Congratulations rashid kwa kuwskilisja sisi wakenya uko Tanzania tuko pamoja na nyinyi ila poleni sana sana kwa kumpoteza mpedwa wenu mungu awatie nguvu kwa huu wakati mgumu🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Hongereni sana wanafamilia wa dstv Huba Juakali na Jiya kwa ushirikiano mkubwa mliounyesha na hiyo ndio maana ya familia Tunawapenda sana .poleni Sana 😢😢😢
Shabiki wa kipindi cha huba from Kenya 🇰🇪 kifo cha tesa kimeniumiza sana,poleni sana watoto wa tesa mko na kipindi kigumu sana na waigizaji wa huba pamoja na familia poleni sana mungu atawatieni nguvu
Hakika kila nafsi itaonja umauti....😢😢 Mzazi anauma .poleni watanzania,poleni familia,poleni ndugu zetu wa familia ya Huba😢😢😢😢 Allah atawapa subra ña nguvu .Rashid Abdhala 🙏shukran kwa kuwakilisha Kenya
Pole sana familia ya uba tuna wapenda sana tuna wapa pole msiba una uma sana jaman tena sana rakn nasi twa paswa kuji andaa na safari iyo polen watot polen wasanii woote kwa ujumla poleni sana 😢😢
Tesa hv ni kwel atutakuona kwenye huba tena dah tumeumea kwel but mungu akupunguzie adhabu ya kabur tesa wetu tulikupenda ila mungu kakupenda zaid tesa
Yani nimebaki nakuliza Toka nione hizi habari sijaweza hata kucomment 😢😢😢😢😢😢😢inauma kwli nilitoka kupenda Bure tu tesi mwenyezi mungu aweke roho yake mahali pema 😭😭😭😭😭bye bye tesa😭😭😭
Ila kiukwel familia ya huba mmetisha sana sio kwa ushirikiano huo yaaan nimewapenda mpk nimewapenda tena yaaaan mna umoja mkubwa sana❤
Sanaaa
@@Emmy-w2cnaona DStv yote kiukweli wameenda na umoja mzuri na hawa kwa wasanii wote ndiyo no moja
Na wasanii wengine waige kwa huba
Xanaa tuuu
Big up saana uba team mmefanya
Shukran Kaka Rashid Abdallah kwakuwakilisha kenya 🇰🇪
Ametakasika mwenyezi mung na sifa NJEMA zote ni zake yarabbiy tupe mwisho mwm yarabbiy
Amin yaraby mbel yak nyum yatu
Amn
Amiin yaarab
Amiin yarabb
Aamin
Congratulations rashid kwa kuwskilisja sisi wakenya uko Tanzania tuko pamoja na nyinyi ila poleni sana sana kwa kumpoteza mpedwa wenu mungu awatie nguvu kwa huu wakati mgumu🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
Nawapenda sana RASHID NA LULU MWENYEZI MUNGU AWATUNZE SANA,WAISHI MAISHA MAREFU,NAWAPENDA PIA WAKENYA WOTE.
Hongereni sana wanafamilia wa dstv Huba Juakali na Jiya kwa ushirikiano mkubwa mliounyesha na hiyo ndio maana ya familia Tunawapenda sana .poleni Sana 😢😢😢
Shukran sana director Our Rashid Abdhalla kutuwakilisha..RIP Mama Tesa😢
Kumbe n kweli nilikua sijaamini mungu hakailaze roho yko mahali pema peponi bibi tesa
Poleni sana ndugu watoto wasanii mashabiki kwa kupoteza kipenzi chetu
Shabiki wa kipindi cha huba from Kenya 🇰🇪 kifo cha tesa kimeniumiza sana,poleni sana watoto wa tesa mko na kipindi kigumu sana na waigizaji wa huba pamoja na familia poleni sana mungu atawatieni nguvu
@@JeniferNgolanya-gt5xx 😭😭😭😭😭😭
Poleni Sana ndugu zetu sisi piya kazi Zaki twazifurahikiya 🇰🇪
Polen ndungu zetu watanzania our able brother rashid abdallah well represents us
Hakika kila nafsi itaonja umauti....😢😢 Mzazi anauma .poleni watanzania,poleni familia,poleni ndugu zetu wa familia ya Huba😢😢😢😢 Allah atawapa subra ña nguvu .Rashid Abdhala 🙏shukran kwa kuwakilisha Kenya
Mimi ni shabiki sugu wa kipindi cha huba,Mimi ni mkenya ila kusema ukweli kifo cha tesa kimeniuma sana 😭😭😭
Polen sna tulimpenda sna mama tesa hatutoona tena tabasamu lake zuri Mungu amuhifadhi
Mungu amlaze mahari panapositaiki me shabiki yangu nàmpenda sana tesa Toka ezi ya kanumba mbaka Leo mungu kamchukua
Mmmmh hakika kila nafsi itaonja umauti,,,,Raha ya milele mpe ee Bwana na Nuru ya daima imuangazie apumzike kwa Amani,,,Amiina
Poleni.san.hat.sisi.wakenya.tumeumizwa.sana.na.msiba.mngu.aipumuzishe.rohoyake.peponi.🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Poleni sana wana huba wapenziote wa huba kwakuondokewa na mama yet u mungu ailaze.roho ya ke peponi amina
Jaman daaah hakika kuna watu wakifa watu tunaumia sana.RIP tesa.😭😭😭
Sanaa yaani Mimi sijui huyu mama lakini kaniuma kama mama yangu mzazi R.I.P Mama Tessa
@@JosephineLuvumbi-zz9pv Acha tuu hatuna jinsi tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote.
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Poleni sana 😭😭😭wakenya pia tunalia kwakumupoteza tessa
Big up kwa Rashid Abdallah kutoaka Kenya kwa kushiriki pamoja nasi❤❤
Mliuchuria msiba hatimaye ukawa kweli mungu awatie nguvu
Yaani nimeumia Sana jamani najuwa maumivu ya kupeteza mtu😢😢😢 poleni Sana wapendwa
Yaani big up ushirikiano huo uendelee milele, nimewapenda hatari
mnatuliza jaman bac msilie sana tumshukuru Mungu
Ina uma ila hatuna jinsi tulikupenda ila mungu kakupenda zaid mama yetu dada yetu kipenzi chet mungu ailanze roho yako mahala pema peponi
Poleni sana watanzania wote tumeumia kuondokewa na dada yetu mpendwa tunamuombea mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amin
Poleni 😢sana wafiwa na wana family ya huba kwa msibani wa mama yetu tesa😢😢😢huu msiba wa watanzania wote inauma sana kufiwa kuna uma
Polen San tena San kwakweli inaumiza San mungu awape wepesi wafiwa wote pamoja na waigizaji wa sanaa mungu awalinde
Pole sana Rashid Abdallah na family ya Huba😭😭😭
Rashid nmekuona,may God comfort their family and friends
Shukrani sana Huba family nimeoenda ushirikiano wenu poleni sana
Wote safr tutaiyenda mungu ampokee mama etu poleni Sana wanafamilia
Daah😢😢😢watu wameumia mno ee baba mpumzishe kwa aman umsamehe yale alienda kinyume na mapenzi yako
😥😥 daaah rest in peace duniani tunapita...nitazidi kuangalia movie zako
😢😢😢 mungu awatie nguvu wanafamilia na wote walioguswa na msiba huu .....,
Kifo nyie😢Allah Amsame madhambi yake Ampokey kwa Amani😢😢😢
Amin
Poleni sana wanahuba Woodcote munguawatienguvu
Daaah! Nami machozi yanitoka
Hii kama ndoto kwangu, Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani mama Tesa.. Amina 🙏🙏😭
Kuondokewa kugumu sana Tena ufiwe na mama duu mhhh mungu awape subra katik kipindi hiki kigumu wafiwa
Tuta kumiss sana mama wawa bongo movie
Ila kwenye hili wasanii wanejitoa sana Daaa! Mungu awajalie sana! Rest easy tesa
Nilichokiona ni kwamba mama huyu alikuwa rafiki mzuri kwa kila mtu💔
Pole sana familia ya uba tuna wapenda sana tuna wapa pole msiba una uma sana jaman tena sana rakn nasi twa paswa kuji andaa na safari iyo polen watot polen wasanii woote kwa ujumla poleni sana 😢😢
Mungu awape nguvu Wana huba Na familia😢😢🇰🇪
Poleni MWENYEZI MMUNGU awape subra
Poleni San wanahuba wote Kwa kuondokewa na mam yetu
Poleni sana ndugu, Mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi
Poleni sana kutoka kuigiza kifo cha mtoto wa kibibi hadi kua live tessa jaman maisha haya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akuhifathi MMA grece
Poleni juu mimi nilikuwa naagalia huba lkn naeza rjkisha kwa ajili nipate partyake.tuwe pole sote
Kwa kweli ni zaidi ya maumivu nimejikuta nalia tu pumzika kwa amani mama yetu Tesa
Mbele yako nyuma yetu,mungu akusamehe
Jamani mbona kama siamini😭😭😭😭😭dah! pumzika kwa amani
Rashid like your carrage brother be blessed
Pole sana apumzike kwa Amina mama yetu
daaaaaaaaaah nmelia kwakwer inauma sana
Tesa hv ni kwel atutakuona kwenye huba tena dah tumeumea kwel but mungu akupunguzie adhabu ya kabur tesa wetu tulikupenda ila mungu kakupenda zaid tesa
Mimii nashangaa na wanao sema musilia hivi wanajua uchungu hauzuilikii😢😢bora m2 alia ajigaragazee uchunguu uishee
Poleni wapendwa tunalia na nyinyi ila Tesa kaniumiza..Mungu ailaze roho yake pema
Shabiki wa huba kutoka Kenya imeniuma sana pole sana watoto watesa😢😢😢
Shabiki wa kupindi cha huna form Saudi imeniuma sana , Mungu ndiye tegemeo 😢😢😢
Poleni Allah awape subra
Sidi kalia sana😢😢😢😢
Tessa mamangu pumzika kwa amani tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi
Poleni sana, mungu alimpenda zaidi,
Poleni. Sana. Familia
Daah!😭wasanii wa comedians imarisheni umoja wenu
Polen sana Wana huba
Kiukweli huba nikama familia moja.hio ushirikiano wenu umewaguza wengi.mama Tessa continue resting in peace.tutakumiss sana
Inaumiza sana 😭 kweli ulikuwa mtu wa watu
Mhhh..Mungu tupe mwisho mwema
Inalilahi wainnailaih rajiun poleni sn wafiwa wte Allah atupe mwisho mwm hicho ndio cha kuomba kila mda hakuna ajuwae kesho yke
Allah amrehemu inshaallah 😢😢😢
Mwenyezi mungu awatie nguvu
Poleni sana kwaku mpoteza mpendwa wenu mama mungu hamempenda zaidi roho yake ilale na Amani 😭
Kifo hakizoeleki jamani nimelia kukumbuka siku mama alipotutoka 😭😭 Poleni ndugu zangu
polee😭
Hii siku imenikumbusha kufa kwa mom daah mungu atupe subra sote 🙏🙏
Tesa umewaweza wasanii wenzio wa huba kwakweli 😢😢 rest in peace 🕊️ mimi mwenyewe naona kama ndoto
Mungu atutie nguvu sote tulimpenda sana tesa😢😢rip tesa
Daah inauma sana mung ampumzishe kwa aman
Poleni sana Mungu awatie nguvu
Kwakweli mumewajibika vizuri hasa huba nawapokeza rip tesa😭😭😭
Kuishi ni kristo kufa ni faida wafilipi 1;21-27
Hayo mauwa yanauzwa hivo hivo au yanatengenezwa muda huu
Yanabei hayo hacha
Yanatengenezwa unaweka oda
Yani nimebaki nakuliza Toka nione hizi habari sijaweza hata kucomment 😢😢😢😢😢😢😢inauma kwli nilitoka kupenda Bure tu tesi mwenyezi mungu aweke roho yake mahali pema 😭😭😭😭😭bye bye tesa😭😭😭
Tessa mama,tessa Jaman rudi tessa 😭😭😭kifo kifo 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Kicheko chako tesa sitakiona nakukisikia tena 😭😭😭😭😭 jamani tesa umeniuma sana
Mungu akupe pumziko la milele mama tesa😭😭😭😭
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 jmn nimelia sn kiukwl 😢😢😢
Naelewa huu uchungu nalia mim 😭😭😭
Pumzika kwa amani tesa wangu😭😭😭
Daah inauma sana jaman Mungu ailaze roho ya marehem malipema 🙏
Poleni sana mungu awatiye nguvu😂😂😂
Poleni wana huba poleni sana
Poleni Sana familia ya Huba, Mungu awape nguvu😢😢
kwa hiyo ndo basi mama Tesa hatutokuona tena...pumzika kwa Amani mashabiki tutakumiss
😭😭😭😭😭tessa jamani mamaa wetu ndio twakukosa kweli 😭😭😭
Mambo ya MUNGU 🙏🙏.. rest well tesa🕊️🕊️
@@norahkimuyu5845dah! ni Ngumu sana kuyaelewa maamzi ya MUNGU ila basi tu tuzidi kumwombea ipo ck tutaonana tena😭😭
Kwani alikuwa dini gani hayo ya kuslim sijayaelewa mana ni mkristu huyu jamani loo😢😢😢😢😢
ndio nikristo
Poleni sana ndugu zetu watanzania😭😭😭
Maasha Allah Rashidi Abdla Umeenda Kuwakilisha Kenya😢😢😢😢😢❤❤❤❤
Mungu ailaze roho yako palipo kwema. Umeacha pengo kubwa mama katika tasnia 🥲🥲
Mwendo umeumali je mm na ww tumejiandaej
Aaah inauma Sana jamani 😢😢😢