Bwana Yesuninakuomba Kama ulivyowafunguwa wengine kupitia mtumishi wako nami naomba unifungue na roho ya mauti Kati ya familia yangu yote pia ndungu zangu wote amen
Ee yesu kristu nakuomba unitenge na roho ya mauti kupitiya madhabahu hii ya vuka yordani.ukumbuke piya mke na watoto wangu wote.ubariki mtumishi wako elibariki sumbe Amen.
Ee MUNGU wangu unionekanie kupitia mtumishi wako BISHOP ELIBARIKI SUMBE unapowagusa wengine nami MUNGU usinipite unikumbuke BWANA nipate kibali Cha ndoa nakufunguliwa vifungo vyote jumla ktk maisha yangu yote na maitaji yangu unifanyie wepesi nipate haja la moyo wangu unitendee BWANA Asante MUNGU maana umeliona shida langu Asante sana napokea kufunguliwa vifungo vyote napokea kibali kutoka kwako MUNGU napokea uponyaji na haja la moyo wangu Kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen Kumfatilia siku Hadi siku mtumishi BISHOP ELIBARIKI SUMBE Nikiwa LUSAKA Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 MUNGU azidi kukutia nguvu na kukutumia siku zote ili tupate kibali na uponyaji kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen
Nafunga roho za mauti kwenye familia yangu damu ya yesu ikatuzingire pande zote , magonjwa yanayo mkondesha mama angu ikamwachie kwanzia ivi sasa afya yake ikarudi mara dufu kwa jina la yesu kristo
Mungu anisaidie san familia tuna shida na hakuna mwengine anaweza kutusaidia isipokuwa mung pekeake. Kuna mtoto wa jomba wangu yaani binamu yangu alijiunga na hicho chama cha Freemasonry Alimuuwa Bibi Baada ya myez 3 akamuua shangazi yake mme wa shangazi yake nando Baba yangu mdogo ambae ni mme wake na Mama yang mtogo tena Baada ya Miezi mi 2 anamuuwa tena mwanae wa huyu huyu alifariki yaani mwezi wa 2 ndo ametolewa Kafara baada ya baba yake kufariki. Sasa anasema et ataimaliza familia nzima . Ila naamini mungu wa Elibarik sumbe atatenda miujiza raho hiyi inaondoka kwa jina la Yesu Natokea Burundi 🇧🇮 Bujumbura napenda san kukufatilia kupitia mtandao na mwaka huu mwezi wa 4 nilitowa sadaka ya Kuijenga Ekalu ya Mung kanisa La Vuka Yordani.
Mungu uliye ziumba mbingu na arzi nakuomba utawale nyumba yangu amen.
Yesu yu hai 🔥
Nakataa roho ya mpinga Kristo kwa famikia yangu yote katika jina la Yesu Kristo aliye hai🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Naipinga hiyo chama isiingie kwenye familia yetu itoweke kwa jina YESU🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu usinipite mm na nyumba yangu
Napenda fundisho lako Bishop elibariki nawafuata nikiwa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen Amen Amen Mungu apewe sifa. Zake kuu
Bwana Yesuninakuomba Kama ulivyowafunguwa wengine kupitia mtumishi wako nami naomba unifungue na roho ya mauti Kati ya familia yangu yote pia ndungu zangu wote amen
Haijalishi tuko umbali gani, bado tunafunguliwa tu.....mungu akuinue zaidi mtumishi wa mungu aliye hai
Mungu azidi kuimarisha Kazimierz yake ndanikwako nakufuata nikiwa southafrica Rakini mi nimzarendo wa 🇧🇮 Burundi Asante kwama fundisho yako mungu arikupa naomba muniombey aniepushe nashida zamagonjwa nakira nacho jaribu hakipite muniombeye nifunguriwe
Jamani nimejifunza mengi kwa hiii MUNGU AKUBARIKI sana MTUMISHI elibariki sumbe....
Ee yesu kristu nakuomba unitenge na roho ya mauti kupitiya madhabahu hii ya vuka yordani.ukumbuke piya mke na watoto wangu wote.ubariki mtumishi wako elibariki sumbe Amen.
Mungu mm Bila ww siwezi chochote msaada wa nyumba yangu ni ww amen.
Mungu anisaidiye Pia hâta Niko mbali lkn Mungu wetu ni pahalo pote Na mu amini yeye peke amina
Asante BWANA YESU KWA KUNIOKOA ASANTE KWA KUNIWEKA HURU ASANTE LIBARIKIWE JINA LAKO LIPITALO MAJINA YOTE
Asante Sana kwa mafundisho
Niko DRC
Ee MUNGU wangu unionekanie kupitia mtumishi wako BISHOP ELIBARIKI SUMBE unapowagusa wengine nami MUNGU usinipite unikumbuke BWANA nipate kibali Cha ndoa nakufunguliwa vifungo vyote jumla ktk maisha yangu yote na maitaji yangu unifanyie wepesi nipate haja la moyo wangu unitendee BWANA
Asante MUNGU maana umeliona shida langu
Asante sana napokea kufunguliwa vifungo vyote napokea kibali kutoka kwako MUNGU napokea uponyaji na haja la moyo wangu Kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen
Kumfatilia siku Hadi siku mtumishi BISHOP ELIBARIKI SUMBE
Nikiwa LUSAKA Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
MUNGU azidi kukutia nguvu na kukutumia siku zote ili tupate kibali na uponyaji kwa JINA kuu la YESU KRISTON amen
Tuma pokea uponyaji kwa jina la yesu kupitiya madhabahu ya vuka yordani amina
Mungu naomba unitetee na Mauti juu ya familia zetu
NAJIUNGAMANISHA KWA MADHABAU HAYA YA VUKA YORDANI MIMI NA WATOTO WANGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI
Roho ya mbinga kritu ishindwe
Agano l 16:02 a mauti 16:07 liondoke kwangu n'a kwa jamaa l 17:13 angu kwa kina l 17:29 a Yesu Kristof. AMEEEN
Bwna Yesu afiwe mtumishi wamungu mutoo wangu nimngoNju Ni sickLEcELl ANmiA nawao mungu Amuao neshe Amso mukono wake naamuponye
Ameen nakataa roho ya mpinga kristo katika jina la yesu
Naomba Mungu was mbinguni afungue milango wa kumufikia mutumishi wa mungu
Mungu Naomba utuondolee agano la mauti ktk family yangu
Mchungji naomba maombi Yako naumwa sna
Yesu tawala familia, tawala kwajina lako Wewe usieshindwa na jamb lolote 🧎♀️🤲
Mungu akubaliki mutumishi wamungu nakufatiliya uye unatuombeya kwenye nitandayo hata tutaona nyuma
Amen mtumishi, ubarikiwe kwa kuihubiri kweli ya Mungu, Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vikubwa zaidi
Nashukuru sana bishop nimejifunza mengi Mungu akubari.nko Lebanon
Umsema wew ndiye njia na wewe ndio kweli bila wewe hatuwenzi bwana Yesu
Amen,napokea uponyaji kwa Jina la Yesu
Mungu nisaidie. Na nitenge na roho za mauti na familia yangu...mungu najiunganisha na haya Madhabahu ya vuka yorodan
Mtumishi munguakuzidishiyenguvu akuongezeyemyaka yakuishi ww na nyumba yako na tumbuiliyo kuzaa
Amen Asante yesu kristo kwakunifunguwa
Nakile ambacho nihaja yamoyo wangu naenda kukiona katikaulimwengu wadamu na nyama na ulimwengu wa roho
Mungu tukomboe na agano la mauti,, na watoto wangu
AHSANTE Yesu kwa kuniondolea roho za mauti
Aminakubwa mtumishiwamungu 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ubalikiwe mtumishi Sana Sana MUNGU akubaliki kwa mafundisho mazuri siku izi hakuna mafundisho Zaid ya maji na mafuta
Nafunga roho za mauti kwenye familia yangu damu ya yesu ikatuzingire pande zote , magonjwa yanayo mkondesha mama angu ikamwachie kwanzia ivi sasa afya yake ikarudi mara dufu kwa jina la yesu kristo
Mungu akutunze baba kwa neno la wokuvu mkuu namna hii
Mwenyezi Mungu vita ni vyakooo
Amen napokea uponyaji kwa kina la yesu
Amen. Mtumishi wa mungu niko America hapa ndipo yupo huyo aduhiwa kirsto tunaitaji msaada wa mahombi kwako asante
MUNGU asante umenitenga na kuzimu nahawataniona Tena milele
Mtoto wa dadangu ni mgonjwa naomba umweke kwenye maombi
Unatul 13:28 isha cela kiroho. Baba. Bishop. Mungu akujal 14:06 iye. Neema tushike iyi béni. Tunafata toka BukuRdCongo
Amina Baba neno la mungu lina nguvu
Nafunguliwa kutoka kwa agano la mauti katika jina la Yesu Kristo aliye hai
Unisaite Mungu wangu wewe ni mwema
Mungu sema nami na Mtoto Wangu
Mutumishi wa MUNGU ubarikiwe kwa neno na maombi ayons Amen
Asantesana Mwokozi Yesu Kristo
Indeed Am blessed with your teachings. From Ndola - Zambia
Mungu wangu Uni ponye baba muumbaji wangu
Yes nisaidie mimi niwe mtumishi wako
Mungu akubariki mtumishi
Mchungaji nafuatilia mahubiri yako nafundisho yako, nikiwa moshi nafunguliwa, nikiwa huku huku Moshi, na kupata kwenye You tube, Mungu akutunze vema.
Nko kenya nasikiza mafundisho polepole
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana yesu amubariki mtumishi wa mungu nasi uwe na tuombea amen
NIMEKUWA HURU KWANZIA LEO KWAJINA LA.YESU KIRISTO
Amen and amen in the might name of Jesus christ 👏👏👏👏🙏
Nakufatilia kutoka Burundi mbarikiwe
Imebarikiwa asikofu
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Nashukuru sana mtumishi kwa somo hili
Hello mtumishi wa Mungu aliye hai Askofu Sumbe hii vedio iliniponya kwa jina la Yesu Christo aliye mshale uliorushwa kwenye moyo wangu
Asante saaana mungu ni
Ee Mungu uniokoe na pepo yote ya Mautii.
Najitenga na kila laana zinazonifuatilia
Nabarikiwa kweli nikiwa Kenya, am ready blessed ,if God is for us who can be against us 🥱
ASANTE KWA KUNIWEKA.HURU ASANTE KWA KUNIOKOA MAISHA YANGU PAMOJA NA BIASHARA YANGU KWA AGANO LAKO LA MAUTI ASANTE BWANA YESU.NAKUPENDA YESU
MUNGU ATULINDE NA MBAYA YA SHETANI NAJUA TUTA SHINDA 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇿🇦 🇿🇦 🇿🇦
Mungu atusadie sanaa🙏
Nami naomba kifunguliwe kutoka angani la mauti kama lipo.
Ni Congo DR
Eeee bwana uni tenge na roho ya mupinga CHRISTU Mimi na jama yangu
Agano la mauti kwangu na kwa nyumba yangu mwisho
Mungu adusayidiye
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu.
Amen 🙏🙏🙏 agano la mauti iondoke juu ya Jose in Jesus name na Brenda 🙏
Mungu akupe kila siku na kila saa nguvu
Emeni.mungu.akubariki.sanaa
Mungu okoa watoto wetu.
Naomba hii cd
Mungu ainuliwe kwa ajili yako mtumishi wangu
Amen baba Mungu akutie nguvu.
Mungu anisaidie san familia tuna shida na hakuna mwengine anaweza kutusaidia isipokuwa mung pekeake. Kuna mtoto wa jomba wangu yaani binamu yangu alijiunga na hicho chama cha Freemasonry Alimuuwa Bibi Baada ya myez 3 akamuua shangazi yake mme wa shangazi yake nando Baba yangu mdogo ambae ni mme wake na Mama yang mtogo tena Baada ya Miezi mi 2 anamuuwa tena mwanae wa huyu huyu alifariki yaani mwezi wa 2 ndo ametolewa Kafara baada ya baba yake kufariki. Sasa anasema et ataimaliza familia nzima . Ila naamini mungu wa Elibarik sumbe atatenda miujiza raho hiyi inaondoka kwa jina la Yesu Natokea Burundi 🇧🇮 Bujumbura napenda san kukufatilia kupitia mtandao na mwaka huu mwezi wa 4 nilitowa sadaka ya Kuijenga Ekalu ya Mung kanisa La Vuka Yordani.
Mungu atusaindea Kweli 🙏🙏😭
Nakupenda baba Mungu akutunze kwa ajili ya watanzania
Mungu nikumbuke
Tunajitenga na roho ya mauti
Yesu kristo utusaidie tukupende wewe tuu kwa mioyo yetu yote
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu
Hallelujah 🙏
Amen baba 🙏🙏🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏
Ubarikiwe