SADAKA SAFI-KWAYA YA BIKIRA MARIA IMAKULATA(BMI)-KILIMAHEWA (Official Video-HD)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 122

  • @johntonshwe4538
    @johntonshwe4538 Год назад +7

    Amen! Naupenda san wimbo huu, hongereni vocal imekaa poa ...maua apewe organist hapo kuna free organ nzuri❤

    • @jusseyjm5718
      @jusseyjm5718 Месяц назад

      analikanyaga pedali kwa upole flani ivi afu analiachia juu juu...Hatari sana

  • @LeonardLucas-l9o
    @LeonardLucas-l9o 11 месяцев назад +1

    Mungu awabariki sana. Wimbo mzri sana❤

  • @fokasmjema1846
    @fokasmjema1846 Год назад +17

    Wakati mnaimba bila Shaka mliona ni wimbo wa kawaida Sana. Lakini hamwezi kujua kwamba wimbo ni mzuri Sana na watu wengi Sana tunauimba wenu. Mimi ni sister wa COLU Kama Masister tunaupenda Sana, na pia Mimi ni Mwalimu wa shule ya St. Catherine secondary school Lushoto wanafunzi wangu wanaupenda Sana! Kilimahewa karibuni Sana Lushoto.

    • @berndethamavange5184
      @berndethamavange5184 Год назад +1

      Asante sana sister

    • @georgemwala267
      @georgemwala267 Год назад +1

      Hakika, Kila wiki lazima niusikilize

    • @deonjau6810
      @deonjau6810 6 месяцев назад

      Binafsi naupenda Sana Sr.

    • @flova7022
      @flova7022 6 месяцев назад

      Hapa parokiani mkata Bila hii kitu sister..nikikaa sauti ya tatu palee nnaonna bado Dominika yangu hhaijakkamilika kkabisaaaa

    • @magrethmilimo9769
      @magrethmilimo9769 3 месяца назад

      Wimbo mzuri san jaman

  • @hortpeter5630
    @hortpeter5630 Год назад +2

    Barikiwa sana composer na waimbani wote

  • @mnyamaganeHoticia
    @mnyamaganeHoticia Год назад +2

    Naupenda Sanaa huu wimbo mungu awabariki

  • @emmanuelmachibya.
    @emmanuelmachibya. Год назад +3

    Ni wimbo ambao unanibariki sanaa, hongera mtunzi na wanakwaya woote kwa tafakari hii nzuri sanaaaa. Mungu awabarikini nyoooote🙏❤🙏

  • @uwekwangumwambawanguvu8873
    @uwekwangumwambawanguvu8873 3 года назад +8

    Mmeimba vizuri Mungu awatunze mdumu ktk wito wenu wa uimbaji

  • @hilarybwagidi-fm2yg
    @hilarybwagidi-fm2yg Год назад +1

    Tatizo langu ni improvisation katika kuanzisha wimbo kwa kinanda. Baadhi ya vijana wa zama hizi ni wabunifu kupitiliza! Bahati mbaya ukweli umetafsiliwa ni mtu kujifanya mjuaji lakini ukweli hauna mbadala. Upande wa kwaya ninawapongeza kwa kuuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania.

  • @GodfreyHaule-wb5hb
    @GodfreyHaule-wb5hb 8 месяцев назад +2

    Kweli Barak zimejaaa pia hongeren kwa kawimbo kazuri

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 Год назад +3

    Zijae ndani mwangu

  • @BenadethaNdegeleki
    @BenadethaNdegeleki 23 дня назад

    Mbarikiwe saana wimbo unanibariki saaana mbarikiwe na tena na tena baraka zijae ndani yangu

  • @edwardolgorito7910
    @edwardolgorito7910 6 месяцев назад +2

    Very sweet song keep it up

  • @HelenaMathias-j2q
    @HelenaMathias-j2q 3 месяца назад +1

    Hongereni sana Kwa kumsifu mungu nami na barikiwa sana kupitia wimbo huu

  • @arnoldrutaihwa3596
    @arnoldrutaihwa3596 3 года назад +9

    Safi sana....
    Ni kama bahati kuikuta hapa RUclips.
    Maana tumesubiri sana.
    Wimbo safi Kabisa.

  • @patrickmohamed3639
    @patrickmohamed3639 5 месяцев назад +2

    Nakusihi bwana mungu uiweke mikononi kamaile ya abel mtumishi wako ijaze baraka zako ee bwana (halafu kuna pedo inafuata kama kiboresho❤❤ 😂😂😂😂😂❤)

  • @BenadethaNdegeleki
    @BenadethaNdegeleki 23 дня назад

    Mlitisha kwa wimbo Mzuri kama huu jaman mbarikiwe saana wanakwaya kwa kuruimbia wimbo Mzuri

  • @ChristinaLyoba
    @ChristinaLyoba Год назад +1

    Nina upenda huu wimbo❤

  • @batholomeokyando984
    @batholomeokyando984 2 года назад +3

    Kaz nzur sanaa

  • @gaudensiaabacusy1605
    @gaudensiaabacusy1605 3 года назад +2

    Kazi nzuri saan hongera Ng'wanasato
    Mungu aimarishe kipaji chako

  • @bonaventurasheshe961
    @bonaventurasheshe961 5 месяцев назад +1

    주님께 노래하여라, 새로운 노래를- 그 이름을 찬미하여라, 나날이 선포하여라, 그분의 구원을 전하여라.......Hongereni sana Mungu atubariki sote. Amina.

  • @emmanuelmachibya.
    @emmanuelmachibya. 4 месяца назад +1

    Nimtolee Nini Mungu kama sadaka kwake, hakika maisha yangu yote namtolea Bwana nami nitamtukuza milele

  • @Vulistan-oo9oy
    @Vulistan-oo9oy Год назад +2

    Hongereni sana kwa kazi nzuri, nabarikiwa sana na Wimborne huu.

  • @MerchiadeNdahabonayo
    @MerchiadeNdahabonayo 4 месяца назад +1

    Mwenyezi MUNGU awabariki saaana katika kazi hii yakitume

  • @josephsala5415
    @josephsala5415 3 месяца назад +1

    Kila ninapousikia natamani niucheze kwenye kinanda! Nyimbo bora ya sadaka!

  • @mrtembakiboboy6145
    @mrtembakiboboy6145 2 года назад +3

    Kaz nzuuuuur sana🔥💞❣️👍🙏😇

  • @githaigag1002
    @githaigag1002 4 месяца назад +1

    Kazi safi. Deus benedicat tibi.

  • @annastaziaraisi
    @annastaziaraisi 7 месяцев назад +1

    This song has been my favorite song,I feel blessed to listen the song and I'm not getting tired,we give all the glory to our almighty God,being a Catholic is the blessings.we have received all the assigned blessings from above.
    Amen

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 3 года назад +9

    I can't stop listening and watching this song over and over again..
    😋
    Soo sentimental
    Feeling in communion with the heavens..
    May Christ Jesus bless you

  • @lydiamaneno2596
    @lydiamaneno2596 6 месяцев назад +2

    Naupenda huu wimbo hata sina maneno ya kusema.

    • @lydiamaneno2596
      @lydiamaneno2596 6 месяцев назад +1

      Hongereni sana wanakwaya wote mbarikiwe 🙏🙏

  • @charityomwenesi1384
    @charityomwenesi1384 8 месяцев назад +1

    Neema zijae miyoyoni mwenu mzidi kutunga wombo tamu kama hii❤❤

  • @sylvanusmillanzi
    @sylvanusmillanzi 2 года назад +1

    Kazi nzuri mno

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 3 года назад +2

    Nyimbo Safi sana..
    Dumisheni Kiwango hiki

  • @kelvinmhenga9764
    @kelvinmhenga9764 2 года назад +1

    Mungu awabarikini saana.

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal4695 8 месяцев назад +1

    Safi Sana mwimbo mzuri sana

  • @queenirenemlacha1324
    @queenirenemlacha1324 2 года назад +1

    Nyimbo nzuri sanaa

  • @glorygotifrid3532
    @glorygotifrid3532 Год назад +2

    Huu wimbo jmn😍

    • @awesomeworldchanel
      @awesomeworldchanel Год назад

      Please may you help me with swahili translation for the chorus?

  • @joycegregory4231
    @joycegregory4231 Год назад

    Dah, imenijaza kweli hii nyimbo Safi sana

  • @raymundmligo1206
    @raymundmligo1206 2 года назад +1

    Hakika Bwana akae nany

  • @alicechibo9923
    @alicechibo9923 3 года назад +3

    Safi sana 🙏🙏 nyumbani kumenoga

  • @euniceakinyi3188
    @euniceakinyi3188 Год назад +1

    Nothing beats mziki mtakatifu💜

  • @edwinpius2617
    @edwinpius2617 2 года назад +2

    Mbarikiwe

  • @jackiesindan584
    @jackiesindan584 3 года назад +2

    Kazi nzuri sana ❤️❤️ nabarikiwa mno🙏

  • @lucasphilipo3592
    @lucasphilipo3592 3 года назад +1

    Kazi nzuri Sana🙏

  • @hiltrudamanonga3969
    @hiltrudamanonga3969 Год назад

    Kazi nzuri sana. Big up

  • @gervastairo6413
    @gervastairo6413 3 года назад +1

    Wimbo mzuri sana Mungu awape baraka, amani upendo ili mzidi kueneza Injili mataifa yote.

  • @studioonekobero6047
    @studioonekobero6047 2 года назад +2

    Asate sana kwawimbo muzuri

  • @wensilauskibongolo5965
    @wensilauskibongolo5965 2 года назад +6

    natamani nije nisali nanyi sikumoja, ili nipate ivi vitamin live, mmeupiga mwingi

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 2 года назад +1

    Amina!

  • @victorynyenza5666
    @victorynyenza5666 3 года назад +2

    Saaaaaafi

  • @Stevokijanamdogo
    @Stevokijanamdogo Год назад +1

    Wobderful

  • @ombenisalewa3412
    @ombenisalewa3412 2 года назад +1

    Nice song

  • @augustinomaufi4535
    @augustinomaufi4535 3 года назад +2

    Nyimbo nzuri sauti zinavutia,maneno yanasikika vizuri sana hongereni

  • @josephinekessy1994
    @josephinekessy1994 2 года назад +1

    Am so blessed listening to this song 🙏🙏

  • @wendie954
    @wendie954 Год назад +1

    ❤❤❤❤Amen ,clean clean

  • @ErnestNatembea-rd9wu
    @ErnestNatembea-rd9wu 11 дней назад

    I like this song it is the best

  • @miiembegeorge1804
    @miiembegeorge1804 17 дней назад

    Wimbo mzuri sana

  • @aloycecheja6969
    @aloycecheja6969 2 года назад +1

    Safi kabisa

  • @angelanyaki7069
    @angelanyaki7069 3 года назад +2

    Wimbo umenibariki sana, hongereni mno kwa kazi mzuri.

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 3 года назад +1

    Safi sana wimbo mzuri mno barikiweni sana

    • @OllivaSimbeye
      @OllivaSimbeye Год назад +1

      Hongereni wajina wa kwaya yetu

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 9 месяцев назад

      Mungu azidi kutukuzwa sana wajina​@@OllivaSimbeye

  • @benedictosaguda2140
    @benedictosaguda2140 10 месяцев назад

    Sauti ya nne imeua sanaa

  • @benedictbuberwa3943
    @benedictbuberwa3943 3 года назад +11

    Huu mziki umekaa kikatoliki kabisa..
    Style nA Mahadhi yametulia Kwa Kiwango cha Kanisa Takatifu katoliki..
    Mmenifurahisha sana
    Hii ndo Gregorian Chant

  • @maliuskasunga6841
    @maliuskasunga6841 3 года назад +1

    Sitoacha kusikiliza hii song nimebarikiwa sn

  • @romwaldkajara634
    @romwaldkajara634 2 года назад +1

    Wimbo mzuri sana!!!!

  • @mnyamaganeHoticia
    @mnyamaganeHoticia Год назад

    Naupenda Sanaa huu wimbo

  • @Katushabe.p
    @Katushabe.p Год назад

    Naupenda Sana huu wimbo jamani

  • @TitoChalamila-dl3yh
    @TitoChalamila-dl3yh 10 месяцев назад

    Nyimbo za rc tam sana

  • @uwembatvonline
    @uwembatvonline 3 дня назад

    🔥🔥

  • @kilianchingunyalo3165
    @kilianchingunyalo3165 2 года назад

    Mungu awabariki sana

  • @rosemarydeogratias8240
    @rosemarydeogratias8240 2 года назад +1

    🙏🙏wimbo mzr binafsi nimependa🙏🙏

  • @kilianchingunyalo3165
    @kilianchingunyalo3165 2 года назад

    Amina

  • @tysonkisogole6730
    @tysonkisogole6730 3 года назад +2

    Safi mno

  • @frankmmbongo3080
    @frankmmbongo3080 Месяц назад

    Good song

  • @SergeIgunzi-fr4jt
    @SergeIgunzi-fr4jt Год назад

    Bonjour, j'aime trop la chanson, veuillez m'envoyer la partition svp

  • @cyprianmrema5575
    @cyprianmrema5575 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri Ila organist kwenye free organ kdg hajapatendea haki

    • @baltazalcornel3743
      @baltazalcornel3743 Месяц назад

      Yes, organist hajafnya kitu kbx kwny huu wimbo, maan huu wimbo n mzur sana lkn mm naona hawajautendea haki, wakasikilize kwny misa ya miaka 25 ya Askofu Niwemugizi jinsi ulivyoimbwa vzur

    • @baltazalcornel3743
      @baltazalcornel3743 Месяц назад

      Tatzo organist wa ckuhz wanapiga kuiga makanisa ya kilokole, huyu organist ukckilza mara nyng anapiga beat ambyo co hta nyimbo hucika,mchiriku, hovyo kbx😮

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 2 года назад

    Bravoooooooo

  • @jacksonkimaro8900
    @jacksonkimaro8900 10 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @SergeIgunzi-fr4jt
    @SergeIgunzi-fr4jt Год назад

    Na ita ji nota (partition ya nyimbo hii)

  • @AlexKithuka-c7e
    @AlexKithuka-c7e 26 дней назад

    Please toa hio trumpeti. It makes the song sound sad😢

  • @EdinestaThimote
    @EdinestaThimote 8 месяцев назад

    🎉🎉🎉

  • @isaacimani3228
    @isaacimani3228 4 месяца назад +1

    Mpiga kinanda cjapenda huo upigaji,, melody siyo kabisa but wanakwaya mmetisha

    • @baltazalcornel3743
      @baltazalcornel3743 Месяц назад

      Organist wa hovyo kbx, na hawa ndo wanaoharbu mziki wa kikatoliki, tatzo wanaiga kwa walokole, kaniudhi sana huyu jamaa

  • @jusseyjm5718
    @jusseyjm5718 Месяц назад

    Organist unanimalizia muda wangu buana....
    kuna nyimbo nyingi za kusikiliza
    sasa kunifanya niskilize huu tu manaake nini???

  • @simonmlwilo7166
    @simonmlwilo7166 3 года назад

    🥰🥰🥰🌹

  • @albertmaneno
    @albertmaneno 3 года назад +1

    Safi sana

  • @AlexKithuka-c7e
    @AlexKithuka-c7e 26 дней назад

    I dont like the mixing in the song..ila waimbaji wako moto sana

  • @BlasiMongwa
    @BlasiMongwa 7 месяцев назад

    Mungu awabariki sana

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal4695 8 месяцев назад

    Safi Sana mwimbo mzuri sana

  • @benedictosaguda2140
    @benedictosaguda2140 10 месяцев назад

    Sauti ya nne imeua sanaa

  • @salomemhalule5213
    @salomemhalule5213 3 месяца назад

    ❤❤❤