Dah kazi kweli kweli ,anataka watenda kazi mama ,ila sijui wanaoteuliwa kwakuonekana bora wanakosea wapi ,jitahidini jamani lawama kwa mama ziishe ,sote tutaenda yalipia maisha yetu yakidunia , Mungu anapenda mema
Masauni angepumzishwa, ina maana unamtetea kwa kuwa ni ndugu yako, hawezi kazi, kaaribu kwenye Mambo ya NDANI, WATU WAMETEKWA WAMEUAWA YEYE YUPO KAPANUA MASHAVU KANA KWAMBA HAYAMUHUSU, HUKU MAMA YAKE AKISEMA NI VIJIDRAMA.
Kwa kweli kamlinda sana alitakiwa amtumbue na si kumhamisha au ndio damu nzito kuliko maji mbona kina nape umy na makamba ilikuwa fasta tu hata hatujui walikosea wapi
hii ndio nzuri unatuwekea na picha zao Uko fresh bro❤100%
Hongerà Rais mAma samia kazi nzuri na wa chini yake watumbuliwe.
Masauni amzubazubaa Umefanya vyema mama yangu Mh Rais wangu nakupenda sana
Dah kazi kweli kweli ,anataka watenda kazi mama ,ila sijui wanaoteuliwa kwakuonekana bora wanakosea wapi ,jitahidini jamani lawama kwa mama ziishe ,sote tutaenda yalipia maisha yetu yakidunia , Mungu anapenda mema
Uko sahihi rais wetu lengu ni wananchi waendelee kupata huduma bora zaid na zaid
Bashungwa mambo ya ndani safi sana
MBONA KWA watekaji hapajaguswa,,,,,....
Good job president Samia
Nakupenda mwanangu masauni.
Sawa yuko kimya sana
Hayo ndio maneno mama jitaidi kusoma coment ndio utajua raia wanasema nini
Hakuna kiongoz mzembe kiutendaji ila maelezo kutoka juu😮😮😮😮😮.
Masauni angepumzishwa, ina maana unamtetea kwa kuwa ni ndugu yako, hawezi kazi, kaaribu kwenye Mambo ya NDANI, WATU WAMETEKWA WAMEUAWA YEYE YUPO KAPANUA MASHAVU KANA KWAMBA HAYAMUHUSU, HUKU MAMA YAKE AKISEMA NI VIJIDRAMA.
Masaun aondoke amekaa tuu watu wanatekwa nawengine kujifanya wametekwa yy yupo tu
Masauni ni baba mwenye hekima sana sema liwizara alilokuwa linahitaji MTU mbabe sana kuwapata majangili sio kazi rahisi sana
Massaun angewekwa bench.
Huyu alikuwa kilaza. Haistahili kuwa waziri kabisa
Afadhali masauni kaondolewa
Huyu Masauni hafai hata kua kiranja...Atupwe tu
hakuna ccm anaeweza kuongoza popote pale rabda wizi
Chade eanaweza kuongoza utekaji
Bado yeye aondoke tu maana hawezi kazi
Na hata sijui alimtoa wapi huyu masauni ambaye yupo kama yeye!!Wazirii mzembe kwenye wazara ya mambo ya ndani wezara ya maana kama hiyo!!
Afunguliwe na mashitaka uyo masauli kwa sababu alikua hana uwezo
Hamna kitu hi serekali niya usani sanii tu
Serkali hii mhhh
Na mchengerwa tamisemi je?
Ukisikia upendeleo ndo huo saasa..uchafuzi wa wawazi umefanyika.
Mkwe huyo hawezi kuondolewa ana kifua kipana 😂
😂😂😂😂😂😂
Watu Wale Wale ni kama mvinyo ule ule wanabadilisha chupa tu !
Kwa kweli kamlinda sana alitakiwa amtumbue na si kumhamisha au ndio damu nzito kuliko maji mbona kina nape umy na makamba ilikuwa fasta tu hata hatujui walikosea wapi
Mimi hapo Ummy ndo roho inaumaga lakini kwingineko hapana