BURIANI JPM | Makonda amuaga Hayati Magufuli Mwanza
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ni miongoni mwa watu waliojitokeza katika Uwanja wa CCM, Kirumba jijini Mwanza kutoa heshima za mwisho wa Hayati John Magufuli
#BurianiMagufuli #RIPMagufuli #BurianiJPM
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
😭😭😭😭😭😭ungejua kidonda chenye umewachia wananchi but hatuna uwezo wa kukuamsha umemaliza mwendo lala salama na mungu ailaze roho yako pema
Magufuli lala salama, Tanzania salama. This man was a true son of the soil. I admired him, what a loss to Tanzania and the whole African continent. Mama Janet God loves you and He is able.
Yesu yupo ndio mtetezi wetu kigogo na nakundi lako mungu awateketeze
Wimbo mzuri sana huu na apumzike kwa aman
Mungu
Akupokeye. Tulikupenda
Mungu. Alikupeda
Sana
Kwaheri magufuri ulale mahari pema peponi turi kupenda Ila mungu kakupenda zaidi daa inauma Ila hatuna jisi 😭😭😭😭😭😭😭😭
Maswali mengine Mungu haulizwi anashukuriwa kusema kwa nini amekufa ni siku zimefika.
Poleni sana watanzania Wenzangu
Uuu wimbo Wa msechu unaniliza mno😭😭
Magufuli ,pumzika vyema
Unaliza sana una hisia sana
@@itikabukuku104 zote Kali lakin wa huyu mkaka ,Itika umeua kweli
Mwachilieni amemaliza mwendo salama amen
Pole sana wa Tz Tz
Harmonize ni mnafiki Sana. Alijua Magufuli hakuvaa Barakoa hata kabisa na alikuwa ni mfuasi wake. Leo amevaa Barakoa na hawala yake hajavaa na akiona wengine hawajavaa. Kwangu naona Ni mnafiku
Afanyaje sasa hana jinsi... RIP Mwamba wa Africa ..Sisi tulikupenda ila Mola amekupenda zaidi..😫😫😫😫
Eee Mungu wa Mbinguni Mkumbuke Makonda kwani ajitahidi sana kufuata nyayo za Mtumishi wako Dr. J.P.J. Magufuli.
Yaani Samia uchague mtu mkali na mbabe kidogo bila hiyo machewa wakamchezesha foliti. Maana wamefurahi wanasema wataanza kula tela sasa
Really need this song coz its so sweet
Tanzania all stars kumuaga magufuli
Woow 😍 #Kondeboy. Rest in Peace #JPMagufuli
Pumzika kwa amani magufuri
Magufuli lala salama,Nawatanzania pole kwa msiba
Kweli Raid Magufuli uliwapenda watanzania nawo walikupenda kiukweli, imedhihilika. Rest in peace our going to heaven President.
Bye bye my president,... looking forward to meeting you on that resurrection morning 🙏
Siwezi kujizuia kila nnapotazama mwenyezi MUNGU akuweke mahali pqnapo stahiki pumzika baba wote njia nimoja kutangulia tu ndio kunauma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kapumzike pema peponi Shujaa wetu 👋
Lala salama😭😭😭🙋🙋
We will always miss you our lovely dad
Nakuombea Mh Makonda uwe makamu wa rais .Una hofu ya MUNGU ulionyesha ukimsaidia rais aliyepita kutetea wanyonge wa Dar-salaam.
Please na akae mbali sana asipewe hata ukatibu huyo
@@kamanda007 kwanini asipewe unamanisha nini hizochuki zenu zisizo zamsingi domana mumemuondowa Raisi mapema watu weusi nishida unamchukia mtu bila sababu yoyote chuki hazifai jitaidi kuwa naamani nawatu wote nahuo ndiyo utakatifu ambapo akuna mtu atakaye mwona Mungu asipo kuwa nao fayaima sana kuwa naamani nawote
@@mariaalenge2106 jaman hizi ni nyadhifa za juu sana na nyeti sana, kwa makonda bado sana na wakifanya hivyo basi tambuen kutakuwa na madudu sana
@@godblessjrtz.8652 oh kumbe ulimanisha awezi weza hiyo nafasi?ok lakini dahudi aliweza naalikuwa mdogo mimi nazani uwongozi siyo kimu au uwingi wamyaka mbali nikuwa naakili pamoja nakipawa ambacho Mungu hukiachilia ndani mwa mtu atakama siuraisi anaweza ata kwanafasi nyingine unajuwa kuwa nimakonda alie tambua kuwa mama Samia S Asani anaweza kuwa makamu wa Raisi nimakonda alilitambua hilo naikawa hivyo nandani yabunge lile mulikwa wazee mulikuwa wasomi lakini hawaku liona hilo chamsingi nikuwa na upendo na umoja nakumtanguliza Mungu kwa mambo yote Asante nashukuru iyo nimaoni yangu tu lakini wakuchaguwa makamo wa Raisi ni Raisi mwenyewe.
@@mariaalenge2106 makonda hana kipaji nawaambieni yote yali aliyoyafanya ilikuwa ni kwa maelekezo ya raisi magufuli, pamoja ns raisi alikuwa ni mfuatiliaji lakin bado Makonda aliboronga mengi tu tena sana tu kiasi alitaka kutumbuliwa na raisi, cheo kinachomfaa ni ukuu wa mkoa na baadae atafute jimbo awe mbunge
Inauma rakini tujipe moyomkuu nduguzangu watanzaniya kwanisikuzote kizur huwaga hakidumu chakufanya kwasasa ndugu watanzaniya nikuliombeya taifaretu pamoja mamaetu ambae kwasasa ndiye raisi mama samiya mungu amor ujasiri namoyo akuchapa kazikweri kweri
"Mungu kwa nin Umeruhusu mwamba wetu aende" ikiwa unamuuliza Mungu swali hili unalo jibu la kwa nini alimleta? Wasanii mnafanya kazi kubwa saana za kutuelimisha ila jitahidin muwe munawahusisha viongozi wenu wa dini hasa kwenye nyimbo kama hiz
Ili kuepuka kukufuru km huku
Mes condoléances aux peuples tanzaniens
Hfc i
The body guard 😪😪😪I can imagine his pain poleni Africa
Daaa camin bb jembe
Samahani naweza kuuliza swali muhim? Nakuomba unijibu?
Kwakwel inauma sana,punzika kwa amani baba yetuu
Makonda awe makamu wa Rais uwezo hanao tena sana.
Sio makonda huyo mungu wa daresalam
😭😭😭😭😭😭
Master
Mungu amlaze pema peponi
😢😢
R. I .P BABA
RIP Magufuli
RIP mangufuli
Kila nikimuona baba magu moyo unaniuma hayaniishi machozikunidondoka Kapumzike baba MWENYEKITI wetu wa Ccm taifa kamwe hatutokatisha machozikunidondoka umemuachia tabasam lako milele
Nenda salama baba
Samahani unamfaham mwalim bunango wa shule ya nyamanoro c mwanza tanzania kilmahewa ana fundisha hisabati na sayans yeye simlefu niwakatikati????? Naomba unijibu 🤲🤲🤲
Shujaa,wetu
Maumivu yasiyo kikoma acha tulie chizo la upendo
Pumzka kwa aman mpendwa wetu Rip
Hapo mwanza Dodoma?
Mwanza
Hakili
Kila linapptajwa hilo jina moyo wangu unararuka WALLAH MUNGU tupe subra
Lalasalama
Du nimemuona kajala yani rangi yake live ni tofauti na picha za insta yaani hapo live anaonekana mweusi ukifananisha na picha zake kule insta anaonekana cheupe pee kajala kwa nini usijikubali rangi yako halisi mpaka unafeki kuwa wewe ni cheupe dawa huoni aibu watu wakikuona live
Ww sisi tunaomboleza jembe letu ww ss yako ni kukosoa watu are you God Shindwe
@@conceptahtsuma7900 hata baba yetu Magufuli alitaka tujikubali na pia tuupende utamaduni wetu na tuipende nchi yetu sio kuiga kufanana na wakoloni wetu
Rip pombe
Makutupora
A
😭😭😭😭😭
A