Am a Kenyan but stay in Tanzania 🇹🇿 en I respect you dudu baya ndio husema dudu baya wewe nakujua sana kama mwana harakati shujaa keep it up bro 🖖kati ya watanzania wote dudu baya mwamba dudu naamini wajua wakenya vizuri sana na kubali venye umesema east Africa is one hata Mimi ni mkenya naishi tanzania
Big up brother Konki master "Waambie hao wasiojielewa"... umesema the truth.Big up endelea na Mungu akuzidishie kwa ukweli wako. Thanks My brother Godfrey Tumaini William.
Sababu tunamjua hamna hata mmoja anamsikiza 😂😂 tuna beef nae kwanzia amvunje kiuno mr.nice kisa chuki tu zakijinga Tunajua anamchukia mondi kutoka rohoni hapo wamempa mbwa mfupa
Wewe ndo unatu elawa ma much Respect shida diamond niwa Kenya wame muinua saizi ana leta matharau sasa anaona amefika sana we will Dil with him vile inafa atupendi ujiga akili yake ni Greed 1 Kenya ni pesa ndo inafanya akuwe mtu mwislamu na ana weke msalaba kwa shingo .🇰🇪 respect 🇰🇪
This man is very wise, Ave been following his interviews and opinions, and he really understands us Kenyans, huyu anaweza kuishi nasi vizuri Sana, ana hekima ya juu. wakenya ukituheshimu tutakupenda na tukuinue juu, lakini ukileta kujua Sana, tunakuachilia kama chuma moto. ila ukiomba msamaha, tunakusamehe na tunaanza kukukubali taratibu huku tukikusoma mienendo yako.
Most Tz media houses wana puuza what really happened on the ground nakupeana habari za uwongo mimi nilikuwepo pale mwenyewe Diamond alitaka kupuuza ratiba mbona??? 😢😢😢
Na waambianga huyu mwamba anajua kutadhini mambo sana mbila kukurupuka,much respect dudu from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hiyo kichaa aliyefeli kimusic ndo aongee point? Ni chuki tu kwa diamond coz alimkataa kuwa chawa
Ungekuwa unajuwa nikama chawa 😂😂usige musikiliz
@@surusuru1994 lakini huku Kenya anakumbalika sana
Wow what a mature man DuDu wow we respect you God bless you.
Dudu baya ni kweli unatufahamu kama wakenya.... Pokea like yangu.Umeongea kama mtu mzima. Kenya tunakupenda❤❤❤❤❤.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waziii😂.Dudubaya mwenyewe.nakukubali from Kenya👍
This man is mature enough for sure.
We respect you dudubaya, wee huongea kilichoko love from 🇰🇪
Kenya represented at comment number 254... Likes zangu zikuje...
DUDU BAYA WAKI WEPO WATU 20 KAMA UYU UKWELI LAZIMA USIMAME❤
Nakukubali much love from kenya. Pls come and perform in 🇰🇪 dudubaya
Kama kuna mbongo mwenye akili nyingi Sana Tanzania ni huyu Dudu Baya
Hakika
Wanamdharau tu ila ana maarifa
Ni mgonywa wa akili kama wewe 😂
Kweli kabisa kama ukubwa ukubwa tu
@@Mina.15 Manina zako
baasi sasa dudu karibu kenya twakupenda🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@kingbornb3174 aje kufanya nini
Nyimbo za dudu baya ziimbwe mwezi mzima nchini Kenya mpaka tubadili mwaka .
Life experience ni kitu nzuri sana! DUDU BAYA wewe mwamba mwenye akali 100%
We love you DUDU Mbaya🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am a Kenyan but stay in Tanzania 🇹🇿 en I respect you dudu baya ndio husema dudu baya wewe nakujua sana kama mwana harakati shujaa keep it up bro 🖖kati ya watanzania wote dudu baya mwamba dudu naamini wajua wakenya vizuri sana na kubali venye umesema east Africa is one hata Mimi ni mkenya naishi tanzania
😄 Kwani jokes za Mt Kilimanjaro mnachukulianga serious🤣😅 hamjui jokes jamani Jirani. Kenya tunampenda Alikiba.
Kweli dudu bad , sisi twaenda na mda chukua maua yako dudu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉, karibu kenya karibu kanairo, uaga hatupangwi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dudubaya is mature parson I respect from Kenya
Been following Dudu for some time now and mahn,he is so wise.
Dudu baya bigup much love from 254
Ndio maana hua naskiza old school bongo music 🎶 ❤ 🇰🇪 🇰🇪
Salut dudubaya. Umeongea fact 100%
Dudu for president 😂😂😂
Dudu Mbaya is a philosopher
Wewe dudu baya. Mziki umekushinda kwa sasa mmekua mchambuzi 😅😅😅😅😅😅😅😅
Very wise Tanzanian bana diamond angeperfom bado ingebamba sana , diamond anajihisi mungu rudi chini bana pesa hazita kufufua ukifa
True baba dudu bad,,, sis adi rais ruto sikuizi anatuita pepo😊
😂😂😂😂😂😂waambie anatuita pepo mbaya
Hatumuhitaji Diamond. Kenya tuko na Grammy winners
Sisi tunamtaka kama ww aumtaki
@@ChireGriffinkenge ww unamtaka ww na familia yenyu
Simba ana shida na nyie wakinakasongo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Unajua TANZANIA ina million ngapi ya watu?
@errydeo8865 Tunaishi na kula Bila watanzania. Hatuhitaji Watanzania ndio tule
Wisdom tupu... Mad respect to dudu baya
Dudu baya anapenda sana Kenya na wakenya
Dudu Baya is a mature muscian👍
Dudu baya the legend mwenyewe❤❤❤
Tulisema hatutaki Diamond na Zuchu Kenya, organizers wakatupuuza
I respect this man ..dudu baya.
Huyu ndo msema kwel Dudu baya konki master ❤❤
Diamond hakususia mashabiki walimkataaa.
Kqbisaa
Dudu has immense wisdom
Dudu thanks alot for your truth about our country
Dudu baya tunakukaribisha Kenya wakati wowote
Tumechoka na dharau la diamond, he will no longer be allowed in Kenya.
We,respect you Dudubaya thankyou for learning us
Simba linazeeka😂😂😂 mwisho wa diddy wa Tanzania
Huyu Dudu mbaya tunampenda Sana🇰🇪
Namkubali sana Dudu Baya msani niliye balee naye
No more P Diddy s wives in Kenya
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿
Hiyo paka afikiri yeye ni simba Kenya. Akae kwao. Tunamvuruga Head of state Kasongo sembuse jipaka koko la mbagara.
Umeongea vizuri sana mzee
Dudu mbaya is my legend Acha na hiyo paka mond tutakuanifolo diamond utapenda natumeanza
Sasa uyu jamaa anajua Nini kuusu Mziki ... Ina Sasa anaamza kuleta maswara ya bushoke😁😁😁😁
True man dudu baya
We love you Dudu mbaya
Dudu Baya ni Msanii ana heshima zake na ndio maana sisi wakenya tuna mheshimu. Ana experience ya miaka mingi. Big up Dudu Baya.
Mm namuelewa huyu mwamba dudu Yan anaelewa hii inchi yetu vile tunaenda kivyetu vyetu
Mzee wa hekima....
Big up brother Konki master "Waambie hao wasiojielewa"... umesema the truth.Big up endelea na Mungu akuzidishie kwa ukweli wako. Thanks My brother Godfrey Tumaini William.
Please Dudu mbaya apewe show Kenya,,
Ukwl Dudu baya we sio mtoto ama upewe kitu kidogo ama uogope kitu cocote wakenya tu mekubali sana umeongea ukwl sanaaq❤❤❤❤🎉🎉
Remind Diamond sisi wakenya ata bunge tuliingia so hakuna la kuogopa.
Dudu am your fan from Ug, Respect, to the interviewer support with direct contact of Dudubaya .
Thank you !
sisi kama wakenya tunaskize Willy Paul from now onwards
💯 Willy Paul is the greatest.
😂😅 eti willy Paul the greatest..WA wapi na ana nyimbo ngapi?
@@godfreywangara5946 afadhali yeye hapanuliwi
Let's lift our own 🎉
He will remain our own mein@@godfreywangara5946
Wise man he is....caliing a spade a spade and not a big spoon,
One love Dudu Baya
Kaongea kweli huyu ndugu
Good 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Huyu mjamaa ako na ujuzi mingi sana saa ii dawa ni diamond aombe msamaha kenya saa ii tuko na chuki na kila kitu
Wow ss ww ndo mwenga nakukubali Sana du baya
100% Dudu ,good advice.
Godfrey Tumaini aka dudu mbaya. Kichwa komavu.
Well spoken Dudu mbaya
One love big brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chukua dudu 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Wowwwww ❣️❣️❣️❣️ i like you man as always 👏👏👏👏👏👏👏
Konki Nakukubali...Umetaja Mji Wa Maana Mombasa Ikiwemo Likoni
Willypaul 🎉
Huyu jamaa yuko na akili nyingi sema wabongo wengi hawamuelewi...kaongea facts sana😂
Big up conke master 🎉
Watanzania wenzangu mbona sion comments zenu hapa naona Kenyans wanatamba🤣🤣🤣🫵🫵
Sababu tunamjua hamna hata mmoja anamsikiza 😂😂 tuna beef nae kwanzia amvunje kiuno mr.nice kisa chuki tu zakijinga Tunajua anamchukia mondi kutoka rohoni hapo wamempa mbwa mfupa
Hapo kwenye muda zero zero kwa watz ❤❤
From. 🇺🇸 kichwa atari
Duh aibu mond asiende tena mhuuu hatari
Dudu baya hishi miaka mingi
Diamond asiwai Kuja Kenya..juu tutampea kichapo...
Big respect Dudu
Wewe ndo unatu elawa ma much Respect shida diamond niwa Kenya wame muinua saizi ana leta matharau sasa anaona amefika sana we will Dil with him vile inafa atupendi ujiga akili yake ni Greed 1 Kenya ni pesa ndo inafanya akuwe mtu mwislamu na ana weke msalaba kwa shingo .🇰🇪 respect 🇰🇪
Anasahau half of his subscribers ni wakenya lakini kitaeleweka
@@HassanOpondo koma we kugoma na kenya wapi na wapi
@@annndunda3953 mnanini takataka za baharin
This man is very wise, Ave been following his interviews and opinions, and he really understands us Kenyans, huyu anaweza kuishi nasi vizuri Sana, ana hekima ya juu. wakenya ukituheshimu tutakupenda na tukuinue juu, lakini ukileta kujua Sana, tunakuachilia kama chuma moto. ila ukiomba msamaha, tunakusamehe na tunaanza kukukubali taratibu huku tukikusoma mienendo yako.
Diamond panicked ..about willy Paul...he's a well known 👏 artist..Diamond follow the program
Aise usije kenya,uku tuna sheria,si uchawi.
Diamond asiludi kenya akae huko tz hatumuhitaji
Wakenya nynyi ni LGBTQ ni mashogatu na niwasengetu kama wasenge wengine
@@zaidiissa3714
Kwa nini unatukana kiasi hicho?
Mbona Diamond mke halali wa p diddy@@zaidiissa3714
@@zaidiissa3714 Pdiddy yuko wapi ni vipi mlimfata huko Marekani
Iki kizeee kinachanganyikiwa saivi
Wisdom detected
Most Tz media houses wana puuza what really happened on the ground nakupeana habari za uwongo mimi nilikuwepo pale mwenyewe Diamond alitaka kupuuza ratiba mbona??? 😢😢😢
Asijidanganye asije kenya kabisa.
Diamond ana muongopa Willy Paul sana manake nitishio kwenye performance 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huwa napenda kukusikiliza Kwa hili Dudu baya umechemka
uko Sawa brother Mungu akubariki
We dudu baya unasumbuliwa na njaa ya kichwa
Respect dudu baya
Nyinyi wabongo mna tudhatau sana sisi wakenya kwasababu eti nyinyi mko juu kimziki sio vizuri kabisa
Watuheshimu au tuwachane na music zao tuone kama wataendelea
Wewe dingi sijui unashida gan kwenye akili unaongea pumba sijui nso kuishiwa hko mtafte mwenzio me nice
Ana wivu na mtoto wa mtu
Mimi as Kenyan Niko na right sasa ya ku unsubscribe social media za diamond platnumz for underrating King Pozze....Yani mond hatukutambui ubwa ww😅
Dudu baya kachoka kwanza anyoe ndevu
Upuzi na Kenya, ni vitu viwili tofauti