MSAIKOLOJIA AIBUA MAZITO, MANARA "Anakosea"/Inamuogezea idadi ya maadui/ lazima utafute huruma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 29

  • @Benmtwevetz
    @Benmtwevetz 3 года назад +1

    Upo sahii kabisa mku

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 3 года назад +3

    Manara ana carryovers amehama nazo na hizo zitamtoa Yanga pia. Unapo acha mke/mme na kuoa/kuolewa tena ukiwa na uchungu uliotoka nao katika ndoa ya awali ujue hakika ndoa yako mpya haitadumu kwa kuwa ule uchungu utaleta madhara katika ndoa mpya.

  • @mcpaulmkopa4798
    @mcpaulmkopa4798 3 года назад +3

    Uko sahihi bro

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 2 года назад

    Ni kweli uongeacho

  • @elifidowilliumofficial4691
    @elifidowilliumofficial4691 3 года назад +1

    saikolojia siyo ushabiki na maneno tu tujifunze kujifunza

  • @shabnmbango5100
    @shabnmbango5100 3 года назад +1

    Uyo ni mwehu manara

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 3 года назад +2

    Inatakiwa akapimwe akili, inawezekana amesahau aliko toka, anataka kujisafisha tuwe na subira pengine atafaulu

  • @mohamedyswedy1086
    @mohamedyswedy1086 3 года назад +1

    Manara kaisha feli yeye afanye mambo mengine kwani yy anacheza namba ngapi yanga

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 3 года назад +2

    Huyo Si mtangazaji ni mchumia tumbo. Hutu ni mlafi ameonesha si mtu mzuri. Hawezi kuishi hata kule aendako atawanyea.

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 3 года назад +2

    Hajaondoka simba nyinyi watangazaji muelewe,bali alifukuzwa,ndo maana anaumia

    • @adventureseth8676
      @adventureseth8676 3 года назад

      Hajafukuzwa alisimamishwa yeye ndo akaamua kufanya anayofanya

  • @emmanuelnono8080
    @emmanuelnono8080 3 года назад +3

    Shule ndogo ,na apaswi kulaumiwa kwa kwa mapungufu aliyonaylo

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 3 года назад

    Kwl kk

  • @nassoursaleh3144
    @nassoursaleh3144 3 года назад +2

    usimkumbushe huyo chiz anajiona yuko sahihi

  • @johnmakubi190
    @johnmakubi190 3 года назад +1

    Siyo kwamba anakosea ila akili zake ni za kiarbino

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 3 года назад +1

    Na huko aliko atavalishwa madela siyo mda mrefu.

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 3 года назад

    Kwenda hukoo msojuwa mchezo wa mpira na utani wa jadi ndy mnateseka mnachukulia mpira km dini washamba tu.utani vichekesho ndy burudan ya michezo.sasa aongee mnavyotaka km yupo kanisani mngepata nafasi ya kuchangamka na kupata cha kuongelea mitandaoni.kwenda hukoo bwege mkubwa.

  • @mohamedguram1562
    @mohamedguram1562 3 года назад +1

    kwani yeye ana mazuri aliyo faya

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 3 года назад +1

    Mbona kipindi yupo Simba alikuwa anaropoka hivyohivyo hamkumkalia kikao leo kunani,mwacheni aongeee anavyojisikia akichoka atanyamaza

  • @saidisheria163
    @saidisheria163 3 года назад

    Ndo atafanikiwa zaidi

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 3 года назад +1

      Hawezi kufanikiwa mnafki siku zote mwisho wake unafika na huko alipokwenda atachonganisha watu Sana tu ?? Ameshamtoa nugaz

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 3 года назад +1

      Anguko la msukule haji manara ndondocha anguko lake litakuwa kubwa kubwakubwa na atapotea kwenye ramani ya mpira mpk atachizika

    • @mcpaulmkopa4798
      @mcpaulmkopa4798 3 года назад +3

      Sikiliza vizuri mpaka mwisho ili uelewe na ikiwezekana rudia Mara mbili hii inatusaidia hata sisi ktk maisha yetu ya kawaida sio kwa Manara tu... Lazima tujitambue kifkra

  • @adventureseth8676
    @adventureseth8676 3 года назад +1

    Hajafukuzwa alisimamishwa usemaji ndo akaamua kuanza vurugu zake

  • @bwangatayari5400
    @bwangatayari5400 3 года назад +1

    Kwenda zako mpuuzi Sana kenge wewe

    • @ibrahimsuleiman4271
      @ibrahimsuleiman4271 3 года назад +1

      Ww ndio zaidi ya kenge, kila siku unabakwa husemi, nani mjinga anaebaka au anaebakwa?????????????? Kama husema ina maana unapenda!

    • @batezsaid5890
      @batezsaid5890 3 года назад

      manara hana akili zeruzeru

    • @janethjustin2041
      @janethjustin2041 2 года назад

      Kenge ni wewe na akili zako Kama za huyo zeruzeru wenu