Marioo - YANGA Tamu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 фев 2022
  • #Marioo #Yanga
    Music by Marioo performing Yanga Tamu (Official Release) ©2021 Bad Nation.
    Is Available WORLDWIDE LINK
    Download, Stream, Share
    Link Below
    africori.to/miamor
    ffm.to/marioo
    FOLLOW MARIOO
    Booking: bookingsmarioo@gmail.com
    Instagram: marioo_tz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @Al-Quraan-Al-Kareem
    @Al-Quraan-Al-Kareem 2 года назад +143

    Wakenya amabao ni wananchi wa jangwani Tujuane hapa ..
    💚💚🇰🇪🇰🇪💚💚

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 года назад +34

    🔥🔥🔥🔥
    MARIOO Vs YANGA TAMU
    Muko wapiii
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kinyanyaonline3658
    @kinyanyaonline3658 2 года назад +43

    Timu naipenda hii mpaka wasipo funga huwa naumwa Allah awape mnacho taka from 🇰🇪🇸🇦

  • @samuelmwalupindi9589
    @samuelmwalupindi9589 2 года назад +70

    love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 uganda...you guys made my day

  • @samweliigengu4443
    @samweliigengu4443 2 года назад +27

    Huyu ndo msaniiii tuliobakinae hapa TZ hambae siii kila nyimbo azungumzie mapenziiii hongera sana kaka asikwambie MTU yanga tamu ,,,timu ya wananchiiiiiii,,karbu sana jangwani 💚💛 sisi tuna watu na watu ndoo sisi 💚💛

    • @abduljembe6608
      @abduljembe6608 2 года назад

      Sababu kaiimba Yanga yako eeh?

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 года назад

      @@abduljembe6608 😆😆😆😆😆😆si ndo hapo sasa....!! Kuimba Vyura tamu ndo Kuwa msanii aliebaki eti

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 года назад

      Kwanza mbona hata Simba aliimba

  • @joycejoseph7996
    @joycejoseph7996 2 года назад +104

    Wimbo mzuri sana Asante Kwa kuipatia Yanga SC heshima ya wimbo mzuri 💛💚🔥🔥🔥🔥

    • @azizimaulidi7620
      @azizimaulidi7620 2 года назад +1

      Why not yanga..but hata simba ni mtani pia all is all country peacefuly

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 года назад +3

      Wote ni wananchi mpaka MO 29 ni mwananchi wa tanzania🤣🤣🤣kwahiyo wote niwananchi

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 2 года назад

      ruclips.net/channel/UCk6Myiv7ZADzA0FmU92Y49g

    • @kiduchunae2393
      @kiduchunae2393 Год назад

      Wewe ni fan ja yanga ?

  • @nasskidy8196
    @nasskidy8196 2 года назад +8

    wananchiiiiiiiii💚💚💚💛gonga like hapaa jmn twendeni trending number moja tuwakele makolooo ,....ukipenda makolo utazeeka

  • @imanikalolo9783
    @imanikalolo9783 2 года назад +49

    Much love from Moscow congratulations Young African Fc and Super Mario 💛💛💛💚💚💚🇹🇿🇹🇿.

  • @wisebgraphicsdesignerphoto5808
    @wisebgraphicsdesignerphoto5808 2 года назад +59

    Am not Tanzania but this Club Yanga sc is amazing club.💥

  • @selemanmsafiri2504
    @selemanmsafiri2504 2 года назад +116

    Am from Kenya 🇰🇪🇰🇪 but Yanga is really tamu

  • @saleemmakombo6581
    @saleemmakombo6581 2 года назад +25

    Yanga tamu Mia Mia from Kenya 🇰🇪

  • @mrpeterwainainanjoroge2684
    @mrpeterwainainanjoroge2684 2 года назад +14

    Hapa Nchini Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 huu wimbo wa Yanga Tamu unatesa kutesa.... Yanga yangu naipenda... mpira na jersey...🎼🎼🎶🎶🎵

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 2 года назад +82

    Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee daima mbele Nyuma mwiko💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💚CONGRATULATIONS my BROTHER MARIOOOO💛💚💛💚💛💚💛💚

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад +1

      Ffy ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 2 года назад +1

      ruclips.net/video/U9EBaCtGjN8/видео.html to

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 2 года назад +1

      ruclips.net/video/U9EBaCtGjN8/видео.html to

    • @kassimuhassani7170
      @kassimuhassani7170 2 года назад +1

      Oyooooh yanga tamu

    • @kassimuhassani7170
      @kassimuhassani7170 2 года назад +1

      Karibu Sana marioo yanga uku ndo nyumbani 💚💛🇹🇿

  • @ramadhanjohn8862
    @ramadhanjohn8862 2 года назад +38

    Sijawai kuisikia ngoma Kali kama hii duniani YANGA TAMU

  • @bahatipeter1930
    @bahatipeter1930 2 года назад +26

    I love you yanga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bnwebsolutions
    @bnwebsolutions 2 года назад +148

    I love this,the way you support your own, is adorable.... well calculated music, video on top,, napenda Tanzania.... much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @dubabaxakatv2993
      @dubabaxakatv2993 2 года назад +1

      Supporting Gormahia but why uhatarishe maisha kwa sababu ya rowdy fans to watch live matches

    • @aimecedrick4280
      @aimecedrick4280 2 года назад

      @@dubabaxakatv2993 songbaby

    • @positivity_tz
      @positivity_tz 2 года назад

      Thank you we love you too.

    • @alexlemenga1698
      @alexlemenga1698 Год назад

      I lol
      L ok
      Make I'm mku jimmy

  • @adeltuschairman6155
    @adeltuschairman6155 2 года назад +53

    Hii ni ngoma ya mwaka nakubariiiiii saana marioo💪💪💪💚💛💚💛

  • @rapperde
    @rapperde 2 года назад +70

    Yanga tumuuuu tupia like kama unaitambua timu ya wananchi👍 nawakilisha nikiwa🇰🇪

  • @harunimanyama2362
    @harunimanyama2362 2 года назад +75

    Najivunia kuwa shabiki wa Young African, huku kwetu ni raha sana. 💚💛💚💛💚💛

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 2 года назад +26

    🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 i ❤️ u yanga forever in life

  • @asimwejoswamu9234
    @asimwejoswamu9234 2 года назад +28

    Wimbo mtam sana huu jaman dah watajua hawajui hzo sio shda zetu mariooo asanteeeeeeeee💛💛💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 2 года назад +7

    Wa kwanza ♨️♨️♨️♨️♨️💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 года назад

      @Rukia Ali sanaaaa yanga tamu

  • @kulwalucas8853
    @kulwalucas8853 2 года назад +22

    We are together fans of yanga return of champions

  • @husseinkatani3538
    @husseinkatani3538 Год назад +2

    Young Africa now is a big team in🇹🇷🇹🇷🇹🇷🇹🇷

  • @sir.lulenje4827
    @sir.lulenje4827 2 года назад +28

    Mwanachi wa kwanza kuisikia YANGA TAMU kwa youtube

  • @25434
    @25434 2 года назад +122

    Not a Tanzanian but much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
    Marioo umeua🎶

  • @kibetyegon6281
    @kibetyegon6281 2 года назад +24

    Whoever controls this club is really a transformative leader

  • @nasskidy8196
    @nasskidy8196 2 года назад +29

    wananchiiiii💚💚💚💛💛💛tuisikilize nyimbo yetu mpaka ifike trending no 1 tuitambulishe team yetuu 🕺🕺🕺yanga tamu

  • @mr.mhando6817
    @mr.mhando6817 2 года назад +10

    Walichokifanya yanga na marioo hii ni kali sana kwanza inaongeza love kutoka kwa mashabiki na pia inaongeza saana mauzo ya jezi na pia kujaza zaidi katika mechi anazocheza yanga

  • @jordanwynne05
    @jordanwynne05 2 года назад +52

    Marioo is awesome 🅿️🎶💜🇿🇦🔥🔥🔥🔥🔥

  • @block145mare3
    @block145mare3 2 года назад +16

    Yanga tamuu...that's how we protect our futures 💥💥👽❤

  • @shabanichaye8255
    @shabanichaye8255 Год назад +3

    Nimeingia humu baada ya YANGA💛💚💛💚💛🔥🔥🔥 kutinga Fainali

  • @florianngumbi4741
    @florianngumbi4741 2 года назад +41

    Young Africans 4ever🙌🙌

  • @yvonnemelissa1869
    @yvonnemelissa1869 2 года назад +79

    My love for this tz star is on another level

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Xxxx ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

  • @peterdarlington6599
    @peterdarlington6599 2 года назад +12

    💚💚💚💛💛😂😂😂 safi ngoma nimeikubali sana ....maisha mafupi ukipenda makolo utazeeka...ukipenda timu mbovu utazeeka

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 года назад +2

    am yanga fun🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️

  • @ukhtynaa1096
    @ukhtynaa1096 2 года назад +16

    Goma letu wananchiiiii sisi tuna watuuu weuweeeeeeeeewwweeeeeww

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 2 года назад +14

    Creativity iko juu 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌👏

  • @localnewstv8682
    @localnewstv8682 2 года назад +19

    255 to 254 for love of football yanga team ya wote🇰🇪🇰🇪

  • @fredotieno3473
    @fredotieno3473 2 года назад +105

    The passion from tanzanians is super on how they support their own teams the beats are 🔥🔥

  • @belovedruwako5181
    @belovedruwako5181 2 года назад +131

    I love the way Tanzania support their teams...Kenya need to learn from them...si huku n Man U, Chelsea , Arsenal...useless ..let's support our own talents..

    • @agnesakenga4337
      @agnesakenga4337 2 года назад +2

      U killed me 😂😂😂😂😂😂😂

    • @marthacaspray9135
      @marthacaspray9135 2 года назад +2

      True

    • @carswithbinlibo3257
      @carswithbinlibo3257 2 года назад +3

      😂😂😂sasa kama minister wa sports kenya hasupport talent itakua sisi

    • @kingkibet
      @kingkibet 2 года назад +2

      Sasa ligi inachezwa weekdays,, tunaenda job ama stadii

    • @simplyyusra4621
      @simplyyusra4621 2 года назад +1

      @@kingkibet 😂😂

  • @telejackson7189
    @telejackson7189 2 года назад +10

    Dooh umetisha jamani🥰🥰🥰😘😘😘

  • @antonytarimo1518
    @antonytarimo1518 2 года назад +7

    No one can stop yanga au sio wana yanga wenzangu 🤣🤣🤣 acheni tuu nile bata maana makolo wanaenyekaaa kama umeiyelewa hyo ngoma gonga like

  • @wazirimwandimila9614
    @wazirimwandimila9614 2 года назад +20

    Love my club,, welcome marioo to the great club in Tanzania and east Africa 💛💛song of the year

  • @7evenlyrics154
    @7evenlyrics154 2 года назад +56

    Kenyans love is strong🇰🇪 💗💪

  • @lamoniketv603
    @lamoniketv603 2 года назад +92

    Yanga ya moto anayekubaliana nami apige like 🙂🔥🔥🔥

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 года назад +5

    Kila yanga ikishinda lazima nirudi RUclips kuuangalia huu wimbo😂😂 yanga tamu💚💛💚💛

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 2 года назад +3

      Tuko wengi sana 😂.

    • @rmimy
      @rmimy 2 года назад +2

      kweliii

  • @shenazissa7490
    @shenazissa7490 2 года назад +24

    Pamoja sana na rangi zetu za taifa 🇹🇿 💚💛🖤💙

  • @hamadomary6684
    @hamadomary6684 2 года назад +46

    hii nyimbo ungesubiria siku ya wananchi

  • @DJEXWEEZ
    @DJEXWEEZ 2 года назад +255

    I love how Tanzanians support their own 👏👏👏👏

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад +1

      ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

    • @daudiamimu4074
      @daudiamimu4074 2 года назад +1

      ruclips.net/video/U9EBaCtGjN8/видео.html DJ

    • @takeoff1832
      @takeoff1832 2 года назад +3

      Me too kweli,

    • @ambwenedaniel358
      @ambwenedaniel358 2 года назад +1

      @@takeoff1832 where you from bro

    • @gakatheboy4494
      @gakatheboy4494 2 года назад

      ruclips.net/channel/UCk6Myiv7ZADzA0FmU92Y49g

  • @deograsiasnada8885
    @deograsiasnada8885 2 года назад +11

    Go hard club above all..Go hard Yanga sc...am always green and yellow

  • @snyppahbosire
    @snyppahbosire 2 года назад +15

    SNYPPAH BOSIRE from Kenya approved this,,,,,I love the energy of this guy,,,#MARIOOFOREVER

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 года назад +7

    Naipenda yanga jamaniii uwiii Marioo wimbo mtam sanaa💚💚💚💛💛💛

  • @telejackson7189
    @telejackson7189 2 года назад +18

    Marioo wewe hatari mmmh umenikosha🥳🥳

  • @juhudimaheka7446
    @juhudimaheka7446 2 года назад +1

    Nilikuwà si mshabiki wàko lakn kwakuwa umeimba yanga tam kuanzia leo mm mshabiki wàko 💛💚

  • @thomasorangi1072
    @thomasorangi1072 2 года назад +2

    Maisha mafupi ukipenda makoro utazeeka, ukipenda timu mbovu utazeeka😆😆😆😆😆😆🤟🤟🤟🤟💥💥💥💥🥰🥰,,much luv yung king MARIO,,,,,,,much luv from naivasha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖💖💖

  • @iammcqwory
    @iammcqwory 2 года назад +8

    Wapi likes za Tawila la Yanga Kenyan Branch?

  • @bonniventuresylivester3133
    @bonniventuresylivester3133 2 года назад +284

    Not a Tanzanian but much respect Yanga African 😍😍

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 2 года назад +4

    Simba babalaoooooooo mario sina chakukuambia kwa sasa bado nakutafakari ila kutoka moyoni na wapongeza watani wangu yanga msimu huu mupo vizur , mungu ibariki simba mungu ibariki yanga , mungu abariki soka letu Tanzania likue zaidi

  • @flova7022
    @flova7022 2 года назад +5

    Hongera watani wetu utopolo... Nyimbo nzuri. Na mwaka ujao nataka tuwe wote club bingwa,, ili tuwafundishe soka nchi zingine zinazotudharau Tanzania..

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 2 года назад +1

      Point bro Hakika ss ni Wamoja ila utani ni jadi yetu Sawa Makolo😂😂😂🙌🏼

  • @ShemBlac
    @ShemBlac 2 года назад +40

    Kenyans show love,,

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 2 года назад +25

    Mimi SIMBA Ila Huu Wimbo Ni Mtamu Sana!!!🔥🔥🔥

  • @AfricanMoran
    @AfricanMoran 2 года назад +18

    I always love it when notification says someone liked your comment and you have received a subscriber this motivates me and make me work tirelessly. God bless you for subscribing

  • @mundetvchannel0
    @mundetvchannel0 2 года назад +5

    Woooow wanayanga twende pamoja kwenye like

  • @pishock8357
    @pishock8357 2 года назад +4

    Wooooooyooooooo zakichwa kwani yawaumaa

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 2 года назад +55

    Ayeeeee we rockin with the big team 🔰🔰 YANGA

    • @zainabuhamisi576
      @zainabuhamisi576 2 года назад +1

      Yanga hatulingi jamani goma letu wenyewe hatari

    • @uthmanmaluja7005
      @uthmanmaluja7005 2 года назад

      Bugatiiiiiiihhh..Ukipenda......Manin...utazeeka hebu ongeza sauti kidogo..

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Uiom ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

  • @kingleonard3484
    @kingleonard3484 2 года назад +12

    💚💛💚💛We're Dar es salaam Young Africans.
    Proud of this team.💚💛

  • @yustinamartiny3224
    @yustinamartiny3224 2 года назад +1

    Yaaani mariooo we wakuiita Simba makolo duuh😭😭😭 wakati we Simba daam

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 2 года назад +27

    Yanga tamuuu Kama unataka vitu vitamin ungana na Manara na Mario na wengine wengi... Timu haijachukua kombe miaka minne lakini watu wanakuja wenyewe... Utamu wa Yanga hauelezeki.

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 года назад +35

    I love yanga bure kutoka Kenya 🇰🇪 😍 yanga taaaaaamuuuuuu😂😂😂🥰😍

  • @theaidanny753
    @theaidanny753 Год назад +2

    Nyie na Ivi leo Tumechukua Kombe la Azam Uu wimbo ni unanoga😂😂💚💛💚💛

  • @Zippyboytena25410
    @Zippyboytena25410 2 года назад +17

    From Kenya 🇰🇪 to the world

  • @fleekboss1664
    @fleekboss1664 2 года назад +16

    Love from Kenya

  • @delrio3745
    @delrio3745 2 года назад +14

    Yangaa tujuane hapa💥💣👇👇yanga tamu

  • @othmanm-pesa9178
    @othmanm-pesa9178 2 года назад +1

    Mbona mlikua hamjaniambia kama Kuna ngoma Kali kama hii YANGA TAMU

  • @didahrajab9322
    @didahrajab9322 2 года назад +2

    Nani kamuona Mzee Mpili, santeee Marioo 🔥🔥Yanga tamu buanaaaa😋😋😋😋

  • @ayshahajji1596
    @ayshahajji1596 2 года назад +6

    I love you Yangaaaaa 😍

  • @evanswafula5196
    @evanswafula5196 2 года назад +25

    Usipende timu mbovu utazeeka... Alaa
    Yanga tamu

  • @jeremayaClassicPhoto
    @jeremayaClassicPhoto 2 года назад +2

    🥰🥰🥰hebu marioo chukuwa soda ya baridi hapo ntakuja kulipa...you deserve the best for yanga

  • @watejaubungo6805
    @watejaubungo6805 2 года назад +17

    Marioo you did it again
    Yanga forever

    • @beatricepaul5379
      @beatricepaul5379 2 года назад

      💚💚💚💛💛 yangaaaaaaaaaaaaa mpaka kifo

  • @chrismasazu5972
    @chrismasazu5972 2 года назад +20

    We are learning in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Eric Omondi asione hii 😂😂😂

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 2 года назад +12

    Yaani hii yanga inaenda kuzizidi Real Madrid Bacelona Man city muda c mrefu.🔥🔥🔥💚💛💚💛💚💛🔰🔰🔰🇹🇿🇹🇿Yanga tamu💛💚

  • @official_countrydewizzy_
    @official_countrydewizzy_ 2 года назад +2

    Yanga Tamu naipenda sana yanga

  • @barazashirley158
    @barazashirley158 Год назад +1

    💚💚💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛we’re the citizens (wananchi wenye sensa yao)

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 года назад +11

    Aiseee hiiii NYIMBO imenikoleaaaaa kama chumvi kwenye mboga aiseee Yanga taaaaaaaamuuuu

  • @sam_de_vegs4670
    @sam_de_vegs4670 2 года назад +7

    Hii nyimbo imesimammisha shughul zangu zote yan💚💚💚💚💚💚💚💚 naisikiliza

  • @jonathanndagano4180
    @jonathanndagano4180 2 года назад +31

    ♥️ C’est une bonne chanson et surtout un bon clip... félicitation star marioo , continue toujours comme ça frère et courage

  • @thedon8048
    @thedon8048 2 года назад +1

    Yangaaaaaaaaaaaaaaaa💛💛💛💛

  • @reubenmathias7695
    @reubenmathias7695 2 года назад +11

    The edition of marioo we take it on fire

  • @barakamwakaje7857
    @barakamwakaje7857 2 года назад +9

    BADII nakubar kwa Kaz ya wananchi yanga 🔥🔥🔥

  • @issasalum8544
    @issasalum8544 2 года назад +1

    Uuuuuuuuuwiiiiiiii..,,getoni kumenogaaaa......nawakera Majilaniiiii.

  • @aslamrasheed9856
    @aslamrasheed9856 2 года назад

    Dah natabasam moyon coz nipo ma makolo apa nikismile nionekane nitapigwaaa nitapigwa mm 👏👏👏 mariooo

  • @marthacaspray9135
    @marthacaspray9135 2 года назад +51

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪I love yanga

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Fd6h ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

  • @jacksonsabasaba5274
    @jacksonsabasaba5274 2 года назад +14

    Nimekua shabik AKo kwa wimbo huuu nimeanza kua shabik ako

  • @mwiga2513
    @mwiga2513 2 года назад +7

    We stand together for yanga TAMU
    Yanga tamuu jamani tamuu sana kama nanii.....🙈🙈🎶😃😂

  • @Willygs18
    @Willygs18 2 года назад +16

    You killed it man, Daima Mbele Nyuma Mwiko! #YANGA

  • @massatujeli3158
    @massatujeli3158 2 года назад +5

    Unyama mwingi marioo💛💚💚💚💚💚

  • @yusuphabinala4120
    @yusuphabinala4120 2 года назад +28

    I love yanga 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 года назад

      Ok ruclips.net/video/0GD-qi6qzns/видео.html

  • @herbertjulius3300
    @herbertjulius3300 2 года назад +5

    Nakupend bure yanga yangu Mario keep it brother walio angalia ii nyimbo zaid ya Mara 2 a like apoo

  • @mlosac.b9672
    @mlosac.b9672 2 года назад +9

    My Team Young African
    I love so much