Rayvanny - YANGA MWAMBA (Official Music Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 май 2023
  • Follow Rayvanny On:
    Twitter : / rayvanny
    Instagram : / rayvanny
    Snapchat: Rayvanny chui
    Tiktok: Rayvanny_chui
    For Bookings:
    Email: rayvannymanagement@gmail.com
    #rayvanny #yanga #music #new #nlm #trending #youtube
    Copyright ©2023 Next level Music. All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 706

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 Год назад +46

    Kaka Umetisha Sana Umenikosha Sana Mwananch Huna Baya Kaka Wimbo Bora Sana Hongera Sana Mungu Akubariki Sana Yanga Imara Daima Mbele Nyuma Mwiko 💚💚💛💛💪🤝🙏🏆⚽ 29

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 Год назад +17

    Wana simba kama umesikia rayvanny akisifia makolo dondosha like

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 Год назад +33

    Yanga mwaka huu imeimbwa 💛💚💛💚🔥🔥🔥

  • @GoldSupremez
    @GoldSupremez Год назад +29

    From Nairobi Kenya. LIKES ZANGU 🙏

  • @Chacha-dk2fz
    @Chacha-dk2fz Год назад +72

    Kama wewe ni mwananchi naomba like zako kwa huu wimbo 🔥🔥🔥🔥

  • @kabyboy1445
    @kabyboy1445 Год назад +18

    Yanga mbele kwa mbele kweli 💚💚💚💚💚

  • @sinodi_Tz
    @sinodi_Tz Год назад +51

    This is really Next Level Music,,, yanga , Daima mbele.. Nyuma mwiko💚💚💛💛

  • @Vannyboi-ox2ih
    @Vannyboi-ox2ih Год назад +197

    Wakwanza mm nipeni like zangu basi

  • @dianaryan9680
    @dianaryan9680 Год назад +2

    Naipenda yanga 💚💚💛💛💚💚

  • @frankthedon
    @frankthedon Год назад +24

    Sending love from kenya 254,, rayvany mwamba huyu hapa...❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mojokid7971
    @mojokid7971 Год назад +3

    Aloooo weeeeee yangaaaaAaa🥳🥳🥳🥳💚💛💚💛💚💛

  • @EzzyK438
    @EzzyK438 Год назад +3

    Yanga tunakusanya likes zetu hapa

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Год назад +3

    Vivan boy hongera kwa nyimbo nzur.....Ubunif mzur...Daima mbele nyuma mwiko

  • @TresforyEdward-kw1uc
    @TresforyEdward-kw1uc Год назад +1

    Sanaaa chuiiiiiiiiiii🐆🐆💚💛💚💛💚💛💚💛 karibu jangwani kaka

  • @reysikawa3496
    @reysikawa3496 Год назад +3

    💚🖤💛 daima mbele nyuma mwiko.........

  • @BosimuneneTv
    @BosimuneneTv Год назад +2

    Rayvanny ni mmoja tu dondosha like hp

  • @richardpeniford
    @richardpeniford Год назад +2

    Yangaaa

  • @therationalhuman8749
    @therationalhuman8749 Год назад +61

    Let's dance to this excellent song everywhere in the world.

  • @smith90000
    @smith90000 Год назад +50

    Much love from Mozambique 🇲🇿🔥🔥

  • @protamwenyegzaketv7408
    @protamwenyegzaketv7408 Год назад +3

    Yanga hatuna BAYA

  • @AsimweBuberwa
    @AsimweBuberwa Год назад +3

    Yanga💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @haruninenula2237
    @haruninenula2237 Год назад +65

    Wana yanga naomba hiiii ifike top 3 on trending please let's goooooo 💥💥💥💥💥🔰🧡💛💚💚💛🧡🏆🙏

  • @abedimtovu
    @abedimtovu Год назад +4

    Yanga 🎉🎉🎉🎉 🎉🎉🎉

  • @ngurlubelughabai7546
    @ngurlubelughabai7546 Год назад +5

    Gonga like kama unamkubali ray 🔥🔥🔥🔥

  • @TheJoelsfamily
    @TheJoelsfamily Год назад +23

    Sending love from rayvanny and fayvanny 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️💯

    • @keygunking
      @keygunking Год назад +2

      🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

    • @user-dq9yn3so5l
      @user-dq9yn3so5l Год назад +1

      Wewe mkenya raifan amekufutia

    • @TheJoelsfamily
      @TheJoelsfamily Год назад +1

      @@user-dq9yn3so5l yeah love that couple

  • @michaelngowi34
    @michaelngowi34 Год назад +2

    Noma sanaaaaaaa na rayvany boy

  • @Jesse_9014
    @Jesse_9014 Год назад

    Aiseeeee sisi Ndooo Yangaaaaa

  • @zanifarabdullah5756
    @zanifarabdullah5756 Год назад +11

    Asante sana kaka yangu Rayvanny hakika nimekupenda kwanzia Leo mimi ni shabiki wa Ali kiba

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Год назад +1

    Vanny boy iweke trending hii nyimbo bc...

  • @Barohkenyah
    @Barohkenyah Год назад +54

    Yanga yanga mbele kabisa, this man is genius, full of pure sweet vibes, mashairi yake, utunzi wake na sauti yake yapendeza,, this song is on fire 🔥🔥🔥🔥🇰🇪

  • @tinnojulius7760
    @tinnojulius7760 Год назад +38

    They deserve it ,its true yanga is the Rock

  • @helembilushu3009
    @helembilushu3009 Год назад +6

    Yanga 🔥🔥

  • @fadhilimuya892
    @fadhilimuya892 Год назад +1

    Chuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
    Yangaaaaaaaa
    Bingwaaaaaaa

  • @mrkavimba
    @mrkavimba Год назад +3

    Wa kwanza Mimi jamani ❤

  • @adambrayton7724
    @adambrayton7724 Год назад

    yaaan unyamaaaa pongez sana🙋🙌🙌🙋🙋

  • @user-qb8mw2mh4g
    @user-qb8mw2mh4g Год назад +27

    Yanga on next level😊😊😊

  • @Lyd-rx6zu
    @Lyd-rx6zu Год назад +25

    Much love from Kenya 254

  • @victormuema-261
    @victormuema-261 Год назад +23

    Wakwaza apa kutoka Kenya much love chui mwenyewe💪💪💪💪 kakitu ray

  • @emmanuelmwendesha8154
    @emmanuelmwendesha8154 Год назад +1

    Vany yanga💛💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥

  • @user-bo2bg1bp1e
    @user-bo2bg1bp1e Год назад +18

    am from uganda but love Swahili song

  • @theresiamireni4598
    @theresiamireni4598 Год назад +2

    Yanga💚💛💪

  • @hothotnews3458
    @hothotnews3458 Год назад +3

    chuiiiiiii mwananchiiiiiiiiii😍😍😍😍😍

  • @Jordanathuman
    @Jordanathuman Год назад +5

    Yangaa 💚💛

  • @amossavio8473
    @amossavio8473 Год назад +3

    Timu yetu sote 💛💚

  • @STONEBOY_KENYA254
    @STONEBOY_KENYA254 Год назад +4

    Chuii 🎉🎉🎉

  • @ronaldotv715
    @ronaldotv715 Год назад +5

    Young African wa Kwanza like zenu please

  • @totobaaya3610
    @totobaaya3610 Год назад +2

    Kakaaaa rayvan chukua maua yakooo kakaa

  • @Anitha-il4eh
    @Anitha-il4eh Год назад +2

    Asante sana jamani yanga atuna bayaaaa🌱🌿🌿🌿🌿🌳🌲🌲🌲🌴🌴🌴🌵☘️☘️🍃🌿🌿🍀🍀

  • @AnastaziaMorce-wk1gs
    @AnastaziaMorce-wk1gs Год назад

    Mwamba huyu hapaaaaaaa💙💛💚💙💛💚

  • @rahmakimario5681
    @rahmakimario5681 Год назад

    Tupite mbele tupite mbele mbeee💚💚💚💚

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 Год назад +1

    Yanga tamuuuu

  • @hothotnews3458
    @hothotnews3458 Год назад +3

    💚💚💚💚daima mbele💛💛💛💛

  • @TonyMorgan23
    @TonyMorgan23 Год назад +1

    Yanga😘😘😘😘😘😘😘

  • @jmasutv2228
    @jmasutv2228 Год назад +1

    Aiya yayaaaaa bonge la songs let's dance watoto wa jangwan chezea weyeeee

  • @mykemelaw
    @mykemelaw Год назад +14

    First comment. +254 gather here let's show some love to Rayvanny and Yanga ❤❤🎉🎉

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Год назад +1

    Chui umetisha sana

  • @eaglesonko3487
    @eaglesonko3487 Год назад +5

    what a song, ngoma kali balaaa atoe na video kabsa yaani hii ngoma hata mtu asiejua kiswahili huu mdundo lazima atikise kichwa.. 🔥 🔥 🔥

  • @hemediomari7610
    @hemediomari7610 Год назад +1

    ❤❤❤hatuna baya kiukweli

  • @tithochristopher5929
    @tithochristopher5929 Год назад +2

    Kama una amini kombe la shirikisho yanga analileta kwa Mala ya Kwanza Tanzania piga like tujuwane

  • @bint255
    @bint255 Год назад +10

    Oh my goodness I really don't know how I can describe this song❤❤❤❤❤Respect and much more love from the UK 🇬🇧 Rayvvany ❤❤❤❤❤❤

  • @ArtOrigin2004
    @ArtOrigin2004 Год назад +6

    Nipe maua yangu mm ndio wa kwanza kuangalia bro

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +1

    Rayvanny crown nilishakupa kwa mwaka huu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 Год назад +10

    Yanga mbelee kwa mbeleeeeeeee 💥💥💥💥💥💥💥

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Год назад +1

    Mbona mimi nimCongo 🇨🇩 ila nishabiki wa yanga kusema yanga sio kwa watanzaniatu ni team ya Africa. Yanga tamu

  • @AminaGulawite
    @AminaGulawite 23 дня назад

    Piga kelelee Kwa yanga yetuuuuuuuuuu❤❤❤

  • @dainesscharles3250
    @dainesscharles3250 Год назад +1

    Umetisha sana mzee baba huna baya,, yanga hawa hapa

  • @mussamsamazi2014
    @mussamsamazi2014 Год назад +3

    Wa kwanza mm Leo gonga like kwa vanny boy

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 6 месяцев назад

    Uzur hutumiagi nguvu kwenye kuimba kwako wao amazing 😍 yangaaa babalao yangaa tamu asikwambie mtu

  • @mariamshabani7107
    @mariamshabani7107 Год назад +2

    Hapo sasa umenipatia sana mwanangu

  • @user-bs6dg6bw8g
    @user-bs6dg6bw8g 9 месяцев назад

    Nalinga na yanga yangu wew namtasema na bado Yani pakamsemee yanga siachiii n' go naipenda sana 🫶🇹🇿

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 Год назад

    Kumbe Rayvanny Yanga nilijua Azam

  • @gaudencerayner5970
    @gaudencerayner5970 Год назад +4

    Ngoma kali 🔥🔥💚💛

  • @user-hf5qq2qy4y
    @user-hf5qq2qy4y 5 месяцев назад

    ❤❤ I love you YANGA ❤❤ mwaaaaaaah!!!!!!

  • @ZissaPhilip-ss9cm
    @ZissaPhilip-ss9cm Год назад +1

    Yaan wasanii wabongo wanatembea na upepo tu , hongera kwà kuendelea kutafuta ugali kwa kuiponda# LIONtheGIANT#

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj Год назад

    Weuweeeee umetisha vannyboy💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @amanisafari5588
    @amanisafari5588 Год назад

    Rayvany ameishiwa,,nyimbo moja remix kumi,,kuimba kumemshinda tu atulie.

  • @oneyvanny_
    @oneyvanny_ Год назад +18

    U nailed it Bigbroo😮

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Год назад +2

    Safi sana broo

  • @veronicalazaro9531
    @veronicalazaro9531 10 месяцев назад

    Na Rayvanny mbele Asonge mbele mbele

  • @Mrcrown-tu1zw
    @Mrcrown-tu1zw Год назад +6

    Wakwanza kutoa komenti ngoma kali sana ray

  • @haruninenula2237
    @haruninenula2237 Год назад +6

    GUYS THIS IS YANGA AFRICAN SC DADEKI NASITAKI LIKE MIMI NATAKA KOMBE LA SHILIKISHO TU BALANI AFRAKA🏆🏆🏆🏆🏆🙏GOD BLESS FOR MY NEEDS PLEASE 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 Год назад

    Kila mtu yanga kwahyo😮

  • @gudalifa
    @gudalifa Год назад +23

    What a song 💚

  • @georgettesaidi6809
    @georgettesaidi6809 Год назад +12

    Kumbe na wewe ni yanga 💚💛

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc Год назад +7

    Umeweza na umeweza tena kazi nzuri 💚💛💚💛💛💚💚💛💛💛💛😏😏

  • @violethtingo7703
    @violethtingo7703 Год назад +7

    Best yanga song ever🙌🙌💚💚💚💚 yanga for everybody💥

  • @user-kl1rq1ry5h
    @user-kl1rq1ry5h Год назад +11

    Hongera sana kwa kuisapoti timu kwa wimbo,
    Utaongeza hamasa kwa wanayanga na wapenzi wa michezo nchini kote...

  • @shakirally3899
    @shakirally3899 Год назад +1

    Nyimbo ya kifainalii kabisa hii

  • @hamzalumaja8154
    @hamzalumaja8154 Год назад +2

    Mimi wa Kwanza leo naomba like

  • @swahibasaidi4669
    @swahibasaidi4669 Год назад

    Hujawah kukosea💚💚💚💚

  • @mojokid7971
    @mojokid7971 Год назад +3

    Mojokid7
    Nataka like zenu wananchiiiiiiii💚💛💚💚

  • @Blackagara1953-zb5vc
    @Blackagara1953-zb5vc Год назад +1

    Mwamba Umetisha kama Chui pongezi sanasana tu ,WanaNchi mbeleeeeee

  • @hamzamuhammad8473
    @hamzamuhammad8473 Год назад

    Wananchiiiiiii huu ni muda wetu bhana acha tuenjoy

  • @azzahdora3058
    @azzahdora3058 Год назад +1

    Huelewek upo Azam au yanga any way Ngoma Kali 🔥🔥 wananchiiiiiiiiiiiiii

  • @kenedyelneny3844
    @kenedyelneny3844 Год назад

    Daaaaah sikutegemea kwamba rayvanny ataimba utopolo kam huo apo utanisamee ajapo mm shabik wako namba moja aaaaah🐯🐯🐯🐯🐯

  • @daudbarnaba5634
    @daudbarnaba5634 Год назад +3

    View ya kwanza comment ya kwanza nipeni maua yangu tafadhari 🥦🥦🥦

  • @shadymbuki87
    @shadymbuki87 Год назад +4

    Usanii kazi kweli kweli

  • @eklandkalambo5239
    @eklandkalambo5239 Год назад

    Umetisha mwambaaaaa

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 Год назад +1

    Umetisha v vany boy karibu jangwani

  • @gideongerald7495
    @gideongerald7495 Год назад +2

    wow vanboy chuii 💚💛💚💛💚💛💚💚. mabingwaa