Makala: Upokwaji wa Ardhi ya Nyatwali

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 7

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 8 месяцев назад +1

    Bora tuhame kwa sababu hatuish kwa amani Kila siku majanga watu wanapoteza maisha kwa wanyama 😭😭😭

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 8 месяцев назад +1

    Wewe zungumzia masilahi tu

  • @kgmbara3109
    @kgmbara3109 Год назад

    Duh, niatari aseeeeeee

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 8 месяцев назад +1

    Serikali izingatie mafao tu ya wananchi ,,tumevhoka hatulali huku tembo huku viboko ,huku mamba yaani tunaishi kwa mashaka km watoto wa kambo

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 Год назад

    kuna kijana mmoja mbunge alisema tulikubali anaitwa Katambi ukatili na Mabula sijawahi kuona mama katili kama huyo yani

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 8 месяцев назад

    Wewe tata bugweche acha we unaweza kuishije na tembo ?usipotoshe watu wangapi wamepoteza maisha hapo wilayani kwa wanyama wakali ?

    • @zabibukusekwa3845
      @zabibukusekwa3845 2 месяца назад

      Mbona wewe aujapoteza mnaisi izo ella mtatajilika