Uukweli hii tasnia imepoteza mutu na nusu.nampenda sana huyu mama kwa kweli,mpaka najishangaa. Ana kiiiiiila kitu,mpaka sura yake iina tesa kwa kweli.Mungu aiweke roho yake mahali salama AAAAAMINAAA.
Hapo ulikiri vibaya,vibanda,vimkweche! Usijerogwa eti namshukuru Mungu kanipa kibanda! No hata km nichumba 1 ni Nyumba. wawe sio kuku wala Mbwa kulala kny kibanda. Shukuru uonyeshe ukuu wa Mungu wako hata km watu wataona una mkweche wewe ona una Gari la nguvu.
Sijawahi hata siku moja kuangalia interview yoyote toka Times Fm na wala kazi yoyote ya kwako hii ni mara yangu ya kwanza, kwakweli dogo una uwezo mkubwa mno wa kupanga na kuuliza maswali , mahojiano yako yana dk25 na sekunde thelathini kiukweli ni ngumu mno kukuta kijana wa umri wako akifanya interview ya muda huo bila ya kuboa dk 2 tu za mwanzo na kukufanya usepe. Wengi wanakwama kwakua wanapenda kuuliza maswali ya aibu kiasi cha kumkwaza mtazamaji na hata anayehojiwa kwa hili umejitahidi mno kubalansi. Maswali yote uliyoyauliza yalikua ya wastani yenye kueleweka kwa anayeulizwa na hata kwa watazamaji pia.Sina hakika kama uliyaandika au yalikua yanadondoka kwa mtindo wa free style , uwezo wako ni mkubwa mno nikilinganisha na wengine wengi.Nakuona mbali mno iwapo utaweka nidhamu ktk interview zako .......naamini kabisa kua wengi wenye umri tofauti wanatanzama kazi zako hivyo liweke hili akili usije wakwaza wapenzi watazamaji wako. Keep it up , well done.
Jamani eehhh hata kama anaelekea saa 12 jioni bado na yeye anahitaji vitu. Mkumbuke kuwa maini ya ngome mzee au mdogo yanafanana - maini hayazeeki. Vijana mkijisikia mnataka mazungumzo nae msimwogope mpeni tu na yeye.
Yaani huyu mama , ningependa Sana kummeet siku moja jamani.i love you tessa
Mama mchango wako tumeuona. Pumzika salama. Mungu AKUSAMEHE.
Uukweli hii tasnia imepoteza mutu na nusu.nampenda sana huyu mama kwa kweli,mpaka najishangaa. Ana kiiiiiila kitu,mpaka sura yake iina tesa kwa kweli.Mungu aiweke roho yake mahali salama AAAAAMINAAA.
Huyo ndo grace mapunda wanguuu💪
Saleh Classic..unajua mpaka unaboa.marehemu hakutendewa haki file lake alianza zamani saana
Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani Tessa wetu💔
Mimi namkubali sana huyu mama
Hapo ulikiri vibaya,vibanda,vimkweche! Usijerogwa eti namshukuru Mungu kanipa kibanda! No hata km nichumba 1 ni Nyumba. wawe sio kuku wala Mbwa kulala kny kibanda. Shukuru uonyeshe ukuu wa Mungu wako hata km watu wataona una mkweche wewe ona una Gari la nguvu.
Nakubali bass kwenye clical dokteryawoper
Mungu akupumzishe dada mahali pema peponi
Pumzika kwa amani tessa wetu
Nimeipenda hiyo
Mama wakingoni😙kukupenda2 mwanao
Grace I 💜 u
Mama wewe ndo ulifanya nikapenda chaupele😢😢rest well Tesa ..jamani kama ndoto yani😢😢
Nakuoenda sana mamy unaitendea haki kz yako piga kazi mama hapa kz tu hahahh ila ukilia unanilizaga wewe acha tu unajua jua kulia
Upovizuri kwakweli hongera
Katika wamama bora katika tathnia ya bongo movie huyu ni zaid ya waigizaji katika wamama
Mmmmmmmm!
Mchezo wa kwnza kuigiza n kimbunga ,,na aliigiza na mtoto wake WA ukwel akamuita jeni😂😂😂😂umo full kulia tuu.
Ak Tessa umetuacha tu hivo ak just 😢😢 Rest in peace
Nakupenda San mam angu pambana
Waambie hao jaman ngombe hazeeki maini cheza katika pati yako
White maria tamu sana 🙏❤️❤️
Ubarikiwe
Nampenda sana
Mtangazaji unakera mama mama mama yako Huyo. Analingana na mamako Tanzania hawapendi kukua.
Muandishi kumbe unaweza usanii BT kic iyo veeeeep nimecheka
Yuko vizuri kwenye tasnia
Mama yangu mzazi pumzika kwaan na wasan waige
Pumzika kwa aman
Nimeumia sana jamani. Kweli Tessa haupo?
Pore mama yetu mzuri
DAH TESSA,,RIP
😢😢😢😢😢Rip mama tesa
Mtangazi nati huyu jaman
Sijawahi hata siku moja kuangalia interview yoyote toka Times Fm na wala kazi yoyote ya kwako hii ni mara yangu ya kwanza, kwakweli dogo una uwezo mkubwa mno wa kupanga na kuuliza maswali , mahojiano yako yana dk25 na sekunde thelathini kiukweli ni ngumu mno kukuta kijana wa umri wako akifanya interview ya muda huo bila ya kuboa dk 2 tu za mwanzo na kukufanya usepe. Wengi wanakwama kwakua wanapenda kuuliza maswali ya aibu kiasi cha kumkwaza mtazamaji na hata anayehojiwa kwa hili umejitahidi mno kubalansi. Maswali yote uliyoyauliza yalikua ya wastani yenye kueleweka kwa anayeulizwa na hata kwa watazamaji pia.Sina hakika kama uliyaandika au yalikua yanadondoka kwa mtindo wa free style , uwezo wako ni mkubwa mno nikilinganisha na wengine wengi.Nakuona mbali mno iwapo utaweka nidhamu ktk interview zako .......naamini kabisa kua wengi wenye umri tofauti wanatanzama kazi zako hivyo liweke hili akili usije wakwaza wapenzi watazamaji wako. Keep it up , well done.
Saidi Mwishehe Kienda shukran sana bro nitazingatia na nitalifanyia kazi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@@salehcllassic2325 pamoja kaka🤝🏿
Kabisa
Tesa mwaaaaaaa
😢😢 pumzika kwa aman
Huyu mama twamuita mamakilio
Mwl ticha tunamfahamu ni Kassim Talib
Gud.
Madam Tessa
Nice
Mama ulikuwa mtu wa kipekee jmn pumzk Kwa amani jmn
Mwanae ni Nani huyo Ambae Anaigiza pia?
Yule alofanana nae
😂😂😂😂
😭😭😭
Heshima yako maana yake nini!!?
Unamchuuza unamwambia kawa mdogo wakat anazeeka na anaonekanaaa bibi kabisaa, mwambie ukwelii😁😁😁
Kweli ni mtu mzima sana
Nampenda San Huyu mama,anavaa uhalisia ubarikiwe,muwek MUNGU kwanz
Jamani eehhh hata kama anaelekea saa 12 jioni bado na yeye anahitaji vitu. Mkumbuke kuwa maini ya ngome mzee au mdogo yanafanana - maini hayazeeki. Vijana mkijisikia mnataka mazungumzo nae msimwogope mpeni tu na yeye.
Mwambie huyo
Aaaah hakuna
dah hapo nimejikuta nqcheka kumbe mtangazaji upo.poa kuigiza
F