SALHA ALIVYOIMBA WIMBO WA NASUBIRI MANUSURA YA BI MWANAHAWA ALLY USIKU WA ASANTE MWANAHAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 17

  • @pmpaga1063
    @pmpaga1063 3 месяца назад +4

    Napenda sana sauti ya Salha na kabla yake nilipenda sana ya Mariam Khamis M/Mungu amrehemu Aamin

  • @CatheRahma
    @CatheRahma 4 дня назад

    Huyu ndo awe mrith wanyimbo za mwanahawa mana anajua mpaka Anajua tena Salha MashaAllah

  • @rukaiyamayoga5700
    @rukaiyamayoga5700 3 месяца назад +7

    Huyu dada anajua aisee❤

    • @LevinaMiteo
      @LevinaMiteo 3 месяца назад +2

      AmaQ akimuona roho ina mnyonga amenawili Sarah MashaAllah ❤❤❤

  • @adamsilumbe8356
    @adamsilumbe8356 3 месяца назад +10

    Nyimbo za mwanahawa nikama nyimbo za Celine dion always zitaendelea kizazi nakizazi

  • @MaryamAbraham-r4q
    @MaryamAbraham-r4q Месяц назад

    Mashallah ❤️

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 3 месяца назад +5

    Ile salha anajua mpaka basi but Mitambo yenu ovyo sana muliniboa mpaka nikaacha kuangalia.

  • @rehemakilele2751
    @rehemakilele2751 3 месяца назад +1

    Mzee anajuaaa... Kinanda

  • @SaidKatindu
    @SaidKatindu 3 месяца назад +1

    Mzee kinanda unajua sana

  • @MwanaidiAthumani-y9k
    @MwanaidiAthumani-y9k 3 месяца назад

    Dada nampenda mpka basiiiii❤❤❤❤❤

  • @fetyalmas698
    @fetyalmas698 3 месяца назад +1

    Umeimba vzr sana salha

  • @khanniebaraka6047
    @khanniebaraka6047 3 месяца назад

    Salha❤❤

  • @KassimGomez
    @KassimGomez 2 месяца назад +1

    👌👌

  • @KingWaking-s2e
    @KingWaking-s2e 3 месяца назад

    Mzee kumbe kapiga kinanda kibovu hivi😅😅😅 kweli kaishiwa

  • @halimahassan8998
    @halimahassan8998 2 месяца назад

    kuna mdada nyimbo inamhusu nikiharibikiwa mie yy hata sijui apata nini,Mola ninusuru

  • @lonnmutta2073
    @lonnmutta2073 3 месяца назад +1

    nyimbo za bi mkubwa hua ni funzo jipya kila muda ninapo zisikiliza