PART2:KIJANA ALIEPITIA MAMBO MAGUMU YA AJABU NA KUKUBALI KUWA NAYO ILI KUEPUKA KIFO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @hellendiana625
    @hellendiana625 3 года назад +1

    Kweli ndugu!,hakuna siku jini litakuwa la manufaa wala msaada kwa mwanadamu, giza na nuru havichangamani.

  • @makame3524
    @makame3524 3 года назад +7

    Davister zunguka na story zako kuna siku utakuja kukutana na mtumishi ambae atakuambia kwamba alikua muislam baadae akapata maombi kwa baba god halaf ndio utajua hujui......hii dunia inamabo mengi na mambo yenyewe yamechangamana. Yule pastor dan wakat ameanza kuokoka amesema alienda kwa profit malisa lakin akaona sio pazur akaondoka akaenda kwa maziwa ndiko alikoponea matatizo yake, lakin mwisho wasiku alirud hapa akatuambia kwamba ntumishi maziwa anamambo ya ovyo,,,,,,,mimi naendelea kujifunza tu lakin hii dunia inamambo mengi mambo yake ni ngumu kuyaelewa kwaiyo lazma uwe mtulivu

    • @saidessry9942
      @saidessry9942 3 года назад +1

      Davistar anajua anachokifanya na sikama kwa bahati mbaya bali anakusudia na wala usitie khofu yoyote kwamba hajui haya wanayoyasema watu wa ushuhuda ni wasanii lakini mimi naamini kwa uwezo wa Allah muda simrefu atakuja kujuta uislamu hauchezewi

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@saidessry9942 kabisaa. Tena anafurahi wakija watu wa aina hii

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@saidessry9942 davistar anawaamini kabisaaaa

    • @saidessry9942
      @saidessry9942 3 года назад

      Anafata mkumbo ataanza kuchangishwa sadaka

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 3 года назад +2

    Assalam Alaykum jamiia, simple and clear Davistar, Jini yeyote anayeingia ndani ya mtu huyo huitwa sheytani, na hana wema wowote, na wala si wa kusikilizwa ni wakuamrishwa atoke au ikiwa hataki aangamizwe, yaani auwawe, hayo majini/mashetani, siyo mwenye majini/mashetani.

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 года назад +3

    Safi Sana broo

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 года назад +1

    Awe jini mzuri au jini mbaya hawa viumbe hawana mamlaka ya kuishi kwenye mwili wa Binadamu Wala nyumbani.
    Hayo mafundisho ni kupotosha. Ata Qurani haijaruhusu Jini kuishi na Binadamu. Ni Upotoshaji wa baadhi masheikh wanaoendekeza na kufundisha kuwa Kuna MAJINI wazuri na wabaya. maswala haya ya MAJINI MAJINI yanatesa Sana Binadamu Mole MLEZI tunajilinda na kuguswa na viumbe hawa. Amin

    • @faridamohamed4677
      @faridamohamed4677 3 года назад

      Amiin

    • @salumabdi3127
      @salumabdi3127 3 года назад +1

      umeongea vzr lkn jini hamtesi mtu ukiona jini kaingia kwnye mwil wa binadamu au nyumban kwke ujue huyo sio jini tena huyo nishetani na tayar amemuasi mungu na kukataa amri zke kwaio huyo tyr amelaniwa sio jini bali nishetan

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад +1

      @@salumabdi3127 wewe ndiyo umeelezea vizuri.

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 года назад +1

    Baba Yesu alikupenda akakuokoa na mateso ya majini walijua utaokoka walijua utaokoka walitaka kukuwai lakini Yesu akakutetea hakuna kama Yesu Amen

  • @zahirrajab7713
    @zahirrajab7713 3 года назад

    Davista punguza maswali unaulizaaa sanaaaaaa bwanaaaa unaboa

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 года назад

    Davista Mr facts hongeraa

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 3 года назад +3

    Akimalize amlete mzaz wake mojawapo kama yupo

  • @warideadnanadnan9447
    @warideadnanadnan9447 3 года назад +2

    Waliomuasi mungu si majini ni mashetani kunatofauti ya jini na shetani

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад +1

      Majini ni mashetani ndugu yangu,hakuna jini zuri.

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад +1

      Kabisaa ila wengi wao hawajuwi pamoja na davistar mwenyewe

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@minicooper9642 unajadili mada usiyoijua,utadanganya wengi

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@minicooper9642 hukemea shetani au pepo,ni jinsi anavyojisikia kutamka

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 года назад

      @@minicooper9642 wewe umekaririshwa tu,unaonekana una kasumba ya kukariri. Chimba zaidi acha kuambiwa tu

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j 3 года назад

    Sema davista una uliza sana maswali punguza kidogo

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 года назад

    Mr everything 💪

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 3 года назад

    Mwendelezo pls

  • @mmarekanitz4049
    @mmarekanitz4049 3 года назад +2

    Watu wengi wanaamini kwenye miujiza na ndio sababu kila kukicha wanaongezeka msiba mkubwa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 года назад +1

    Nmewahi 💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 года назад

      Aysha vipi kpnz 💓 🍬

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@Fm-MornStar2014 Alhamdulillah wngu🤗🤗❤❤

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@Fm-MornStar2014 waendeleaje ❤❤❤❤

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 года назад

      @@ayshamahariq6665 poa.
      Umenisusa mnooo!
      🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 года назад

      @@Fm-MornStar2014 xijakususa wngu❤❤❤

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 года назад +1

    Wahubirie ndugu uliowaacha wa imani yako ya Awali..wakimbilie Yesu

    • @kapalatu7322
      @kapalatu7322 2 года назад

      Nina hakika wewe na huyo mgeni wako hamjui chochote kuhusu uislam. Na pia Kuna wakristo wengi wapo kanisani na wana majini. Mmewao bea na hawajapona, na pia km mnadhani kuombea mtu majibu yanatoka hapo hapo,nendeni hospital za KCMC au Muhimbili mkawaombee wagonjwa tuone angalau robo tu ya wagonjwa waruhusiwe ndio tujue mnamjua Mungu kweli..

  • @warideadnanadnan9447
    @warideadnanadnan9447 3 года назад +2

    Davista wacha kumzonga kwa asichokijua kuhusu majini wewe chukua hicho anachokwambia

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 3 года назад +5

    Hawa majini waasi ndio wanawaingia watu wakajifanya wanaamrisha mema lakni lengo lao kuu ni kukupoteza au kuangamiza familia yako, mfano huyu kijana lengo la huyo Shetani Sultan ni kumtoa ktk dini ya Haki(Uislam), na kwa hilo amefanikiwa, na mwisho wako uko clear, madhali uko hai sisi kama binadam na Waislam ni kukumbushana tuu, ukitaka bakia uliko, ukitaka jutia toba nasuha, na urejee kwa mola wako na dini iliyo ya haki

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      Hakuwa mwislamu huyo

    • @juliejulie8704
      @juliejulie8704 3 года назад +2

      Acha mtu afate kule anapoona Mungu ndo yupo mana hakuna dini itakao mpeleka mtu mbinguni sasa kama kwenye hiyo dini yenye haki mbona hao masheikh aliowakimbilia mskitini hawakumsaidia?

  • @khudatally5509
    @khudatally5509 3 года назад +2

    ichi kipindi si chamikasa me naona ni kipindi kilichoandaliwa kukandamiza uislam ila wanatumia stori ili kuukandamiza sasa fanyen mnavojua uislam itabaki kuwa dini ya haki na ww ulieritadi nakuonea huruma sana

  • @juliejulie8704
    @juliejulie8704 3 года назад +2

    Waislam mbona mna makasiliko mbona sisi wakristo wakijahapa na kuanz kulalamika waliokutana nayo huko makanisani hatukasiliki tatizo ni masheikh mana wakianza kusomea mweny majini akiwatisha tu kidogo wanaogopa simameni kwenye imana na mtumike kwa haki na kweli bila kuhofia nguvu za giza muone kama kuna muislam ataenda kuombewa

  • @mwanaahusseiyn4830
    @mwanaahusseiyn4830 3 года назад +1

    Hujui uislam kwnn unauelezea?kwanz jini mzuri hakai ktk mwili wa binadam....kinachomponya mtu n Iman yake na c kuingia msikitin.

  • @salumabdi3127
    @salumabdi3127 3 года назад +5

    Quran kwl imesema kuna majini wabaya na wazuri ,,lkn pia hio hio Quran imesema kuna majin na mashetani Quran ikaendelea kutofautisha kt ya jini na shetan imesema wazi kua jini yoyote anaemuingia binadamu huyo ameasi na sio jini nishetani napia ww pinadamu uunaengiwa na shetan halaf akakupa masharti nini ufanye nini uache na ukafata hakika ww umepotea hata km huyo shetani atakwambia usali na ukasali bc Quran inasema ww husali kwa amri ya mungu unasali kwa kumtii shetani..kwaio acha kuingopa ww toa tu story yko ila usichanganye habar km shetan na jini ww ukafanya nikt kimoja wakt hivyo ni vtu viwili tofaut endapo vitaacha kumtii allah bc ujue jini anakua shetani ndugu yng ww umeshapotea ya ww huyo shetan ambae alikuingia amekupata na bado upo nae na lengo lake limefanikiwa mn lengo lke nikukutoa ktk iman yko na amefanikiwa kukuritadisha yan ww ulizidiwa akili na shetan kukuanzia mbl sijui vibarakashia sijui nn kumbe kusudio lke nikukuritadisha ple mjomba

    • @husnaseph9476
      @husnaseph9476 3 года назад

      Asante ndugu nimepata kitu kwako

    • @MagretJonas
      @MagretJonas 5 месяцев назад

      Yesu Anawapenda Okokeni mpone na jehanum ya moto

  • @nuruahmed6216
    @nuruahmed6216 3 года назад +1

    Davista Qur"an imesema KHALAKAL JINN WAL INS ILA LIYAABUDUN..nimeumba majinni na binadamu kuniabudu..kwa hivo majinni ni waislamu hata wakristo na hawamfuati kristo wako na waislamu hawafuati uiislam majinni pia wako hawafuati basi anakuwa shetani..

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад

    Hapa sasa ni amani na simlizi sio mara eeeh eeeh kila kitu sawa

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 года назад

    Acha zako ww

  • @aziza9093
    @aziza9093 Год назад

    Marajigi nikisikiliza nikuukadamiza uslamu nakukejali tunajuwa kuelimisha watu

  • @abdulghafur8612
    @abdulghafur8612 Год назад

    Mimi ni Muislam naomba ifahamike kuwa katika Uislam tunaamini hakuna Jinni mzuri ateishi ndani ya mwii wa Binaadam au kiumbe kingine chochote. Huyo hakuwa jinni mzuri, ni kituko tu.

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 года назад +1

    kumekucha uislamu na ukirto

  • @nancygitau5268
    @nancygitau5268 3 года назад

    🇰🇪🇰🇪👍🤞

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 3 года назад

    nimewahi

  • @khalidyasinkhalid5944
    @khalidyasinkhalid5944 3 года назад

    Mkweli hufundisha fanya maombi haya au soma mstari fulani sio njoo tikuombee. Na kimantiki hilo ni tatizo lipo ktk ubongo na wala si majini kama asemavyo

  • @makame3524
    @makame3524 3 года назад +1

    Sikiliza ww, chochote kinachomuingia binadam ni shetan jini mwema hamuingii binadam. Halaf pia kuna msemo unasema chochote kinachotokea karibu yako bc ujue umekikaribisha.

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 года назад

      Tufundishe unakaribishaje

    • @makame3524
      @makame3524 3 года назад +1

      @@igurusitv6553 kwanza matendo yako pili kila dini imeweka mafundisho yake ya namna ya kuishi, letsay unapotaka kulala kuna dua zake, unapoenda safar yaan kila jambo limewekewa taratib zake ,,,,,,,,, halaf pia kumbuka mashetan ni viumbe ambao tupo nao karib sana zaid ya sana ila cc hatuwaoni kwaiyo unapoenda kinyume na mafundisho ni rahis kukupata,,,,, kwamfano unakuta mtu mzinifu yaan ametoka kusex tu anatoka hajaoga anatembea bro kumbuka kuna majini wabaya wanapenda lile jasho la kujamiana, lakin pia kua vile nirahis wao kukuingia

  • @tafabwijo1186
    @tafabwijo1186 3 года назад +1

    Mnaleta udine sasa

  • @kevinrichard6605
    @kevinrichard6605 3 года назад

    Mh

  • @faridamohamed4677
    @faridamohamed4677 3 года назад +1

    Anakauongo fulan

  • @kenedypaulo4557
    @kenedypaulo4557 3 года назад

    Tuko pamoja davista mata