MAREKANI NAENDAJE??

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Fursa Za kwenda Marekani

Комментарии • 47

  • @deusalberttibendelana2867
    @deusalberttibendelana2867 Месяц назад +1

    Hongereni sana na asanteni upendo ❤❤❤

  • @MeshackBenard
    @MeshackBenard 7 месяцев назад +1

    Mwakeye mugabo. Uko sawa mzeee.

  • @piusgadau6328
    @piusgadau6328 9 месяцев назад +2

    Dada nauona uwezo wako safi sanaaa kazi nzuri

  • @MeshackBenard
    @MeshackBenard 7 месяцев назад +1

    Tuna mpata vzr..

  • @MeshackBenard
    @MeshackBenard 7 месяцев назад +1

    Huyu devota ni mpiganaji wa muda mlefu sana...

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад +2

    Naona tunachelewa Devo, tupeni mchakato wa fedha nitakazo kuwa nazo mfukoni kuishi ughaubuni. Mimi issue ya marekani sitaki hata kuisikia unayo complications sana na inaonesha inayo ubaguzi sana

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u Месяц назад

    Hongeren sana

  • @kilalakaila9762
    @kilalakaila9762 9 месяцев назад +1

    This guy's my role model✊🏿

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 5 месяцев назад

    Ah brother EBM Huwa namkubali sana ...Mnatusanua mengi mazuri .. soon

  • @protusmushi7162
    @protusmushi7162 8 месяцев назад +1

    Devota tunakuheshimu sana.
    Wakati mwingine uwe unafanya uchunguzi wa kitosha.

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад +1

    Hiyo conference ya ujerumani ya July nani ana organize ? Niweke kwenye list?

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 10 месяцев назад

    Thanks much

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 10 месяцев назад

    Dada Leo umeniletea Ernest mwezangu. Ubarikiwe Sana sister

    • @Devota_life
      @Devota_life  10 месяцев назад +1

      Twende Marekani ❤❤❤❤

    • @enemtatuka5863
      @enemtatuka5863 10 месяцев назад

      Asnte Dada Mungu atafanya wepesi wake tutafika kikubwa tumuombe Mungu tu.

    • @Devota_life
      @Devota_life  10 месяцев назад

      @@enemtatuka5863 Amen

    • @godwinaxwesso8726
      @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

      @@Devota_life marekani NO hahaha

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 10 месяцев назад

    Safi sana kaka yetu

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 10 месяцев назад

    😊😊😊😊

  • @MariaMenasi-g1x
    @MariaMenasi-g1x 9 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 9 месяцев назад +1

    Dar ofisi Iko sehemu gan Dar kubwa

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад +1

      Naomba umfollow Instagram
      Yake EBM SCHOLAR

    • @SirajiRashidy
      @SirajiRashidy 6 месяцев назад

      sister devote Bado uja fungua office Yako Tz tuje

  • @lidonkaduga8332
    @lidonkaduga8332 3 месяца назад

    Devota uwe wakala uweze kusaidia wengi pia fungua ofisi Dar ongereni sana na mzee wakazi makulilo ongereni sana

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 8 месяцев назад

    Da Devota nina kijana wangu ana degree ya nursing na anafanyakazi mwaka wa 3 sasa anatafuta kazi huko.Naomba msaada afanyeje??

  • @Kassimrashid-gw6wy
    @Kassimrashid-gw6wy 7 месяцев назад

    Leo umemleta gwiji mwenyewe

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Devo nilikutumia email kama siku chache zilizopita sasa , sijui kama ulifungua?

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад

      Hello brother ngoja nicheki

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Baada ya muda gani nikifika ughaibuni naweza pata kazi?

  • @mwanaeddyson5983
    @mwanaeddyson5983 6 месяцев назад

    Kwamambokama haya unatufanyia ...mungu akubariki d jamani

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Wow! Asante Devo kutuletea huyo bro, je ofisi yake ipo sehemu gani Dar? Na je haiwezekani akanifanyia vyote hivyo nikifika guko ughaibuni nikiwa nimepata kazi nimlipe hela yake, na je ni USA tu au anaweza pia kunifanyia na mpango wa News Zealand au Australia. Na ni kiasi gani cha fedha natakiwa kuwa nacho kukamilisha huo mchakato wote? please naomba msaada wa majibu hapo.

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад

      Niandikie email yako nikuconnect nae

    • @godwinaxwesso8726
      @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

      @@Devota_life shida iko kwenye mawasiliano na hawa ndugu zetu wanaokaa ughaibuni, wengine wanadhani tunahitaji msaada was fedha nooo, sisi tunahitaji connection tu, kama wewe Devota unavyofanya ni mfano halisi wa kuigwa na hao wwnzako wanaoishi ughaibuni. Unayo spirit ya kusaidia. Tunayo mifano mingi hatuwezi taja yote humu ya wenzetu wenye roho mbaya waliotoka bongo tena marafiki zetu wa karibu mno ,hawataki mawasiliano yetu kabisa. Kama anavyosema bro Ernest wenye " roho mbaya"

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Umri unakimbia tupeni njia ya kuondoka bana...kiasi gani cha fedha nikiandae kwa ajili ya flight, matumizi kwa muda nikiwa ughaibuni na process za kuandaliwa documents?

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Ofisi ya Ernest iko wapi?

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад

      Mfollow Instagram EBM SCHOLAR

  • @emilykombe4659
    @emilykombe4659 9 месяцев назад

    so kaka ebm kama huna assets ya kiwanja au chochote labda ndo umeanza kazi inakuaje ?

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад

      Nikujipanga tu kwanza kabla ujasafiri

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 10 месяцев назад

    Kogoma moja hiyoooo❤

  • @EdithaPaul-k3c
    @EdithaPaul-k3c 9 месяцев назад

    Devotha naomba kuuliza vip kwa mtu anayetaka kuja huko kujitafutia pesa lakini hana elimu yoyote kuna kazi gani kwa wasio na elimu na walipaje kwa saa kwa siku kwa wiki au kwa mwezi

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Je hana mialiko ya conferences kwa nchi zingine...marekani hapana

    • @Devota_life
      @Devota_life  9 месяцев назад

      Hello brother leo saa Tatu ya Kibongo ntakuwa na Mtu kutoka Sweden na tutaangalia jinsi ya kujibu maswali yote

  • @hapymesack7034
    @hapymesack7034 9 месяцев назад

    Kama mtu unanyumba na viwanja havina hati inakuwaje kwenye kuonyesha strong ties

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Maisha yalivyokaza hivi hapa bongo inawezekana kweli kuwa nimeenda UK, German na kurudi nyumbani wakati hizo fedha umetafuta kwa kujikamua hadi tone la mwisho...kwa mfano umeweka budget ya 8m hiyo hiyo ni nauli na gharama ya kuishi nikifanikiwa kuondoka bongo, then nije nyumbani halafu nifanye tena application ya kuomba tena visa kwenda USA? Tupeni njia rahisi hata wewe Devo na Brother Ernest mtufanyie fervour kwani mnajua maisha ya bongo yalivyokaza.

    • @faridaclara3119
      @faridaclara3119 9 месяцев назад

      Find me too I can help you. Your welcome

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 9 месяцев назад

    Nimekutumia email Devo