraphinjj2012 3 года назад +67

    Whenever we get something good in Africa, it doesn’t last long. RIP in peace baba. 💔💔💔

    • @bertaberta8143
      @bertaberta8143 3 года назад +1

      I you vii

    • @KIZOB
      @KIZOB 3 года назад

      We sell our own in Africa

    • @zippileiyok4261
      @zippileiyok4261 3 года назад +1

      I think God hate us too

    • @saidowpuffdaddy7898
      @saidowpuffdaddy7898 2 года назад

      But why

    • @francismuhuga8158
      @francismuhuga8158 2 года назад

      No no noo God doesnt hate any human being but we africans we dont love each other, we are selfish, hated and Evil.
      Tunashirikiana na wazungu kuwaua wenzetu ili wazungu waje wachume watuwekee pesa ulaya migogoro haiwezi kuisha madini hayatusaidii wala viongozi waadilifu hawatakiwi afrika anauwawa na sisi wenyewe kuwatumikia weupe. Tazama Rais wa Burundi 🇧🇮, Tanzania 🇹🇿, Rais Sankara, Patrice Lumumba, Gaddafi, Nkuruma nk wako wa wapi maana umasikini wetu ji kero kwa western kama china 🇨🇳, Korea, Turkey, Iraq, Iran nk ona walivyokero kwa western.

  • @hamidujafari6337
    @hamidujafari6337 3 года назад +9

    Daaah 😭😭😭mungu yuu mwema acha haitwe mungu maana alikuwa mtetezi wa wanyonge eeeh mungu una siri kubwa.🙏

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 3 года назад +10

    Ee mungu mwenye haki mlipe mwenye haki sawa na haki yake na waovu sawa na maovu yao

  • @ngolwetv3523
    @ngolwetv3523 3 года назад +124

    Hii vidio inanikumbusha msemo wake RIP "NIME SACRIFYSE MAISHA YANGU KWA AJILI YA WATANZANIA MASKINI". RIP MAGUFULI Mbele yako nyuma yetu!!!

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 года назад +1

      Maneno tu yakisiasa ukiweza kuongea point ikawaingia wanchi basi mambo yanakwenda kwaiyo umaskini umekwisha ,

    • @ngolwetv3523
      @ngolwetv3523 3 года назад +2

      @@shubebunyesi542 unamaana gan kusema umaskin umeisha??

    • @kigalirwanda620
      @kigalirwanda620 3 года назад +1

      @@shubebunyesi542 umaskini umeumbwa na Mwenyezimungu.lakini Magufuli alikuwa na huruma na wanainchi wake.sio nyinyi mnaweka tumbu mbele ili mupate madaraka

    • @mwamedihamisi9600
      @mwamedihamisi9600 3 года назад +1

      Basi tu ila laana itawalaluwa wee waache wajifanye masuper woman

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 3 года назад +1

      @@kigalirwanda620 kwani alikua anawahurumiaje labda utueleze Mana unakua unakuta mtu anaongea kwa kufuata mkumbo na makasiliko ambayo ayapo hakuna cha laana na haitolewi na mwanadamu

  • @EssauEnock-t1w
    @EssauEnock-t1w Год назад +2

    Machozi yetu 😭😭😭😭 yakawe faraja kwako mzee wetu pumzika kwa amani

  • @bihusnaiddy6804
    @bihusnaiddy6804 3 года назад +1

    tutakukumbuka sana baba yetu rais wawanyonge lala salam

  • @ananiainyasio9834
    @ananiainyasio9834 3 года назад +15

    Mwone anavoitikia kama kweli binadamu sisi vigeugeu wasaliti kwanini wanataka kuihalibu nchii hii

  • @eliasyohana5045
    @eliasyohana5045 3 года назад +33

    Kweli ama hakika MUNGU ampe hekima ya kuliongoza Taifa la so hivyo atateseka sana

    • @khadijachembela5946
      @khadijachembela5946 3 года назад

      Baba ulikuwa unaongea peke yako

    • @c-4839
      @c-4839 3 года назад

      Mama wa kambo na baba hayupo?🤔

  • @murishidibruani7332
    @murishidibruani7332 3 года назад +16

    Pumzika baba uwezi saulika mzee wetu🙏🏽🙏🏽ata🌏ilikutambua vyema baba

  • @tinyaadamyusuf4642
    @tinyaadamyusuf4642 2 года назад +8

    Every time when I'm listening to Dr John Pombe Magufuli i feel like crying he was tru leader who's been sent by God to rescue Tanzania & open eyes of African leaders. Rest in peace my only president we will always miss you 😭😭😭

  • @alimasha8490
    @alimasha8490 2 года назад +1

    Uncle Magufuli was indeed a true stateman, am a Kenyan but your like our food in my family, a day was never end without searching your steps on RUclips, one day God willing will pay visit to your grave for prayers with family. Mola akurehemu.

  • @lucasmkwizu1786
    @lucasmkwizu1786 3 года назад +15

    Huyu mama alijifanya yupo Kumbe hayupo, Moyo wa mtu kiza kinene