DAR24 YAMTUNUKU MZEE MAKOSA/ AFUNGUKA MAZITO MBELE YA MEYA/ "SIKUTARAJIA HAYA"
HTML-код
- Опубликовано: 16 ноя 2022
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#IRINGA #MZEEMAKOSA #Dar24Media
Bila kumsahau Eddo Bashir alie anza nae mpeni like zake hapa
Nimependa sana jitihada za Mzee Makosa pia Dar 24 nimependa sana mwandishi huna Roho mbaya kabisa Ongera sana Kaka.
Safi sana, Wema siku zote hauozi, hongera mzee Makosa.
Makosa nimejifunza vingi kwako babA mungu akupe Maisha marefu mzee wetu🎉🎉❤❤
Nimependa sanaaaa hongereni dar 24 huaga hamkoseagi hongereni sana
Utambuliwaji wa watu muhimu kama Makosa ni kitu chenye maana na chenye matokeo chanya. Nimependa mtazamo na namna Makosa anavyoyachukulia maisha. Ana akili na upeo mkubwa pamoja na changamoto kubwa aliyoipitia.
Nawashukuru nakuwapongeza Dar 24 kwa kulisukuma mbele hili swala la mchango wa Makosa. I just loved it. So very much.
Hongera sana dar24 hakika mmefanya jambo kubwa sana mungu atawalipa
Kazi nzuri Dar24, tunakushukuru Makosa kwa kutoa kwa jamii, Mungu akujalie heri.
Yaan naomba mpk Rais Samia amtambue apate kurudishiwa vitu vyake km zile ushuru walizomtoa wakati ilikuwa kwa faida ya nchi Ahsante Dar 24💪🏼
MAKOSA THE LEGEND
very interesting kwa kwel...Hongereni Dar24 na mzee makosa
Mungu awabariki kwa huwo wema mliofanya
Kweli maisha ni safari ndefu sana kikubwa ni kuishi na watu vizuri mzee makosa kweli una moyo mkubwa jinsi ulivyokuwa na majumba nk looh!🙏🙏🙏
Dar24 mmefanya jambo jema sana sana, nimejikuta na smile kwa ajili ya Makosa. Safi sana
Mtabarikiwa sana Dar24
Jambo kubwa sana dar24 kwa Mzee huyu ni shujaa wa kweli hongera
Dar24 hongereni sanaa
Dar 24 asanteni sana kiukweli
Wow.❤
Jambo la Baraka Sana kuona a naanza kuedhiwa
Mungu nipe roho ya uvumilivu kama wa mzee makosa
Daa machozi yananitoka anaongea kwa hisia sanaa na machungu ya selikali kuchukua pesa zake ❤❤ anko makosa
Kuishi na mtu na kumpenda ni vitu viwili tofaut.💪🙏♥️
@Dar 24 mmefanya kazi nzuri sana! Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa Mzee Makosa
Niliomba msaada wao nikashindwa kusaidiwa kuna huyu tapeli anajiita Zabron C mwita, hili limtu limetapeli weng linazunguka kwenye mitandao kila media nakujifanya ana sitori ili awatapeli watu
Dar24,
Mmefanya kazi nzuri na kumbwa sana, Mbarikiwe
Mungu ambariki kwa kujari utu
Dar24 mko sahihi sanaa sio kuonyesha mambo yasiyo na msingi huu ndio mfano mzuri vyombo vingine vya habari vijifunze kutoka kwenu nimewapenda sanaa
Nikikosa kuwapa pongezi dar24 nitakua mchoyo na mdhaifu wa nafsi.
Hongera kwa kazi nzuri hasa niliyoifuatilia kuhusu mzee makosa.
Mungu awape nguvu,afya,imani na kipato kinachotoshereza kukuza kazi zenu
Mr makosa ulinisaidia nikiwa nasoma Mkwawa na siku hiyo nilikua dispensary Yako kutibiwa. Nikafanyiwa vipimo nikalipia. Ila sikua na hela za kutosha kulipia dawa. Mr Makosa alinisaidia kupata dawa Toka dispensary yake bila kulipia. Natamani siku Moja nikutane nae nimpe japo laki 1
Pongezi sana kwa kumtambua Huyu bwana.Napenda habari za Tanzania.Salamu kutoka Kenya.🇰🇪
Namkubali sana mjomba makosa. Mzalendo👏🇹🇿.
Kupenda ni kitu automatic utokea yupo sawa, na ni kweli mtu anaweza kuishi na mtu na hasimpende na hii hipo katka mausiano
Nimefurahi sana kufuatilia kipindi hiki cha Mzee MAKOSA kwa kweli ana IQ Kubwa Sana.
Mfano aliposema *Kila Mwanafunzi aminishwe kupanda mti Mmoja tu kwa kipindi hicho cha Masomo yake 7 ya elimu ya msingi mti utakuwa mkubwa*
Nipo Washington DC nawafuatilia Dar 24
Shukrani
Dar24 mumejua kuonyesha upendo wa pekee kwa mzee wetu.Mungu awabariki sanaa.
Hongera sana Dar 24
I'm watching it from south Africa
Mashaallah mzee makosa alijitahid kufanya mazingira yapendeze
Safi sana hongera makosa
Sijawahi Kuchanga Michango ya Jamii za media... Uyu Mzee Mkianzisha Kampeni ya Saidia Kumuinua Makosa Mimi nitachanga.
Nic 1❤
Uyu mzee kanibadilisha sana moyo wangu kanifanya ninyanyuke nifute machozi niende mbele nakujipiga kifua kwamba kuanguka kimaisha si mwisho wa maisha mungu amtunze mr makosa
Hakika tupo wengi
@@Josephineexsuper huyo mzee makosa maneno yote aliyoyasema mimi nimeyaweka moyoni mpaka nakufa naishi hapa AUSTRALIA 🇦🇺 lakini nimekubali mzee makosa ndo mpango mzima
Uyu mzee anakitu kikubwa sema tz atuwezi kumuendo
Dar24......hongereni kwa kazi nzuri ...kwa kazi kuu ya Mungu
Mngetengeneza GO FUND MAKOSA achangiwe chochote kilichopo.
Dar24 mkovizuuri sana hua nawafatilia sana 👍 MAKOSA nizaidi ya Stering, Bg up sanaa
Dar24 mmefanya jambo jema sana hii nimeitazama 2024 kwa mara ya kwanza ila imenigusa sana mungu awabarki muendelee kufanya vyema pia mungu ambariki mzee makosa huko aliko.
Aisee bigup Dar 24. Nimeguswa sana na Makosa, Mungu amlejeshee hali yake kwa kuwa ni mtoa msaada
MashaAllah MashaAllah mungu ni mwema , tunaomba apatiwe mwanasheria mzuri hata wa serikali ili afuatiliwe Mali zake kama hospital na gesti zake zirudishwe kwenye mikono yake ,amefanya kazi kubwa baba wa watu halafu wakampola kirahisi inauma sana .Asante da24 Kwa kulitilia mkazo hongereni sana
Hospital yake hakuzurumiwa ila aliuza mwenyewe na wake zake nilikua shahidi siku ya mauziano na walianza kdg kdg kuuza mara viti mara madawa mwisho hospital ikawa haina kitu ndio akanunua daktar alieitwa Dr Ngallah
Kufilisika kwa wajasiriamali kama hawa iwe changamoto kwa wasomi wetu wanaotuaminisha kuwa na weledi ktk masuala ya uchumi na biashara. Mifumo ya uchumi ya Wenzetu wa huko "majuu" huwalinda sana entrepreneurs wa namna ya Mr. Makosa. Mfumo wetu wa Uchumi na biashara Tz, maafisa biashara wanafanyakazi ya kukamata na kufunga biashara za watu, siyo kuzifanya ziendelee. TRA, mabenki ya biashara siyo rafiki wa biashara na wafanyabiashara, na, ndiyo maana wengi wanajiingiza kwenye matumizi ya ushirikina "ndagu" kwa imani kulinda na kuendeleza biashara zao. Tanzania pagumu sana kufanya biashara.
Genius. Akili kubwa. Umewaza Kwa MAPANA, na huu ndio ukweli
Umeongea pakubwa sana.
Bless up
Stand up
Jah bless you makosa
Haijalishi style ya Maisha aliyo nayo, Haijalishi nyakati mbaya alizopitia wala haijalishi makosa aliyoyafanya katika maisha yake, Ila ijulikane Mungu hutumia vidhaifu kwa ajili ya utukufu wake! Yeye kuwajali wengine kuliko yeye mwenyewe ametimiza kile ambacho wanadamu wote tunapaswa kufanya kwa ajili ya wengine. Mungu anamuona na atambadilisha na kuwa bora zaidi na hata maisha yake yakikoma, kuna jambo la kujifunza atakaloliacha kwa vizazi vijavyo!...Lipo tumaini la mti kuwa ukatwapo huchipua tena.....! Ayubu 14:7-9
Hawa ndo watu wa kuenziwa sasa cyo mtu anakuwa maarufu kwa kunywa pombe n.k tunategemea tumwone akialikwa bungeni na kwny majukwaa mengine 'big up dar 24 media my favorite online media👏
Wewe ni akili kubwa, NAUNGA mkono hoja yako. Watu kama Hawa wanastahili kupewa heshima na vyuo vikuu, pia kualikwa bungen. LAKINI maajabu hapa kwetu mlevi anakuwa recognized na anaalikwa bungeni, na wabunge wanamshangilia Kwa makofi😝😝
Halafu akishaitwa bungeni?
Wow Babaangu Makosa Leo apigwa na kitu kizito yani bong la surprise.ila nyie Dar 24 Mumebarikiwa sio kidongo na Mungu azidi kuwabariki bila kusahau wote ambao wameshiriki.nimeamini mazuri haozi
Kaka asante kwa Interview makin, ila nakuomba kama ikiwezekana Serikali wafanye kumrudishia kias cha pesa yake iliyotaifishwa ili aweze endelea jimudu kimaisha na endelea mawazo yake ya kutunza mazingira. Kimsingi aliweka hazina ya badae japo watu hawakuitambua na serikal ikampiga nyundo japo ili lilikuwa suala la serikali flani na mfumo wake.
Kumbe alifillisiwa daah
Jamani makosa amenigusa sana,very smart, akumbukwe kitaifa kama balozi wa mazingira kitaifa.yaani dar 24 mmefanya jambo,mungu awabariki.
anampenda sn Mumgu huyu mzee Mungu Ampe maisha mema
Aisee nilifuatilia interview zz nyuma,mpka hii nimeifuatilia kiukweli Dar 24 mmefanya jambo kubwa sana la kutambua mchango wa mzee makosa,mwenyewe nimeanza kupanda miti kupitia mawazo niliyoyapata. Upendo mwingi kutoka hapa Finland 🇫🇮🇫🇮🤝
Safi sana. Kama upo Finland ukumbuke pia kurudi upande na huku nyumbani
Nimependa sana kwa kwel
Mzee Mungu akupe mrefu akujalie afya njema amin nimekupenda una hekima sana
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, msiishie kumpatia tuzo ya karatasi tu, mpangieni Mr. Makosa posho ya kila mwezi angalau 300,000/= pamoja na NHIF yake na mkewe, hii itakuwa hamasa kwa Wanairinga wengine kuupenda mkoa na Serikali yao.
Uko SAHIHI 💯 and it's very simple!!!! ‼️‼️
Wema ni Akiba, hongera sana Mzee Makosa! Unatunzo yako Mbinguni.
pongezi nyingi sana kwenu da24 media kazi nzuri mwenyezi MUNGU azidi kuwabaliki
Even now we still watch it it's very interesting 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tutakukumbuka mzee makosa kwa uhai wako huu god bless you
Mh Mtangazaji Rambati 24 Mungu Asimame Nanyi Azidi Kuwainua Kwa Kazi Kubwa na Nzuri SANA Kwa Taifa letu la Tanzania na Dunia Jamani
Nimemuelewa Mzee hapo amemaanisha Anaishi nae ki mazoea tu ila sio Love 💕 katika moyo anaishi nae ki mazoea tu Yani amemzoea hawezi kumkosa kwa mazoea aliojijengea kwake ila Hana Love 💕 kumoyo gwake😂😂😂😂😂😍😭
Haha inauma ukijua 😀😀 imbora angekuwa make ndio hapendi yeye .
Makosa your servant of God, you did well in
Dar 24 Ongereni sana kwa kupost vitu vya msingi na kuelimisha.
Safi Sana kazi zuri dar 24
Asantee dar24 leo nimekutana na mtu mweny idea Yangu asantee Kwa kunipa nguvu
Mwaandishi uko vizuri
Wema unaishi hongera Dar 24 hongera Mzee wangu Makosa kwa kuipendezesha Iringa
Watu kama aho wachache duniani
you deserve credit mzee makosa,u did good job .mtu mmoja tu mzee makosa by then alifanya kitu ambacho wengi by then hakuona impact yake baadae lkn Leo watu wa iringa wana enjoy muonekano mzuri na hewa nzuri ,ingekuwaje kama wangetokea akina mzee makosa 100 hapo iringa kwa kipindi hicho? Hongereni dar24 media
Love from Kenya 😍
🙏🙏🙏dar24 kwa kuibua hili alisahaulika jaman makosa ahsante sana
Pongezi nyingi sana kwenu Dar 24 kwa kazi nzuri,huyo mzee aungwe mkono kwa nguvu zote,ikiwezekana mbali na kuwa balozi wa Mazingira kwenu Dar 24 basi awe balozi pia mkoa wa Iringa upande wa mazingira,mzee anakitu kikubwa saba kichwani kwake kwa ustawi wa mazingira
Sasa wale wafanyabiashara wakubwa wa Iringa wajitafakari Kama media inatoka dar na kuja kumshika mkono makosa wa Iringa na wao wapo serikali idara ya mazingira ipo haioni haja yakufanya kitu ni aibu sana
Hongereni sana
Hata kwa mungu kesho ana ujira mkubwa sana hiyo ni sandakan na hazina ya kudumu ❤❤❤❤❤❤
Very impressed with this keep it up
Duh!! Haya maisha tumwombe MUNGU tuwe na mwisho mwema!! Asanteni sana dar 24
Thummah amiin
Thummah amiin
Yeah noma sana my brother 🔥🔥🔥🔥
FANTASTIC
Hongeraaa sanaaa Dar 24 kwa kumjalii nduguu yetuu makosaaa miakaa ya 1996 mpk 2000 nikiwa Iringaa
Asante Sana baba mzee makosa
Hongereni Dar24 lkn kumbukeni awali alisema aliambiwa alipie miti alitopanda hapo mmepawekaje, japo jingine ni kuwa watu waache kupanda mti moja na sherere kwa kiongozi kumwagilia maji mti
Hongera sana dar 24 hongera sana Mzee makosa, ila isije ikatokea baadae kuwa hizo miti zimeoteshwa na halimashauri kama kwa sasa ilivyokua kwa majaliwa aliyeokoa kwenye precision
Makosa mpeni hella jamn maisha yeke yakae vizur naona ajaa kasawa vzr anawaza Mali zake
good aidia
Myngu amzidishie maisha marefu mzee makosa
Nimependa makosa, nimkweli haongei uongo mbali na, kusema kuwa hampendi mkewe bali alimuita wakati anaulizwa nini afanyiwe anamthamini pia mkewe
Mazungumzo Safi 👌🏾
Aisee huyu mzee ana IQ kubwa sana. Ningependa kumiona nakumshika mkono nakumshukuru kwa mchango wake
Njoo nikupeleke
Huyu ndio mfano bora zaidi wa kuitwa Daktari wa heshima, napendekeza apewe heshima hiyo pia Mali zake anazodai kudhurumiwa basi Serikali ifanyie kazi kujilizisha na kama itawezekana huyu mtu arudishie pesa zake hata kama sio zote.
Hakika, umewaza kama Mimi. Na wengi sana wamedhulumiwa haki na Mali zao. Kuna familia unaziona zinaishi maisha duni, lakini ukiwasikiliza story za maisha yao, wanakuonyesha majumba katkat ya miji na kusema Babu zao walidhulumiwa enzi hizo. Watu walidhulumiwa sana
Wadhuurumaji wapo wengi sana, Tunaomba serikali yetu itusaidie akina ZABRON C MWITA, ni tapeli alafu anajificha kwenye uchawi tunaomba viongozi wetu watusaidie
@@dorcaskidoti249 huwa ni tapeli kumbe
Yes good point
Hondera Dar24 kwa kumukubuka shuja mzee makosa kwa hodari wake wa ki pekee kwa kugusa mazingira mimi niko usa 🇺🇸
Nampa big up
Lambati nimependa sana dar 24 the best
Big up makosa! Mungu azidi kukutunza nasi tuzidi kuiga mfano wako
Alipwe pesa kwa.kutunza mazingira, kama kumbusti kwenye pesa za dharura.
Nakubaliana na mzee wetu kwa asilimia mia moja nikweli wengine wanaishi na wake ili wakuze familia ila sio kwa mapenzi
Nimependa sana makosa jasiri ❤