🔴LIVE | MZALIWA WA KWANZA NI LANGO | IBADA YA JUMATANO YA MATAMKO | 22 JANUARY 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 61

  • @NdayizeyeAlice-n4d
    @NdayizeyeAlice-n4d День назад

    Mungu wa elibariki sumbe ayinuliwe sana n'a mimi nasikiya kufarijika kupitiya ushuhuda huu wa uyu dada Mungu mwema abarikiwe

  • @barnabachaula2783
    @barnabachaula2783 День назад

    Asante Bwana Yesu kwa neema na baraka zako na kutulinda na kutupigania Yesu ni mwema

  • @VumiliaRumato
    @VumiliaRumato День назад

    Asante Mungu kwa ajili ya hii madhabahu Namwona Mungu sana

  • @macfadyneminja
    @macfadyneminja 11 часов назад

    Barikiwa Mtumishi. Tunakuombea Maono na ulinzi tele wa Family yako na wewe mwenyewe. Amen

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 День назад

    Amen amen amen Mtumishi Bishop Elibariki Sumbe unasema kweli ubarikiwe.

  • @JansiMutemura
    @JansiMutemura День назад

    Asante BWANA YESU KRISTO, nimeelewa, mafundisho haya ya menipa kukujua na kujifunza nstruction zako .

  • @SindayigayaMediatrice
    @SindayigayaMediatrice День назад

    Amina nafarijika na neno la leo baba ulinzi wa mungu uwe juu yakoo akulinde milele

  • @hakizimanaviolette1564
    @hakizimanaviolette1564 День назад +1

    Mungu wa mbinguni ulie umba dunia, naomba kwa jina la Yesu Kristo, umlinde mtoto wangu wa kwanza, daima, mitego aduwi anaanda kumtega ishindwe kwa jina la Yesu Kristo, hata nawengine wanyuma, wafunikwe na Damu yako Yesu Kristo, naomba na kuamini kwajina la Yesu Kristo Amen amen, 🙏🙏🙏🙏

  • @raessa_i438
    @raessa_i438 День назад

    Mungu asifiwe sana Asante yesu chrito kwa ku nifunguwa na kuni onekaniya kila leo

  • @chrisskissezzy4898
    @chrisskissezzy4898 День назад

    Amen 🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana baba Bishop 👏👏👏

  • @NeemaJonathan-d2e
    @NeemaJonathan-d2e День назад

    AMEN 🙌 hallelujah Bwana unifungue Mimi mzaliwa WA Kwanza 🙏❤️

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 21 час назад

    Ahsante Mungu kwa kutufungua,,kitu bariki,,na kutulinda..

  • @dmitrimadrid8927
    @dmitrimadrid8927 День назад

    Amen,ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @junesjunness
    @junesjunness День назад

    Bwana yesu nami nakuomba kwa kupitia ushuhuda huu nami baba naomba unitendee sawasawa na mapenzi yako

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 День назад +1

    Hallelujah Hallelujah Utukufu kwa Bwana Yesu

  • @HarunMchana
    @HarunMchana День назад +1

    Amen and amen

  • @alfredusayo
    @alfredusayo День назад

    Sifa , shukrani irudie mungu Amen

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 День назад +1

    Mungu Niko hapa naomba nisaidie kunifungua na kifungo Cha madeni na kurejesha afya yangu na NYOTA YANGU

  • @NjunaelSwai
    @NjunaelSwai День назад +1

    tayari nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani

  • @SudiYusuph
    @SudiYusuph День назад

    Nakomboa watoto wangu na mume wangu namkomboa kwa damu ya yesu

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 День назад +1

    Amina

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 20 часов назад

    Mungu naomba mfungue mwanangu mzaliwa wa kwanza ampate mume kutoka kwenye mathabahu mume bora

  • @junesjunness
    @junesjunness День назад

    Asante yesu

  • @FaryNdobesa
    @FaryNdobesa 23 часа назад

    Thank you for your support to help me Tobe across God's grace still doing the best 👌 🎉 also pray for me don't worry about the thing is in my stomach don't know where's please be with me for all situation thanks to all and God bless you and your family and your community ❤🎉

  • @josephinemasaki-zv7te
    @josephinemasaki-zv7te 21 час назад

    Mungu mwenyewe nguvu nakuomba umlinde mtoto wangu lordgerd mzaliwa wa kwanza akawe lango la kutenda mpenzi yako

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 День назад

    Ameen 🙏🙏👏🏻👏🏻👏🏻💪

  • @SoudSuleiman-ce5ny
    @SoudSuleiman-ce5ny День назад

    Ee Mungu dada uyu alie toa ushuda uu naomba na mim unibarikiii😢

  • @Merinacalistokenya
    @Merinacalistokenya День назад +1

    Nakombowa mtoto wangu Elzia

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 День назад +1

    Amina BWANA pokea sifa kwa ufafanuzi huu nami niwe na hekima kuelewa na kujitoa kuwa uzao wa kwanza,ndipo niache kuteseka kila wakati nikuone kupitia ndugu ZANGU maana kuna hali zingine nakutaka nazo kupitia ndugu ZANGU ila kupitia ujumbe huu,wa mtumish wako uwe fungua kwa maisha yangu kila neno lilo fungwa nifunguliwe kupitia neno hili kila vifungo visipate nafasi haleluyaaaaaaaa haleluyaaaaaaaa haleluyaaaaaaaa..
    Ndugu zangu wataoa wataolewa nami nitaolewa tena kwa heshima....AMINAAAAAA BWANA MUNGU UMEMUITA MTUMISHI WAKO KUJENGA MABOMA...🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HavintishSenga-qs4kc
    @HavintishSenga-qs4kc День назад

    Ni kweli baba unatukomboa maana tunapotia magumu lkn nakiri kupitia mafundisho haya tumepona mimi pamoja na ndg zangu nauzao wangu wote tumekombewa bule baba asante

  • @rejoicem1210
    @rejoicem1210 День назад

    I connect

  • @prisca4612
    @prisca4612 День назад

    Amen!!!!

  • @millicentrabera
    @millicentrabera День назад +1

    MUNGU tusamehe Kwa familia yetu walikua wanaabudu mizimu ,turehemu na tutenge na mizimu, laana na mikosi.

  • @RuckiaKatano
    @RuckiaKatano День назад

    Namkomboa mtoto wangu Oprah

  • @fridah6046
    @fridah6046 День назад +4

    Asante sana BWANA YESU kwa kutufungua.....kama kuna mwenye anajua jinsi ya kutuma ushuhuda anielekeze...number za kanisa niko nazo lakini kwangu haziko whatsup.

    • @happymeshack-o7s
      @happymeshack-o7s 18 часов назад

      Habari ndugu , naomba na mimi unitumie iyo namba ya kanisa uliyokuwanazo

    • @fridah6046
      @fridah6046 13 часов назад

      @happymeshack-o7s ziko kwa television ukifuatilia vipindi utaziona.

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 День назад +1

    Huu ni wakati wangu hayo ni maisha ambayo nayapitia kwa Sasa lakini Nina emani na mm nitakupa kushuhudia kama ulivyo huu ushuhuda wa dada wa African kusini

  • @dekarisaomiro9009
    @dekarisaomiro9009 День назад

    Ninaomba mwanangu Neema afunguliwe vifungo vyote na nyota yake ilikopelekwa irudi kwa jina la Yesu, naomba apate mume mwema aolewe kwa jina la Yesu,maumivu ya tumbo la hedhi yatoweke kabisa kwa damu ya Yesu.

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 День назад

    Kupitia mafundisho haya uzao wetu wa kwanza ufunguliwe kwa jina la YESU KIRSTO..NAmkabidthi doris mikononi mwako,
    Zainabu
    John
    Rafael
    Alson..
    Uwapokee eee BWANA uwakomboe,komboa mmngu Noelina na lucrencia...

  • @happymeshack-o7s
    @happymeshack-o7s 18 часов назад

    Bwana yesu asifiwe , naomba kama kuna mtu ambae ana namba ya kanisa ya whatsApp naomba anitumie hili na mimi niwe na mawasiliano na niwe natoa ushuhuda na namba ya M-pesa

  • @evadismas
    @evadismas 17 часов назад

    Swal je kama mbele yangu mimba ya kwanza iliharibika je mm n mzaliwa wa kwanza?au wa kwanza alifia tumbon je anaefwat n mzaliwa wa kwanza?

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 День назад

    Na kunukomboa na kifungo Cha madeni naomba kiniachilie kuwa huru kwani kinanitesa sana kupitia madhabahu hii Nina emani ya kufunguliwa na vifungo vyote na pia narejesha NYOTA yangu kupitia madhabahu hii popote imepelekwa nyota angu kuanzia Sasa narejesha kwa emani kubwa sana

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 День назад

    Najiungamanisha na madhabahu hii ili kupata amani ya moyo wangu na afya yangu

  • @NjunaelSwai
    @NjunaelSwai 11 часов назад

    eeeeeeemeeeeeeeeennn

  • @rosemutesi6626
    @rosemutesi6626 День назад

    Mungu ainuliwe. Swali kama mbele yako kuna kifungua mimba wa mama yako alizaliwa akaja kufa Je au mimba zizotoka halafu wewe upo hapo unaitwa nini, kingine mkazi ambae aliolewa ndoa ya Kwanza akazaa halafu akaachika tena akaolewa sehemu nyingine yule mume hana watoto, au binti amezalia nyumbani baadae akaolewa tena hapo ni kufanya nini? Wanaume wamezaa inje watoto wameacha halafu wameoa tena. Na wanawake wameoa mimba zaoza Kwanza ameolewa mume hajui? Kingine Neno limesema wazaliwa wa kiume kama umeanzia mtoto wa like? Mungu tusaidie ufahamu tuelewe.

  • @SHIDIOlivier
    @SHIDIOlivier День назад

    Amina

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 День назад

    Ameen👏👏👏👏🙏🙏💪

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 День назад

    Ameen🙏🙏🙏🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @EvaMngulu
    @EvaMngulu День назад

    Amen

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏🙏❤️

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙌

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 16 часов назад

    Amen 🙏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 15 часов назад

    Amen

  • @joycemugo2280
    @joycemugo2280 12 часов назад

    Amen 🙏

  • @BonphaceAlkado-hq9fn
    @BonphaceAlkado-hq9fn Час назад

    Amen