MAKONDA AWATOLEA UVIVU VIONGOZI MBELE MAASKOFU/"WANAENDEKEZA MAJUNGU NA UCHAWI TU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад

    Subiri moto wKo

  • @rechopeter3644
    @rechopeter3644 Месяц назад

    Amen

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 Месяц назад

    Wanatoa Rushwa kwanza halafu ndo anaanza kuwaingiza vidole

  • @EstherSamwel-vk4wb
    @EstherSamwel-vk4wb Месяц назад

    Uchawi wako umeusahau ulipovamiaga kituo cha radio?

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Месяц назад

    Kinachozungumzwa mdomoni siyo kitakachotendwa

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 Месяц назад

    Hiyo siasa isipelekwe kanisani.
    Epukeni hela viongozi wa dini!!!!

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 Месяц назад

    Rushwa tu hzo hakuna cha zawadi wala nini

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg Месяц назад

    Viongozi gani wa dini wanaomwalika hyu jamaa madhabauni, huyu akae hukohuko kwa baba yao ibilisi kwani sio uzao wa Ibrahim

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Месяц назад

    Askofu.mnapokea.rushwa.ulizeni.hizo.zinatoka.wapi?

  • @NeemaEdwin-s4d
    @NeemaEdwin-s4d Месяц назад

    Leo unaongea na maaskofu ulio wafuta hujamaa apimwe akili

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 Месяц назад

    Huu upumbavu wa kupiga siasa makanisani kama kule Kenya umeanza lini Tanzania?

  • @jumamsechu
    @jumamsechu Месяц назад

    Acha kutushikia akili ww bwege unatafuta huruma ya kanisa wakati chama Chako wote wezi elewa neno WOTE

  • @danielkanso
    @danielkanso Месяц назад

    Ndiyo maana tunasema katiba mpya na lakini pia uchaguzi uwe wa huru

  • @yusuphkabora7685
    @yusuphkabora7685 Месяц назад +1

    Makonda huna ishu sasahiv tangu upotee uliporudi ulitudharau sana maana hukutaka hata kutuambia ama ulikuwa likizo kweli au laa. Umetuvunja moyo sana na Hauna jipya Tena hapo Arusha ubunifu umepungua tangu urudi.

  • @reginas1832
    @reginas1832 Месяц назад

    shetani nae anatumia biblia

  • @fatumasora-p4c
    @fatumasora-p4c Месяц назад

    Brooo makonda nikushauri tuuuu bure kaka yangu wewe ndie rahisi ajae CCM hakuna mtumwingine achana na dini ushauriii yuuuuu

    • @frankjoel6107
      @frankjoel6107 Месяц назад

      Makonda cheo Cha mkuu wa mkoa ni kidogo sana kwako umekibaka ww ni Rais 2030 MUNGU AKUTUNZE JAPO UNA MAADUI WENGI

    • @ulimbagakipole3971
      @ulimbagakipole3971 Месяц назад

      Mnahangaika sana.

    • @reginas1832
      @reginas1832 Месяц назад

      Killer